USHUPAVU WA VIJANA, MAONYESHO KWATA YA SINGE, JKT MAKUTUPORA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 23

  • @giriadbirusha7006
    @giriadbirusha7006 Рік тому +1

    Serengeti mlitisha sana 🤗🤗🤗

  • @msafirially7849
    @msafirially7849 28 днів тому

    Jeshi liko vizuri zaidi

  • @giriadbirusha7006
    @giriadbirusha7006 3 роки тому +3

    Wanangu wa Makutuuuuuuu ..Ni zaidi ya moto ! Nzuri hii

  • @KennedyCharles-r7y
    @KennedyCharles-r7y Рік тому +1

    Kikosi changu cha demo 834kj op.40 ndni ya danger coy

  • @big4l999
    @big4l999 Рік тому

    From 832 kj danger coy

  • @BaliremwaNovati
    @BaliremwaNovati 5 місяців тому

    Oljoro JKT had the best parade ever... Operation Tija, Ego Coy, under Sir Major, SANDALI

  • @frankiemauzo3693
    @frankiemauzo3693 3 роки тому +1

    Kiongoz anamolali sana mpaka raha😄😄😄

  • @talaamaher8932
    @talaamaher8932 2 роки тому

    Mzr sana vijna wa jkt ila nilikuwa naomb muje na jku mutufundish

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 3 роки тому +1

    VIVA TANZANIA 💚♥️🇹🇿🇹🇿💪♥️🇹🇿

  • @ramsikhamis7083
    @ramsikhamis7083 3 роки тому +1

    Kiongozii ana amasisha saanaa utimamu wa vitendo mpaka rahaa,,,mananga awakwepekii wadau Jeshiii liko ivyoo😅😅

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 3 роки тому +1

    Safii kweli daah

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 2 роки тому

    WOw 🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 3 роки тому +1

    Bangi mbichi inahitajikahapo

  • @stn4873
    @stn4873 3 роки тому +2

    Kuna linanga Brigedia lipo kati pale singe limeshindwa kuchomoa, wenzie wake mguu pande lenyewe mguu sawa.

    • @OusWildChannel
      @OusWildChannel 2 роки тому

      Kuna mteru, Afu inategemea na silaha uliyopewa, hzo ni factors lazima uzi consider, si kwamba ni nanga

  • @baisaomarion9199
    @baisaomarion9199 3 роки тому +1

    Mananga wengi 😂😂😂😂

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 3 роки тому +1

    Kama ndio hivi tutamalizwa.jamaa afungua singe kwa dakika 6

  • @angeldaudi1328
    @angeldaudi1328 2 роки тому

    Mh wapo tofauti na polisi lakn wamejaribu

  • @theosaimon6933
    @theosaimon6933 3 роки тому

    Bado wazito sana ? Inabidi wanyakue mwendo wa up!up!up!up!

  • @talibmuhsin5221
    @talibmuhsin5221 2 роки тому

    Wazitoo

  • @afrorelaxingmusic
    @afrorelaxingmusic 2 роки тому +1

    Wazito kurutu wazitooo by captain katavooo