SIMBA SC 5-0 MBAO FC; VPL, FULL HIGHLIGHTS (26/02/2018)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Timu ya Mbao FC kutoka jijini Mwanza, imekutana na kipigo kizito cha mabao 5-0, kutoka wa Wekundu wa Msimabazi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam.
    Magoli yote a Simba katika mchezo wa leo, haya hapa, wafungaji wakiwa ni Shiza Kichuya dakika ya 38, Emmanuel Okwi mabao mawili, dakika ya 40 na 70, Nicholas Gyan dakika ya 86 na Erasto Nyoni dakika ya 82

КОМЕНТАРІ • 73