Askofu azikwa ndani ya Kanisa, Waziri Mwijage akumbuka Vita ya Kagera

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Leo September 1, Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Nestory Timanywa amezikwa ndani ya Kanisa la Cathedral Bukoba, ambapo Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akiiwakilisha Serikali ametaja mchango wa Askofu huyo katika Vita ya Kagera na Uganda.

КОМЕНТАРІ • 4