MBUNGE MUSUKUMA - "TUONDOE ELIMU BURE YA MSINGI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 173

  • @kalistokyando1670
    @kalistokyando1670 2 роки тому

    Huyu Mbunge ana hoja nzuri

  • @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
    @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM 2 роки тому

    Hapo umechemka bro

  • @FRPBYPASSTZ
    @FRPBYPASSTZ 2 роки тому

    Tutaelewana tu

  • @neemalubida2752
    @neemalubida2752 2 роки тому

    Ngwajima

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 2 роки тому

    Hapo mnataka kupiga hela za ada

  • @pollworke8642
    @pollworke8642 2 роки тому

    Msukuma nyamaza

  • @tinner7634
    @tinner7634 2 роки тому

    Ww ndo mbulula kweli.

  • @japhetlaizer3919
    @japhetlaizer3919 2 роки тому

    Hapo umerong msukuma

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 2 роки тому

    Kwakweli nimekuelewa sana Msukuma

  • @senenembeya.9753
    @senenembeya.9753 2 роки тому

    Kuna vichwa bungeni..msukuma ni kichwa

  • @salagojilunga2289
    @salagojilunga2289 2 роки тому

    Sjakuelewa

  • @saidichejele2397
    @saidichejele2397 2 роки тому

    Bora aishauri serikali waongeze waalimu kuliko kuondoa elimubure

  • @godfreyjackson4499
    @godfreyjackson4499 2 роки тому

    Skilizen mpk mwisho mtamwelewa,, achana na kichwa cha habari

  • @livinusmugisha5469
    @livinusmugisha5469 2 роки тому +1

    Munɡu akusaidie sana msukuma huwa nakuelewa

  • @josephmagengeli5898
    @josephmagengeli5898 2 роки тому

    C muajili walimu muongeze na shule zenye majengo mengi

  • @mtondojackob5497
    @mtondojackob5497 2 роки тому

    Leo msukuma kaonesha uwezo wake wa mufikiri

  • @shabanibumbo5774
    @shabanibumbo5774 2 роки тому

    wew musukuma leo ndio umeongea pumba kuliko siku zote au unatumwa sasa hivi umeshakua mamluki elimu bule iondolewe unaona wanajaa mashulen sababu hawana pesa ya kuwalipia nakuhakikishia hakuna hata mtu mmoja anaependa mwanae asome kayumba ni umasikin tu acha uboya utapoteza heshima yako sasa hiv kama zito kabwe

  • @bernardmolell5593
    @bernardmolell5593 2 роки тому

    Ase toa hoja ingine lakini c kwakutoa elimu bure

  • @lamlanyava6153
    @lamlanyava6153 2 роки тому +1

    Dah kwa Mara ya kwanza sijakuelewa msukuma; mbona kuna watu wengi hawana ajila afu walimu hawatoshi

  • @livinusmugisha5469
    @livinusmugisha5469 2 роки тому +1

    Msukuma unajitaidi sana anɡalau. kaelimu kako ulikonako unakatendea haki.

  • @emmanuelsimon545
    @emmanuelsimon545 2 роки тому

    Wakiweka ada inamaana wengine hawatasoma kujaa kwa wanafunzi kutoe chachu ya kutumia lasilimali tulizonazo

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 роки тому +1

    Muongo huyo watoto Mia 5 darasa moja

  • @Reality29-x4f
    @Reality29-x4f 2 роки тому +7

    baada ya kufikiria unaboreshaje miundombinu unawaza kuweka vikwazo watoto wa maskin wasiende shule,heri nusu Shari kuliko Shari kamili.Msukuma umepoteza point 3 leo😎😎😎

  • @muhundaramadhani5057
    @muhundaramadhani5057 2 роки тому +4

    Hapo cjakuelewa
    Mtaani kuna Waalimu wengi sana hawana ajira.
    Badala ya kuondoa Elimu Bure
    Mbadala ni kuajiri waalimu wa kutosha kukudhi mahitaji

    • @g-abbastechnology1818
      @g-abbastechnology1818 2 роки тому

      nafikir hiyo ndio target yake kuliko wanafunzi 3000 walimu 9 ni bora walimu waongezwe

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 роки тому

    Bony nani awaige chadema, acha mawazo mgando

  • @piuskerambo6769
    @piuskerambo6769 2 роки тому

    Ò

  • @immathebonga5164
    @immathebonga5164 2 роки тому

    Msukuma sku zote alikuaga anaongea point saiv nahis kalogwa

  • @Malogoi
    @Malogoi 2 роки тому

    🚬🚬

  • @hassanisalimu8228
    @hassanisalimu8228 2 роки тому

    Nipo mang'ola nimekupata kwaundan sana

  • @calvinlameck1577
    @calvinlameck1577 2 роки тому

    Acha ujinga!! Badala kusema waboreshe unasema watoe TNA!

  • @washingtonmashambo9552
    @washingtonmashambo9552 2 роки тому +18

    Huyu jamaa sio darasa la saba elim kubwa sana alionayo huyu akil kubwa sana

    • @manilabonalumanula1014
      @manilabonalumanula1014 2 роки тому +2

      Kila mtu ana karama/talanta kutoka kwa Mungu, hivyo basi shule /elimu ni sawa na kufika mahali unauliza wenyeji njia ya kuelekea unakotaka kwenda

    • @peterscharless4710
      @peterscharless4710 2 роки тому

      Hakuna cha elimu kubwa akili yake ni ndogo sana anavyosema elimu walipie kwan tulivyo kua tunalipia walimu waliongezeka shule zilikua nzurii madawat yalikuepo vyetu ivyo vilikua majanga hawa wabunge hawatutetei kwakua wao watoto wao hawko kwenye shule za kat ndio Mana anasema ada irudishwe lakin mungu anawaona pumbavu

    • @bekaashbai1781
      @bekaashbai1781 2 роки тому

      Pamoja

    • @bekaashbai1781
      @bekaashbai1781 2 роки тому

      Nakubali Sana hoja ako inamashiko sana

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 2 роки тому

      Kitu kilichonishabgaza eti utanaduni Watu wanaoimba bila Elimu wametunukiwa mamimilioni ya Shs hawa waalimu wengi ni graduates 🎓 lkn hawakumbukwi mishahara na marupurupu yao kutokana na mazingira wanayoishi na kufanya lizingatiwe Mungu awapatie moyo Mkuu

  • @rahimtactic1544
    @rahimtactic1544 2 роки тому

    MUAJIRI WATU..KUMBE HAKUNA WALIMU NA HAMTOI AJIRA ACHENI UPUUZI ONGEZENI WALIMU ELIMU BURE IBAKI

  • @justerissaya9165
    @justerissaya9165 2 роки тому

    Kwan walimu SI wanahitimu kila mwaka kwann wasiajiriwe wote na madarsa yaongezwe mashulen Mana pesa mnazo kila sku mnakopa

  • @saadatimussa4183
    @saadatimussa4183 2 роки тому

    Huwa ninakuelewa sana mh Msukuma

  • @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
    @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM 2 роки тому

    Sasa wew unataka nani alipe hiyo gharama ikiwa utatoa elimu bure

  • @saidichejele2397
    @saidichejele2397 2 роки тому

    Hivi yeye ni mfanya biashara tena wa mabasi itakua vizuri tuondoe naulii

  • @petermsangi2701
    @petermsangi2701 2 роки тому

    Huyu jamaa kaongea ukweli kabisa ,,,

  • @kasimukulama6214
    @kasimukulama6214 2 роки тому +3

    Kuna jambo muhmu sana ambalo nchii bado halijatambua,khs ishu za ajira,si kwamba ajira hakuna,ila kumewekwa mda mrefu wa watumishi kazn, hebu wekezen constant miaka 7-10, naamin hlo jambo litaisha,na kila alyesoma ataonja radha ya ajira,na hat hyo mikopo italud,pia hakuna ambae atakua mzemb na mshahara wake,pai heshma baa itapotea na itasadia mtu kujpanga kwa kuanza maisha mengn mtaan,so ajir ztaongezeka kwa wasio soma

  • @jastinjustus6878
    @jastinjustus6878 2 роки тому +2

    Huyu ilo jengo linamchanganya hajui baada ya kurudi elimu ya kulipia watoto wangapi watarudi nyumbani ,jambo la msingi aishauri serikali iboreshe miundombinu na kuwaajili walimu ,izo tozo wanapeleka wapi pesa????

  • @elilumbamkumbo1676
    @elilumbamkumbo1676 2 роки тому +1

    👋🏼👋🏼👋🏼📌📌

  • @mkamamkengeji4240
    @mkamamkengeji4240 2 роки тому

    Wafanyakazi mishaara midogo aitoshi kabisa Wala Awana uwezo

  • @livematchcentre21
    @livematchcentre21 2 роки тому +6

    Mbunge asiyejiheshimu yani huyu akamatwe apelekwe kwa waarabu wamuozeshe tupate punguzo la mafuta

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 2 роки тому +1

    TATIZO SIYO ELIMU BURE!
    ELIMU NI HAKI YA MSINGI YA KILA MTOTO WA KITANZANIA.
    TATIZO NI UHABA WA WALIMU.
    JE WALIMU WAPO AU HAWAPO?
    JIBU WAPO WA KUTOSHA MTAANI.
    HIVYO ISHAURI SERIKALI IAJIRI WALIMU WA KUTOSHA.
    NA SIYO KUONDOA ELIMU BURE.
    LEO MSUKUMA UMECHEMKA

  • @ufanisuliotukuka5535
    @ufanisuliotukuka5535 2 роки тому

    Haka we ni jiwe la ukweli

  • @johnchanzi610
    @johnchanzi610 2 роки тому

    A cha ujinga we Kama unahela zakupeleka wanao natauchoongeahakieleweki

  • @alexiavegulla9664
    @alexiavegulla9664 2 роки тому

    Hii pumba unaongea wew kwel mheshimiwa😃

  • @danielsamwel4432
    @danielsamwel4432 2 роки тому +1

    Haki ya wote kupata Elim izingatiwe.

  • @matindetui207
    @matindetui207 2 роки тому +3

    mimi hua nakuelewa laki leo hapana na wewe leo unamkataa magufuli ama kweli tatizo si elimu bule tatizo ni miuodo binu ya shule

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 2 роки тому

    Huyu jamaa kwa sasa aitwe ,Profesa Msukuma

  • @abuuseugendo
    @abuuseugendo 2 роки тому

    Alieandika caption awe makini

  • @mkanzakazeni6752
    @mkanzakazeni6752 2 роки тому

    Mchango mzuri lkin ,watot wa maskin wenye akili n akina nani na wasionakili n akina nani?

  • @peterscharless4710
    @peterscharless4710 2 роки тому +2

    Kweliii mfanya biashara hawez kua mtetez mhhhh

  • @stevenmanyalu890
    @stevenmanyalu890 2 роки тому

    Msukuma leo umechemka zingetafutwa njia nyingine za kutatua hili lakini sio kutoa elimu bure

  • @justerissaya9165
    @justerissaya9165 2 роки тому

    We nawe ni shida kwan elimu Bure imeanza lini !? Ata miaka kumi bado hao watoto wamemaliza Lin shule ya elimu Bure wakaenda kuwa machinga

  • @bennysanga2873
    @bennysanga2873 2 роки тому +1

    Hivi wewe msukuma unajielewa kweli au, unamaanisha unataka wanafunzi wapungue mashuleni usidhani wazazi wote wana hela za kusomeshea? Hayo mnayo yasema hapo ndio matokeo ya kusababisha majambazi
    Magufuli aliona mbali sana sababu kuna watoto wa masikini vijijini wana kosa elimu ndio maana akaweka elimu bue

  • @kamalissabig4631
    @kamalissabig4631 2 роки тому +3

    Yan Tanzania tu Mbunge mmoja Msukuma tu hao wengine Kaz Yao kututombea mademu Zetu tu huku mtaan Kuma la mama ake Akisha mkula anakimbia Kama Husein Bolt Yan namtam Kuna Mbunge ipo cku ntalipa ata kwa Mke wake Mbez Beach ndogo tu ntapajua kwake atafurah

    • @mohamedmkadidi9475
      @mohamedmkadidi9475 2 роки тому +1

      Kama unadem Udom poleee Hahahahaha

    • @kamalissabig4631
      @kamalissabig4631 2 роки тому

      @@mohamedmkadidi9475 si Bora ata ingekuwa UDOM huku huku dar

    • @mohamedmkadidi9475
      @mohamedmkadidi9475 2 роки тому +1

      @@kamalissabig4631 Hahahahah pole sanaaa hao jamaa Uchi nd kila kitu kwao hawana kaz za kufanya ndomana siwez kuandamana kwaajil ya hao mbuzi ata cku moja

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому

      Hee ilikuaje tenaa

    • @mr.silvertbravo8627
      @mr.silvertbravo8627 2 роки тому

      @@miriamwinston9908 unataka story

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 2 роки тому +4

    Ila wabongo wa kukurupuka na kuanza kuandika hawajambo! Unsoma comments hapa baadhi zinashangaza mnooo! Ni vyema ukatuliza akili na kukifatilia kitu kwa undani kuliko ukisikie tu juu juu halafu ujifanye umekielewa! Mnaomshutumu msukuma hamjamwelewa msukuma!

    • @marymfugwa847
      @marymfugwa847 2 роки тому

      Msukuma kasema ukweli kabisa walimu ni wachache watoto ni wengi.

    • @dicksonjustine2557
      @dicksonjustine2557 2 роки тому

      Hakika,mi nimemuelewa yaan serikal wanapoteza ela nyingi bila sababu ya msingi,maana elimu ya bure hamna mkazo wowote uko

  • @allexlunny7795
    @allexlunny7795 2 роки тому +8

    Saizi Mr.Msukuma ni dr. soon atakua Profesa

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 2 роки тому +3

    Mbona wakati wa magufuli hukushauli elimu bure iondolewa mnafiki mkubwa w

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 2 роки тому

    Huyu nae. Tangu elimu ilivokua yakulipia hapakua na walimu wakutosha. Kwa hivyo we we ulitaka watoto was masikini wasi some . watu kama wewe ndio mnatakiwa Mungu awaondoe duniani faster. Sijui nani kampigia kura huyu chawa

  • @mohamseyf6243
    @mohamseyf6243 2 роки тому

    Kwa hili msukuma umefeli pointless.

  • @tiffahdangote7548
    @tiffahdangote7548 2 роки тому +10

    Ukweli NI kwamba yashawashinda!!!!!

  • @amossbuyamba7326
    @amossbuyamba7326 2 роки тому

    Hili nalo jipu ka jipu jingine.badala ya kusema ajila zitolewe wewe unabwabwaja et mlikosea

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 2 роки тому +4

    Kwasasa Hakuna bunge lenye tija kwa nchi, wa bunge acheni kukurupuka tu bila kufikilia, tambueni maamuzi mnayofanya yanaathiri wananchi wenu moja kwa moja.

  • @ndalelias3195
    @ndalelias3195 2 роки тому +2

    ❤❤❤❤❤❤akili kubwaaaaa wafundishe maprofessor

  • @sporthighlights9563
    @sporthighlights9563 2 роки тому +2

    Yaaani msukuma nakuombea uwe kuwa raisi Siku moja asante brother upo vizuri Mungu akutangulie na akuongoze kwenye safari yako💪.

  • @trissateddy9909
    @trissateddy9909 2 роки тому +3

    Ukweli mtupu..

  • @stevinpatrick805
    @stevinpatrick805 2 роки тому

    Yani kweli watoto hawajui kusoma na kuandika

  • @realramjen3270
    @realramjen3270 2 роки тому

    PHD unaitendea haki,Dr.Joseph

  • @eenpaard3915
    @eenpaard3915 2 роки тому +1

    Ongezeni walimu

  • @neemakilingo8282
    @neemakilingo8282 2 роки тому

    Nikiwa km mwl Yupo sahihi kabsa mambo ni magumu Sana shule za serikali za primary

  • @mussaandrea2317
    @mussaandrea2317 2 роки тому

    ❌wrong kama wanafunzi ni wengi si utoe hoja ya walimu kuajiriwa. Kuliko elimu bure kufutwa na mototo wa maskin kukosa elimu

  • @stevenmanyalu890
    @stevenmanyalu890 2 роки тому

    Weee umechemka ww unamkopeshaje mtu ambae Hana kitu

  • @juliuskyabona5373
    @juliuskyabona5373 2 роки тому +2

    Toeni ajila kwa waalimu mbona n wengi wapo mtaani?,, baada yakusema tuongeze ajila we unasema elimu bure ikome,, na kodi zilivojaa,, nyie mkoje

  • @shakurabdul73
    @shakurabdul73 2 роки тому

    Uyu jamaa anawaza nini

  • @evaristbulashi3190
    @evaristbulashi3190 2 роки тому

    Dr. Kuna shida na namna unavowaza kwenye hili la kuondoa elimu bure.

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 2 роки тому

    Msukuma leo umechemka sema waalim sio elimilipiwe hacha kutuchanganya hao masikini unaoongeani wapi naunaotaka waccangie Elin niwapi leo umechemka

  • @sijalikifunyo912
    @sijalikifunyo912 2 роки тому +1

    Kuna wakati la saba la msuku huwa linaonekana wazi.

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 2 роки тому

      HUjamuelewa

    • @sijalikifunyo912
      @sijalikifunyo912 2 роки тому

      @@jameskilasa759 nimemuelewa sana, mimi vyeti vyangu viliungua na nimepata kazi lkn vyeti viliungua.
      Nilikuwa nimeviweka kwenye email.
      Sasa kama bondi naweza chukua pesa ndefu vyeti wakabaki navyo na maisha yakasonga.
      Ndo maana nikasema la saba kuna kipindi linajidhihirisha.

  • @hoseamagese4863
    @hoseamagese4863 2 роки тому

    Elimu Bure haina tatzo ww ishauri serikali iongeze ajira za walimu si madarasa yameshajengwa kwa Fedha za covid 19.

  • @maishakisunzu3907
    @maishakisunzu3907 2 роки тому

    Msukuma ndo daktari wa wabunge!!

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 роки тому

    Hv wewe msukuma minlazima uchangie Kila hoja?

  • @officialmisungwi8870
    @officialmisungwi8870 2 роки тому

    Hapa msukuma umeningia kinyume naa... Haujui kuwa kuna wazazi masikini huku mtoto anakipaji???

  • @Auntybetty_tz
    @Auntybetty_tz 2 роки тому +1

    Sio kufuta elimu bure, ni kuongeza madarasa na kuajiri walimu wakutisha kupunguza huo mrundikano madarasani, na mikopo ya elimu ya juu iendeelee Ila wakimaliza chuo waajiliwe na serikali itakata madeni yao. Msukuma wewe ni jiwe lakini kwa hoja hii umetokosa sikuelewi baba.au unataka masikini wasiosoma waongezeke ?

  • @sulleysonmishlay8253
    @sulleysonmishlay8253 2 роки тому +1

    Watoto wengi Wacha wasome ,elimu bure ndiyo NZURI ,we msukuma Leo umechemka kwelii , kwanini serikali ikaajiri Waalimu

    • @neemakilingo8282
      @neemakilingo8282 2 роки тому

      Wanasoma ndio lkn sio Bora mtoto anafika la 3 hajui kusoma mazingira ni magum otherwise waajili walimu wa kutosha

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 2 роки тому

    Huyu jamaa zero

  • @amonmajaliwa7967
    @amonmajaliwa7967 2 роки тому

    Mimi nimemuelewa msukuma na wazo lake juu ya Elimu ya msingi.lingekuwa na tija kama angetoa wazo mbadala badala ya kuacha kutenga fedha za elimu bure. Nafikiri ni kuongeza budget kuwarecruit walimu wa kutosha ambao wapo wengi pasipo na ajira ikizingatiwa kwamba Elimu ni Haki ya kila mtu

  • @ollacamusic
    @ollacamusic 2 роки тому +2

    Wangapi waliskia na hii 👇👇👇👇
    ua-cam.com/video/SgrMYz661Is/v-deo.html

  • @alexmasinde2031
    @alexmasinde2031 2 роки тому +1

    Research za mchongo tu sk hz

  • @danielysaruni5686
    @danielysaruni5686 2 роки тому

    Kweli hawa wabunge ni hofya waliopitisha kusema shule ni bure bila ada leo hii unatuambia nini

  • @bernardmolell5593
    @bernardmolell5593 2 роки тому

    Dah msukuma hapo sas hapan tulikuona wa maana Sana lakini unaelekea pambay Yaan unataka watoo wetu warudi nyumban hapan ase

  • @johnchimwaga26
    @johnchimwaga26 2 роки тому +2

    Sijakuelewa msukuma, unamaanisha watoto wa masikini hawana haki ya kupata elimu? Unataka elimu iwe ya wenye uwezo wa kulipa ada?
    Mbona unataka kutengeneza matabaka na kuzalisha machokora au watoto wa mitaani wakutosha!!?
    Tatizo si wingi wa watoto, bali serikali iongeze shule, iongeze majengo ya shule na waalimu.
    Pamoja na wingi wa watoto, lakini wote wana haki ya kupata elimu.
    Pia serikali isimamie vizuri wafanyakaz wake, mbn mzee wetu JPM aliweza? Sisi tuliobaki tunakwama wapi, wakat hata kodi mlitupandishia?
    Tendeni ya haki, na Mungu atawslipa yaliyo ya haki.
    Mungu awabariki sana.

    • @silentd.engadu.7497
      @silentd.engadu.7497 2 роки тому +3

      Kweli ujamuelewa

    • @silamwansanga5321
      @silamwansanga5321 2 роки тому

      Msukuma na elimu wap nawap?hapo anataka akae madarakani milele wasomi watatoka wap tena wakati watakua machokolaa??

    • @g-abbastechnology1818
      @g-abbastechnology1818 2 роки тому +1

      haujamuelewa target yake watoto wanapelekwa shule pass na elimu hii amelenga walimu waongezwe kutokana na ongezeko la wanafunzi sio wanafunzi 4000 walimu 9

    • @dmox8723
      @dmox8723 Рік тому +1

      Huyu jamaa msikilize vzr ndio utamuelewa! Ila kwa upande wng mm hata wanaposema elimu bure mmmmh hakuna bure kwakwel kila siku michango mashuleni na usiombe mwanao awe dalasa la 4 au la saba

  • @sirojingereza6495
    @sirojingereza6495 2 роки тому +1

    Hahahaha yaah nimekuelewa msukuma

  • @mdachistearmedia9110
    @mdachistearmedia9110 2 роки тому

    Atoe mawazo yake bana.akati wanatukata mapato mengi mengi mara kodi za nyumba,mara mafuta yaan apa wakilala wakiamka ni kitu kipya

  • @peterfesto3150
    @peterfesto3150 2 роки тому

    Atakipindi tunalipia hali ni ileile we msukuma kweli huna akili kabisa

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 2 роки тому

    Ndio maana ya mwenye nacho huongezewa

  • @mohamedmkadidi9475
    @mohamedmkadidi9475 2 роки тому +2

    Elim bure iendelee mpaka mwisho msituletee visingizio vya kishoga Qmamaee

  • @ramadhaniiddi4737
    @ramadhaniiddi4737 2 роки тому +2

    darasa la saba ni shida tupu, hujui sheria za kimataifa Kua kila mwananchi anatakiwa kufundishwa na nchi yake bure?

    • @neemakilingo8282
      @neemakilingo8282 2 роки тому

      Lkn haina tija me mwenyw mwl darasa leny watoto 200 NI ngum kumudu wajue kusoma, km co mwl huwez ona hio shida, walimu wanafundisha wanapoweza akichoka anaburuza tu Kaz kwa wazaz wao

  • @hassanmirambo564
    @hassanmirambo564 2 роки тому +7

    Hiyo milioni 500 iliyotolewa ili kumchafua JPM itawatesa sama msenge wewe,badala ya kusema muajiri walimu unaleta habari za kisenge,haya kakae na mwigulu mpange ada tena shule za msingi tuwekeeni laki tano kwa mwaka fala wewe

  • @peterscharless4710
    @peterscharless4710 2 роки тому +3

    Ukiwa na wabunge Kama hawa wajinga kwaiyo hiyo pesa ya tozo pesa ya uviko mnazokopa zinafanya kaz gan

  • @safarishaban6024
    @safarishaban6024 2 роки тому +1

    darasa la 7 bungen 🎫⛄⛄⛄ ndo mazara yake hayo