Msibani kwa mzee Pembe Muhogo mchungu na mzee Senga watoa ya Moyoni kwa machungu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 10

  • @shangweremiofficial4124
    @shangweremiofficial4124 3 місяці тому +2

    Barikiwa sana kazi ya Mungu Haina Makosa,TUNAYAWEZA YOTE KWA YEYE ATUTIYAE NGUVU

  • @MichaelKivuyo-g2s
    @MichaelKivuyo-g2s 3 місяці тому

    Pole sana mungu awatie nguvu 😂😂

  • @RamadhanHamad-ez4tc
    @RamadhanHamad-ez4tc 3 місяці тому

    pole kwetu sote kwa msiba huu, hakika ndugu yetu alituburudisha na tulimpenda sana. Tunamuomba Mwenyezimungu awape faraja ya kudumu familia yake

  • @AlieckeyYusuf-rb2oj
    @AlieckeyYusuf-rb2oj 3 місяці тому

    Pole sana nzee senga kwakumpoteza pacha wako

  • @nicodemusmathias3787
    @nicodemusmathias3787 3 місяці тому

    Poleni sana familia ya pembe.pamoja na rafiki yake senga.kwani mlikuwa mnatufurahisha.

  • @LoveTeacher-j7v
    @LoveTeacher-j7v 3 місяці тому

    Poleni sana familia na mzee senga pole sana

  • @GalaxyA-yw7eg
    @GalaxyA-yw7eg 3 місяці тому +1

    Polen sana wafiwa wote

  • @Samwelmagita-jb1so
    @Samwelmagita-jb1so 3 місяці тому

    Pole Sana mzee wetu senga kwakumpoteza pacha wako

  • @Baddeset87
    @Baddeset87 3 місяці тому

    Pole sana senga 😢😢

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 3 місяці тому

    Pore sana senga