DEADBEAT : MPAKA WAKATI UTAKAPO NILETEA MTOTO NDIO NITAMSAIDIA
Вставка
- Опубліковано 1 тра 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #deadbeatdad #jambomassawe
Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Розваги
The guy is very right
Wangu aliniambia hawezi saidia mtoto nkiwa cyuko kwa life yake and yet alioa.... Sasa alitaka anitumiange vibaya ndio alee mtoto wake 🤦... Nliambia mungu anisaidie na ni assume he's dead. It has not been easy yes but bdo tunasonga 9yrs down the line and still pushing on by the grace of God.
Trust in God atakuwezesha.❤
@@mwendapoleee he has already made it through for us and we're grateful, azidi tu ku come through na asiwai tuacha.
@@annmwariri8119 Halleluja God is faithful.
Me vile mungu amenipa nguvu na nikajituma nikalea watoto wangu watatu sahii wamekua watu wazima ni God ...heri kustruggle pekee kuliko kupambambana na hao watu wasio na utu
The guy is right
to some extent that man is right! hata akienda kwa sheria
sheria inasema hivi, kama mama hawezi kaa na mtoto wakati babake yuko hai anaruhusiwa kumchukua mtoto na kukaa naye. Atahakikisha mtoto yuko na needs zote
Kama hauko stable aky kulea mtoi n ngumu tafuta kazi mummy ujilele mtoi
Tuko wengi na watoto tunalea tafuta birth na jina yako peleka mtoto shule