I finally found it after 10 good years . I remember listening to it as a kid in lower classes in primary school somewhere in western kenya.hii wimbo ilibadili maisha yangu from back then up to now that am in campus .mungu ni mwema
Hongereni sana ndugu zangu mnazidi kuwaelimisha wazazi kuhusiana na malezi Bora kwa familia zao Mungu azidi kuwabariki kwenye kazi kubwa ya uinjilishaji mnayoifanya 💯🌹
Ooh Dada zetu na mama zetu, tunajua mnatupenda, ingawaje tungetamani na sisi mtufikirie, mavazi mnayovaa leo yanatufundisha nini, mnafikiria nini kwa kizazi mnachokilea, msije mkashangaa dunia siku zinazokuja viwanda vyote vya nguo vitakapofungwa
The message is real,parents need to change on how to raise the children,ndo maana saivi watoto wengi wanatabia ngumu mno kumbe ni sababu ya kuwanyanga' nya watoto haki ya malezi Bora! Mungu tusaidie,tuweze kubadilika.
Asante sana kwa mafunzo ayo mazuri yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Enzi hizo nilisomea shule ya mchanganyiko wa dini lakini kila ikifika jumanne mda wa kipindi cha dini nilikuwa natoroka na juba langu toka Tamsa nakwenda Tycs
Sifa kwa mtunzi wa nyimboo hii mana aliyatabili wimbo huu ulitka nkiwa mtoto mdogo sana skujua maana yake hla leo mm mkubwa naelewa sasa ndo yakna kajala daimond ailin uwoya gwajma na wengne weng
2024 still on top.
Love this song March 2024
Thanks to God I found it today though am not a Catholic,I like listening to their songs especially this one glory to God 🙏🙏
I finally found it after 10 good years . I remember listening to it as a kid in lower classes in primary school somewhere in western kenya.hii wimbo ilibadili maisha yangu from back then up to now that am in campus .mungu ni mwema
Wimbo mzuri unanisikitisha sana, ujumbe mzuri kwa wazazi na walezi
Me too😭
I have really looked for this song.
The song is so nice,i remember also listening to it back when was kid class 4.,my mum loved it so much
And also me...i was very young wakati ilitoka....saa hii mimi ni baba and i have convinced watoi wangu waujue wote na wanauimba kama national anthem..
Yaliyoimbwa kwenye hii nyimbo ndiyo yanayotokea siku hizi...
Kama bahati Leo nimeukumbuka huu wimbo wakat nikiwa kazini kwangu,nimekumbuka mbali sana. Leo 23/04/2023
Hongereni Sana, wimbo una ujumbe mzuri kwa jamii yetu
Hongereni sana ndugu zangu mnazidi kuwaelimisha wazazi kuhusiana na malezi Bora kwa familia zao Mungu azidi kuwabariki kwenye kazi kubwa ya uinjilishaji mnayoifanya 💯🌹
Naupenda sana huu wimbo.wazazi tuwapatie watoto haki zao.maana ni wazazi watarajiwa
Naipenda Sana nyimbo him inatukumbusha wajibu wamalezi kwa watoto wetu
Nakumbuka Mashahidi wa Uganda Magomeni miaka Kama 30 iliyopita, Enzi ya Father Kavishe 😢
I used to cry listening to this song 10yrs ago...Mungu amenitoa mbali
Wow finally nmepata huu wimbo...used to sing it kwa mashindano ya mwaka nikiwa primary back in 2005
Nakupenda mke wangu na watoto wangu...
"Haki ya malezi bora tumenyang'anywa, "
"Urithi wa maadili tumefutiwa"
Ooh Dada zetu na mama zetu, tunajua mnatupenda, ingawaje tungetamani na sisi mtufikirie, mavazi mnayovaa leo yanatufundisha nini, mnafikiria nini kwa kizazi mnachokilea, msije mkashangaa dunia siku zinazokuja viwanda vyote vya nguo vitakapofungwa
🎉🎉 Huu wimboo umentoa machoz Dahh nimepata Darasa kubwa
This song realy hits hard,its what is happening now...used to sing it like kila saa when am low.buck in 2007
Nyimbo ilikua mbele ya muda kbs,mungu azid kuwainua kwa viwango zaidi kizito choir
Tangu nikiwa mdogo mpaka leo I love the song 😭
Mimi sio mkilisto sema umu kuna ujumbe
Nyimbo hii kweli ndo shule wa mungu
The message is real,parents need to change on how to raise the children,ndo maana saivi watoto wengi wanatabia ngumu mno kumbe ni sababu ya kuwanyanga' nya watoto haki ya malezi Bora!
Mungu tusaidie,tuweze kubadilika.
Wimbo huu unanikumbusha mbali mungu awe nanyi
Asante sana kwa mafunzo ayo mazuri yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Very informative, educative song, Children's rights are key
Wimbo mzuri sana ! Mungu awape ngufu ! Mutu saidiye kuandika maneno ili tupate kujuwa wimbo vizuri. Twawa penda sana
Woow..av been looking for this song
Ujumbe unaoishi Leo hii na siku zijazo. Tunakuhitaji sana katika kipindi hiki😢😢😢😢
Hii nyimbo nakumbuka 2010 nikiwa mwenyekiti wa utoto mtakatifu tuliuimbaga naupenda sana na nitazidi kuupenda nice song
Toka nilikuwa nakupenda hii nyimbo toka nikiwa mtoto mdogo miaka10
Hongera sanaaaa 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽kwa mtunzi ,dunia ndivyo ilivyo.
St kizito makaburu songs never disappoints.i first heard this song in 207.
Were you there by that time bro?
1stbi heard this song, it was 2005
Hii ya familia kati ya baba na mama tume pitia kbsa ila mungu ni mungu tu😢❤❤
Nakupenda sana huu wimbo maana maisha nilivyo ishi
Enzi hizo nilisomea shule ya mchanganyiko wa dini lakini kila ikifika jumanne mda wa kipindi cha dini nilikuwa natoroka na juba langu toka Tamsa nakwenda Tycs
Nice song, ujumbe timilifu
Pueri Cantores (Choeur des anges Cimpunda) …Nostalgie 🙏
Mungu ni mwema🙏
Kiukwel kwaya hii imegusa sana
Sijawai kuichoka tangu nikiwa mtoto mpka leo 4/10/2024
Nasikia uzuni saaana kwa watoto wetu kwa dunia ya leo na technologia ya leo
Asanteni kwa kutuelimisha
Ill pay money to go back to these TIMES 😢…. Dah!
😢😢Naupenda huu wimbo 💔💔
Nyimbo nzuri sana kwa wale tulio tayari ni wazazi
A very strong message to reflect on
Wimbo mzur sana ❤
More Educating Song with Nicest Lyrics.❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Tulosoma kitwiru high school Advance tunaukumbuka huu na ule yes njoo niokoe
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤
J'adore la chanson!! Des très bonnes prédications
MAY GOD BLESS YOU ALL...AND HAVE NICE AND SUCCESSFUL LIFE...❤❤❤
miaka mingi imepita ninekumbuka sana maisha ya zamani
Haijawahi kuchuja kwakweli ❤
a masterpiece 😍😍
An Advocacy song with great message
I love this song alot
Sifa kwa mtunzi wa nyimboo hii mana aliyatabili wimbo huu ulitka nkiwa mtoto mdogo sana skujua maana yake hla leo mm mkubwa naelewa sasa ndo yakna kajala daimond ailin uwoya gwajma na wengne weng
Nakumbuka mbali sana mwaka 2003 songea moja iyo
2023 still on top
I love the song🎹🇨🇩🇨🇩
Love the song
We sang this song in primary sana
Chozi la damu wimbo una darsa tosha
mungu awabaliki
Daaa inanigusa adi najisikia kulia
Long time ago I really love this song
If am not wrong this song was originally done by St. Cecilia Arusha
I use to watch it in 2006
Nyimbo.za.kisukuma
Prophetic Song ✨
Very educative
Baraka tuu🎉❤
I love the song ❤
Nzuri sana
wimbohuu umenigsa
Huu Wimbo ungerudiwa maadili ya sasa hivi?
from Tz nime enjoy jaman
I sang this song 15 years ago
Wonderful 💯
Très bonne chanson
Abarikiwe mtunzi wa hii nyimbo;mtunzi mwingine aendeleze part II yake
So say good song today 25/12/2023
2024 🔥🔥🔥
A real tbt. First heard when I was in class 5
Mimi nliiskia nikiwa class 3 na ati sai am in campus 😂😂
Umenipa huzuni san huu wimbo
Chozi la damu 2007 🩸🤔
Safi saana wimbo wenye mafunzo
I'm even crying 😭😭😭
Nice song 👍👏 . Anyone has this song can share to me please
Good song
❤❤❤❤amen
Bonsoir Comment
Very nice song
The song is
Nice
@@sarahmasangia3179 Kweli
@@sarahmasangia3179 real
8.1.2025 vamoos
2020 #corona took many lives
Lit since 2006
❤❤❤
Waooo
Makuburi
Painful
Maisha
Nice