Kaka Emmanuel Mimi nakukubari sana kama mdogo wako wa pekee unayo yasikia yasikuvunje moyo kwa kuwa huduma uliyo nayo in kubwa na maadui ni wengi kwahiyo usiogope kwa ajili ya vitisho vyao kk mungu akuwezeshe kupita salama katka kipindi hiki.jifunze kunyamaza kwa sasa
Ubalikiwe sana kwa ujumbe mzuri Mtumishi wa BWANA
Amen mtumishi sema tupone
Pst,,,,,,,umenisogeza hatua Moja mbele kwamba kusubiri na kuvumilia ni muhimu sana Mungu msaidie pst ktk huduma yake..
Mungu atusaidie kwa kweli kutoka kwenye izi carbeg na michicha
Nimenukuu kitu hapa Mtumishi Barikiwa sana
Ubarikiwe Pastor. Piga kazi ya Mungu. Nakuelewaga sana Masanja
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Nakupenda yapo cmzidi Yesu wa Nazalet
Ubarikiwe sana.
Amen pst barikiwa sana kwa huu ujumbe ❤️🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Kaka Emmanuel Mimi nakukubari sana kama mdogo wako wa pekee unayo yasikia yasikuvunje moyo kwa kuwa huduma uliyo nayo in kubwa na maadui ni wengi kwahiyo usiogope kwa ajili ya vitisho vyao kk mungu akuwezeshe kupita salama katka kipindi hiki.jifunze kunyamaza kwa sasa
pastor hakika Ujumbe huu Mungu alikutumia kunifikia mm.
Hapo nimekuelewa mchungaji.
uku sengerema tunabarikiwa mtumishi
Mungu mwema ninabarikiwa Sana
Ameen mungu akubarik
Safi sana😂😂😂😂
Amen
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, material za kahawa
Ameni mjungaji afatilia mahubiri yako kutoka Nairobi Kenya
Ameeen
Amen ameniiii
Amen and amen
Ameen
Sasa nini mnatafuna bigjii kanisani ninyi wadada hapo mbele
T
TUNAPONYWA KWA NENO ANALO TOA MASANJA KWA KUPEWA NA MUNGU EMEEE
Nice
Amen
Amen