Baraka za Bwana Huja kwa wakati wake.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Haleluyaaaaa!!! YESU ni yeye yule Jana na leo hata milele.......
    Baraka za Bwana Huja kwa wakati wake ni wimbo ambao Mimi Joshua Kyando,nimekuletea kwa sababu zifuatazo.
    1.Mungu humbariki mtu kwa wakati wake.
    2.Baraka hutofautiana kila mtu na hitaji lake.
    3.Baraka inasubiriwa kwani huja pasipo kuwahi Wala kuchelewa.
    4.Tujifunze kutoka kwa walio pata Baraka kwa kusubiria mfano.Ibrahimu na Hanna.
    5.Baraka Ni jambo la kumwinua mtu.
    #audio by Asheri
    #video shot by Paul Mgaya
    #Singer is Joshua Kyando.
    ......full video is coming........

КОМЕНТАРІ • 10