Geofrey Kitundu hata mimi aisee tena RIP bibi yangu kipenzi, lakini bado nampenda hata mama na nampa heshma yake ya kunileta duniani ingawa bibi kaifanya kazi kwa kweli. Love ❤️ kwa wanawake wote Duniani
This song made me in tears, being a single mom of three kids, two in high school and one in primary school without anyone's support yet the father is alive with two wives but doesn't care at all. Am a supper woman
Mimi ni super woman 💪💪 napambana na chupi za waarabu ili wanangu wasome shule nzuri na wapate chakula bora Asante mungu kwa kunipigania One day l going home 😍🇹🇿🇹🇿💪🙏
tukiacha na kale kautan jmn,this gel aliimba verse ya kwanza alievaa kitenge she got a voice..tena akiimba gosper music ,ata rock sana...hasa za kuabuduu
The girl is called Abby chams she is only 16 and very talented.... Allah akuongoze katika mafanikio ya kimuziki.....( Msiemjua katika hii nyimbo ndo anaitwa hvyo😊😊)
Waah I'm proud of myself to be a super Woman takin care of my 3 kids one in college one in form 2 an last in grade one.workin hard for my kids after I was dumped by my husband.
Ruby, na Rosa Ree wametisha kinoma noma. Plus nimependa na aliyeimba chorus, kaitendea haki. Halafu nimesikia sauti ya Mond kwenye back vocal ya chorus. All in all, wanawake mmetisha humu ndani. Ngoma kali, na ujumbe mzito umetufikia.
@@mnaialliy8621 na mm mwenyew nlikuwa najiuliza kigezo kipi , mana sijawai kusikia hata akisaidia mahali popote yeye ni super mother kwa wanae sio super woman wa kutajwa hana mfano wa kuigwa
CHRISS KIBA King chuki mbaya jamn tena queen ndo kaimba vizuri humo maana kaimba kiutofauti kuliko wote ila sio tatizo lako tatizo jina lako linakulazimu kutoa mapovu hahaha
I am 30yrs old, my dad passed away when I was 3yrs old we are now 6 in the family including my mum, i am the 3th out of her 5 children i want to say a big and huge congratulations 👏🥳🎉 to my mum for raising all of us up to this level I know the struggle she went through because my dad passed away living her with nothing, if you are here with the same background please take few seconds to say CONGRATULATIONS to your mum this women need to be CONGRATULATED
This song gave me strength when I was weak. Helped me through postpartum depression, I listened to it everyday more than 5 times a day. Made me feel alive and human. Now baby is 10 months I listened to it and remembered how it helped me through tough times. May God bless all super women.
Yeesss am super women from Ethiopia love all my African sisters ❤️❤️ 🤔 276 people dis like this song how??? Nipee like kama una kubalii all African women’s are sisters 🔥🔥🔥
I'm African American woman from Philadelphia and I absolutely love this song the women are so beautiful this will go on my music list of strong black women anthems. I don't understand the language but the message is loud and clear.....we are unstoppable when we tap into our power. 🥰❤❤ This is how my daughter sees me🥰🥰
That is the exact message .... its a Swahili song starts out a woman is a mother, your mother is the first teacher on earth after she carried you in her womb, we can be anything we want, seamstress, pilot, politician, doctor, chef etc. not just a pretty face. The lady in yellow when this was released in March 2020 was the Vice President Samia Suluhu this past week she was sworn in as the first female President in East Africa of Tanzania after the President Magufuli passed away.
Supper woman my lovely mom may Lord give you a long life, I love u so much my dear mama. Sichoki kuiyangalia hii nyimbo kama na wewe haikuchoshi gonga like √
I wish they had the translation on the song. I shared it with most of my contacts in The Bahamas. We love it even though we don't understand the words. Beautiful women.
I put it the words from the description in google translate and got this: Woman, you are a SUPER WOMAN.. You are our DIAMOND.. You are more sweet fish than anyone in the sea and lake... You are a GIRAFFE in a thick forest. Your height makes you see our tomorrow and guide us so we don't get lost. You are more than a bag of beans and colored tea. You are the mirror of society and without you there is no SOCIETY. WE love you/We respect and appreciate you...That's why we said. Thank you woman #You are a SUPER WOMAN. You are precious to us.
Why nobody is talking about the violinist woman in the End...that woman is so talented 🔥she literally killed it...the way she puts her feelings n Energy in it is soo breath taking❤ Dada anaepiga hiyo Violin huko mwishoni jamaniii🔥❤👌🏽ni ana kipaji God Bless Her Hands🙏🏾
Nimejikuta narudia kuitazama tena upya mwaka 2023. Ila RUBY she is a vocal killer, yaani kaimba kidogo lakini kaua na ukiongeza na hizo back vocal zake sio poa. ALL IN ALL Wasafi hapa walimaliza sidhani kama itakuja kutokea ngoma Kali ya kuwa-Empower wanawake kuizidi hii
@@charlspaschalbundala9061 kuimba bet refu na kuimba vizuri ni tofauti sana. Mi naona hawa kaimba bet refu tu ila sijaona muujiza.... Labda mtoto wa Hadija Kopa uyo ndo tumfananishe na ruby not the least.
👌👌Kama umekubali verse ya hawaa gongea like tu bila kinyongo❤. Allah atulunde kina mama wote na walio tangulia mbele za haki, awaweke pema peponi 🙏🙏
Nimependa sana tena sana
Allah katokea wap hapo
@@bobnaahtv730 wewe ilikuwa kuna pahali ambapo yuafaa atokee?
Hawa katishaaa👍
Kaua
Wale wa kuvutiwa na mstari wa shilole embu tugonge like😄💪my mama is superwoman
Shilole wangu ako sawa na queen Darlene ameua
uko vizuli kipenzi changu nakupenda bule
Kama...umerudia...hiii...ngoma....Mara...2...gonga...like🔥🔥🔥🔥💪💪💪
Mi zaidi ya Mara tatu
Wale wa 2024 gonga like hapa 🎉❤
kama una amini mama yako ni super women gonga like apo
Kbsaaa
Yes we Can..
Philemon Killer na bibi pia kwangu sio mama tu
Philemon Killer Mama yangu Ni super woman
Sijamuonea mwenzake kabisaaaaaa
Tuliotaman mdada wa mwisho uyo mpga icho kisound kitaaam aendelee nyimbo isiishe gonga like
Abby chams♥️
data abby kauaaa
Hiyo inaitwa 🎻 violin kaipiga vzr sana
Asante kwa kunitajia ilo jina nlikua sjui inaitwga nn
Abby
Kama una amini mama ako ni super woman 👩 like apa ❤️💪🏾💪🏾❤️👇👇
Any translations to the song plse
Mama yangu vumy ni super woman😘😘😘😘 i love you mama mchaga halisi😍😍😍
Sina mama
Nzuri sana
Hakuna wa kujilinganisha na mama mama ni zaid ya
Wangapi tumerudi hapa baada ya kutoka wimbo wa Tanzania men all stars
Mimi
🤪😀
Watu wangu mumeuwa jamani so lovely ,😍😍
Atareee🔥🔥🔥🔥🔥
Sijaupenda wimbo
Nice song
Noma Simbaaa
Simba nakukubali San hukoseag nimesikia voice yako vp tupe ngom mpy
Kama unaamini mama yako ni super woman gonga Like twende sawaa 😘👏am a super woman too ila Ruby ww ni noma hadi noma na nusu
Sana tu
BIBI YANGU Aliye Nilea toka nikiwa kadogo mpaka leo ni Libaba ni Zaidi ya SUPER Woman,,,Like kwa Bibi yangu Tafadhari jamn🙏🙏🙏
Geofrey Kitundu tuko pamoja mzee baba she is the superwoman
hahahahahahaha umeuwa
Watoto wa bibi safiiiiii
Geofrey Kitundu hata mimi aisee tena RIP bibi yangu kipenzi, lakini bado nampenda hata mama na nampa heshma yake ya kunileta duniani ingawa bibi kaifanya kazi kwa kweli. Love ❤️ kwa wanawake wote Duniani
Salute kwake na magoti nimepiga👑👑
Kumbe Abby alikwepo uku aya tulio ludi kuangalia 2024 tujuane apa
Ndio
Aloirejea hii ngoma tujuane apa💪💪💪
Mim jamn
@@loviekyamwangile4523 super women nce song
This song made me in tears, being a single mom of three kids, two in high school and one in primary school without anyone's support yet the father is alive with two wives but doesn't care at all. Am a supper woman
Your super woman
Your super woman..GOD blesss u abundantly.
So pathetic
You're a superwoman mama❤️
Mwanamisi Kibumi pole love
I like shilole super woman🔥🔥
Mwanamke ni mama yeah this is true🙏🏽❤️❤️
Fantastic song to all Women!
Kama Abby na zuchu wamekufanya urudie hii nyimbo zaidi ya Mara moja gonga like tujuane
FRANCIS MSAMI yaaani dah Abby ndy kiboko
Kama unakubali mama yako ni super woman gonga like
Mama she is everything
💪
Me mwenyew ni superwoman
Asante my mama kwa kunizaa na kunilea pamoja na kunitunza nakupenda sana mama 😘😘💝💝💪💪💪👍👍👍
Sanaa
Ruby amewafunika wote .... wapi likes za rubyyyy🔥🔥
❤
Ruby is unmatched....sauti kawaliko wote
Mimi ni super woman 💪💪 napambana na chupi za waarabu ili wanangu wasome shule nzuri na wapate chakula bora Asante mungu kwa kunipigania One day l going home 😍🇹🇿🇹🇿💪🙏
Gigy na ruby mmejua kunifrahisha😘❤💕💕💕💝💝💝💞💞💞💞
Kwel jaman ngoma kal tusiwaache nyuma mam zetu
This song its really good
This song needs more than a million views in one week, gonga like kama wafikiria hivyo
Super women acheni likes hapa..and kama unajua mamako ..sisterko au mkeo ni super woman .KONGA LIKE HAPA PLZ..
kama umekuja hapa sahii baada ya kuona super woman ya kina diamond ngonga like
Ila hii kali
@@muddympogo1628 aiii ya wanaume ndo kali aiise daaaah
At mie
Nlikuwa nafana nisha
The song is fire ila ni vile why hamjamtaja mama yangu jamani ..
Like kama nawe unaamini mama yako ni superwoman.
Nimempenda uyo mhomeleaji LIKES 2 QUEEN DARLEEN
Queen ni kifaa
Queen darling kaongea fact sana,finally wimbo upo very emotional
Issack Joseph kweli kabisa nampend yy pamoj na gigi
@@pendondossy2158 sawa dada pendo,nami ni ndosi pia
I’m here for Ruby❤❤❤❤
Kama mama yako ni super woman gonga like hapa
Asanteni sana kwa mtunzi kweli mwanamke ni hodari
Grandma mama super woman
@@ceciliaamtika6528😊
😊00😊😊😊😊00000@@ceciliaamtika6528
👩👦👦👩👦👦
Gonga like kma umemtambua Zuchu Baada ya Kutambulishwa WCB..💪💪💪
Yes namkubali
Leo
Kama wewe ni mwanamke na unajiamini wewe I super woman💪 pita na like
Na Mimi na like japo no mwanaume
Kuna dhambi za mwanaume kulike kwani
@@amoury1481 like pia babaa
💖💖💖
kwanza niwapongeza,
mmesubutu mmeweza,
uthubutu mwahimiza,
sio siri mmependeza,
your superwoman.
mbarikiwe sana.
Who is listening today very beautiful tujuane
After seeing the boys version am here
Super
Nko
Am here
Welkom
tukiacha na kale kautan jmn,this gel aliimba verse ya kwanza alievaa kitenge she got a voice..tena akiimba gosper music ,ata rock sana...hasa za kuabuduu
Jane Malamsha anaimba gospel. Mcheki Abby Charms
Anaimba gospel hata ivo....abbycharms ndo username yake insta
She is so nice 👍
Jane Malamsha true her voice is so great
Abby charms,zuchu,ruby, Malkia Karen, hawa ntarejea na khadija kopa 🙌🙌🙌🙌 vocal is guuuud👍👍
Amiry Mwemberi Yessssss
Shishi as normal ila ajarbu
Iv Abby cham ni yupi?
@@pendogerald8452 ako katoto kenye rasta pia ndio mwshon aliekua akipiga ako ka gita
The girl is called Abby chams she is only 16 and very talented....
Allah akuongoze katika mafanikio ya kimuziki.....( Msiemjua katika hii nyimbo ndo anaitwa hvyo😊😊)
Ppp
Tuliokuja hapa baada ya ngoma mpya ya SuperWoman iliyo tolewa na Wanaume i.e Tanzania All stars Diamondplatnumz na wenzake Tujuane kwa like
Tutakujanauku kwadada
Mi mmoja wao baada ya kuona ya wanaume ndo nimekuja kuona hii
Nko apa
hii vid kali,sio kwa mavazi haya..fab
💪💪💪
Diamond platnumz kauwa kwa mbali gonga like zake apo
Mimi mkenyaaa🇰🇪 lakini wapi likes za superwomen wa tz💫🔥🔥
Me 2 kenya my
Supper.
Waah I'm proud of myself to be a super Woman takin care of my 3 kids one in college one in form 2 an last in grade one.workin hard for my kids after I was dumped by my husband.
Dorcas Osino great dorcas
Your cooked my ccta
You are supper woman not because of those things you mentioned but because you trust in yourself..
Uuuffff!!!U r such a wonderful woman.May God grant you more power to take care of them.
Sometimes these men r just a fucking dogs😢😢😢😢😢😢😢😢
@@johnsaningo226 thx u just trust urself an life goes on
Nani amerudi apa after supper womon remix ya bongo flovour ya wasafi😍😍😍😍😍😍🔥🔥🔥
✋😂😂
Mimi
☝️
Hii n best
Mimi apa hayani very hot song
Waliorudi kumuangulia zuchu kwa mara ingine baada ya utambulisho WCB gonga like twende sawa👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Huyu anayeimba after Zuchu ni Nani?
@@JoycilineMburuguDavid dadayake Vannesa Mdee sijui nani
Joyciline Mburugu Abby chams
Anasauti adimu....
@@JoycilineMburuguDavid 🤷🏻🤷🏻🤷🏻
Mama La Mamaaaaaa....Hadja Koppa ndy Jeshi langu wengn mtafuata
Twaha Kassim Tk sure
Ruby, na Rosa Ree wametisha kinoma noma.
Plus nimependa na aliyeimba chorus, kaitendea haki.
Halafu nimesikia sauti ya Mond kwenye back vocal ya chorus.
All in all, wanawake mmetisha humu ndani. Ngoma kali, na ujumbe mzito umetufikia.
anaitwa zuchu ingizo jipya wcb empire
King Leonard najiuliza tyu mama dangote katajwa kwa kigezo gani
@@mnaialliy8621 alilea watoto wake single handedly in poverty and they are all successfully... Mama mza chema😂😂upo?
@@mnaialliy8621 na mm mwenyew nlikuwa najiuliza kigezo kipi , mana sijawai kusikia hata akisaidia mahali popote yeye ni super mother kwa wanae sio super woman wa kutajwa hana mfano wa kuigwa
Kabisaa they av just rock da song wow big up to all of them
Adi nimelia kweli jaman mwanamke ni super woman
Wimbo umeni ispaya Sana
Hongereni wanawake wenzangu kwa kututia nguvu kuwa sisi ni super women
3:01 giggy money ameuwa sana ameimba sauti ya huruma aise nakusanya like zake apa
kabisaaaaa toto angu Gigy
@@carolnimo7060 ndio kabisa
My gigy
Na amependeza mno
Katishaa
Kama we ni mwanamke na unaamini ni super woman like apa twende sambamba
Kama Umefurahi kumuona KEISHA gonga like yako
Ila QueenDareel Hamna msanii humo 😂😂😂🙌🙌
Ruby unajua mpaka unajua tena
CHRISS KIBA King chuki mbaya jamn tena queen ndo kaimba vizuri humo maana kaimba kiutofauti kuliko wote ila sio tatizo lako tatizo jina lako linakulazimu kutoa mapovu hahaha
mashaaah Allah
Acha chuki binafsi, watu kama ninyi mukiambiwa kaimbe sasa utasikia maraikaaa🤣🤣
upo sahihi ndugu yan queen ndo ameuwa humo
Chuki ni uchawi mda mwengine😂😂😂😂😂😂
I am 30yrs old, my dad passed away when I was 3yrs old we are now 6 in the family including my mum, i am the 3th out of her 5 children i want to say a big and huge congratulations 👏🥳🎉 to my mum for raising all of us up to this level
I know the struggle she went through because my dad passed away living her with nothing, if you are here with the same background please take few seconds to say CONGRATULATIONS to your mum this women need to be CONGRATULATED
Kama umemkubali uyu binti aliye piga zeze mwishoni gonga like 👇👇
Sana
Happy Salva hyo ni fidla ama violin
Happy Salva ni mrembo kabisaa
Yupo vizuri sana
Anaitwa aje ana sauti nzuri sana
Like za Rubby 👇👇 maan kauwaaaaaaa🇹🇿👑 súper women
Prisca John rubby nouma
Wa bongo nawepeda sana
Asante kwa kutuwakilisha vilivyo nimependa sana kazi yenu super oyeeeeeeer
Ruby
Rubby pia shilole kaimba vizur sehemu yake yuko good
Jameni ruby much love from kenya ... Tanzanians mko creative sana
Yea tunataka kuwakimbiza nigerians
Uwiiiii rubby mama ongraaa kwa sautii Mungu kakujalia tumia
Alierudia Sehemu Ya SHILOLE Zaidi Ya Mara 2 ii Asikie Kaimba nini Agonge Like, Na Wote Wanaomkubali SHISHI BABY
🙌🙌🙌
Nice
Shishi noma nampenda
I am
Nko apa
Hamisa mobetto ako wapi hapo Hama yeye sie suparwoman,💪💪💪 weka like👎 hapo chini Kama ujaona hamisa na wemasepeto
Hakika mama ndio kila kitu
Bull wawili hawakai zizi moja 😂😂😂 kulikua na mama dangote
Hyo ni tunguli woman
I really love the song. If you believe your mum is a superwoman piga like apo. Likes za zuchu na rosa ree ziko wapi?? Love from Kenya
I Know...Cant get enough of this song
This song gave me strength when I was weak. Helped me through postpartum depression, I listened to it everyday more than 5 times a day. Made me feel alive and human. Now baby is 10 months I listened to it and remembered how it helped me through tough times. May God bless all super women.
,wow
Empowerment to women let's believe that we are capable of doing everything
Anayemkubali mama yake Kama super woman dondosha like na comment hapa.....
Wanaokubali uongozi tunaweza like
Mmmmmmmh!!!!!!SHILOLE💖💖💖💖NIMEKUBALI
Love u shilole💞💞
She's good 🔥🔥
The first lady in red dress , she is incredible i like her! Nipe like kama umemkubali zuchu!
Amevaa blue piah
She called zuchu a daughter of khadija kopa
Ameimba vzr
Hussein Montana Original Voice Ya muke Mtanzaniyaa...
@@nickysteve3907 ooh real?
If you are here on women's day give a thumbs up to these beautiful ladies.....This is so amazing and I'm proud to be a woman
Hili goma bila yaunafiki ni zuri, wameua 10 out of 10,kama unakubaliana na mimi gonga like
Ruby kauwa kiukwel ana sauti nzur xana , ruby is the someone special especially in music industry
Ruby is someone special in rhe music industry.
Ruby atari sanaaaaaa
Latipha Kasimu nani kama mama
Mmefanya vizuri xana mama zetu nawapenda xana
Kweli ruby is the best vocalist
alivyopita rose ree nimekubali gonga like kama unaamini mama ako ni super woman
Sumail Malambo yaaan she got a swagaa jmn this gel
Uuuuw ruby sio kwa unyama uo mamaa had nmerudia rudia💕🌺
Hawa wangu jamani I love you all I’m Ugandan but I’m showing love from the USA 🇺🇸 please show some love to me Uganda 🇺🇬 please come on Africans
Dada Naomb nmb yko
Ruby wangu jaman umeua, shishi na qeen darlin
Yeesss am super women from Ethiopia love all my African sisters ❤️❤️ 🤔 276 people dis like this song how??? Nipee like kama una kubalii all African women’s are sisters 🔥🔥🔥
Hello find me please
Super women
I'm African American woman from Philadelphia and I absolutely love this song the women are so beautiful this will go on my music list of strong black women anthems. I don't understand the language but the message is loud and clear.....we are unstoppable when we tap into our power. 🥰❤❤ This is how my daughter sees me🥰🥰
That is the exact message .... its a Swahili song starts out a woman is a mother, your mother is the first teacher on earth after she carried you in her womb, we can be anything we want, seamstress, pilot, politician, doctor, chef etc. not just a pretty face. The lady in yellow when this was released in March 2020 was the Vice President Samia Suluhu this past week she was sworn in as the first female President in East Africa of Tanzania after the President Magufuli passed away.
@@7735jay wow.a.black woman president amazing. Thank you for sharing I appreciate that. And yes we can be anything. 🥰
Queen Darleen umetisha Sana humo,Kama umeelewa mistari yake gonga like
Kweli Kabisaaaa Hata Mimi Nimekuelewa Sana
Queen Darleen umetisha😘😘
Halafu kapendeza kweli yani duuuh
@@rachelkihaka9204 umeona
Kweli yaniii
Kama hiyo sauti ya violin hapo mwisho imekusisimua kama mimi gonga like twende sawa 🎻 🎻
Zuchu umetisha nakupend saut yako 😍😍
ua-cam.com/video/V4wZJvIMBKM/v-deo.html
@@lucylimo1755
umerogwa
Supper woman my lovely mom may Lord give you a long life, I love u so much my dear mama. Sichoki kuiyangalia hii nyimbo kama na wewe haikuchoshi gonga like √
Waliokuja tena baada ya superwoman ya men's version
Anaemkubal diamond platinumz kwa uandish wa hii ngoma gonga like
Mond baba lao
Show kali
Ye ndo aloandika 🤔🤔🤔 eeeh
Acha umaandazi wewe Mond c angejaza mitusi humo
Cal's Kim kweli isingekuwa na maadili
Tuliopo kwa ajiri ya zuchu gonga like twende sawa 👍
Sawa
Nani anaona Rosa Ree 👑 alihitaji dakika 1 net kuchana na sio 5 sec 😁
Dah!.. kabaniwa
Umeona eehh wao na qune Darling
Dah kbsa Yan ndo alie uwaa knoma
Denyo Prince kwelj
Yani kama vipi ipigwe Remix Rosa Ree hajatutendea haki ase 😭
I wish they had the translation on the song. I shared it with most of my contacts in The Bahamas. We love it even though we don't understand the words. Beautiful women.
I put it the words from the description in google translate and got this:
Woman, you are a SUPER WOMAN.. You are our DIAMOND.. You are more sweet fish than anyone in the sea and lake...
You are a GIRAFFE in a thick forest. Your height makes you see our tomorrow and guide us so we don't get lost.
You are more than a bag of beans and colored tea.
You are the mirror of society and without you there is no SOCIETY.
WE love you/We respect and appreciate you...That's why we said. Thank you woman #You are a SUPER WOMAN.
You are precious to us.
Kama nawew kuna baadhi yao huwajui majina ila wamefanya vizuri gonga like
Why nobody is talking about the violinist woman in the End...that woman is so talented 🔥she literally killed it...the way she puts her feelings n Energy in it is soo breath taking❤
Dada anaepiga hiyo Violin huko mwishoni jamaniii🔥❤👌🏽ni ana kipaji God Bless Her Hands🙏🏾
She is a kid ako na 17yrs tu anaitwa Abby charm
yuko vizuri Abby Chams
😘😘
Her name z Abby Chams... Ndo huyo ambaye n wa pili kuish not only gud at playing violin she also a very gud singer.... She z so young en gifted
Aby huyo hatuhtaj hata kuongelea mana alichokifanya kinaonekana..she nailled it
Heard Ruby's voice... I almost cried
😢...she talented
Swadaktaa
Hi Ruby she got a nice voice ❤❤
P 😊 op no onh go upk pump prep op@@rahmagraceomar9534
Nimejikuta narudia kuitazama tena upya mwaka 2023. Ila RUBY she is a vocal killer, yaani kaimba kidogo lakini kaua na ukiongeza na hizo back vocal zake sio poa. ALL IN ALL Wasafi hapa walimaliza sidhani kama itakuja kutokea ngoma Kali ya kuwa-Empower wanawake kuizidi hii
Hawa ameimba vizuri Sana very smooth voice
Kama unasikiliza wimbo huu ukiwa quarantine goja like
🇿🇦
One love kutoka South Africa😂
Queen darleen umeuwa pamoja na rosa ree❤❤❤💥💥💥💥💥
❤
❤❤
Wote ni wako Sawa lkn zuchu kawafinika❤hongera zenu kina dada
Kama unaamini kuwa "behind Every successful man is a woman".
Gonga like hapa.
They is woman who is my mum
Hawa wewe ni mrembo na unajua sana ubeibeba sauti yako
That woman is most likely to be his mama.
Sio behind, it is beside na vice versa!
I'm proud to be a woman
Nipeni Like za quuedarleen Maana kaua sana humu
🔥
Saana kaua queen
Hawa ameuwa🔥🔥🔥
Sanaaaa
Miss is haka katusha kinoma
Ruby nyoko zako🔥🔥🔥🔥🔥umeimba kdg ukatetemesha maini
felix jesse hahaha
Dah Huyu nyoko kweli namkubali hatareee
felix we ni mgeseee😂😂😂
Evance Nicholaus 😆😆
Kwa wanaojua kuwa aloimba chorus ndo msichana ambae kasainiwa WCB wagonge like hapa. WCB4LIFE 🔥 🔥🔥 🔥
Yupi
Sema mm sjui na chorus...alie anza kuimba anajua na anaogopa kamera
@@scarletscott192 huyo anaeimba I'm superwoman
Huyo alovaa gauni jekundu mtoto wa khadija kopa anaitwa zuchu ndo aloimba chorus
Waoooooh nmeangalia zaid ya mara 5 jaman hongeren🤗🥰🥰🥰
Kama umemuelewa hawa kama kafunika like zenu apa
Saan mdg wangu,
Hawa kaua kaka
Atafunikaje mbele ya ruby?
Sasa ruby kaimba nn kumzidi hawa kk apo
@@charlspaschalbundala9061 kuimba bet refu na kuimba vizuri ni tofauti sana. Mi naona hawa kaimba bet refu tu ila sijaona muujiza.... Labda mtoto wa Hadija Kopa uyo ndo tumfananishe na ruby not the least.
Happy international women's day ♥️ 2023 🇳🇦🇳🇦
Nasikia sauti ya MONDi kwa mbalii ikisema SUPER......
Like za mondiii😁😁😁
Huyo malaya😂😂
Kisha akawatie mimba mmoja baada ya mwingine ndo watajua hao ni superwomen😂😂
Dah nyie Watu nyie hahahaha
@@floryn1636 mondi hafai na yeye ni superwoman
Mond kaandika nyimbo akishirikiana na new artist in wcb zuchu soma content jamaa ni kichwaaaaa
Nyimbo Kali kinoma sema nmepemda chorus kuna kasaut fulan kakiume daaaaa killied
Diamond
Dangote kafanya yake
Diamond
Mondi
Simba
Km ww ni mwanamke na unajiamini, gonga ndipo!
ua-cam.com/video/V4wZJvIMBKM/v-deo.html
Tupo♥️♥️♥️♥️♥️
😍😍😍😍😍
Ndio
@@kwetutvonline io
I'm here 2024 ❤
Rest in peace 🕊️ mama😢😢😢
The interesting part is knowing the song was written by Simba mwenyewe and Zuchu. Diamond aisee hapa ulitunga
🔥🔥🔥🔥🔥💯
Sio kweli kila mtu anakuja na verse yake
Supa
Please we should learn to apreciate ones progress. Tuache roho zabkikatili. Cs mondi zuchu wakapatana kila mmoja kesha tamba kisanii
@@neemaernest6014 jflnh .
J
Huyuu motto wa hadijakopa zucho ni firee🔥🔥🔥🔥🔥🔥namukubali sana
Hawa ndoo aliimba vzul km umeona km mimi ngonga Like hapa twende sawa
Hawa ni mgani?
Ineza Gift Hawa iko na sauti ya kutisha ata kama wote wanajuwa
Wote wamekill
ndo yupi apo
Rosel
It's Rubby for me,.....Oooh the voice for me,....Me am done ✅
ruby na gigy ,rosaree wameuaaaaaaa....
Hawa umeuwa👆💕💕💕💕💕💕
Sanaaa💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
💥💥💥💥💥💥💥