PATANISHO : GIDI NDOA YA NAIROBI SI NDOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 тра 2024
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
    Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 66

  • @marrieann5278
    @marrieann5278 29 днів тому +17

    Sharon is a wise lady,anajitambua kabisa big up Sharon👏👏

  • @FelisterMueni-up5hg
    @FelisterMueni-up5hg 24 дні тому +4

    JAman Gidi Makueni county hatuwapati,mlipotea fanyeni mpango

  • @phanicemulongo7098
    @phanicemulongo7098 27 днів тому +2

    Sharon ❤❤❤aki utakuja lini Nairobi nimekumiss sana ❤❤❤❤my lovely sister

  • @tonycomfort7711
    @tonycomfort7711 22 дні тому +1

    This is a good stand from the girl child. It is good to be firm. Know your position in life

  • @NaomyMuttai
    @NaomyMuttai 28 днів тому +5

    These two are still young, alafu sharon is very intelligent acha bado akae kwao atapata mtu mature

  • @monicaopondo2150
    @monicaopondo2150 23 дні тому +2

    Hongera Sharon, wembe ni huo huo.

  • @celinejudy1496
    @celinejudy1496 28 днів тому +5

    Anaita mamake mkora😮apo me siwezi kaaa waaaaah

  • @rosendunge4217
    @rosendunge4217 29 днів тому +8

    Sharon nimekupenda..hiyo jamaa ni jingaaa

  • @evansnyams
    @evansnyams 28 днів тому +3

    Very mature lady, keep it up Sharon

  • @swashabdul6009
    @swashabdul6009 28 днів тому +4

    Ati Mama Mkwe Ni Mkoraa😂😂😂 kijanaa Wa Hovyoo sanaaa!!!

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 29 днів тому +6

    SHARON ATAKUNYWA NN APEWE..... ANAJITAMBUA SANA

  • @b.3940
    @b.3940 28 днів тому +7

    Haki Waluhya hunifurahisha kwa hii channel

  • @user-wq4dn9gz7r
    @user-wq4dn9gz7r 27 днів тому +2

    Tuwache kutumia. Wanawake. Wetu kama wafungwa Sharon is very intelligent

  • @graciekim1735
    @graciekim1735 24 дні тому +2

    Sharoo uko 👍ndoa ndoa ya nrb c ndoa nakumbaliana na ww

  • @jacquelinendambuki3196
    @jacquelinendambuki3196 29 днів тому +7

    Mapema ndio best 😅😅😅😅

  • @saidimzagula6168
    @saidimzagula6168 26 днів тому +5

    Yaani mtu anapenda msichana wa watu lakini hataki kwenda kwao?kweli ndoa ya nairobi sio ndoa

  • @user-wq4dn9gz7r
    @user-wq4dn9gz7r 27 днів тому +2

    I gues Kuna watu wengi tuko Kwa unform tunafukiria sisi ndio yote??mungu wa mbingu anajua maisha ya Kila mtu. Plz askari wenzangu be kind love our wives

  • @Rapidscity
    @Rapidscity 27 днів тому +2

    These kids are funny wwako na kipindi.

  • @AniphaMoha
    @AniphaMoha 21 день тому +1

    Sharon achane Tu na Brian 😂😂

  • @brendaokola3893
    @brendaokola3893 26 днів тому +2

    Makofi kwa Sharon jamani👏👏😂

  • @emmaakelo4383
    @emmaakelo4383 29 днів тому +9

    Wazazi ya Hawa watoto wako wapi ??

    • @mamaboizpure842
      @mamaboizpure842 27 днів тому

      Ati watoto ona huyu hii generation imeoza

  • @reginahomutiti3390
    @reginahomutiti3390 29 днів тому +6

    Huyo jamaa Hana heshima ako na kaujanja .ndio Maana sharon ajamzalia mtoi .

  • @nyarsakwa1492
    @nyarsakwa1492 29 днів тому +5

    Sharon ako mote mature than Brayo

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 28 днів тому +2

    Ndugu mjinga sna

  • @user-ip5qv9uj5l
    @user-ip5qv9uj5l 24 дні тому +2

    Radio Jambo haishiki Kisumu , fanyeni kitu

  • @johnmugo3959
    @johnmugo3959 29 днів тому +4

    Fun sugu hapa kutoka Qatar 😊

  • @tiktokvideos1518
    @tiktokvideos1518 21 день тому +1

    I'm Brian's landlord. I can confirm Sharon was thrown out. 😢

  • @lukasobiria7912
    @lukasobiria7912 28 днів тому +5

    I think this girl ako na akili kuliko huyu boy.

  • @CROWNMEDIAKE
    @CROWNMEDIAKE 22 дні тому +1

    Sasa watoto wanaenda kwa radio 😂😂😂😂😂😂

  • @supu1237
    @supu1237 29 днів тому +3

    Second ✋

  • @janemumbikimani
    @janemumbikimani 27 днів тому +3

    I want this kind of a girl😂😂😂😂

  • @denniskaronei9117
    @denniskaronei9117 19 днів тому

    Giddy unapatanisha watoto,,,kamiti utaiingia sasa

  • @user-wq4dn9gz7r
    @user-wq4dn9gz7r 27 днів тому +2

    Watu wengine wako na zawadi ya wanawake lkn wanachezea

  • @solomonoduor
    @solomonoduor 28 днів тому +1

    solo hapa nafwatilia kutoka state of Israel .hizo jina Sharon na Brayo waa

  • @gracesolomon2731
    @gracesolomon2731 29 днів тому +3

    Hawa watu wakomae kwanza before wa marry they are young wanashesea marriage sana

  • @rebeccaamadi
    @rebeccaamadi 28 днів тому +2

    Sharon shikilia tu hapo,,our luhya queen 😂😂😂😂😂😂

  • @EZEKIELOMOLO-by6gs
    @EZEKIELOMOLO-by6gs 29 днів тому +1

    Mitabendi ya Radio jambo imepotea huku maeneo ya Oyugis Kabondo Kasipul kwa miezi kadhaa sasa,naombeni mfanye kitu tafadhali

  • @dukemonda1407
    @dukemonda1407 28 днів тому +1

    sikuizi hamuweki option ya kudownload?

  • @kiptooj
    @kiptooj 29 днів тому +2

    First

  • @consolatamusavi6783
    @consolatamusavi6783 29 днів тому +4

    How can you marry a 21year old this age my daughter is still in university seriously

    • @dorcasgitu5414
      @dorcasgitu5414 28 днів тому

      You never know Mami labda wako Yuko na wake uko Ako siku hizi ni kubayaa Mami

  • @babewajeff
    @babewajeff 29 днів тому +4

    😂😂😂😂kumbe wewe Brian ni muongo?

  • @SarahAmina-ew6ms
    @SarahAmina-ew6ms 29 днів тому +1

    Very true 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @raiali5131
    @raiali5131 28 днів тому +2

    Maturity is a key...both need time.Brian you still dogo

  • @mwari4103
    @mwari4103 28 днів тому +1

    She was with a fool anyone who insults my mother I will come for him ngoma

  • @pendo6
    @pendo6 28 днів тому

    Giving na Ghost gg mnabamba mayooo

  • @PatrobaP
    @PatrobaP 29 днів тому +5

    That is a kisii man. No respect at all

    • @user-br5ct3fj5s
      @user-br5ct3fj5s 28 днів тому +1

      Kumbe umemsikia so arrogant

    • @OldisGold1982
      @OldisGold1982 24 дні тому

      Kisii me wako aje ?

    • @PatrobaP
      @PatrobaP 24 дні тому

      He can't apologise. He is too much of himself

  • @heartviatheheart2092
    @heartviatheheart2092 28 днів тому

    Pia all Florences ni watu hawana muelekeo

  • @nesbitmiriti4366
    @nesbitmiriti4366 26 днів тому

    Hapo mugaka alikosea kubeba hamsini ya samosa😂😂😂,anafaa kuomba msamaha😮pia kumtukana mama mkwe.

  • @emilywangui
    @emilywangui 29 днів тому

    Gen z 😂😂😂😂😂hawa warudi shule wasome ama watafute pesa....mapenzi baadaye

  • @dorisimali7619
    @dorisimali7619 28 днів тому

    They r too young wandering shule kwanza ndio wagrow up.

  • @user-hn7mq1zp7b
    @user-hn7mq1zp7b 27 днів тому

    TOXIC RELATIONSHIP

  • @bikoflavious2903
    @bikoflavious2903 24 дні тому

    Boy 21 yrs na dem 20 yrs .. that's a joke
    These are Young people who should be in school..
    Hii ndo ubaya ya kuzaliwa na wazazi wajinga ambao hawaku soma ...a serious parent cant let such upuzi to happen...
    Shauri yenu it's your life

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 28 днів тому +1

    Hapo akuna ndoa,,,, nia aibu kulipia mwanaume Rent nia aibu 😂😂😂😂😂

  • @gracesolomon2731
    @gracesolomon2731 29 днів тому +2

    Hawa watu wakomae kwanza before wa marry they are young wanashesea marriage sana

    • @babewajeff
      @babewajeff 29 днів тому +1

      Wanachezea ama wanashesea