UNABII WA SIKU ZA MWISHO NA KURUDI KWA YESU|Rabbi Abshalom Longan| DRC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 69

  • @mercyadisa9030
    @mercyadisa9030 6 місяців тому +1

    Asante mtumishi kwa kuhubiri kuhusu siku ya mwisho.

  • @bwirabubuyakatukaongoDavid
    @bwirabubuyakatukaongoDavid 10 днів тому +1

    Asante sana mtumishi wa Mungu, kweli Sisi ni washindi katika Bwana wetu Yesu.

  • @FrankRashid-kh8fz
    @FrankRashid-kh8fz 11 днів тому +1

    Mungu apewe sifa kwa neno lake na kwa mtumishi wake mimi ni Titus nipo Burundi

  • @captainmwakio2505
    @captainmwakio2505 Місяць тому +1

    Amen.Kanisa la Bwana libarikiwe.Ewe MUNGU liinuwe viwango vingine.Limedharauliwa sana.Mungu ajidhihirishe mwenyewe duniani kwamba yuko,hajaacha watumishi wake.Amen.

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf 8 місяців тому +9

    Toka nianze kusali sijawai sikia mafundisho kama haya mazuri mtumishi BWANA YESU ubarikiwe sana

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 місяців тому +1

      Jeremia Neno la Mungu hilo

    • @MatesoLukas
      @MatesoLukas 21 день тому +1

      Ahsante yesu kwa kuifunua siri hii kwa mtumishi huyu hakika nimejifunza kitu ❤

  • @MariethaMwacha-cr8su
    @MariethaMwacha-cr8su 4 місяці тому +3

    Mtumishi wa Mungu hongera sana popote ulipo. Nimekusikiliza nika furahi sana mafundisho yako yamenijenga umenifundisha kuhusu hizi nyakati za hatari nimesikia kububujika sana Mungu akubariki. Naitwa Marietha naishi Arusha Ni mzaliwa wa kilimamjaro Mungu akubariki uje na huku kwetu

  • @godfreylickson
    @godfreylickson 2 місяці тому +1

    Kutoka morogoro wilaya mpya ya mlimba sehem moja inaitwa Mbingu kiukweli unaeleweka vizir Sana uishi upendevyo ukimpendeza MUNGU na sis barikiwa Sana

  • @LucyJ-Neri
    @LucyJ-Neri 19 днів тому

    Mungu akubariki mtumishi ni wakati wa kumkaribia Mungu sana

  • @MarioNashibanguileNalivave
    @MarioNashibanguileNalivave 6 днів тому

    Hongera sana ntumishi ubarikiwe sana tukuombeya kabisa

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 8 місяців тому +1

    Absalom Longani nakukumbuka sana
    Mara ya kwanza tulikutana mji wa Nzega Tanzania. Nilijifunza Neno la Mungu vizuri

  • @GadMat
    @GadMat 6 днів тому

    Utukufu kwa Mungu
    Barikiwa

  • @IbraElia
    @IbraElia 11 днів тому +1

    Huyu ndie mtumishi wa mungu mm ni msabato ila huyu nizaid anamafundisho ya mungu huyu nizaid ya mulokole huyu nimhubili wa wahubili mungu amlinde tunamuombiea nasa

  • @TinaKilumbalumba
    @TinaKilumbalumba 22 дні тому

    Nilijihuliza hilo swzli la nani mke wa kaini tangu zamani leo ni mepata jibu ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @loserianlaizer
    @loserianlaizer 22 дні тому

    Amina liko Arusha _Kisongo Ukiulizia TU kwake anajulikana

  • @AmaniChilimila
    @AmaniChilimila 8 місяців тому +1

    My role model natamani Sana Mungu anipe karama Kama ya baba yetu longani MWENYEZI MUNGU akubarik Sana

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 8 місяців тому

      Sikiliza Wewe umeletwa duniani kutimiza kusudi la Mungu
      Sasa kipawa ulicho pewa na huduma uliyo pewa tumikia hiyo mtumishi utamuona Bwana

  • @desderiakinalilo-xe7vw
    @desderiakinalilo-xe7vw 8 місяців тому +5

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa unatufundisha vyema

    • @captainmwakio2505
      @captainmwakio2505 Місяць тому

      Mimi mwenyewe nilisoma kwa bidii,nikapita mitihani za Walimu.Lakini ya MUNGU nilianguka sana.Uvimbe kwa akili,nilisahau masomo yote.Kwenye chumba cha wangonjwa maututi,nilipofungua macho,sauti ilinijia kwamba mgomee shetani.Kuanzia siko hiyo namkemea asinitawale.Sasa nakaza Yesu anitawale,sio ya dunia hii inayo pita.Halleluyaaaa!

    • @SamweliFundimtega
      @SamweliFundimtega 6 днів тому

      Hakika huyu mtumishi atukumbusha yaliyonewa na manabii, mwenye sikio asikie roho anena na kanisa,,,,Ameen

    • @SamweliFundimtega
      @SamweliFundimtega 6 днів тому

      Wakati umeeiisha wapendwa kufumba na kufumbia Yesu anakuja hakika.

  • @AlmachiusInnocentAlmachiusInno
    @AlmachiusInnocentAlmachiusInno Місяць тому

    Mungu akubaliki kwa kutuweka tayari kwa ajili ya unyakuo

  • @johnnguttu9516
    @johnnguttu9516 8 місяців тому

    Kushinda ni lazima. Ninalo jina lake Kristo YESU ndani yangu

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 22 дні тому

    Amen Amen

  • @AnyelwisyeKalesi
    @AnyelwisyeKalesi 3 місяці тому

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU .

  • @jacobmahona187
    @jacobmahona187 8 місяців тому

    Nakufuatilia Sana kutoka kakola kahama Mungu akubariki sana

  • @NovatiKisaka
    @NovatiKisaka 15 днів тому

    Amen

  • @livebeyond8213
    @livebeyond8213 8 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana baba kwa ujumbe mzuri...

  • @ferixsikota3898
    @ferixsikota3898 8 місяців тому

    Thank you so much for beautiful message me from Zambia Amen in Jesus name

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf 8 місяців тому +1

    Mungu atukumbuke

  • @C7Simulizi
    @C7Simulizi 8 місяців тому +2

    Amina

  • @RobertpixmasterPixmaster
    @RobertpixmasterPixmaster 4 місяці тому

    Mtumishi mungu alutie nguvu

  • @eliyamakanika7282
    @eliyamakanika7282 8 місяців тому +1

    Amen amen❤❤

  • @desmonflever6184
    @desmonflever6184 8 місяців тому +2

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu

  • @OscarBahora
    @OscarBahora 4 місяці тому

    Nakupenda sana myumishi wa Mungu

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 5 місяців тому

    BWANA YESU akubariki sana

  • @florencekanyere3284
    @florencekanyere3284 8 місяців тому

    Aksante sana mwalimu wangu

  • @Pendo-r6k
    @Pendo-r6k 8 місяців тому

    Arusha sehem Gani mtumishi wa Mungu

  • @zenataashura792
    @zenataashura792 8 місяців тому

    Shalom mimi sijaelewa kuusu Christmas tafathali nipe maandiko na ufafanuzi

  • @enockNkanda-ji2dk
    @enockNkanda-ji2dk 8 місяців тому

    Barikiwa sana

  • @bienfaitbakole6800
    @bienfaitbakole6800 7 місяців тому

    Sifa kwa Mungu ❤

  • @edwardmadale8604
    @edwardmadale8604 3 місяці тому

    God bless you

  • @mosesmedu8962
    @mosesmedu8962 8 місяців тому

    Nakupata vizuri papaa

  • @Vero-z6w
    @Vero-z6w 8 місяців тому +1

    Amen, Amen, ubarikiwe sana baba

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 8 місяців тому

    Amina baba

  • @ferixsikota3898
    @ferixsikota3898 8 місяців тому

    Amen in Jesus name

  • @CharlesMaghembe
    @CharlesMaghembe 5 місяців тому +1

    Nashukuru Mungu kuweza kukupata. Ni mara yangu ya kwanza.

  • @IdahNambelasiwala-qs3su
    @IdahNambelasiwala-qs3su 8 місяців тому

    Amen 🙏🙏

  • @MargaretMwangende-rg8xr
    @MargaretMwangende-rg8xr 8 місяців тому

    I love Israel

  • @landelinusbyabato2512
    @landelinusbyabato2512 4 місяці тому

    Hapo kwenye kaanani umedanganya, tena umedanganya kabisa kweli kweli.

  • @RenardShelembi
    @RenardShelembi 22 дні тому

    Baba iseme kweli kwan watu kwa sasa hawaitaki kweli wanapenda kundaganywa pokea magari pokea majumba, sema kweli tupone watakao kataa waende vizur jehanam bila lawama et hatukusikia

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 8 місяців тому +1

    Kanisa liko wapi hili?

  • @Jackline-ki7zl
    @Jackline-ki7zl 8 місяців тому

    Hii ndio Siri ilifichwa .lakini mungu wetu si wa siri. Kila kitu Sasa kipo wazi.ashukuriwe mungu WA mbinguni

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 10 днів тому

    Ni mafundisho nadra na muhimu sana kwa sasa kwani hakika YESU yupo karibu sana sana kurudi. Nachelea kusema madhehebu mengi hawafundishi vyema au hawafundishi kabisa.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 8 місяців тому

    Jamani msiwe mnakatiza mahubiri

  • @RobertpixmasterPixmaster
    @RobertpixmasterPixmaster 4 місяці тому

    Nataman mno kuupata wokovu

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 26 днів тому

    Kanisa la uyu mchungaji liko wapi jaman

  • @johnmwanikikamau1338
    @johnmwanikikamau1338 5 місяців тому

    Makumi..natisa...he mean..19..or

  • @FranciscoOresteBernabé
    @FranciscoOresteBernabé 3 місяці тому +1

    apo umesema wongo crismas ni sikuku za upagani nafsiri ya wongo na baba wawongo ni shetani atali nipo moçambiqwe

  • @getrudematee9899
    @getrudematee9899 3 місяці тому

    Mafundisho yako yanatujengea ujasiri na kuondoa hofu

  • @AdorophinapKahwa
    @AdorophinapKahwa 3 місяці тому

    Uongo Israeli ya kimwili ilishapita. Agano lao limepita Sasa hivi ni Agano la kuja kwake Yesu mara ya pili. Israeli ya Kiroho. Wagalatia 3:7 " Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Ibrahimu.

    • @RenardShelembi
      @RenardShelembi 22 дні тому

      OK kwani we unasoma biblia ambayo imetimiza agano la Israel limepita, walumi tunaiweka wapi Paulo anaposema kama kwa kosa Lao tulipata wokovu je wao si zaidi?

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 8 місяців тому

    Mchungaji unatumia kiswahili gan makumbili na Tisa ndo nn

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 5 місяців тому

    Unabi wako umetimia. Mwezi wa nne Irane imeshambulia Israel 🇮🇷

  • @EuniceShane
    @EuniceShane 26 днів тому

    Amen amen

  • @alengaelombelo2757
    @alengaelombelo2757 8 місяців тому

    Amen