RIPOTI YA LEO ESSAU VOLUME 05

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @GODFREY-je9xq
    @GODFREY-je9xq Рік тому +3

    Shetani mtabishaji mkubwa sana,Ashidwe kwa jina la YESU

  • @IsabelMazik-r4t
    @IsabelMazik-r4t Рік тому +1

    Jamani, Uchawi upo, MUNGU wewe ndio mlinzi wetu maan uko juu ya vyote

  • @barakahenry2177
    @barakahenry2177 Рік тому +8

    Jamani fundi mitambo Moro bado hatuwapati tunalia na fundi mitambo etii daaah 😢

  • @alicengaiza3041
    @alicengaiza3041 Рік тому +1

    Ahsante Vero kwa simulizi nzuri

  • @elizamhina1105
    @elizamhina1105 Рік тому +3

    Huyo binti ni jini

  • @AzizaFirozi
    @AzizaFirozi Рік тому +2

    Woooh no 1

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 Рік тому +1

    Uwii jamaniii huyuu mtt kma kijinii

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Рік тому +1

    Esau huyo binti c mtoto mzuri achana nae kama mama yako alivyokwambia kwenye ndoto

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому

    Duuu aisee uchawi siopoa mapepo hayana mana hatakidogo yamelostisha watuwengi aisee

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Рік тому +4

    HASANTEE sana dada Veronica lkn jana usiku nilishindwa kuimalizia hii simulizi inatisha sana pia nilisema siiisikilizi tena inaogopesha Lkn inabidi niiendeleze Ili Nipsey kuyajua mengi

  • @happymaeda8091
    @happymaeda8091 Рік тому +1

    Mmm!! Esau kaa mbali na huyo bint jela yakuita tena

  • @JumaBiaga-ex8qe
    @JumaBiaga-ex8qe Рік тому

    weka sehem ya 9 Vero haipo

  • @madameg874
    @madameg874 Рік тому

    Da Vero, sie tunaosikiliza kwa you tube unatupunja ile sehemu ya mwisho , inakata , ikikata ndo bc tena.

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 9 місяців тому

    Nina imani huyu dada ni jini lengo laka ni Essau na si wengine ila mwenye kihere kihere ndo anapita nae😢

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 Рік тому +1

    Hata yule mtoto nadhan alimuuwa bila kujua kuna watu wakiku angalia tu jocho lake lakudhuru bila kujuwa yeye ndio tatizo

  • @isabelachuwa5229
    @isabelachuwa5229 Рік тому +2

    We going to lost her😢 again 😭😭 why don't u remember to pray u take things too easy jaman...akili y Esau haipo sawa the same situation mwalimu mwenzake ,she pass through ...its same to this sister 😢 but hawastuki ata kwa akili za kawaida....me am so huggrie😡 tunaenda kumpoteza huyu dada innocent soul😭 why so why jmn Essau.... muombeen Mungu basii aweke mkono wake😭😭😭😭😭💔

    • @restutapatrick4695
      @restutapatrick4695 Рік тому

      Comment tu kiswahili maana mmmh

    • @DorisShangwe
      @DorisShangwe Рік тому

      ​@@restutapatrick4695😂😂 bora umeona dah watu wa emotional sana hadi ..

  • @uwimanaantoinette6417
    @uwimanaantoinette6417 Рік тому +1

    Simulizi nzuri ila fupi fupi mpaka hasira yani 😂 juma tatu nako mbali duh 😩 ila huyo mwanafunzi mmm atawamaliza 😢

  • @ireneherman76
    @ireneherman76 Рік тому +1

    Uyu Esau sijui ni dawa kawa bongozoZo khaa kaboa

    • @allytv1714
      @allytv1714 Рік тому

      Uchawii huo dada usimlaumu huyo kijana huo ni uchawii siyo akili yake

    • @catherinehuruku9826
      @catherinehuruku9826 10 місяців тому

      @@allytv1714hapana bhana wanaume wazito sanaa. Fikra zenu zimelala

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Рік тому

    Naisubiri ya Jana j3 sijaipata

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому

    Daaah tutaogop kuwasaidia watu mahan

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Рік тому +1

    Daah jumatatu mbali jamani😢

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Рік тому

    Jmn tunaenda kumpoteza msamalia wa pili 😭.lkn mama yako alikuambia usimkalibie uyu binti.. lkn pia huruma yan sielewi tuuu

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 Рік тому

    Dada mwingine huyooo tena anaenda kufa jmn daaah

  • @yonayoh3736
    @yonayoh3736 Рік тому +1

    Daah Jumatatu mbali 😂

  • @mozasalim7725
    @mozasalim7725 Рік тому

    Hivi Jana ilikuwa juma pili mbona nimeona kimya mpaka nimeirudia seseh ya nne

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 Рік тому +3

    Inawezakua huyo mwanafunzi ndiye kasababisha kifo cha Mwalimu yaweza kua ako na mikosi huyo binti

  • @dppd4219
    @dppd4219 Рік тому +1

    Wema umempanza mama wawatu nimejifunza kitu

  • @joshuakinoka1175
    @joshuakinoka1175 Рік тому

    huyu binti jini atakuwa mhhh

  • @bumbomponjekah
    @bumbomponjekah Рік тому

    Nakukubali sn dad vero❤

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 Рік тому

    😢aisee naumia sn

  • @Zainaburamadhani-rk7en
    @Zainaburamadhani-rk7en Рік тому

    Simulizi nzuri ila inatisha

  • @magrethmanintveld5477
    @magrethmanintveld5477 Рік тому

    Nasubiri kwa hamu 6

  • @maryumamapunda8910
    @maryumamapunda8910 Рік тому +2

    Huyu bint asiwe jini jamani

    • @ftimaramadan4748
      @ftimaramadan4748 Рік тому +1

      Huyu binti na huyu kijana ni vivuli labda huyu kijana aliombwa kwa mgaga na yeye ndio yuwa uwa bila kujijua huyu kaka

    • @maryumamapunda8910
      @maryumamapunda8910 Рік тому

      @@ftimaramadan4748 duh mtihani

  • @AbediHanzuruni-wq5oi
    @AbediHanzuruni-wq5oi Рік тому

    Mutupe namba sisi wasikilizaji tutoe maoni yetu

  • @AshaHassani-et7mx
    @AshaHassani-et7mx Рік тому +1

    Yani tunateseka uko moro mtandao ukifika jion ndio unabuma

  • @bintimrope
    @bintimrope Рік тому +2

    Esau

  • @neemasamson314
    @neemasamson314 Рік тому +1

    Huyo mwanafunzi ndio kivuli kinachomfuata huyo kaka na atamaliza watu wengi

  • @NeemaKatoto-un6ic
    @NeemaKatoto-un6ic Рік тому

    Daah jamani

  • @AbediHanzuruni-wq5oi
    @AbediHanzuruni-wq5oi Рік тому

    Tuomba namba jamani

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 Рік тому

    J 3 daaa

  • @GloriousUrassa
    @GloriousUrassa Рік тому

    Da vero❤

  • @kissnarmgeni4845
    @kissnarmgeni4845 Рік тому

    😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @Alexanderlyimo
    @Alexanderlyimo Рік тому

    Tunasubiri ya 6

  • @rashidmsuya5721
    @rashidmsuya5721 Рік тому +1

    Sio jini uyo mtoto kwel?

    • @GODFREY-je9xq
      @GODFREY-je9xq Рік тому

      Usiogope tuwasaidie kwa tahadhali kubwa sana

    • @grorymsangi4651
      @grorymsangi4651 Рік тому

      Vero naomba no yako jamani Esau kakumbana na jini hiloo.

    • @happyyohana9881
      @happyyohana9881 Рік тому

      ​@@grorymsangi4651😂😂😂kabisa