RASHID NA JENNIFER NI WASHINDI WA GREEN CARD LOTTERY TOKA TANZANIA WAMEFIKA USA RASMI KUANZA MAISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 77

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 3 місяці тому +1

    Rashid hongera, Be stable and be focused! Baki na imani yako, mtegemee Mungu wako!
    Mungu anajua njia upitayo

  • @brigitafelix2421
    @brigitafelix2421 3 місяці тому +5

    Hongereni sana Mungu awabariki sana

  • @miriamjacob6795
    @miriamjacob6795 2 місяці тому

    Mimi hapa na ukenya wangu naenjoy hicho kiswahili jamani aaaaaa, nitajiuma ulimi 😂😂😂😂😂😂😂. Congratulations to them 👏👏👏👏👏

  • @WWE12361
    @WWE12361 3 місяці тому +5

    Mungu anisaidie na mimi nipate hizi bahati 😔😔

  • @rayjohn5924
    @rayjohn5924 3 місяці тому +2

    Dada anaonekana she's so funny 😅, but bless her na jamaa waendako

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 місяці тому

      Kapata Visa ya Kuishi Marekani saafi sanaa hongera kwa Funny yake

  • @DMujuni
    @DMujuni 3 місяці тому +4

    Yeah hata mm nishawahi kuiona, ila kila siku Kuna watu wanaongezeka so kwa wengi may be brand new.

  • @rahabwambui
    @rahabwambui 3 місяці тому +2

    May God grant us too in Jesus name

  • @kevinmushi8209
    @kevinmushi8209 3 місяці тому +4

    Kazi iyendelee tutaondoka tu

  • @mussarashid2216
    @mussarashid2216 3 місяці тому +5

    Huyu Binti anaongea kama UTANI ila MOYONI yupo serious JOTO kali kweli na rangi hizi

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 місяці тому

      Aise Kwa kweli Amepata Na akifiak tu anapewa mchano

  • @mosesmochama9548
    @mosesmochama9548 3 місяці тому

    Hongera kwao na nawatakia kila la heri maisha Yao mapya Marekani

  • @canisiusibrahim9856
    @canisiusibrahim9856 3 місяці тому +3

    Tunaoma kama utaweza kuwafanyia follow up hawa maisha yanaendaje huko

  • @MariamPazi
    @MariamPazi 19 днів тому

    Next year inshaallah

  • @kevinmushi8209
    @kevinmushi8209 3 місяці тому +6

    Nime muelewa alivyo sema umaskini ume msumbua

  • @betricemainoya4176
    @betricemainoya4176 2 місяці тому

    Sana miaka yangu marekani naenda kufanya nini nchi ya ubaguzi.. Mimi nitafutieni tuu mume aje tuishi Naye Tz

  • @robo7311
    @robo7311 3 місяці тому +6

    Kupiga box ni nini

    • @gmaxtv1661
      @gmaxtv1661 3 місяці тому +1

      kupiga ni kufanya kazi kwa bidii au kazi ngumu, mara nyingi inayohusisha kazi za mikono au kazi zisizohitaji ujuzi maalum. Kawaida, linatumiwa na vijana ambao wanajihusisha na shughuli za kutafuta kipato, hasa kwa kazi za muda mrefu, kama vile kazi za ujenzi, kubeba mizigo, au

  • @tonyjames6658
    @tonyjames6658 3 місяці тому +1

    Hongera kwao sanaa.....

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 3 місяці тому

    Hongereni na karibuni Texas

  • @robertsolomoni6560
    @robertsolomoni6560 3 місяці тому

    Hongereni sana rashid

  • @halimamwamzola6102
    @halimamwamzola6102 3 місяці тому

    Malakasuka hongera sana

  • @amkizigo
    @amkizigo 2 місяці тому

    More inspired

  • @elment7269
    @elment7269 3 місяці тому

    Dada yuko reality sanaaa

  • @DianaChelangat-z8l
    @DianaChelangat-z8l 3 місяці тому

    Good luck

  • @stn4873
    @stn4873 3 місяці тому +2

    MIMI LABDA NILIMBUKENI AU NINA HOME FEVER ILA SIJAWAHI KUTAMANI KWENDA UGHAIBUNI AISEEE HATA KIDOGO

    • @issajumaali4009
      @issajumaali4009 3 місяці тому

      Kawaida sana hiyo

    • @EricTrillz
      @EricTrillz 3 місяці тому

      Pole sana😅😅😅

    • @stn4873
      @stn4873 3 місяці тому

      @@EricTrillz ASANTE SANA.

  • @TheHabitationOfChrist
    @TheHabitationOfChrist 3 місяці тому

    Duhh ebwana nishawahi shiriki GC mwaka 2005

  • @lornakatile459
    @lornakatile459 3 місяці тому

    Kupiga box ndio?😅

  • @MillyOwnio
    @MillyOwnio 2 місяці тому

    What is kupiga boxi tafadhali

  • @WilondjaAyeba
    @WilondjaAyeba 3 місяці тому +1

    Wewe dada wewe pole sana kwa mawozo yako, nakuhonea huruma sana kwa mawazo yako kabisa nani kakudanganya utapumzika uku marekani, pole sana njoo uhanze maisha usiriazi sasa maisha ya Time is money ndo life ya uku, akuna kulala uku dada pole sana 🤣🤣😂😂Eti maisha ya kupaha sijuwi uturuki daaaaah 😂😂😂😂njoo ujioneye dada

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga2139 3 місяці тому

    Congratulations

  • @robertsolomoni6560
    @robertsolomoni6560 3 місяці тому

    Sasa nitapata wenyeji siku nikienda marekani

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 3 місяці тому

    Naomba namba zako

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 Місяць тому

    Hii ilikuwa ya mwaka gani

  • @ahmedjannihy5778
    @ahmedjannihy5778 2 місяці тому

    Ukipata ni lzm kuishi Marekani

  • @WAKUONAFILMS
    @WAKUONAFILMS 3 місяці тому

    Kucheza unachezaje iyo greeni card? Kaka tafadhali nielekeze

  • @ChrissGameTZ
    @ChrissGameTZ 3 місяці тому +1

    hii kama marudio naona? uliwahi kupost awali

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 місяці тому +4

      Ishu sio kurudiwa kilichopo ni huu ni msimu wa DV lottery hii video ni kama ushuhuda au kuwapa watu moyo sasa wabongo badala yakuchukua hiyo ka motisha mnaanza toa kasoro ujuaji mwiingi sana tatizo

    • @ChrissGameTZ
      @ChrissGameTZ 3 місяці тому

      @@fahadfaraj6474 punguza jazba

    • @estherkeba24
      @estherkeba24 3 місяці тому

      @@fahadfaraj6474 una apply wap, tovuti ipi?

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 3 місяці тому

    Kupiga box ni nini?

    • @OmariEtetembaWilondja
      @OmariEtetembaWilondja 2 місяці тому

      Kazi Za kawaida kama Amazon na factory jobs na siyo manager, banker, etc.

  • @benjaminf361
    @benjaminf361 3 місяці тому

    😂😂😂huyo dada amenichekesha. Eti hii rangi sijui kama ni yangu. Kila raheri kwa hawa wandugu. Karibuni sana

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga2139 3 місяці тому

    Natamani uwapost baada ya mwaka ivi

  • @HussainSaidy-z8x
    @HussainSaidy-z8x 3 місяці тому +3

    wasafiri tulio kwenye process group letu la whatsapp lipo hai sasa kwa ajili ya kupeana support na kushauriana mambo mbali mbali karibuni

  • @BENEDICTMHINA-pd1kr
    @BENEDICTMHINA-pd1kr 3 місяці тому

    Anaombaje hiyo chance

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga2139 3 місяці тому

    Ila wananitia hasira

  • @abdllasalim3360
    @abdllasalim3360 3 місяці тому

    Kama wameomba mwaka jana si ni ya 2025 wanaondoka mwakani au inakuaje mbona imetuchanganya hio kaka

  • @jamesjonh4471
    @jamesjonh4471 3 місяці тому

    Wazee wa Hekima shwarii

  • @edwardndomba613
    @edwardndomba613 3 місяці тому

    Nawakubali sana

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 3 місяці тому

    Dada kanifurahisha anapiga boksi kwanza nakubali

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 3 місяці тому

    KUPIGA BOX NDIO NINI

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 3 місяці тому

    Hawa si walishaondokaga

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 3 місяці тому

    Trump Ana fukuza poleni

  • @amosmuriki-et1pz
    @amosmuriki-et1pz 3 місяці тому

    hahaha

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 3 місяці тому +1

    Mnaenda kuwa homeless

    • @Promk112
      @Promk112 3 місяці тому

      Unajua maana ya greencard wewe??

  • @section8ight174
    @section8ight174 3 місяці тому

    Huu ni UPUMBAVU wa hali ya JUU sana!!!! You will NEVER see any green card lottery to come to Tanzania! In short, wamarekani wanawaona mambumbumbu wa kutupwaaaa kha!

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 3 місяці тому

    Kupiga box ni nini?

  • @rahabwambui
    @rahabwambui 3 місяці тому +1

    Kupiga box ni nini