Utaweza watu wasijitambua na hawajui haki zao manyumbu ni wengi ndio maana uonevu hauishi.Fikiria akili zetu ujue wamekosa cha kuigiza mpaka waigize kutisha wanaowalipa kodi ati wakisogea watawapiga risasi. Kwenye nchi zilizoendelea huwezi kuona wakifanya maigizo ya kutisha na kuonea raia
Hili igizo na kauli na risasi ni Slave mental aibu kubwa kwa nchi Kwani wameshindwa kuigiza vingine? Na kama mafunzo ni haya basi kumbe wanafundishwa kuwa adui wa raia yaani ndio maana wanaua raia aibu tupu kwa nchi inayojigamba ya amani ati
Kiukweli hii demonstration haiko Sahihi..katika matumiz ya nguvu yaaliyoainishwa kwa mujibu wa sheria...the use of fire arms and use offorce continuum Unaanzaje kutumia siraha ya Moto kwa mtu ambae Hana siraha...na kwanini utumie siraha, wakati kuna leval of force hadi kufikia leval yakutumia silaha ya Moto Kwata ipo Vizur nguvu ipo Safi
Kazi mzuri vijana jkt Mungu awazidishie
Nzuri hiyoooo Aksariiiiiiiii!!!
Hivi jeshi la jkt linatuhusiwa kuingilia kazi za police kwa mfano kutawanya mandamano
Utaweza watu wasijitambua na hawajui haki zao manyumbu ni wengi ndio maana uonevu hauishi.Fikiria akili zetu ujue wamekosa cha kuigiza mpaka waigize kutisha wanaowalipa kodi ati wakisogea watawapiga risasi. Kwenye nchi zilizoendelea huwezi kuona wakifanya maigizo ya kutisha na kuonea raia
Kwa hiyo nyinyi mnaandaliwa kuwapiga ndugu zenu sio kupambana na makoloni mambo leo
Kuna mdada kavaa suruali hapoo au nimemuona mm Tu😂😂
Hongereni sana
Waandamanaji hawana bunduki lkn jeshi linataka kuwatawanya na bundiki Je ni sawa
Hili igizo na kauli na risasi ni Slave mental aibu kubwa kwa nchi
Kwani wameshindwa kuigiza vingine? Na kama mafunzo ni haya basi kumbe wanafundishwa kuwa adui wa raia yaani ndio maana wanaua raia aibu tupu kwa nchi inayojigamba ya amani ati
Muko vzr jkt mungu awabariki
Kwa maonyesho hayo mnaonyeshwa kilichopo sio majeshi yenu bali ni majeshi ya watawala
Manshaallah Kaz nzur
Kiukweli hii demonstration haiko Sahihi..katika matumiz ya nguvu yaaliyoainishwa kwa mujibu wa sheria...the use of fire arms and use offorce continuum
Unaanzaje kutumia siraha ya Moto kwa mtu ambae Hana siraha...na kwanini utumie siraha, wakati kuna leval of force hadi kufikia leval yakutumia silaha ya Moto
Kwata ipo Vizur nguvu ipo Safi
Nzuri sana wadogo zangu!
Kwata nzuri ila hua hairuhusiwi kuua waandamanaji ambao hawana silaha
Safi sana
Nzuriiiiii P
Aaa wapi huwezi kutuliza ghasia kizembezembe hivi mtakula mawe ya kichwa mpaka mfe na kuwa maiti wa serikali
Iyo ni show tu ww na kuonesh aina ya difenc inakuaj
@@talibmuhsin5221 Mbaya sana ni utumwa wa mweusi kwa mweusi
Mi8
Elimu ya juu mmewasahau kbsaa
8
Safi sana