- 37
- 33 052
Authentic Builders Tanzania
Tanzania
Приєднався 2 лют 2024
Build your Dream House with Us
Authentic | Sincere | Innovative
Authentic | Sincere | Innovative
UMUHIMU WA MSINGI MREFU
0:00 - intro
0:03 - Je, wingi wa materials ni kiashiria cha wizi?
0:28 - Namna ya kutafuta level ya msingi
1:36 - Athari za ujenzi wa slope
3:27 - Athari za msingi mfupi
4:55 - Kiingereza
6:15 - Outro.
0:03 - Je, wingi wa materials ni kiashiria cha wizi?
0:28 - Namna ya kutafuta level ya msingi
1:36 - Athari za ujenzi wa slope
3:27 - Athari za msingi mfupi
4:55 - Kiingereza
6:15 - Outro.
Переглядів: 174
Відео
𝚅𝙸𝚃𝚄 4 𝙼𝚄𝙷𝙸𝙼𝚄 𝙺𝚆𝙴𝙽𝚈𝙴 𝙼𝚂𝙸𝙽𝙶𝙸 𝙸𝙼𝙰𝚁𝙰
Переглядів 176Місяць тому
ᴜᴊᴇɴᴢɪ ᴡᴀ ᴀᴡᴀᴍᴜ, ᴊᴇɴɢᴀ ᴍꜱɪɴɢɪ ʜᴀᴅɪ ʜᴀᴘᴀ: 1. Blinding : Zege la Msingi 2. 6" blocks : Tofali za Msingi 3. Columns : Nguzo 4. Ground Beam - Mkanda 5. Kifusi 6. Zege la Jamvi 0:00 - intro 0:18 - Nyufa husababishwa na nini? 1:17 - Nature ya udongo 1:53 - Fanya hivi kuimarisha msingi 2:28 - Ukubwa wa Nyumba 3:03 - Mualike fundi site kabla ya ujenzi 3:18 - Bei ya Kisinia😁 3:37 - Rahisisha choices zak...
Maandalizi Ya Ujenzi Day1.
Переглядів 86Місяць тому
0:00 - intro 0:05 - Site Clearance 0:32 - kuondoa visiki 0:42 - Ujazo wa 18T Lorry 1:00 - Ujazo wa 4T Lorry ¾ Aggregate 1:33 - Outro
MSINGI IMARA UNAOKOA GHARAMA
Переглядів 559Місяць тому
0:00 - Intro 0:30 - Vitu vinavyoathiri Msingi 1:00 - Kudos to the Don 2:23 - Msingi imara ni upi? 5:15 - Reduce cost without compromising on quality 6:04 - Outro
HATUA ZA UJENZI WA BOMA | 4 BEDROOM | UJENZI WA KWENYE SLOPE | MLOGANZILA SITE.
Переглядів 3955 місяців тому
▪︎Nyumba Ya Vyumba 4 ▪︎Front & Rear Balcony ▪︎ High Ceiling ▪︎Extra Large Windows ▪︎Has an Underground Space. ʙᴇᴀᴜᴛɪꜰᴜʟ ꜱᴛʀᴜᴄᴛᴜʀᴇ ʙᴜɪʟᴛ ɪɴ ᴅᴀʀ ᴇꜱ ꜱᴀʟᴀᴀᴍ ʙʏ ᴜꜱ. Our Services: 1. Architectural Drawing | Ramani Ya Nyumba 2. Structural Drawing | Ramani Ya Ghorofa 3. Construction | Ujenzi Hatua zote 4. BOQ | Makadirio Ya Ujenzi 5. Maintenance | Sijui kiswahili chake😁 6. Renovation | Ukarabati 7. Ele...
UNAIFAHAMU INSTAGRAM YETU? NO. ZETU ZA SIMU JE?
Переглядів 646 місяців тому
0:00 - Salamu 0:20 - Namna Ya kutupata 0:41 - Namba zetu 1:00 - Link Zetu 1:15 - Instagram 1:40 - Links 2:00 - Jenga Nasi 2:18 - Pinned Posts 3:20 - Outro
SIO LAZIMA KUANGALIA VIDEO NZIMA. FANYA HIVI KUTAZAMA SEHEMU MUHIMU TU!
Переглядів 826 місяців тому
Ukiona video ni ya dakika nyingi, usijali. Hii ni namna ya kutazama vipande vyenye umuhimu kwako bila kupoteza muda. 0:00 - Intro 0:30 - Epuka Blaah Blaah! 0:50 - Namna Ya kupeleke Mbele 1:05 - Sura | Chapters 1:52 - Ruka Dakika 3:38 - Namba Zetu 3:52 - Instagram Handle Yetu
LIPIA KODI YA ARDHI MTANDAONI
Переглядів 1626 місяців тому
Hutaki kupanga foleni Manispaa? Lipia Kodi Ya Ardhi kwa Simu 0:00 - Intro & Recap 0:16 - Video inamhusu nani? 0:40 - Hutaki kupanga Foleni? 0:57 - Mfumo wa Malipo Mtandaoni 1:45 - How to 2:05 - Mlipa Kodo ni Nani? 2:19 - Namba Ya Hati 2:26 - ID Ya Kiwanja 3:09 - Taarifa Ya Kiwanja 4:20 - Shukrani 4:30 - Tuongeze Uelewa
KODI YA ARDHI | TAFSIRI YA TANGAZO LA WAZIRI WA ARDHI
Переглядів 3936 місяців тому
Diaspora watanyang'anywa viwanja wasipolipa? | Tangazo hili ni la wenye Hati tu? | Kodi Ya Pango ni nini? | Malipo Mtandaoni | Makato Ya Luku. Maswali haya yote yamejibiwa kwenye video hii. Halisi Builders ni Wajenzi, Tunatoa Elimu kuhusu Ujenzi kwa ujumla ili kusaidia Watanzania wenzetu kuwa na umiliki halali, kufanya ujenzi halali, na kuwa na Taarifa sahihi kuhusu bei, sheria, na utaratibu wa...
Ep 5 : Athari za Airflow Lightflow na Sunshine🌤 kwenye ujenzi wa Nyumba
Переглядів 2836 місяців тому
1. Upepo unavuma towards which direction? 2. Nyumba ina Mwanga? 3. Jua kali linapiga upande gani wa nyumba? 0:00 - intro 0:10 - Recap 1:00 -Airflow 1:15 - Lightflow 1:25 - Natural way ya kujua wind direction on ur plot 2:05 - Umeshawahi kuwa kwenye chumba ukahisi hewa imesimama? 3:00 - How your House must face the Sun 3:50 - How Heat is transfered into your Bedroom 4:25 - Outro
4 BEDROOM HOUSE FULL BUDGET YA BOMA
Переглядів 7887 місяців тому
Makadirio haya Yamezingatia: 1. Kiwanja ni Tambarare 2. Material zinafika Site 3. Maji Yanapatikana Site 4. Site sio karibu na Bahari 5. Hakuna hewa ya Chumvichumvi 6. Water Table iko Chini 7. Ardhi ni Ya Mchanga, sio Mfinyanzi au Mawe 8. Hakuna miti ya kudumu 0:00 - Intro 0:50 - Like, Share, Comment, Subscribe 1:05 - Watanzania wanapenda Contemporary Houses 1:30 - Changamoto za Hidden Roof 2:2...
Ep 3 : Urefu kwa Upana in Square Metres unaathiri gharama ya ufundi na wingi wa materials
Переглядів 1967 місяців тому
Ep 3 : Urefu kwa Upana in Square Metres unaathiri gharama ya ufundi na wingi wa materials
Ep 2 : Umeshawahi kulipia ramani na ikashindikana kuijenga kwenye eneo lako?
Переглядів 2927 місяців тому
Ep 2 : Umeshawahi kulipia ramani na ikashindikana kuijenga kwenye eneo lako?
Ep 1 : Jipe 2weeks kueleweshana na mjenzi
Переглядів 5307 місяців тому
Ep 1 : Jipe 2weeks kueleweshana na mjenzi
Intro: Mambo ya kufanya kabla hujaanza ujenzi
Переглядів 2757 місяців тому
Intro: Mambo ya kufanya kabla hujaanza ujenzi
Ujenzi wa kwenye Slope (mteremko). Umuhimu wa kujenga kwa step.
Переглядів 5157 місяців тому
Ujenzi wa kwenye Slope (mteremko). Umuhimu wa kujenga kwa step.
Setting Out & Excavation | Uchimbaji wa Msingi
Переглядів 2687 місяців тому
Setting Out & Excavation | Uchimbaji wa Msingi
Mchanganuo wa kila kitu hadi ufundi - Kibanda Cha Mlinzi | Guard Booth 👨✈️
Переглядів 2,8 тис.7 місяців тому
Mchanganuo wa kila kitu hadi ufundi - Kibanda Cha Mlinzi | Guard Booth 👨✈️
📌Umuhimu wa Architect na Engineer kufika site kabla ya kupata Ramani na Makadirio🇹🇿
Переглядів 907 місяців тому
📌Umuhimu wa Architect na Engineer kufika site kabla ya kupata Ramani na Makadirio🇹🇿
Ujenzi wa Kibanda cha Mlinzi | Security Guard Booth 🇹🇿
Переглядів 977 місяців тому
Ujenzi wa Kibanda cha Mlinzi | Security Guard Booth 🇹🇿
Kwanini Architect na Eng. wafike site kabla ya kukabidhi Ramani/Makadirio Ya Ujenzi (Ext.Version)
Переглядів 1468 місяців тому
Kwanini Architect na Eng. wafike site kabla ya kukabidhi Ramani/Makadirio Ya Ujenzi (Ext.Version)
FULL BUDGET YA KUJENGA MSINGI HADI KUPAUA. JENGA KWA MALENGO; AWAMU KWA AWAMU.
Переглядів 3,2 тис.8 місяців тому
FULL BUDGET YA KUJENGA MSINGI HADI KUPAUA. JENGA KWA MALENGO; AWAMU KWA AWAMU.
ELIMU YA UJENZI TANZANIA. ALL YOU NEED TO KNOW ABOUT CONCRETE MIX | ZEGE
Переглядів 4358 місяців тому
ELIMU YA UJENZI TANZANIA. ALL YOU NEED TO KNOW ABOUT CONCRETE MIX | ZEGE
HIDDEN COSTS ZA UJENZI | GHARAMA AMBAZO FUNDI ATAKUFICHA ZITAKUUMIZA UTAKAPOANZA UJENZI
Переглядів 2,8 тис.9 місяців тому
HIDDEN COSTS ZA UJENZI | GHARAMA AMBAZO FUNDI ATAKUFICHA ZITAKUUMIZA UTAKAPOANZA UJENZI
NONDO FEKI | PUNGUZA GHARAMA YA UJENZI BILA KUCOMPROMISE ON QUALITY | FORMULA YA KUMBANA FUNDI
Переглядів 7029 місяців тому
NONDO FEKI | PUNGUZA GHARAMA YA UJENZI BILA KUCOMPROMISE ON QUALITY | FORMULA YA KUMBANA FUNDI
KUFAHAMU BEI ZA KILA AINA YA BATI. BEI ZA VIWANDANI NA WAKATI GANI BEI ZINAKUWA MORE AFFORDABLE. 🏠
Переглядів 10 тис.9 місяців тому
KUFAHAMU BEI ZA KILA AINA YA BATI. BEI ZA VIWANDANI NA WAKATI GANI BEI ZINAKUWA MORE AFFORDABLE. 🏠
PUNGUZA GHARAMA YA KUEZEKA BILA KUCOMPROMISE ON QUALITY | ROOFING🏠
Переглядів 2,2 тис.9 місяців тому
PUNGUZA GHARAMA YA KUEZEKA BILA KUCOMPROMISE ON QUALITY | ROOFING🏠
Mie nitakupataje nahitaja nyumba kama hii full hadi madirisha tailers milango yaan iwe imekamilika niko Arusha niwe na shingap kaka na wewe ndio mjenzi wangu coz kuna dadangu alijengewa hakika alipata hasara hawakua mafundi wenye ujuzi wa nyumba hii
Asante sana
Asante sana❤
Good job
Umeeleweka
ᴜᴊᴇɴᴢɪ ᴡᴀ ᴀᴡᴀᴍᴜ, ᴊᴇɴɢᴀ ᴍꜱɪɴɢɪ ʜᴀᴅɪ ʜᴀᴘᴀ: 1. Blinding : Zege la Msingi 2. 6" blocks : Tofali za Msingi 3. Columns : Nguzo 4. Ground Beam - Mkanda 5. Kifusi 6. Zege la Jamvi
Umeamua uelezea ujenzi wa msingi sasa uweke kiingerza cha nini kwani uko ulaya
Toeni.namba
Mnapatikana.wapi
Kudos
Kaka niambie mnapatikana wap
Mko wapi kaka
Ongea kiswahili bwana
Contacts zako pls kaka tufanye kazi
Mbona bati ya mandarini umepoti juju
Na nyumba master ya choo ndan n bei gan
km nataka juu kimwagwe zege niweke na tank ya maji koaso gan itacost
Nipe namba kaka
Je Kwa wale tunajenga hiden roof
Shingap
Toeni naomba za cm kwa mawasiliano zaidi
Umeezeka kabla ya kenchi na boriti. Tafadhali ongeza gharama ya mbao hizo pamoja na makowa ya kuzikamatia
Changamoto nyingine ya hizi bati ni kupauka, bati umenunua kiwandani kwa bei ya juu kisha ndani ya mwaka bati imepauka
Injinia nimekubali hiyo elimu sema nini usichanganye lugha ongea kiswahili tu acha kiswanglish
Thanks kwa elimu nzuri
Andaa videos za maelekezo zaidi kuhusu gharama za ujenzi, kuna moja ulielezea approx 17M lakini Hapa unasema msingi 9M, kweli hizi hesabu si zina’uwalakini? Amua breakdown, msingi, au wa sauz wanaita box yaani hadi jamvi iwe hesabu 1, super-structure hadi mkanda wa juu na tofali zake zikisubiri kuezeka…n.k
Excellent! tupe hesabu za kuweka slabu kati ya chini na ya juu ukitumia hiyo hesabu ya ukubwa wa nyumba (30m perimeter) ndio idadi za nondo na types zijulikane.
Ukiaza kiswahili malizA na kiswahili engine shule atujaenda
Namba broo
Hivi ziko bati za rangi ya mafuta na rangi ya maji??
Jee ww una pat8kn wp
Naomba majina ya viwanda vya mabati na location vilipo na namba zao za simu kwa hapa Dar.
Naomba orodha ya majina ya viwanda vya mabati vya Dar es Salaam, na mahali vilipo na namba zao za simu.
Pamoja na ufundi
Unatoa elimu nzuri sana ila Tumia lugha ya kuswahili zaidi kingereza hatuelewi
Utoe namba zako basi
Kama najiona nilivyoliacha jengo
Good job bro
Tunaomba elimu beam na Column jinsi ya usukaji wa nondo, development Length na Lapping Length
Nyumba ni sqm ngapi
195m².... 15m² × 13m²
Naomba namba ya simu
Yani Kwa maelezo yako kwenye video zako inaonekana Tu umeenda shule you go deep with facts kuna jamaa mmoja his good on talking but naisi anajenga Kwa mazoea tu
Nimependa na ku subscribe kwa sababu unatowa garama za nyumba
kazi nzuri kaka tumejifunza kitu
Ok
Awesome
Kazi nzuri ila ongea lugha moja ieleweke vema
Pesa ya fundi?
Hii ni hadi site visit. ukicheki hapa utajua kwanini: instagram.com/reel/C6Et6olty9S/?igsh=MWE5MWdtN3hncjNrZA==
idadi ya mbao za kupauwa hujaweka
Ntaiweka hapa kwenye comment soon🙏
Mjomba hata kwa kigeto kwa barubaru kwa kuanzia safi sana