ABDULRAHMAN MTOTO WA MAREHEMU AMINA CHIFUPA AMETUELEZA MENGI ALIYOJIFUNZA - FIND MYSELF

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Huyu ni ABDULRAHMAN MPAKANJIA ambaye ni mtoto wa marehemu AMINA CHIFUPA ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Alpha.
    Abdulrahman amezungumza na @gel.tv kuhusu program ya "Find Myself" na ameeleza alichojifunza kupitia program hio..!! Na ameeleza pia ndoto yake ya kutamani kuwa mwanasiasa kama marehemu mama yake.
    @globaleducationlink WE SHOW YOU HOW💪
    KUPATA HUDUMA ZETU PIGA:
    Makao Makuu Dar es salaam
    0656 200 200 / 0677 600 100
    Arusha 0677 200 100
    Dodoma 0677 300 700
    Mbeya 0677 500 800
    Mwanza 0677 400 500
    Zanzibar 0772 158 158
    Pia unaweza kuapply chuo moja kwa moja katika tovuti yetu. 🚩 (link kwenye bio)
    www.gel.co.tz
    #YourCareerBeginsHere
    #StudyAbroad
    #SomaNjeYaNchi
    #2020
    #WeShowYouHow

КОМЕНТАРІ • 14