Ummi maabadi-Ust,Salum Rashid ft Fakih mbarouk( 2005)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @ceaserabdully8267
    @ceaserabdully8267 6 місяців тому +3

    duuuh sisi watoto wa 2000 tulikuwa tunaskia tu zinawekwa kwenye majumba muda huu zanzibar ilikuwa inatikisa sana qaswida nyingi zilikuwa ni kama visa fulani hivi kwahiyo ukitoka madrasa kusoma sira ya mtume ukiskia na hizi qaswida basi ni hatarii. Zingine tukawa tunazisoma kwenye maulid❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kama hiii tuliisoma kwa dufu ndogo bc ilikuwa vita

  • @NURUalihamad
    @NURUalihamad 7 днів тому

    apo ramadhan saa nane funga imekubana halaf kasida hz😊

  • @sawdasaid3220
    @sawdasaid3220 4 роки тому +5

    Maashaallah yani qasweda hii huishi hamu kila unapo isikia hongereni sana AQAZ hamna mpizani nyinyi ndio wenyewe Maashaallah

  • @hamadsuleimaan802
    @hamadsuleimaan802 4 роки тому +4

    Maalim juma turushie ile mama amina, mama Thuwaiba na mama Halima walimnyonyesha Nabiyaa, hii kitu ni motoooo

  • @khamisshehe8634
    @khamisshehe8634 4 роки тому +3

    صلوا على النبي نا محمد صلى الله عليه وآله وسلم hii QASWIDA na chozi la ngamia lazima nilie nazipenda sn

  • @aishambarouk4607
    @aishambarouk4607 6 місяців тому

    Fatahii apa bigap from Zanzibar good job

  • @fakijuma1782
    @fakijuma1782 4 роки тому +7

    "OLD IS GOLD"

  • @shusamaliy8656
    @shusamaliy8656 2 роки тому +3

    Qaswida hizi walipiga vizuri zote lakini baada ya hapa Qadiria wametoka sana .....Hakuna album itakayokuwa tamu tupu kama hii!

  • @abubakaralifoum7499
    @abubakaralifoum7499 4 роки тому +3

    Qaswaid ambayo imeni inspire ebu mzgo wa mama halima tupostie

  • @binahmed9047
    @binahmed9047 4 роки тому +3

    Duhhh yaan natamani kulia haswa

  • @naimasaid8393
    @naimasaid8393 4 роки тому +3

    Enzi izoo zikipigwa izoo ukinipokonya redio kiliooo wallah

  • @zaitunimohamed2948
    @zaitunimohamed2948 4 роки тому +3

    Mashallah nahisi kutokwa machoz wallah allah awakinge na hasad za waja wake inshallah napate hiz qaswida jomon.

  • @saidhamad2268
    @saidhamad2268 7 місяців тому +1

    NILIKUWA MDOGO SANA SANA SANA TENA SANA NA LEO NAISIKILIZA KWA HISIA

  • @alikombohassan3961
    @alikombohassan3961 4 роки тому +3

    hii kasida inanikumbusha mbalii sanaa .. Allah azidi kuiweka Aqaz

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 Рік тому

    Nakumbuka mwaka 2003 albamu zipo
    1.Muhajirini
    2.Mama amina
    3.Alishitaki ghazal
    3.miujiza ya tumwa nabia
    5.Uyo ni Gamia alia majozi
    Mwaka 2005
    1.Nuru fauka nuru
    2.Kamba ya Allah
    3.tutashakimana nae mtume hashima
    3.Miangaza tumeiona
    5.Peke yake chumwa❣️❣️🙏

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  Рік тому +1

      Mashallah wewe kweli unazikumbuka Ahsante Sana

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally Місяць тому

      ​@@jumafaki1697sema qadiria pamoja na kasida zenu nzr mlikua mnatuogopa sanaa muntahalkalami ukija kupiga bila mnanda nakumbuka maisara mlibadili kasida kuanzia rihesal mpk maisara jumla mlisoma kasida 3 hivi ila wee ulikua kadogo upo mstari wa mbele mkisoma khataminabiyyina

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 роки тому +2

    Wallah nakosa hataneno nabak machoz yananitririkatu maana zwez kuyaelezeya nmeng sana ilatu nseme alhamdulilah shukuran njeme zwashukiye huko muliko

  • @tayt4086
    @tayt4086 4 роки тому +6

    Hizi ndo kasida ambazo kila moja akizisikia hujikumbuka wapi alipotoka na wapi yupo
    Thanks qadiria tumetoka mbali sana alahmdulilah

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 4 роки тому +2

    MashAllah hapo faki alikua na sauti ya mtoto naomba kasiwda ya ghazali yasaiz

  • @jumahamad4419
    @jumahamad4419 4 роки тому +3

    Mashallah nakumbuka nilinunua kaset kipindi hicho na redio ya betri... Mashallah

  • @alyjumafaki2997
    @alyjumafaki2997 4 роки тому +1

    MASHA ALLAH FAKI MBAROUK KUMBE ALIKUWA ANATISHA NA WALA HASHIKIKI
    MALIM JUMA KIPNDI HIKO WW ULIKUWA WAPI

  • @abdulrazzaqkhatibu2130
    @abdulrazzaqkhatibu2130 4 роки тому +1

    shehe turushie ile ya maafa ya mv spc.......... amina ya rabbi aminaa

  • @manjutinoh5572
    @manjutinoh5572 4 роки тому +4

    Qaswida zote from AQAZ ni nzur, maneno yamepangiliwa vizur.everything is #Perfect💯.

  • @HafidhAli-lc8vc
    @HafidhAli-lc8vc 11 місяців тому +1

    Mashaaalah

  • @naimahassan4858
    @naimahassan4858 4 роки тому +4

    mashallah

  • @shirahighqualityvideo8440
    @shirahighqualityvideo8440 4 роки тому +2

    Kiongozi naona unatoa vile vitu vyeny ladha tamu sanna long sanna mmmh mashallah

  • @atfahkhalphan
    @atfahkhalphan Рік тому

    Old is gold MashaAllah

  • @mohamwatete9639
    @mohamwatete9639 4 роки тому +2

    Masha’Allah...Wallahy huipenda sana Qaswaid hini Allah azidi kuwatilia Noor katika kazi yenu Insha’Allah 🤲 A.alaikum warahmatullah Ustadh Juma Fakih naomba hini Qaswida tafadhal +254748471513 WhatsApp

  • @ShahaMakame-ei2ri
    @ShahaMakame-ei2ri 3 місяці тому

    maashAllah maashAllah

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 роки тому +2

    Naskiya kuu hapo ustaz salumu ezhzo naish nyerere kwadanjuu

  • @Abdushakuurmuhammad
    @Abdushakuurmuhammad Рік тому

    Maashallah hivi vitu jamn ❤❤

  • @princehalawa_official7980
    @princehalawa_official7980 4 роки тому +4

    Mwalim Juma naomba nitumie hii Qaswida kama hivi ulivoweka video kwenye whatsap

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 4 роки тому +1

    Naam maalim juma wanikumbush mbali
    Hakik Qadiria mpk leo hain mpinzan

  • @nabillkhamis8188
    @nabillkhamis8188 Рік тому

    Mbona haipo mpaka mwisho ustadhi juma

  • @khamisshehe8634
    @khamisshehe8634 4 роки тому +2

    Ma Sha Allah Mungu awazidishie uwezo na kuweza kutupa burdani kama hizi Ustadh Salum yupo wapi atoe vitu vipya hizi ndo Qaswida صلوعلى النبي

  • @naimasaid8393
    @naimasaid8393 4 роки тому +2

    Jamani Raha iliojeee mashallah

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk 7 днів тому

    Nani anaeisikilza hii 2024

  • @hamdallahmedia1911
    @hamdallahmedia1911 2 роки тому

    Qaswida yangu pendwa pale madrasatul swalihi, Mzalendo Zanzibar

  • @ZamZam-k9l
    @ZamZam-k9l 3 місяці тому

    maashallah

  • @princehalawa_official7980
    @princehalawa_official7980 4 роки тому +1

    Jamani daah kweli watu wametoka mbali sanaa huyu anoitikia ni kiongozi Fakih daaaaah cjw anaiskia mwenyewe huko

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  4 роки тому

      Hahahaha anaiskia

    • @jumaomar5123
      @jumaomar5123 4 роки тому

      Kaswaida mzur sn maashallah

    • @khalfansaid9402
      @khalfansaid9402 4 роки тому

      Mwalimu juma fakky assalamu alaykum. Naomba namba yko ya simu au km hautajali naomba unichek whatsap tfdhl. 0657562815

  • @saidamohammed-kw3fg
    @saidamohammed-kw3fg Рік тому

    Mashaallah nakumbuka mbali sana

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 Рік тому

    Napenda qasiida zasauti yaivi

  • @ahmadiairteltl
    @ahmadiairteltl 8 місяців тому

    Mashallah ❤❤❤

  • @aliyomar5001
    @aliyomar5001 4 роки тому +1

    Mashallah..

  • @maulidhamad740
    @maulidhamad740 4 роки тому +1

    Ust Juma unanifanya nishinde UA-cam kila siku kusubir kazi yako uliyo upload Instagram

  • @shidogomohammad212
    @shidogomohammad212 Рік тому

    Hii kali sana pia

  • @shidogomohammad212
    @shidogomohammad212 Рік тому

    Masha Allah msikizeni na huyu ndugu yetu pia kafanya jambo❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹

  • @allysaharifsaidi7563
    @allysaharifsaidi7563 4 роки тому +1

    Daa sheikh juma mpk nusu ya kutowa machozi yani inakumbusha nilivyo kuwa mrasa

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  4 роки тому +1

      Kweli nimda tena me mwenyewe nikiskiliza naona kama maskhara

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 4 роки тому +1

    Mashallah

  • @jumashaali1268
    @jumashaali1268 4 роки тому +1

    Ustadh Juma nahitaji kasida za AQAZ je nitazipata vipi??

  • @muryd6999
    @muryd6999 4 роки тому +1

    Nilikua darasa la 4

  • @khadijaamjn7480
    @khadijaamjn7480 3 роки тому

    Vya kale ni dhahabu

  • @misigarondakeye2649
    @misigarondakeye2649 4 роки тому

    doh!! Jaman Kama Kuna uwezekano tuna omb umtume na za vidio maan niadimu saan tuna kumbuka mbali saan tupie. Albam zimaaa hum.ombi langu na tumain litafanyiwa kazi

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  4 роки тому +1

      Tutalifanyia kazi inshallah

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  4 роки тому

      Tutalifanyia kazi kwanza tunaweka Audio

  • @sabrialharthy7090
    @sabrialharthy7090 3 роки тому

    Mashaallah Qaddiria

  • @salmaomary6792
    @salmaomary6792 2 роки тому

    Baada ya miaka ming naiskia tena hii

  • @ramseyrmsy3366
    @ramseyrmsy3366 Рік тому

    Faq kitambo kwenye hizi kazi

  • @ditrickngonyani5933
    @ditrickngonyani5933 4 роки тому +1

    Kazi nzuri kaka

  • @sabrialharthy7090
    @sabrialharthy7090 3 роки тому

    Assalam Aleikum Ustaadh Jumaa!

  • @nabiilikhamisi7458
    @nabiilikhamisi7458 4 роки тому +1

    mbona haiko mpaka mwisho

    • @misigarondakeye2649
      @misigarondakeye2649 4 роки тому +1

      Nakumbuk mbali saan tuna omb mtume na za vidio kma inawezekanp

  • @arebdyjorginho8154
    @arebdyjorginho8154 4 роки тому

    Sasa kipindi hichi nyie wengine mulikuwa wp
    Kama wewe Rashid hamadi n wengine wanaotamba muda huu

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  4 роки тому

      Wote tulikuwepo toka kipindi hicho

    • @arebdyjorginho8154
      @arebdyjorginho8154 4 роки тому

      @@jumafaki1697 sawa

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 роки тому

      wanaotamba au wanaopiga makelele saa hz ?

    • @rehema8074
      @rehema8074 Рік тому

      Mm sipendi kasda ila hiz za zmn zilikua zikinitoa roho

  • @lusad9800
    @lusad9800 3 роки тому

    💕💟

  • @hamzadimpoz391
    @hamzadimpoz391 4 роки тому

    Kwaiyo anaetikia ni faki uyo??

  • @sabrialharthy7090
    @sabrialharthy7090 3 роки тому

    🇴🇲

  • @maumpemba1088
    @maumpemba1088 4 роки тому +1

    Bista

  • @zubeirzanzibar5231
    @zubeirzanzibar5231 Рік тому

    Raha tupu

  • @hajimasondo8881
    @hajimasondo8881 4 роки тому +1

    Fakky hatar

  • @Khamisomar-e5j
    @Khamisomar-e5j Рік тому

    mashallah

  • @nassorpengo3719
    @nassorpengo3719 4 роки тому +1

    Maashaallah

  • @arebdyjorginho8154
    @arebdyjorginho8154 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 3 роки тому

    Mashaallah