Endson Mabamba
Endson Mabamba
  • 163
  • 360 512

Відео

JINSI YA KUISHINDA HASIRA
Переглядів 26121 день тому
JINSI YA KUISHINDA HASIRA
SABABU ZA MAOMBI YAKO KUTOJIBIWA
Переглядів 23428 днів тому
SABABU ZA MAOMBI YAKO KUTOJIBIWA
MBINU 7 ZA KUWA MTU WA KUHESHIMIKA
Переглядів 445Місяць тому
MBINU 7 ZA KUWA MTU WA KUHESHIMIKA
NAMNA YA KUKABILI CHANGAMOTO ZA KULEA PEKE YAKO
Переглядів 227Місяць тому
NAMNA YA KUKABILI CHANGAMOTO ZA KULEA PEKE YAKO
JINSI YA KUANZA UPYA KATIKA MAISHA | KISA CHA NUHU 21
Переглядів 420Місяць тому
Je wajua SAFINA ilikuwa ni njema sana kwa NUHU ila sio kwa muda wote? Sasa kuna mahali au hali BWANA alikuweka ni kwa muda mfupi tu ila mpaka sasa anakushangaa bado upo hapo wakati muda wako wa kutoka na kuanza maisha mengine umefika! Hujachelewa kuanza upya. Kila siku ni fursa mpya ya kujenga maisha bora na kufanikisha malengo ya Mungu kwako. Wakati ni sasa wa kufanya mabadiliko, kuweka maleng...
USHINDI KUPITIA UZOEFU MGUMU WA MAISHA
Переглядів 265Місяць тому
Kutafuta msaada ni hatua ya kwanza katika kupokea neema ya ushindi kutoka kwa Mungu katika uzoefu mgumu wa maisha. Hebu tujifunze pampoja kisa cha Yairo na Mwanamke Mmoja (Marko 5:21-43). Naamini kwa uwezo wa Roho Mtakatifu kuna mambo mbalimbali utainuliwa kwayo kupitia ufafanuzi huu. Hivyo, Mwenyezi Mungu akuwezeshe kuyaishi vyema katika vitendo na utufuku wa Mungu uwe nawe siku zote. Unaweza ...
VUMILIA HADI WAKATI WA MUNGU | KISA CHA NUHU 20
Переглядів 317Місяць тому
VUMILIA HADI WAKATI WA MUNGU | KISA CHA NUHU 20
TABIA 5 SUMU UNAZOHITAJI KUACHA
Переглядів 5292 місяці тому
Katika mnnendo wako wa kila siku kuna baadhi ya Tabia 5 sumu unazohitaji kuacha kabisaa ili ukuwe vyema: 1. MAZUNGUMZO HASI MOYONI: Kujiweka chini kila wakati na kuwa na kujistahi kwa chini. Jinsi ya kurekebisha: • Akili Chanya = Matokeo Chanya • Daima uwe na mtazamo mzuri “Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na ...
TABIA AMBAZO HUSABISHA UMASIKINI
Переглядів 2882 місяці тому
Ustawi. Mafanikio. Wingi. Kufurika. Haya yote ni ufafanuzi wa maisha mazuri-ya mafanikio. Na licha ya mapokeo ya kidini kudai kwamba si ya kimungu au ya ubinafsi, usitawi ni mapenzi ya Mungu kwako. Je! umewahi kuona kwamba Maandiko hayasemi Mungu atakupa vya kutosha ili upate kuishi? Badala yake, Biblia inatumia maneno kama kufurika, tele na utele. Mungu anataka kufanya mambo ya ajabu mno, zaid...
MAKOSA AMBAYO WATU WENGI HUFANYA KATIKA MAISHA YAO
Переглядів 5322 місяці тому
Katika Maisha tunayoishi kila siku kuna makosa fulani fulani ambayo tunayachukulia poa lakini yaweza kutugaharimu kwa muda mfupi ama kutuharibia maisha yetu kabisa. Jifunze pamoja nami mambo mbalimbali katika kitabu cha Matendo‬ ‭3‬:‭1‬-‭10‬ ‭BHN‬‬ “Siku moja, saa tisa alasiri, Petro na Yohane walikuwa wakienda hekaluni, wakati wa sala. Wakati huo watu walikuwa wanambeba mtu mmoja kiwete tangu ...
KANUNI 5 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA YAKO
Переглядів 3612 місяці тому
KANUNI 5 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA YAKO
USIMKARIRI MUNGU MAANA HAZOELEKI KAMWE
Переглядів 2282 місяці тому
USIMKARIRI MUNGU MAANA HAZOELEKI KAMWE
UKWELI KUHUSU KIFO NA WATU WALIOKUFA
Переглядів 2493 місяці тому
UKWELI KUHUSU KIFO NA WATU WALIOKUFA
JINSI YA KUMWAMINI MUNGU HATA KWENYE NYAKATI NGUMU
Переглядів 3133 місяці тому
JINSI YA KUMWAMINI MUNGU HATA KWENYE NYAKATI NGUMU
SIRI ZA KUPATA UTAJIRI WA MALI
Переглядів 2,7 тис.3 місяці тому
SIRI ZA KUPATA UTAJIRI WA MALI
MAMBO USIOYAJUA KUHUSU MTOTO WAKO
Переглядів 4063 місяці тому
MAMBO USIOYAJUA KUHUSU MTOTO WAKO
NAMNA BORA YA KUWAOMBEA WATOTO NA UZAO WAKO
Переглядів 3393 місяці тому
NAMNA BORA YA KUWAOMBEA WATOTO NA UZAO WAKO
MADAI 5 YA MFUMO WA KISHETANI
Переглядів 3514 місяці тому
MADAI 5 YA MFUMO WA KISHETANI
LUGHA 5 ZINAZODUMISHA MAPENZI (Five Love Languages)
Переглядів 3614 місяці тому
LUGHA 5 ZINAZODUMISHA MAPENZI (Five Love Languages)
UKWELI KUHUSU MAPEPO/MAJINI NA NAMNA YA KUYASHINDA
Переглядів 3844 місяці тому
UKWELI KUHUSU MAPEPO/MAJINI NA NAMNA YA KUYASHINDA
ANGAZA SDA CHOIR MANZESE - NIMESIKILIZA HABARI NJEMA LIVE
Переглядів 5014 місяці тому
ANGAZA SDA CHOIR MANZESE - NIMESIKILIZA HABARI NJEMA LIVE
EPUKA SANA WANAUMME WA AINA HII !!
Переглядів 4454 місяці тому
EPUKA SANA WANAUMME WA AINA HII !!
ISHARA 6 KWAMBA HUENDA HAUISHI KATIKA KUSUDI LA MUNGU
Переглядів 3124 місяці тому
ISHARA 6 KWAMBA HUENDA HAUISHI KATIKA KUSUDI LA MUNGU
NAMNA YA KUMLEA MTOTO KATIKA VITENDO
Переглядів 4244 місяці тому
NAMNA YA KUMLEA MTOTO KATIKA VITENDO
MAMBO 12 YANAYOKUPATIA FURAHA YA KWELI
Переглядів 2925 місяців тому
MAMBO 12 YANAYOKUPATIA FURAHA YA KWELI
USIKUBALI KUIHARIBU KESHO YAKO
Переглядів 3595 місяців тому
USIKUBALI KUIHARIBU KESHO YAKO
MITAZAMO 6 YA YESU KATIKA UCHUMI WAKO
Переглядів 4175 місяців тому
MITAZAMO 6 YA YESU KATIKA UCHUMI WAKO
MAMBO 3 MUHIMU KATIKA MAOMBI
Переглядів 1895 місяців тому
MAMBO 3 MUHIMU KATIKA MAOMBI
KATIKA KRISTO NATUNDIKA TUMAINI LANGU
Переглядів 1495 місяців тому
KATIKA KRISTO NATUNDIKA TUMAINI LANGU

КОМЕНТАРІ

  • @dicksonkabongya2044
    @dicksonkabongya2044 7 годин тому

    Pasta Asante Kwa neno . Barikiwa

    • @pastormabamba
      @pastormabamba 7 годин тому

      Asante Sana Dickson, Mungu aendelee kukutunza.

  • @rosentahondi5454
    @rosentahondi5454 15 годин тому

    Asante mno kwa Somo zuri Pastor! Barikiwa.

    • @pastormabamba
      @pastormabamba 14 годин тому

      @@rosentahondi5454 Ninaendelea kukuombea. Mungu abarikiwe pia.🙏🏽

  • @kinsman-mx6qh
    @kinsman-mx6qh 5 днів тому

    amina umenielimisha sana

  • @felistergodbless7508
    @felistergodbless7508 16 днів тому

    Amina barikiwa pastor Asante kwa neno la uzima

  • @dynalyimo5337
    @dynalyimo5337 17 днів тому

    Halleluyah🙏🏼Amina

  • @rosentahondi5454
    @rosentahondi5454 17 днів тому

    Amen!

  • @Manumbu
    @Manumbu 17 днів тому

    ❤amen amen

  • @MichaelvitalisVitalis
    @MichaelvitalisVitalis 18 днів тому

    Amen

  • @jamesbaraka8959
    @jamesbaraka8959 18 днів тому

    Asante Mungu kwa akili njema

  • @ramadhanimajura8492
    @ramadhanimajura8492 19 днів тому

    Amen SoMo zuri sana

    • @pastormabamba
      @pastormabamba 19 днів тому

      Ahsante sana! Ni furaha yangu kusikia kuwa umelifurahia somo. Kama unahitaji msaada au unayo maswali zaidi, usisite kuuliza. Ubarikiwe!

  • @Lizzy-px8zx
    @Lizzy-px8zx 20 днів тому

    Pr me nashindwa kusahau yaliyotokea nyuma na kujihisi mwenye hatia

    • @pastormabamba
      @pastormabamba 20 днів тому

      Pole sana kwa hali hii unaipata katika kuachilia hisia hizo, usisite kunitafuta WhatsApp +255763221424 kwa msaada zaidi. Naamini pamoja tutashinda.

  • @NaftalimisangaMisanga
    @NaftalimisangaMisanga 23 дні тому

    Barikiw sana mchungaji

    • @pastormabamba
      @pastormabamba 23 дні тому

      Asante sana mpendwa, na wewe ubarikiwe sana.

  • @erickmwikwabe1791
    @erickmwikwabe1791 24 дні тому

    barikiwa pr

  • @tommasija
    @tommasija 26 днів тому

    Asante kaka, kuna jambo nimejifunza hapa, Mungu ni mwema!

    • @pastormabamba
      @pastormabamba 25 днів тому

      Asante sana kwa maoni yako yenye baraka! Nimefurahi sana kuona jinsi Mungu anavyofanya kazi kupitia video hii. Ni kweli, Mungu ni mwema, na tunamshukuru kwa uaminifu na upendo wake usio na mipaka. Barikiwa sana Kaka!

  • @pastormabamba
    @pastormabamba 29 днів тому

    Tumia hii link kukaribia katika Maombi kila siku ya Jumapili saa 11-12 Alfajiri, na Jumatatu-ljumaa saa saba na nusu hadi saa saba na dakika arobaini na tano Mchana. us06web.zoom.us/j/7912639040?pwd=NaZLD9hhZuzqN4KmALpHdnk6eBO4kr.1

  • @emasilagomi2629
    @emasilagomi2629 Місяць тому

    Mungu azidi kukubariki.mafundisho mazuri

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      Asante sana. Na wewe pia ubarikiwe sana.

  • @user-fv6wz1wn2d
    @user-fv6wz1wn2d Місяць тому

    Barikiwa sana mutumishi wa Bwana

  • @davidelisha3469
    @davidelisha3469 Місяць тому

    Nimeelewa sawa pr

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      Asante kwa kuwa umeelewa ujumbe huu. Ubarikiwe sana.

  • @user-fg6rr2jw1r
    @user-fg6rr2jw1r Місяць тому

    Amen Hallelujah Jehovah… Ready for the new Journey. Asante Yesu

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      Thank you for your heartfelt comment! We praise the Lord for this new journey and for His continual guidance. May Jesus bless you abundantly. Amen!

  • @Manumbu
    @Manumbu Місяць тому

    Barikiwe sana

  • @dr.danielmagomele721
    @dr.danielmagomele721 Місяць тому

    Ubarikiwe pr

  • @perestoga151
    @perestoga151 Місяць тому

    Pr Naomba namba yako

  • @NaftalimisangaMisanga
    @NaftalimisangaMisanga Місяць тому

    Ooo barikiwa sana pastor nabarikiwa sana na umenifumbua akili sana

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      Shalom! Asante sana kwa kutupa maoni yako ya kupendeza. Nimefurahi kwamba video yangu imekuwa na msaada kwako na kufungua akili yako. Endelea kufuatilia na usisite kuwasiliana ikiwa una maswali au maoni zaidi. Mungu akubariki!

  • @willymideso7938
    @willymideso7938 Місяць тому

    Asate Sana kwa mafunisho Mazurie unao tutoleya Siku kwa Siku nilipenda mafasirio kuusu ma chiffres Sawa vile bamba 8 Niki anza mapia na Mungu , 7 ni kukamilisha sasa zingine namba zona sema nini ? Ubarikiwe Sana Mushungaji .

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      @@willymideso7938 Nashukuru sana kwa maoni yako mazuri! Namba 7 inasimamia ukamilifu, kama ulivyoeleza, na namba zingine pia zina maana maalum katika Biblia. Kwa mfano: • Namba 1 inasimamia umoja na kuanzia. • Namba 3 inasimamia utakatifu na uhusiano wa kiroho. • Namba 12 inasimamia ukamilifu wa utawala na baraka. • Namba 40 inasimamia kipindi cha majaribu na maandalizi. Kwa maelezo zaidi, naomba uangalie maubiri yangu kwenye UA-cam na fuatilia ibada za mtandaoni zinazofanyika kila siku kwa ajili ya kujifunza kwa kina. Mungu akubariki sana!

  • @vinithamaphosa7349
    @vinithamaphosa7349 Місяць тому

    Ameeeeeen

  • @Splash_goodness
    @Splash_goodness Місяць тому

    Ni kweli kabisa

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      Mungu akuapatie nguvu ya kuanza upya.🙏🏽

  • @abraham-lawrencemrindoko9770
    @abraham-lawrencemrindoko9770 Місяць тому

    Powerful

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      May God give you strength in your new beginning!

  • @kijweninawinnie
    @kijweninawinnie Місяць тому

    Presentation nzuri sana

  • @vinithamaphosa7349
    @vinithamaphosa7349 Місяць тому

    Ameeeeeen ❤❤❤❤

  • @Jamani255
    @Jamani255 Місяць тому

    Ujumbe unaendana sana na sehemu nilipo katika maisha yangu sasa hivi. Nimejifunza kitu muhimu sana, nisilalamike wakati napitia hizi changamoto kwasababu ni kitu kizuri kwa imani yangu. Ubarikiwe sana Mtumishi!

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      @@Jamani255 Ninafurahia sana kusikia kwamba ujumbe umekusaidia katika kipindi hiki. Nia yako ya kujifunza na kutokata tamaa inatia moyo. Asante kwa kushare na mimi, na nakuombea baraka na nguvu zaidi kadri unavyoendelea mbele. Ubarikiwe pia!

  • @user-fg6rr2jw1r
    @user-fg6rr2jw1r Місяць тому

    Mungu azidi kukutumia Pr. Kwakweli Yesu ni kimbilio kwa wote. Tunakuombea

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      Asante sana kwa maombi yako, napokea baraka za Mungu. Na wewe uzidi kuinuliwa na Bwana hata milele.

  • @user-fg6rr2jw1r
    @user-fg6rr2jw1r Місяць тому

    Amina

  • @user-fg6rr2jw1r
    @user-fg6rr2jw1r Місяць тому

    Yes! Mungu atusaidie kuelewa hili. It’s hard😢. Barikiwa Pr

  • @NaftalimisangaMisanga
    @NaftalimisangaMisanga Місяць тому

    Barikiwa mchungaji tunaendelea kubarikiwa

  • @user-fg6rr2jw1r
    @user-fg6rr2jw1r Місяць тому

    Amen

  • @user-fg6rr2jw1r
    @user-fg6rr2jw1r Місяць тому

    Very true

  • @user-pv5zv3gq4j
    @user-pv5zv3gq4j Місяць тому

    Ubarikiwe sana Pastor Hili somo limenibariki sana❤

  • @Manumbu
    @Manumbu Місяць тому

    Amen 🙏 😊

  • @Manumbu
    @Manumbu Місяць тому

    This is deep😮

  • @Manumbu
    @Manumbu Місяць тому

    Hallelujah ✌🏼

  • @Manumbu
    @Manumbu Місяць тому

    Amen 🙏

  • @Manumbu
    @Manumbu Місяць тому

    Profound indeed

  • @Manumbu
    @Manumbu Місяць тому

    Namshukru Mungu kwa haya Mambo; 1. Uhai 2. Ulinzi 3. Familia 4. Watoto 5. Biashara. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.👊🏽

    • @pastormabamba
      @pastormabamba Місяць тому

      Mungu aendelee kukupa neema ya kusubiri na mengine kutoka kwake. 🙏🏽

  • @sharonmwesh696
    @sharonmwesh696 Місяць тому

    Amen

  • @christinalukwaro4062
    @christinalukwaro4062 Місяць тому

    Yesu ni Mshindi ,Atushindia Pia ,Amina

  • @sharonmwesh696
    @sharonmwesh696 Місяць тому

    Amen

  • @EnockMASABO
    @EnockMASABO Місяць тому

    Amen Pr ❤

  • @davidcyril4364
    @davidcyril4364 2 місяці тому

    AMEN