JOSHUA KYANDO(Gospel video-official)Baraka za BWANA huja kwa wakati wake.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лют 2022
  • Baraka za Mungu huja kwa wakati wake.Ukisoma kwa umakini Biblia chini ya uwepo wa nguvu za Bwana,utagundua kuwa Mungu hubariki watu wake kwa majira na nyakati alizo kusudia Yeye
    Baraka za BWANA huja kwa wakati wake ni wimbo mahudusi kwa ajili yako mpendwa katika Yesu ili uwe na subira yenye saburi ukingoja Baraka.
    Baraka pia huja vema pale mtu amtegemeae Mungu anapokuwa ameshinda jaribu fulani alilowekewa na Mungu mwenyewe au Shetani.
    Soma habari za Ayubu ni mfano mojawapo.
    " kama wewe ni miongoni wa watu wanaoipenda injili ihubiriwe basi subscribe channel hii yamkini Mungu aweza kukugusa kusambaza wimbo huu mtandaoni"
    "AMEN".

КОМЕНТАРІ • 11