Mama Aisha (Mke Wa Nabia) - Qadiria (Original Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 11 місяців тому +1

    Mashaallah. Inatukumbusha zamani sana ilipokuw Qadiria inasoma Qaswida za visa vya tarehe vilikuw vinawagusa watu katka huu umma. Mungu awazidishie heri kina She: salum rashid na wanafunz wote wa Qadiria Mungu awabarki murudi katka asili yenu ya zamani ya Qaswida kam hizi za upole sio zile za maharusi watu wanazopiga ngoma. Allah Awabarik

  • @Patima-hv7ju
    @Patima-hv7ju 6 місяців тому

    Mashallah mupovizur naomba murejee kaswida Kama zile za zamani inshallah.

  • @FadhilaSaid-vg6in
    @FadhilaSaid-vg6in 6 місяців тому

    Maashallah❤❤❤ .dhana ni miongoni mwa dhambi Saba zenye kuangamiza.

  • @FadhilaSaid-vg6in
    @FadhilaSaid-vg6in 6 місяців тому

    ❤❤❤ maashallah,dhana ni miongoni mwa dhambi Saba zenye kuangamiza

  • @mwajumaathumani-f4q
    @mwajumaathumani-f4q 6 місяців тому

    Mashaallah hiii ndo kadiria ya zamani so sasa munaimba kama taarabu munaiharibu asili yenu

  • @hajiomar7026
    @hajiomar7026 Рік тому +1

    Nmeitafuta hiii hatar finaly nmeipata alhamdulillah

  • @MahmoudRajab-ip3mw
    @MahmoudRajab-ip3mw Рік тому

    Yeah huyu jmaaa fundi sanaa ....salum bn rashid😍

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 11 місяців тому +1

    Hii ndio Qadiria tunayoijua sisi ilikuw hatari sana ndani ya Tanzania mpak nje ya nchi. Jitahid murudi katka asili yenu ya zamani ya Qaswida zenje sampuli kama hizi za salum rashid anasom kwa upole na wengine wanaitikia. Mukifanya hivo Qadiria itakuwa na NGuvu kubwa kama hapo zamani na kutikisha katka maulid ya maisara na nje ya nchi

  • @IbrahimhamadKhatib
    @IbrahimhamadKhatib 4 місяці тому

    Inanikumbusha mbali sn yani

  • @rasterwangu9708
    @rasterwangu9708 Рік тому

    Masha Allah ujumbe umefika

  • @ZaiduZaidu-f1j
    @ZaiduZaidu-f1j 8 місяців тому

    Qasida ya zamani lkn bd inaishi

  • @hamadkhamishamad9369
    @hamadkhamishamad9369 2 роки тому

    Mashalah kaswaida mzur

  • @zaydulkhayri
    @zaydulkhayri 10 місяців тому

    saut mashair kil kitu kipo sw

  • @KhamisIman
    @KhamisIman 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @FadhilaSaid-vg6in
    @FadhilaSaid-vg6in 6 місяців тому

    ❤❤❤ maashallah,dhana ni miongoni mwa dhambi Saba zenye kuangamiza