Yanga SC 2-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/10/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Yamefungwa magoli mawili, Yanga ikishinda 2-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi, mchezo ukiwa ni wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague
    Wafungaji wa magoli hayo ni Pacome Zouzoua na Clatous Chama...

КОМЕНТАРІ • 52

  • @RevithaRevitha-f5q
    @RevithaRevitha-f5q 2 години тому +4

    Asanteni wanajeshi wetu ila tunaomba mkue mnazitumia Sana nafasi zinazotengenezwa siku hizi nafasi 8 magoli mawili 2 kweli 😢 🙏 Paccome punguza chenga mingi toa pass watu wapasie nyavu😢

  • @RizikiJulian
    @RizikiJulian 3 години тому +5

    Yanga bingwa

  • @PauloBeatus
    @PauloBeatus 2 години тому +2

    Hakuna level yetu hapa bongo🎉

  • @StevenPhilipo19998
    @StevenPhilipo19998 2 години тому +1

    Yanga tamu yanga Tanzania bisha tena

  • @sabinasabinam-e1z
    @sabinasabinam-e1z 2 години тому +25

    Kama unaamini yangabingwa hakuna wakumzuia tujuane kwa like

    • @WokovuWangu
      @WokovuWangu Годину тому

      Hakuna kujuana hapa simba bingwa

    • @youngyayoo2805
      @youngyayoo2805 59 хвилин тому

      😂😂😂😂😂​@@WokovuWangu

    • @youngyayoo2805
      @youngyayoo2805 59 хвилин тому

      ​@@WokovuWanguYanga hii moto sana

    • @WokovuWangu
      @WokovuWangu 52 хвилини тому

      @@youngyayoo2805 simba bingwa

  • @kelvinkumila4708
    @kelvinkumila4708 2 години тому +7

    BAADAE UTASIKIA"WEE SIDE UKO NJE YA 18 ,WE KIMWAGA TULIA HUU NAUDAKA TU HAINA SHIDA"😂😂

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 31 хвилина тому +1

    Nani kawa Man of the Match? Maana pacome alikuwa Moto leo

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 53 хвилини тому +1

    Ukiskia umepangwa na yanga bora msusie mechi

  • @GoodrichEmmanuel
    @GoodrichEmmanuel 2 години тому +5

    Huyo mzize nibala Sana anajua mpira😂😀😀

  • @daudyunus1232
    @daudyunus1232 3 години тому +2

    Wakwanza kuangalia leo second ya 50

  • @Kasika-hi6hf
    @Kasika-hi6hf 2 години тому +7

    Huyu mtangazaji ni mzuri, ila acha mbwembwe za kizamani mara kujifanya unachanganya kiarabu, ENZI LUGHA YETU YA KISWAHILI

  • @dizodi_vituko
    @dizodi_vituko 14 хвилин тому

    chama so mzee bhn

  • @SanogoAbdul-m6i
    @SanogoAbdul-m6i 37 хвилин тому

    Tuombe kibari Cha kucheza ligi zilizoendelea hapa bongo hatun mpinzani

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Годину тому +2

    Na kamba anafungiwa kipa😂 ila wanajikuta kumuiga diarra afu inawacost maskini😂😂

  • @namdigumagwenge193
    @namdigumagwenge193 2 години тому

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @AlfaMwasofu
    @AlfaMwasofu 7 хвилин тому

    Pacome

  • @OmarSuleiman-o8o
    @OmarSuleiman-o8o 2 години тому +2

    Haw jamaa dakik za mwish wangetulia zil nafas walizopat wangerudish magoli

  • @mursallbilal6132
    @mursallbilal6132 2 години тому

    Kasika sio rahisi kwa watangazaji wa Tanzania kuchanganya na kiarabu ina leta raha kwa wasikilizaji ila kama kwako inakukera wengine tunainjoi

  • @RahmaKitundu
    @RahmaKitundu 3 години тому

    Jaman Ile barua ilio Tumwa ilisemaje

  • @skylider77
    @skylider77 3 години тому

    Ni unyamaaa

  • @hijakinina1793
    @hijakinina1793 2 години тому

    Mbona mchezo wa tarehe 19 viongozi wa yanga waliwapongeza wachezaji wenu

  • @harriethdeogratias9466
    @harriethdeogratias9466 Годину тому +1

    Sasa hv timu nyingi wakicheza na yanga wanakuwa na presha mpaka wanafanya makosa cwalaumu ni moto yanga wanaowapelekea

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 47 хвилин тому

    Kimataifa ndio jibu kamili lakini mpila watiz mchongo tutaona atakae wahi kuludi nyumbani 😂😂😂😂wale wabebwaji watajulikana

  • @SamThedon-n4g
    @SamThedon-n4g 3 години тому +2

    Hutaki utataka

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 Годину тому

    Makolo milango yenu yafaham ikoje uko 😂😂😂😂

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 3 години тому

    Wakati wazee wa makolo wanalia lia chama ana wanyoosha

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 2 години тому

    gamond umefanya sub gani ...😳👀 unamtoa job ..usirudie tena mchezo huo. Umeingiza wachezaji wasio kaba wanakimbia hovyo kina azizi..ebboh.

  • @AbdallahSalim-q1y
    @AbdallahSalim-q1y Годину тому

    Kichapo

  • @Chinga-k2k
    @Chinga-k2k 2 години тому

    Yanga nimabingwa

  • @GentleGiant-pj2rk
    @GentleGiant-pj2rk Годину тому

    Hizi tabia za kumuiga Diarra zitawagharimu wengi

  • @POWERMANGWANA
    @POWERMANGWANA Годину тому

    Bingwa wa kubebwa

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 3 години тому

    Umeme ♥️: hawa JKT wote ni wa-TZ, hivo mpira hawajui ila kwa domo, bla bla bla za kutosha. Hayo ndo matokeo yake.

  • @OmarSuleiman-o8o
    @OmarSuleiman-o8o 3 години тому

    Kil nikikumbuk et wanatak kombe l africa et kwa mpir huu

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 години тому

      Dah tumewaPdidy tena bhana kama akina Deborah

    • @gonelahassakwa6650
      @gonelahassakwa6650 2 години тому

      Tukienda Afrika tunakuwa wakali ligi ya hapa hatutumii nguvu 2 zinatosha sana na pointi tatu.

  • @RobyJoh
    @RobyJoh 3 години тому

    Ila mzinze😂

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 2 години тому

    Mukikutana na simba mnabebwa 😂😂

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Годину тому +1

    Wasenge sana mshazoea kubebwa mwisho wenu huu hapa hatimaye. Yaani muwe na kikosi kipana bado mnanunua game mnahonga marefa mpaka wazee wa ramli dadeki! Jkt 9 na hamjafanya k2. Sheria gani kipa adake nje kidogo ya uwanja asipewe adhabu ndogo eti anapewa red. Kama sheria za mpira msumeno basi Kayoko hana kazi naye saivi agekuwa Mahabusu Segerea. TFF mnazingua kinoma

    • @FatmaMiraji-od4rr
      @FatmaMiraji-od4rr Годину тому

      Simba 11 walikula chuma 5 😂😂😂😂 yanga bingwa kwa mara ya 4 halaf safari yenu ya kuhama ligi imeishia wapi

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 Годину тому

      @@FatmaMiraji-od4rr ilikuwa sasa mnaweza bila Kayoko na chenyewe cha kujifunga,manina. Mkiambiwa msishangilie kabla ya dakika 90 mnahisi mnaonewa. Huu mwezi hamuendi po pote niko paleee

    • @adamnguvu1020
      @adamnguvu1020 56 хвилин тому

      Sheria kipa akidaka nnje ya box naakiwa yy ndomtu wamwisho nikadinyekundu ww kma hujui sheria kaakimya mihemko haina faida

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 28 хвилин тому

      @@adamnguvu1020 kama refa wote wanajua sheria lile goal la juzi walitafsiri sheria gani,ikiwa mpira umetoka ukarudi ndani mchezaji wenu kacheza na sio kama alifunga na alishangilia kama kafunga. Hizo sheria zimetungwa kwaajili ya kuhalalisha makosa ya team pinzani za Yanga pekeyake sio?
      Zile faulu alizofanyiwa Kibu na Ateba je,Goal la Kibu kwann iwe ofside na la kenu lisiwe goal kick?