MSAMAHA_ Ust Juma & Ust Fakky (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k 3 місяці тому

    Nyote wawili mnajuwa sana hicho ni kipaji alicho wapa Mwenyezi Mungu

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 роки тому +2

    Naona siku izi mkojuuu mafundisho katika nyimbo mashaallah nyimbo mzuri

  • @alyjumafaki2997
    @alyjumafaki2997 4 роки тому +4

    Masha Allah maalm juma na fakihi mbarouk ujumbe umefika pia tuwape pongezii kwa qaswda mzr kwa kwelii mko vzr pia hongera kwakee maalim Aly Ahmad geduuu

    • @omarymcha7943
      @omarymcha7943 4 роки тому

      Juma faki nakukubal na mwezako faki

  • @qaswidataalim.3191
    @qaswidataalim.3191 4 роки тому +3

    Dah mashaallah kiongoz hiikazi yaaina yake kiukweli imenitoa machozi kweli umoja ninguvu sana allah awaweke mahodari wetu awaepushe na mabalaa yote amin

  • @faridhassan7641
    @faridhassan7641 4 роки тому

    Dah kama kaswida ingekuwa na pesa kama bongo fleva ni noma sana tujitume kufanya kazi mnajua sana dung zang mashallah

  • @mustafasalum2778
    @mustafasalum2778 4 роки тому +1

    Mafundii wawili katikaa jahazi moja kazi iko vyema ust Fakkih mborouk pamja na Juma bin fakkih

  • @bubaboy25
    @bubaboy25 4 роки тому

    Hongeren uongoz wote wa aqaz
    pongezen faki m'barouk na juma faki

  • @jumafaki1697
    @jumafaki1697 4 роки тому +19

    Mzee chilo kwa Mara yakwanza namuona kwenye kasida

    • @alyjumafaki2997
      @alyjumafaki2997 4 роки тому +3

      Hata mm pia namuona
      ila maalim juma umepanda ktk qaswda hiii hujaumwa na kufua lkn

    • @suleymtumwa6374
      @suleymtumwa6374 4 роки тому

      Pongezi kwenu aqaz kwa kumleta katika video hii

    • @nasrihamad1849
      @nasrihamad1849 4 роки тому

      Hongeren Sana aqaz kwa qaswida nzur ilokua haimalz hamu kwakweli mashaallaah mtabaki kuwa juu sku zote

    • @nasrihamad1849
      @nasrihamad1849 4 роки тому

      Hata mm pia namuona mzee chilo kwa mara ya Kwanza

    • @alonealvin4534
      @alonealvin4534 4 роки тому

      JUMA FAKIH 😀😁😂🤔🗣🤝👏

  • @official_Biiman
    @official_Biiman 4 роки тому +1

    Wasomaji want Bora Qasida Wa muda wote... Hongeren AQAZ

  • @sadamsellem173
    @sadamsellem173 4 роки тому

    Jmni qadiriy munanimaliz mm cjui ata nisem Nini dah mupo juuu I say juu San big up Kaz nxury yaan najikut natulia km moj nikiskiliz hii kasida 😘

  • @mudkhamis3078
    @mudkhamis3078 4 роки тому +7

    Hongereni sna maashallah, juma faki na fakk mbarouk, Aqaz mutabaki kuwa juu hakuna wakufananaishwa na nyinyi

  • @fessalhassan4673
    @fessalhassan4673 4 роки тому +1

    Hii kaz sio pwa mungu awalinde San hawa watu mashallah

  • @yussufmakame6396
    @yussufmakame6396 4 роки тому

    Qaswida nzuri sana hungera zenu juma na faki nikama mapacha

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k 3 місяці тому

    Kweli kabisa majivuno ni mabaya sana

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 роки тому +2

    Namuona mzee. Chillo baba huruma anapatanisha mashaallah... Nasema AQaz nifundi wamafundi kw Elimu mwatoa vyema hongeren Fakky Mbarouk na Juma fak wenu Asmu Sai from Aman zenjbar

  • @sadamsellem173
    @sadamsellem173 4 роки тому +3

    Km umeskiliz hii kasda zaid y Mara tano km mm gong like ili tuende sawaaaaaaaaaaa🤛💪💪💪💪

  • @fatumaally910
    @fatumaally910 3 роки тому

    Muko levu Sanaa mungu awape Kila la kheri

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 4 роки тому +2

    Mashaallah kaz nzur MAALIM JUMAA NA KIONGOZ FAKI

  • @franknobre3485
    @franknobre3485 Рік тому +1

    Splendid...❤️

  • @fahadsalum2774
    @fahadsalum2774 4 роки тому +2

    Qaswida mzuri na inavutia pongez kw aqaz

  • @thaniali3030
    @thaniali3030 3 роки тому

    Honger mzee chili kW kusaport vipaj w wasaniii Zanzibar

  • @konde_gang_familly.5107
    @konde_gang_familly.5107 4 роки тому +1

    Mashallamuko vizuri nawapenda

  • @drkhans6185
    @drkhans6185 4 роки тому +1

    Nakukubalini nyote .. Hasa fakky cz u my brother inlow pande za k.nato😄

  • @jumasaidy2441
    @jumasaidy2441 4 роки тому

    Allah Akbar Mzee chilo Allah akurudishe kwenye kheriii

  • @تاتا-ن6ن
    @تاتا-ن6ن 4 роки тому +1

    Maa sha Allah tumejifunza Allah awalipen kila la kheir

  • @maidaomar1058
    @maidaomar1058 2 роки тому

    Nawapenda hatarii mnajuwaaa

  • @khamishamad5741
    @khamishamad5741 4 роки тому

    Juma Fakih, anajua hadi anakera

  • @ashaothman5919
    @ashaothman5919 4 роки тому

    Aqaz mupo vzr tunawahitaji tena mwakan muje connecting continents Pemba

  • @rashidally3814
    @rashidally3814 4 роки тому

    Munawez il hafidh yuk juu

  • @brother_asam7323
    @brother_asam7323 4 роки тому

    Hatar saanaa fakkih na juma fakkih mumeuuaa mashaallah...

  • @othmanal-nabhany9243
    @othmanal-nabhany9243 4 роки тому

    Qaswida nyngi sana ni za sherehe tu hakuna tena kumsimfu mtume kama zamani sasa tupo wapi au tunaelekea wapi? Tutafakari kidogo halaf turudi kama zamani Qadiria

  • @yussufamani3437
    @yussufamani3437 4 роки тому +7

    Ahsanteni Sana AQAZ nakubali uwepo wenu even Kazi zenu kwa namna munavoelimisha jamiii

  • @almashally8808
    @almashally8808 4 роки тому

    hawajamaaa peke yao wako vizuri masha Allah team aqaz...keep it up za ramadhan vp mwaka huu na corona

  • @sadialiy4410
    @sadialiy4410 3 роки тому

    mashallah ujumbe mzuur sana

  • @fareedsaeed4388
    @fareedsaeed4388 4 роки тому +1

    Mafundi wawili wa AQAZ mumechuana vizuri 💯

  • @khalidabdulla6545
    @khalidabdulla6545 3 роки тому

    Hainishi hamuuuuuuuuuuu😘

  • @abdallaamour8658
    @abdallaamour8658 4 роки тому +1

    Mashaallah Aqaz kaswida imetulia sana

  • @drkhans6185
    @drkhans6185 4 роки тому

    Ujumbe umefika vipenzi vyangu... Allah awabariq inshllh.. Kila hatua n duwa

  • @adam5ramadhan154
    @adam5ramadhan154 4 роки тому

    nimewakubali cna hongereni Masha Allah

  • @shuhaidaomar3347
    @shuhaidaomar3347 4 роки тому

    Swadaqta. Mola humswamehe mja wake kwa nn ss tuishi kwenye ungonvi

  • @saidmirajyudhary7590
    @saidmirajyudhary7590 4 роки тому +6

    Mashallah aqaz kileleni milele

  • @suleymtumwa6374
    @suleymtumwa6374 4 роки тому +10

    Hii ni colabo bora ya kufunguwa mwaka kwa hawa manguli wawili kutoka pale aqaz, kaz nzur viongoz

  • @maimunajuma1665
    @maimunajuma1665 4 роки тому

    Mashaallah jadhaukum Allah khair hakika mwaweza allah awahifadhi

  • @bintykigan6236
    @bintykigan6236 4 роки тому

    Mashaa Allah Aqaz much love from Mombasa Kenya your da best wallay

  • @alikhamis2013
    @alikhamis2013 4 роки тому +1

    sauti zenu zinafanana good

  • @abdulrahmanbakar5416
    @abdulrahmanbakar5416 4 роки тому +1

    MashaAllah ujumbe mzri sana @kalbayt😂

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 4 роки тому +1

    Mashaa allah . Hongereren sana Aqaz mpo vizur sana

  • @abdallahhamad1762
    @abdallahhamad1762 4 роки тому

    Ujumbe umefka
    Akhy juma & faki

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 4 роки тому

    Heshima kwenu Aqaz ujumbe murua pia

  • @jumasaidy2441
    @jumasaidy2441 4 роки тому

    Mashaaallah naitwa asmah nawapenda bure

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k 3 місяці тому

    Mashaallah mashaallah

  • @hamzaomar9731
    @hamzaomar9731 4 роки тому +1

    SHIKAMOONI AQAZ

  • @ochuochan4132
    @ochuochan4132 4 роки тому +3

    Fakky + juma + Gedu=AQAZ 🔥

  • @khamisjuma6718
    @khamisjuma6718 4 роки тому

    Kuna hatuwa

  • @zenasuleiman2674
    @zenasuleiman2674 3 роки тому

    Adi Raha

  • @mchamcha3431
    @mchamcha3431 4 роки тому

    Mzuri Sana Aqaz

  • @ashamakame1812
    @ashamakame1812 4 роки тому

    Mashaallah Allah akuze vipaji venu

  • @farhanmakboul1833
    @farhanmakboul1833 4 роки тому

    Safi ssaana kazi nzuur

  • @hassanomar6797
    @hassanomar6797 4 роки тому

    Perfect combination in east Africa.. Keep it up

  • @zenasuleiman2674
    @zenasuleiman2674 3 роки тому

    Mpk mwisho nawaku al

  • @farhanmakboul1833
    @farhanmakboul1833 4 роки тому

    Sawa bhan

  • @mussamussashamis849
    @mussamussashamis849 4 роки тому

    Mapaka sasa aqaz hanampizan

  • @khadijamohd1031
    @khadijamohd1031 4 роки тому

    Masha Allah ujumbe umefika

  • @Dastomusic
    @Dastomusic 4 роки тому +2

    Mashaallah all Qaswed kutok AQAZ

  • @mahershadhil2493
    @mahershadhil2493 4 роки тому +5

    Dah aqaz hua mnaoteshwa kwa utunzi wa qaswida tamu kam hizi? Dah big sana ÂQÂZ

  • @rahmajuma1696
    @rahmajuma1696 4 роки тому

    Mmmm! Aaaaaaah! Mabrouk maashaallah

  • @khamisjuma6718
    @khamisjuma6718 4 роки тому

    Kunahatua

  • @MuhammedFoum-kr5kc
    @MuhammedFoum-kr5kc 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @fahadsalum2774
    @fahadsalum2774 4 роки тому +1

    Aqaz kutok aman zanzibar nawakbal san

  • @konde_gang_familly.5107
    @konde_gang_familly.5107 4 роки тому

    Muko poa kasida nzur

  • @Dolphinacrobaticnungwi
    @Dolphinacrobaticnungwi 4 роки тому

    Hongeren San

  • @maryammasoud7507
    @maryammasoud7507 4 роки тому

    Masallaha 😘

  • @sultannassor9756
    @sultannassor9756 4 роки тому +3

    shekh hafidh wakowapi

    • @suleymtumwa6374
      @suleymtumwa6374 4 роки тому +1

      Hizi anga hawaziwezi sio size yao kabisa

    • @alimwarabu1151
      @alimwarabu1151 4 роки тому

      Mashalla tukisameheana ss na Allah piaanatusamehe kakosayetu tuwache mtafaruki wakibin adam munguatulinde nakizazichetu ishaallah

    • @mudkhamis3078
      @mudkhamis3078 4 роки тому +1

      Sultan Nassor hii pacha ya Juma faki na Faki mbarok weka mbali na wasomaji sote wa qaswida tz, hii pacha ya ajabu haijawahi tokea, juma faki koromeo la ajabu, kiongozi faki ubongo wa ajabu hawakamatiki

  • @selekhamis7800
    @selekhamis7800 4 роки тому

    Mashaallah shekh faki

  • @faridasaid4000
    @faridasaid4000 4 роки тому

    Golden voice mashaa Allah

  • @Shasha12345-Xu
    @Shasha12345-Xu 4 роки тому

    Ma sha Allah good work

  • @saidiyahya6460
    @saidiyahya6460 2 роки тому

    Saluti AQAZ

  • @mussamussashamis849
    @mussamussashamis849 4 роки тому

    Fakky juma juuu

  • @hassanabdalah1998
    @hassanabdalah1998 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @hashulimakame9299
    @hashulimakame9299 4 роки тому

    Mungu awape nini alicho wabakishia?

  • @rukiaaa3719
    @rukiaaa3719 4 роки тому

    Mashallah tabaraak Allah 👌👍❤❤❤❤

  • @nahedstationery3851
    @nahedstationery3851 4 роки тому

    Mashallah

  • @sarakuchanda6047
    @sarakuchanda6047 4 роки тому

    Masha Allah shukran

  • @sultannassor9756
    @sultannassor9756 4 роки тому +1

    vedio imetoka poa

  • @talhianassor4335
    @talhianassor4335 4 роки тому

    mashallah

  • @adam5ramadhan154
    @adam5ramadhan154 4 роки тому

    ust Juma faki

  • @halimamiraji1129
    @halimamiraji1129 3 роки тому

    Sa

  • @SheikhIssaAbnau
    @SheikhIssaAbnau 4 роки тому

    Kama ni mpenzi Wa kasida fatilia hii link ua-cam.com/video/GWKZaF-C8jY/v-deo.html

  • @allyissa2165
    @allyissa2165 4 роки тому

    Fakky aumwa na macho siku hizi

    • @masoudrashid7165
      @masoudrashid7165 4 роки тому

      Amuone ustadh yahya Ali wa shamsia atamtibu tu

    • @muryd6999
      @muryd6999 4 роки тому

      Fasion tu hiyo

    • @jumamjuma124
      @jumamjuma124 4 роки тому

      Mashaallah mafundi Hawa golden voices

  • @rahmajuma1696
    @rahmajuma1696 4 роки тому +1

    Mmmm! Aaaaaaah! Mabrouk maashaallah

  • @talhianassor4335
    @talhianassor4335 4 роки тому +1

    mashallah

  • @mussamussashamis849
    @mussamussashamis849 4 роки тому

    Fakky juma juuu

  • @saidmwakulika706
    @saidmwakulika706 4 роки тому

    Mashaallah

  • @mamhassan8828
    @mamhassan8828 4 роки тому

    Mashaallah