Takriban miaka 9 toka utoke huu wimbo Tumshukuru mungu kwa kuiyona 2024 Wangap wap ma hospital wengen mwaka hawaJauwona kabisa😢 Sio kwa nguvu zetu bali n mungu Mwenyewe kwakutulinda Mpaka Leo 2024 kwa mala nyingine tunautizama Tena huu wimbo
mwanzon wakat inapigwa hii nyimbo sikujua niyako mpaka nilipokuja kuambiwa all the best ila kidgo sauti haikutofautish na nuhu mziwanda hem jaribu kuangalia hilo uwe na tune yako mwenyew
aah tena ye ni ndege mti wake ni mi katua umbali sio kikwazo michepuko haina nafasi kaganda haja ni kimbia hata leo sina kesho nitapata anajua hapendi kusono naye acheni mi nimkissi💋💋 hadharani ni mkumbatie acha wivu weee..😙
Takriban miaka 9 toka utoke huu wimbo
Tumshukuru mungu kwa kuiyona 2024
Wangap wap ma hospital wengen mwaka hawaJauwona kabisa😢
Sio kwa nguvu zetu bali n mungu Mwenyewe kwakutulinda
Mpaka Leo 2024 kwa mala nyingine tunautizama Tena huu wimbo
kama kuna mtyu kaitazama mwaka 2024 naomba tufahamiane jpo kushow most love kwa timbulo
Jaman si atoe nyimbo kama hiz tena tumemmiss miss sana❤❤
Dah mpaka raha sauti nzurii
Me kwng bdo mpya hii tujuane team timbulo
Timbulo nakumic mic ma baby sana nasema nWw nakudedicate ka wimbo bomba😘😘 keep it up
wajua kuimba sana timbulo very nice toka pande za oman
From Kampala Uganda, let me say that the song is so good brother Timbulo.
Ngoma kali sana, sichoki kuitazama kila siku hali ya mungu.
hongera sana
Richard Nyombi
😮😮😮@@bibimwaju4821
Hongera TIMBULO kaz nzuri sanaaaaa
Here 2020, after corona outbreak,,
Ambaye bado anasikiliza hii gonga like
i know Im kinda randomly asking but does anybody know of a good place to watch new tv shows online ?
@Aiden Kylo lately I have been using flixzone. Just search on google for it =)
Naipenda hii nyimbo ni baraaa Ani mungu akujalie maisha marefu timbulo
...Hapa mwananguli ulituliza akili..big up
Naupenda sana huu wimbo kwakweli unanikumbuka mbali sana
Nakumic mis twakumis wew timbulo 2021,, twende pamoja
Umetishaa beby nakumic sana nasema naweweee nakudedcet kawimbo bombo niashiiiiidaah
ok
Elautery Peter very nice kaza buti broo Tupo Pamoja
sawasawa mwana, nakuelewa sana asee, umetupia fantastiki, kawimbo bombaaaa big up.
Hii kitu ina ni make na miss back na days mwana, unajuwa sana👊🏼👊🏼
This song is still amazing...still listening till now❤❤👊👊
kweli hapa umetoa kazi nzuri umekuja kivingine kabisa. hongera
Good music keep it up nmemuimbia demu wang kanisamehe
kaz nzuri xana father...!!!
Shabik moja apa Kama nawewe shabik moja lake zako mhimu kwatimbulo
Love you timbuloo nyimbo yako inanigusaa mtima wangu ni nzuri taam mnooo
malkia vasht
Six pack 🤓🤓🤓🤓
U gud tho ally
Namkubal sanaa huyuu kaka wanaoikubal hii nymbo ngogaa like hapaaa❤❤❤
nakupenda.sana.❤
Halafu siku ya yanga day wakamtoa uwanjani mapema, Mimi niliumia sana 😢
Dah uko vizur sana yani nakukubali kinoma
Mmh hicho .... Hatari
Timburo fundi tuache unafki 2020 bado ipo kwenye chati
Nyimbo musuri huwa naipenda hainiishi ham kuisikiliza
wimbo.wako ni mzuri sana timbulo nakupa big up. kaza buti kaka angu usikate tamaa..
Timbulo umetisha sana nakupenda bure Walahi kisauti kitamu mno
nyimbo nzuri sana na video iko bomba na naidedicate nyimbo bomba
Nice sanaaaa timbulo ani kasauti katamu kweli
Asante kwa kumuimbia dadaangu jana @timbulo. Anakupenda sana na ameshukuru sana.
Duuuuuuh uuuuuuh wimbo naupenda ata xichoki kuxikiliza nakubali xanaaa kazi zako timbulo
Respect kaka kila kitu kwako nakikubali sana.
😭😭😭😭😭😭naumia moyo sana hii nyimbo inanigusa kwa mtima
You hundsome Timbulo sura sawa na sauti😂good work
Dah uko wap timbulo jaman
jamani hiiiih nyimbo niliickia kipindi nipo mdogo lakini nikasahau kaimba Nani mpka 2023 ndo naikuta nimeangaika sana duuuuuuuuuuh😂😂😂😂😂 nimefulai Leo
mwanangu style ya nyimbo zako hz nazizimikiaga sana! Endelea kung'ara!!
Vocal Vibe
kila wimbo wako Timbulo yananipandisha mzuqa
kaka uko juu bila mpingo
Sijui kiswahil ila huu wimbo mkali sana had leo 2019
Ramadhan Kayoko na hapo umeandika kisukuma
sana
Ramadhan Kayoko hujui kiswahili mbna umeandka kiswahili acha zarau
kakuandikia nani kama ujui swahil
Umeandika kichina nn
umepotea sana kaka kulikoni?jamiii imemiss huduma yako kiburudani
❤❤❤ unaweza broo
veve ni mkaliii.
bring it on
iko poa sanaaaaaaaaa yani big up timbulo
Latwifu Siri m
Kaza buti
hongeraa kaazi nzurii timbulooo
Napenda huu wimbo na video yake hvyo vinanda ndo kabisaaaaaa
Nassoro Buriani naupenda sana huu wimbo
Nyimbo hii haitakuja kuchuja bonge moja ya ngoma
2024 August nipeni like zang 😂😂😅
Good done Mr Timbulo.I appreciate your work. Ur ma best artist
Dah atari Sanaa Kuna ka step kakali Sanaa mwisho wa nyimbo
nakukumbuka sana husen aka timbulo...darasa moja aiseee
Suzana Fabian akhsante, ulikua unaitwa nani?
+Timbulo suzana ngadaya
Mpaka 2019 natizama video hiii penda sana
Sijui ilinigusaga wapi hii nyimbo...mpyaaa every time i listen to...the only one since then hadi Leo 2020. Hasa hapo 3:32---3:42 min
hatari sana hili goma...weka mbali .. is like i cant stop lessening this song .big up Timbulo .
o my god sina lakusema bro timburo
Hii ngoma inanikumbusha mbali sanaaa
Bonge la traaaack big up sana man//Sweden
napenda xana hii nyimbo
Ngoma nzur salute
Zaman alikuwa mtu sana ila now duh sijui kalogwaaaa
big up bro
Bro much love of your songs welcome KENYA
nimeipenda sana congratulets Timbulo
Huyu jamaa namkubal sana 💪🙏
Tupo hewani na Timbulo❤
duuuu!! dogo is that u. I believe life is like a Jordan..
Nice song naupenda pia wajina francisca
kali blaza
Hukoseagi mwamba ...nyimbo nzuri
safi saaanaaaa video ya wimbo ni kali jinsi wanavocheza dah its awesome man... wimbo mzuri
I like this song the most. I real appreciate the guy who sung this son. Keep it up boy!
Kweli huu wimbo huu umenigusa sanaa
mwanzon wakat inapigwa hii nyimbo sikujua niyako mpaka nilipokuja kuambiwa all the best ila kidgo sauti haikutofautish na nuhu mziwanda hem jaribu kuangalia hilo uwe na tune yako mwenyew
+Sakina Hussain nn sakina
+Sakina Hussain kuiba au kuimba lakn kama unaiba unaifanyia kaz vzur sio mbaya...nbaya n kuiba na kuharibu
+Sakina Hussain ahaaaa hapo umesomeka shakilaaa
+Sakina Hussain kama.kawaida hatutaftan
+Sakina Hussain twende inbox 0673173981
timbulo wankosha mno,kwakweli songs zako lovely!!!!
Timbulo tumekumcmc 2019 😍😍😍 lov u 4rever
Hizi ngoma sku hz hamna lkn zilikuwa kaliiiiiiiii
Kaka unaweza kaza buti tuko nyuma yako.
Timbulo unaweza kaza kaka
Kazi nzuri kaza buti faza
Brother Timbulo You so nice bro
gud song nimeupenda huu wimbo for sure.
imetisha Sana hii ngoma yani hatar Sana kweli nakumiss
Yaan nakupenda mpaka bas
Kaka timbulo ngoma tamu mpaka leo huu mwaka 2020
Utoto bhana ety ndo nakapingia kademu changu bonge la ujumbe natuma daaah wap timbulo rudini Kwa gemu
Nitaiweka wap eeee sura yangu ukiniacha weweee
Uko vizuri bro
Nakukubale charii angu 100 sana
Hii ngoma imenifanya nikampenda mtu fulani ivi fadhati wangu popote ulipo I love u
one of ma best song . unatoa heat songs tuuu....
Baby Boo Nakumiss miss my baby sanaa😍😍😍 Timbulo you Are Talented kabisaaaa 2021 still sweet
Ila ili goma tam bhana😘😘😘
Nakumbuka ule mwaka wa uchaguz 2014/2015
Foni zilikuwa hazitokagi masikion kwa ajili ya huu wimbo
Uyu mtu anajua sema nyota ana
Wale wa 2019 tujuane kwa like
Tu as de l avenir, j aime bien, étant camerounaise, je comprends pas. Mais c'est super de t écouter
Wasafi wamekuja kuuwa mziki wanatuambia utapolo vijana hawa wamepotea
😂😂😂
aah tena ye ni ndege mti wake ni mi katua umbali sio kikwazo michepuko haina nafasi kaganda haja ni kimbia hata leo sina kesho nitapata anajua hapendi kusono naye acheni mi nimkissi💋💋 hadharani ni mkumbatie acha wivu weee..😙
I love you tumbulo nice song you look cute I love everything about you come Kenya pliz
Not tumbulo is timbulo
Weeeeell Doooooneee TIMBULO