LIPULI FC 2-0 YANGA SC; FULL HIGHLIGHTS (NUSU FAINALI ASFC - 6/5/2019)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 139

  • @moredfrank5978
    @moredfrank5978 5 років тому +15

    mwaka huu kupanda ndege ni historia...polen sana watan

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 років тому +9

    Kifo cha Chura kimeleta mvua hadi rahaaaaaaaaaaa....asante sana Kindoki

  • @doristuppa6547
    @doristuppa6547 5 років тому +13

    Kombe wanaloweza kuchukuwa yanga ni lile lililofunikwa mwanaharamu apite uwiiiiiiii simbaaaa mieeee nacheka kibingwaaaaa💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃😂😂😂😂😀😀🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆

  • @barakathomasgabriel5708
    @barakathomasgabriel5708 5 років тому +22

    Duuuh yanga banaaa
    Msiwaraum bana maana wakiona wekundu wanajua ni simba

    • @babungonyani2659
      @babungonyani2659 5 років тому +1

      yanga bado kibakuli kinapita

    • @doristuppa6547
      @doristuppa6547 5 років тому +1

      Umeona eeeh haki walijua simba uwiiiiiiii lipuli mungu anawaona kuvaaa km simba kuwachanganya🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸

    • @mariamzuheir4278
      @mariamzuheir4278 5 років тому

      Baraka Thomas : WANA-WANA-WANATESEKA SAAANA WALEEE !

  • @kivumaathumani5598
    @kivumaathumani5598 5 років тому +8

    yanga kachubuliwa chubu chubu😀😀😀kamwenee kamweneeeee.vyura mmeutia aibu uwongozi mpya😀👊leo makambo kafichwa wapi kwapani au sioni domo likiwa wazi😀pumbavu kumbe vyura mnapenda sana kuliwa na lipuri huhuhuhuhuh zahera leo sabu zake zimeenda kongo yaani zimeferi kama breck za gari ya vyura😀😀😀😀kamweneeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @babdulla3779
    @babdulla3779 5 років тому +45

    Aliemuona Shabiki wa Simba mwenzetu akishangilia Gori Like hapo

    • @cholomaarah7471
      @cholomaarah7471 5 років тому +1

      Yanga mbovu

    • @randyfisher873
      @randyfisher873 3 роки тому

      I know Im kinda off topic but does anybody know a good place to watch newly released tv shows online ?

    • @danekylan1016
      @danekylan1016 3 роки тому

      @Randy Fisher i watch on flixzone. You can find it by googling :)

  • @guccij3549
    @guccij3549 5 років тому +7

    Lipul HomeBoi Team😀Team uxhnd daily💪

  • @farajaluvanda1242
    @farajaluvanda1242 5 років тому +12

    GOLI MBILI SAAAAFI KWENYE UWANJA SAAAAFI NANI A ANABISHA??

  • @hassangaudence1814
    @hassangaudence1814 5 років тому +2

    Hongera sana lipuli

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 5 років тому +33

    😂😂😂😂kamwene Lipuli nimeangalia video bila kupenda huwa siangalii za Yanga ila leo nimefurahi sana

    • @meinlfudickson7062
      @meinlfudickson7062 5 років тому

      Mc Isunga hahahhhaa...at uwag siangalii za vyuraa Ila leo imenilazm

    • @guulajini3596
      @guulajini3596 5 років тому +1

      Mc Isunga 😂😂😂 kama mimi tu huwa nazipitaga tu ila leo hadi nimecoment

    • @mcisunga3822
      @mcisunga3822 5 років тому

      @@guulajini3596 😂😂😂 raha sana

    • @mcisunga3822
      @mcisunga3822 5 років тому

      @@meinlfudickson7062 😂😂😂😂😂raha sana

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 5 років тому

      Hahaha

  • @samohboy9937
    @samohboy9937 5 років тому +9

    Kama unawaonea huruma chura churani gonga like

  • @ZachaBill
    @ZachaBill 5 років тому +7

    Refarii anawatafutia Yanga goli kawaongeza dk 6 zote. Teh teh
    Ingekuwa mechi ya simba ndio hivo ungewasikia Yanga na Zahera wakidai hivo

  • @jumajux5885
    @jumajux5885 5 років тому +1

    Pole sana yanga

  • @danielelwin1778
    @danielelwin1778 5 років тому +13

    Lipuli ni Nini? Lipuli ni tawi la Simba linalodili na Yanga

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 5 років тому +10

    Paul Nonga mzuri sana.ila Shamte anatisha kwa free kick

    • @mariamzuheir4278
      @mariamzuheir4278 5 років тому

      Baraka Waya Online : Unajua INAUMA SANA YANGA kufungwa na TIMU YENYE JEZI "NYEKUNDU" na ndo maana wanaweseka na kusema LIPULI definition yake ni TAWI LA SIMBA uuuwiii !

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya 5 років тому +1

      Mariam Zuheir Nikweli

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 років тому

      @@mariamzuheir4278 hhh

  • @delabossreizer9471
    @delabossreizer9471 5 років тому +57

    Hahha difinition what is lipuli ? Lipuli.is the branch of simba wchich deals with yanga only

    • @mariamzuheir4278
      @mariamzuheir4278 5 років тому +2

      De la boss reizer : MTAIMBA SANA NA HATA BADO nafikiri pia muimbe MAREFA WOTE TZ ni wa SIMBA si ndiyo !

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 5 років тому +1

      😂😂😁😂😂😂😂tisha sana mkali.

    • @mutalemwagabriel2277
      @mutalemwagabriel2277 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂 amazing definition

    • @delabossreizer9471
      @delabossreizer9471 5 років тому +1

      @Siwema Mahenge mama umeielewa iyo difinition lkn maake mm. Ni mnyamaa mkali sana isome tena

    • @delabossreizer9471
      @delabossreizer9471 5 років тому +1

      @@mariamzuheir4278 hahaaha usiteseke jmn. Mm nikoboko ya churaa

  • @yusuphamani72
    @yusuphamani72 5 років тому +8

    Kwa matokeo kama haya tunaruhusiwa kulia

  • @nurdinhemed6
    @nurdinhemed6 5 років тому +1

    Ramadhani kareem lipuli wenzangu wote

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 5 років тому +3

    Honestly lipuli siyo club ya kubeza wapo vizuri kila kona

  • @jumajuma1770
    @jumajuma1770 5 років тому +3

    Kamwene nimefurah Sana kwa kichapo yanga ilichochezea

  • @selemanifaresi2972
    @selemanifaresi2972 5 років тому +16

    lipuli hao wamenifanyia kitu kizr zana kwasiku yaleo

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 років тому +6

    Waliiogopa jezi kwan wanajua moto wa hiyo jez nyekundu

  • @maulevo6250
    @maulevo6250 5 років тому +3

    Jamani acheni kutuandamaa

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 5 років тому +2

    Hakika kindoki anajitahid sanaa

  • @nailah1930
    @nailah1930 5 років тому +21

    😂😂😂😂 vyura wanatia huruma Sana
    YANGA kamwene

  • @shiraziramadhani1356
    @shiraziramadhani1356 5 років тому +5

    Vp nyie simnasema mnakocha mzuri mbn mmetobolewa kwa Mara nyingine kamwene

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 років тому +6

    Pamoja na mzuka wa ajib lkn mmepigwa km mbwa koko

    • @herbertngutunyi7698
      @herbertngutunyi7698 5 років тому

      Eeh mzuka ule noma kurukaruka kote kivyuravyura lkn waapi afu umeona na mzuka wa kelvin yondani alipoingia?

  • @doristuppa6547
    @doristuppa6547 5 років тому +7

    Haki Jana nimelala najamba kufungwa hawa kuku

    • @rahmaramadhan2476
      @rahmaramadhan2476 5 років тому +1

      Uwiiiiiiii usinifulishe kwa kucheka dol

    • @marymyaga4228
      @marymyaga4228 5 років тому

      kindoki sio golikipa anapangua kila mpira unaofika kwake badala ya kudaka

  • @gekopatric8356
    @gekopatric8356 5 років тому +3

    Wazee wa kulalamika vyura fc

  • @charlesnjau2423
    @charlesnjau2423 5 років тому +1

    Kamwene International !

  • @shiraziramadhani1356
    @shiraziramadhani1356 5 років тому +5

    Kuna mzee mmoja wa yanga anasema simba imewaloga yanga ili wafungwe all yaani lawama fc

  • @ahmadothman9899
    @ahmadothman9899 5 років тому +3

    Haya sasa 2nasema kamwene yanga 😁😁😁

  • @mountcholo7039
    @mountcholo7039 5 років тому +9

    Ata hufikirii baadae zahera anakuja kulia kama mtoto

  • @benjamincharles2606
    @benjamincharles2606 Рік тому

    Nimekumbuka sana hi mech

  • @zulfasaid2086
    @zulfasaid2086 5 років тому +2

    Kamweneeee oyeeeee

  • @reyyonah7261
    @reyyonah7261 5 років тому +3

    Mkiambiwa yanga hamjui mpira mnabisha ona sasa aibuuu😂😂

  • @zulfasaid2086
    @zulfasaid2086 5 років тому +1

    Duuuuuh polen yang

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 4 роки тому

    Paulo Nonga kipaji toka Bwiru Boys....wale wa Bwiru Boys kwa SUNAMI mtakumbuka kizazi cha Nyoka.

  • @benardmanyama3415
    @benardmanyama3415 5 років тому

    Hadi raha moyoni

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 5 років тому +5

    😂😂😂😂😂yaan nachek kam mwehu nlisem mm lipuli piga hao na imekuwa 😂😂 fey sio level yenu anatufaa sisi 😂😂yanga CAF mtaisikia kwa simba na mtibwa

  • @ntilenzamasumbuko3496
    @ntilenzamasumbuko3496 5 років тому +1

    Kamweeeene

  • @abouyusrayasrisaadomar6620
    @abouyusrayasrisaadomar6620 5 років тому +2

    Ha ha ha kamwene ninoumaaaaaaaa

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 5 років тому

    Lipul2-0 Yanga

  • @ombenisamweli2412
    @ombenisamweli2412 5 років тому

    Kamwene kamweneeeee

  • @hussenimlimati9592
    @hussenimlimati9592 5 років тому +2

    Kamwene mwamfilile mwakipumbu mwaka yanga?

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 5 років тому +2

    Hahahahhaaa asante lipuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nyela kamweneeeeee

  • @zaitunichanga3142
    @zaitunichanga3142 5 років тому +4

    Yanga kamweneeee,,,hatimaye ngamia aomba maji ya kunywa samora hahahahahahahahahah

  • @braysonmeleto3129
    @braysonmeleto3129 5 років тому +1

    alie msikia mpenja akisema tazama mlimbwende tipwatipwa akitetema kwelikweli

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 5 років тому +3

    Hii inaitwa Kamwene international hahahaaaah

  • @othmanpardon7120
    @othmanpardon7120 5 років тому

    daah inauma zahera alizoea penalty

  • @guulajini3596
    @guulajini3596 5 років тому +6

    Wanakula mbwa alafu mnawaletea chura...
    Wanakula tu😂😂😂

    • @mcisunga3822
      @mcisunga3822 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂😂nimecheka kwa sauti mpendwa

    • @guulajini3596
      @guulajini3596 5 років тому

      Mc Isunga 😂😂😂😂 chura kaliwa huko safiii jiji limetulia sasa

    • @doristuppa6547
      @doristuppa6547 5 років тому +1

      @@guulajini3596 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rahmaramadhan2476
      @rahmaramadhan2476 5 років тому +2

      Nimefurahi mpaka najiogopa APA

    • @guulajini3596
      @guulajini3596 5 років тому

      Rahma Ramadhan 😂😂😂😂😂😂

  • @jaladollar7745
    @jaladollar7745 5 років тому +4

    Vip leo vyura zimeongezwa dk 6 nzima mmeshindwa kujitetea lakini dk kama hizo akiongezewa simba mnaongea sana sasa na nyie leo mmeongezewa dk 6 nzima.Nakumbuka kuna mechi mlicheza na hawahawa lipuli mliongezewa dk karibia 10.Watoto wame watoa jasho watu wazima nataka kuuliza kwa hiyo lipuli nae kabebwa leo.

    • @zamoahajali303
      @zamoahajali303 5 років тому +1

      Na kipindi cha kwanza wameongezewa tano

    • @rahmaramadhan2476
      @rahmaramadhan2476 5 років тому

      Ata siamini masikio yangu

    • @jumabakari2354
      @jumabakari2354 5 років тому +2

      pia mechi na lipuli ambayo walifungwa goli 1:waliongezewa dkka 7 lkn mambo yalikuwa magumu

    • @maulidimashuda5681
      @maulidimashuda5681 5 років тому

      Hassan Juma turihawew

    • @jumabakari2354
      @jumabakari2354 5 років тому +1

      @@maulidimashuda5681 umeandika nn hapo?

  • @abbasshabani670
    @abbasshabani670 5 років тому +2

    hizo jenzi zimewapoza yanga wakiona n

  • @livinusjulius5797
    @livinusjulius5797 5 років тому +3

    chura fc mtateseka miaka 10 iyo n lzma

  • @mtengulerashid7868
    @mtengulerashid7868 5 років тому +1

    Hawa lipuli mechi yao.watauza.kwa Azam maana uwezo.wa kucheza na tim za nnje hawana

  • @samwelimnyagani2517
    @samwelimnyagani2517 5 років тому +4

    Kamwene

  • @elizabethjohn4549
    @elizabethjohn4549 5 років тому

    Hawa lipuli ndo walifungwa 3-1 na simba ama ? Huu mpira wameutoa wapi jamani ni shida

  • @ramadhanmohamed7668
    @ramadhanmohamed7668 5 років тому

    Lipuli fc. mtabakia kua Tim ndogo tu mbere ya yanga atakama mmeifunga yanga.

  • @morlovzeboy4926
    @morlovzeboy4926 5 років тому +3

    Kwahyo ssi yanga tunacomment wap 😂😂😂

  • @allyjuma7719
    @allyjuma7719 5 років тому +1

    Wengine kizungu hawajuyi ebu kwa kitanzaniyaaa maanaaa yake nn?????

  • @okamanosiao1861
    @okamanosiao1861 5 років тому +1

    Jaman lipuli wamebebwaa😂😂

  • @kibokongurai4488
    @kibokongurai4488 5 років тому +2

    hawa madogo waokota mipila wamehujumu yanga yani mtu anafata mpila yeye anaupigia ugoko unaenda mbaaaali ahahahahahahahaha yani tunahujumiwa halafu nahisi KINDOKI apewe namba forward maana anapiga sana mashuti badala ya kudaka ahahahahaha

  • @sellehashim1603
    @sellehashim1603 5 років тому +1

    Kamwenee

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 5 років тому +1

    This is simba ndogo

  • @issaabdallah9306
    @issaabdallah9306 5 років тому +1

    jamani kwani kuna nini huko mazwzafc

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 5 років тому +3

    KAMWENEEE

  • @erickkihulya248
    @erickkihulya248 5 років тому +1

    Kamwene*2

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 5 років тому +1

    Ha ha ha kamwene

  • @emmamawazo2998
    @emmamawazo2998 5 років тому +1

    shuti ra noga agetapika mav ile kudadak

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 років тому

    Wanahitaj huruma Hawa chura jaman

  • @khamismaknz871
    @khamismaknz871 5 років тому

    Shamteeeeee💪💪

    • @sosomacharles2422
      @sosomacharles2422 5 років тому

      kufungwa kwa yanga imekuwa shida timu ipi imbayo haijawahi kufungwa ?juzi kati tu simba amekula hamza mmeshasahau tayar

  • @abbasshabani670
    @abbasshabani670 5 років тому +1

    kamwene mnogage

  • @kekemagori4732
    @kekemagori4732 5 років тому +1

    Mim yang lakn hii mmenikera ile balaa kama mandezi

  • @MichaelMwilenga-i6i
    @MichaelMwilenga-i6i 2 місяці тому

    Kipindi icho magoma hakuwepo nn

  • @fmrichikete3400
    @fmrichikete3400 5 років тому

    kifo kifo 2 ata uchelewe cku yako ikifika ww lazima ufe ndy kilichowakuta majilani zetu walikuwa wanatuchekaaaaaaa xana wakisaukuwa wao ni waslika wa janga iliiiiiiii

  • @allanchapter5314
    @allanchapter5314 5 років тому +1

    Hahahahhahahhahahahha. Nacheeeekaaaa

  • @subiramasaki2053
    @subiramasaki2053 5 років тому

    😂😂😂 jaman vyura

  • @sportsbiotz
    @sportsbiotz 3 роки тому

    Amri Said Kocha wa Lipuli Asema Mengi kuhusu kuipandisha timu ligi kuu mara baada ya mchezo dhidi ya dar city kumalizika..
    Unataka kujua kasema nn gusa link inayofuata hapa chini.
    👇🏾👇🏾👇🏾 👇🏾👇🏾👇🏾 👇🏾👇🏾👇🏾
    ua-cam.com/video/cqbDSkXrAZQ/v-deo.html

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 5 років тому +2

    Hii inaitwa Kamwene international hahahaaaah

  • @sportsbiotz
    @sportsbiotz 3 роки тому

    Amri Said Kocha wa Lipuli Asema Mengi kuhusu kuipandisha timu ligi kuu mara baada ya mchezo dhidi ya dar city kumalizika..
    Unataka kujua kasema nn gusa link inayofuata hapa chini.
    👇🏾👇🏾👇🏾 👇🏾👇🏾👇🏾 👇🏾👇🏾👇🏾
    ua-cam.com/video/cqbDSkXrAZQ/v-deo.html