MUONEKANO MPYA WA KISIWA CHA PEMBA WABAINISHWA HADHARANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Miaka minne ya Dk Hussein imeweza kuleta mwanga kisiwani Pemba mara baada ya kusimamia uongozi wake ipasavyo Raisi Dk Hussein Ali mwanyi Ambae ni Raisi wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi. na Hadi sasa maendeleo ya kisiwa Cha Pemba yanaongezeka Kwa kasi katika taasisi mbali mbali ikiwemo wizara ya elimu , wizara ya afya ,wizara ya maji , wizara ya mawasiliano n.k .
    Maendeleo hayo hayakufikiwa tuu Bali ni kutokana na uongozi wake Bora ambao amekua akiuwendeleza siku Hadi siku bila ya kujali dini kabila ,chama Wala rangi .
    Miongoni mwa wizara zilizoleta mabadiliko ni pamoja na wizara ya maji nishati na madini ambapo Kwa sasa visiwani Zanzibar kumekua kukijengwa matangi pamoja na kuchimbwa
    visima Kwa ajili ya kuwapatia wananchi huduma za maji .

КОМЕНТАРІ • 4

  • @JoelNyalulu-kz2lz
    @JoelNyalulu-kz2lz Місяць тому +2

    Congratulations 🙏

    • @JoelNyalulu-kz2lz
      @JoelNyalulu-kz2lz Місяць тому

      Beautifully Iceland I like to visit one day 🚣

  • @isaliisu3408
    @isaliisu3408 Місяць тому +1

    Mh hebu mara moja tamka kila mwenye haki apate amani itatawala

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 Місяць тому

      Kwani umezuuliwa kufanya kitu gani AU unataka kupewa bure kila kitu kina sheria yake