NONDO ZA MCH MSIGWA, Eti Nchi inaongozwa na Juma na Roza / Ataka CHADEMA ipewe Ridhaa ya Uongozi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 чер 2024
  • #BmtvTanzania #Bmtv
    Tembelea
    bmtvtanzania.com/
    INSTAGRAM
    / bmtvtanzania
    FACEBOOK
    / bmtvtanzania
    TWITTER
    / bmtvtanzania1

КОМЕНТАРІ • 15

  • @richardnyarugenda9769
    @richardnyarugenda9769 24 дні тому +2

    Ccm ni chama cha wezi na wauza mali za Wananchi.
    Chadema ni chama cha *HAKI*
    TUCHAGUE CHADEMA.❤

  • @Gelenya-ne2ip
    @Gelenya-ne2ip 22 дні тому +1

    Mdomo ukiuruhusu huongea chochote! Kutenda ni jambo lingine! Na mara nyingi wanaongea na kukosoa sana SI watenda kazi wazuri! Muwe na kiasi!

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 24 дні тому +1

    Ndio maana unaona inchi inavyokwenda Elimu yetu Ni ajabu sana watalamu wetu wanatuangusha sana .

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 24 дні тому +1

    Kitu muchungaji ulichokosea sio kwamba tunajitawa,IMF Word Bank ndio wanao tutawala.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 24 дні тому +3

    Msigwa juma na roza ndiyo imekufikisha hapo,unataka kutuambia hautaweza kungoza kwa juma na roza

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 24 дні тому +2

    Samia jafai

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 23 дні тому

    Inaonyesha vijana wengi Singida wamekosa elimu, wahaonyeshi kubaini hoja muhimu za ukombozi zinazotolewa na wasomi. Wao kila lijalo ni sawa leo na kesho.

  • @adrianoadriano-ys6bm
    @adrianoadriano-ys6bm 24 дні тому +1

    Yes mjukuu wa Mkwawa. Babu yako aliona mbali tena aliwakataa wajeruman. Leo tumekuwa mambumbumbu mpaka tunalamba miguu ya mwaarabu!

    • @JacksonNovatM
      @JacksonNovatM 24 дні тому

      Hata kama. Matatizo hayawezi kutatuliwa na akili zile zile zilizosababisha matatizo yenyewe.

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 24 дні тому +1

    Hahahahahaha

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 24 дні тому +2

    Chadema Hanna jipya sera Hanna KZ kutukana msigwa nenda mazabaoni ukahubiri Chadema MNA pata rudhuku ofisi Hakuna nyie wapigaji tu

  • @machujamathias7165
    @machujamathias7165 24 дні тому +1

    Kwan chadema hamuwezi kufanyaaa siasa , mpka mtukanee . Mnahizi kutukanaa ndio mtapata kula ACHENI utoto nyie, ndio wajinga

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 24 дні тому +1

      Kama wametukana kawashitaki usivumilie.

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d 24 дні тому +1

    Wewe mwenye we somea vitabu hivyo mpaka unasimama hapo Kama siupumvavu ninihiyosasa na kwanza hivyo vitabu sasa hivi havipo ndio mana kumbe umefhulimiwa ushindi kwa sababu ujinga wako