Timbulo - Wa Leo Wa Kesho (Official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2014
  • Timbulo - Wa Leo Wa Kesho

КОМЕНТАРІ • 215

  • @CALVINHENRICK-uy6ox
    @CALVINHENRICK-uy6ox 6 місяців тому +9

    Nani amekuja 2024 baada ya kukumbuka mbali 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @merryndogwe4215
    @merryndogwe4215 Рік тому +22

    Ngoma bado Nikali Huwa inanikumbusha mbali sana kama bado unaikubali gonga likes 2023

  • @smkrabiot2319
    @smkrabiot2319 4 місяці тому +3

    2024 timbulo alikuwa mtu hatar...sna from yokohama japan 🙌

  • @husseinkihame9542
    @husseinkihame9542 5 місяців тому +4

    Unanikumbusha mbali 2024

  • @rehemamwandemani5182
    @rehemamwandemani5182 Рік тому +5

    Leo 2023 wimbo umenilza baadae ya kumuona the late Kanumba

  • @cosmasimbaba8124
    @cosmasimbaba8124 2 роки тому +9

    2021-2022 Leo hii ngoma imenikumbusha mbali sana big up Timbulo

  • @rehemaphillip9940
    @rehemaphillip9940 7 років тому +50

    Wimbo huu unanikumbusha miaka kadhaa iliyopita nikiwa ninaanza mahusiano na mume wangu, Wimbo huu huwa unamtoa machozi sana kwani anayakumbuka magumu ambayo tuliyapitia miaka hiyo, :For sure maisha yanabadilika, Big up,,,,,,,,Timbulo

  • @kiparamauzii2551
    @kiparamauzii2551 4 місяці тому +1

    So mchezo muziku ndio huu 2024

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 4 роки тому +8

    Daaa ,,nakumbka nipo,,,,,shuleeee ,,kidato mzee,,,,who with it in 2019-2020

  • @dottosadala3094
    @dottosadala3094 4 роки тому +3

    Ujumbe wako utabaki milele maana binadamu hawajifunzi kupitia sanaa ila tunaosikiliza na kutafsiri tunaona uwepo wa sanaa katika jamii ikiwa ni kufundisha na kuelimisha kwani maisha yanataka Mafunzo na sio ufundi.

  • @hongerakimbwala8650
    @hongerakimbwala8650 10 місяців тому +3

    Timbulo please come back we have missed you a lot

  • @nicholauschallo4636
    @nicholauschallo4636 3 роки тому +5

    Wanaosikiliz hii ngom mpak Leo wapo kwel au nmbak mim tu #like

  • @LambeDon_
    @LambeDon_ 2 роки тому +6

    2022 nimeikumbuka sana hii nyimbo👊jamaa amenikumbusha mbali sana aisee I was still young 🙂😎

  • @carloskato1088
    @carloskato1088 2 роки тому +7

    still waching in 2021.Amazing song from my brother Timbulo

  • @cyubahiroclement191
    @cyubahiroclement191 4 роки тому +5

    2020 covid19 bado naupenda huu wimbo unanikumbusha bongo kitambo! 👌

  • @ka-kr2me
    @ka-kr2me 6 років тому +8

    I love your version!you are a very talented artist, thank you for reminding me of my country. From a Cameroonian who lives in Canada. Thank you

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 4 роки тому +5

    Hatari sana mwaka 2011 mwishoni hii🔥🔥🔥🔥🔥
    Nikiwa form 3 kipindi hicho

    • @jaredfrednand
      @jaredfrednand Місяць тому

      Huu mwaka pia nilikuwa form 3... hatari maisha yalikuwa raha sana. Inasikitisha miaka inaenda sana na tunakumbuka ujana wetu.

  • @tompatel849
    @tompatel849 5 років тому +4

    Naipenda naifeel sana hii ngoma way back 2013 uko juu Timbulo

  • @emanuelilaizer601
    @emanuelilaizer601 3 роки тому +1

    Daha jamaa kapotea sana broo tunakusubiri kaka konye gem wapi dah ngoma niamda lakin sichoki gonga like

  • @tompatel849
    @tompatel849 5 років тому +3

    Huyu jamaa ni noma hii ngoma aliandika c mchezo

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 роки тому +1

    Daaaahhh yn huu wimbo hua unanitoaga machozi😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @mankajoseph2005
    @mankajoseph2005 5 років тому +20

    2019 Nipo hapa

  • @khadijamsafili7632
    @khadijamsafili7632 5 років тому +12

    2019 bado napata mziki mtamu usioisha ladha rudi tens kwanyimbo kama hizi timbolo naamini utatudi kilelen

  • @nyundodreadlockstyles7805
    @nyundodreadlockstyles7805 3 роки тому +4

    2021 kipindi cha mzee mpili wa yanga Ana trend 🔥🔥

  • @ahemedisalum2042
    @ahemedisalum2042 2 роки тому +1

    Timbulo ulishaga poteleaa mm unatutesa Sana sisi shabi zako

  • @mariamateo2178
    @mariamateo2178 3 роки тому +1

    Timbulo ni noumer sio kwa shairi hili Mpaka Leo 2021 ni motroooo

  • @asnalkilala8741
    @asnalkilala8741 5 років тому +7

    dar wimbo huu unanikumpusha nikivyomwagwa na mgogo nilikuwa nampenda sana

  • @mjukuuwanyerere1626
    @mjukuuwanyerere1626 3 роки тому +1

    Daaah! Nakumbuka maisha ya Tanzania House Of Talent (ThT)

  • @joanrwegoshora785
    @joanrwegoshora785 10 місяців тому +2

    One of my favorites ❤

  • @artandcraft2740
    @artandcraft2740 4 роки тому +8

    Nani ambaye bado anaanglia mpaka sasa 2019

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge 2 місяці тому

    2024 bado tunaishi nayo❤

  • @mshangaf1726
    @mshangaf1726 4 роки тому +28

    nani bado anasikiliza hii 2020? gonga likes za kutosha hapa!

  • @suzanaemanuely8788
    @suzanaemanuely8788 3 роки тому +3

    We leo haya 2021 tusonge wote

  • @kettyym9859
    @kettyym9859 2 місяці тому

    2024 mpoo timbulo for life ❤❤❤

  • @brosataasisi3657
    @brosataasisi3657 5 років тому +7

    Huu wimbo alimuimbia Jackline Pentezel walikuwa na uhusiano enzi hizo

    • @esterpromy3183
      @esterpromy3183 4 роки тому

      Kumbe!!

    • @brosataasisi4629
      @brosataasisi4629 4 роки тому

      @@esterpromy3183 Yah sikiliza mashairi utasikia anatajwa msanii ambaye yuko location,mara anasema anampenda movie star mbona haikuwa siri kabisa

  • @diselasoka6585
    @diselasoka6585 7 років тому +12

    mungu akujalie nyota yako izidi kungaa zaidi, unaweza kaka ipo day yes

  • @historianyeusi9524
    @historianyeusi9524 4 роки тому +4

    2019 bado ngoma ni yamoto🙌🙌

  • @mohamedijuma8013
    @mohamedijuma8013 5 років тому +3

    2019 bad nausikilza huu wimbo unanikumbusha mbal sana

  • @WillBoy-qd3un
    @WillBoy-qd3un 4 місяці тому +1

    Daaah hii inanikumbusha mbali sana 2011

    • @juniorbachelor8296
      @juniorbachelor8296 4 місяці тому

      Dah yan mpka machoz yananilenga. Hzo Ngoma 11 - 12 Dah nikiw zangu Mbalaga Kidato cha 3😢😢

  • @qala8695
    @qala8695 3 роки тому

    Dah hainishi ham wallah

  • @mathewnicholaus2522
    @mathewnicholaus2522 4 роки тому +2

    nyimbo za huyu jamaa tamu sana

  • @wityrobert9204
    @wityrobert9204 5 років тому +1

    Nyimbo nakumbuka mbaliiiiii sana jomonnnnnnn

  • @michymxhambiliajiwassimba7025
    @michymxhambiliajiwassimba7025 3 роки тому

    Nakumbuka nlkuwa darasa la 7 huu wimbo nliupenda Sana Mama angu mdg ndio alitumia Kama muito kwa simu yakee daaah

  • @alfanikawiki
    @alfanikawiki Рік тому +1

    2023 nani anaickiliza hii ngoma Kali sana

  • @kinyambekinyambe9621
    @kinyambekinyambe9621 3 роки тому +1

    Timbulo umeuaaaa

  • @daudmbwahali9647
    @daudmbwahali9647 6 років тому +25

    dah 2018 watching #timbulo a teacher by professional

  • @veronicapesambili
    @veronicapesambili Рік тому

    Uko wap saiz kaka upo vizury rudi kazini

  • @chimbotz4448
    @chimbotz4448 Рік тому

    Timbulo kk umepotelea wp kk Bado tunakuitaji

  • @mnyamisiramadhani8367
    @mnyamisiramadhani8367 Рік тому

    Jamaa unajua ila umepotea Rudi chamani

  • @mushi5612
    @mushi5612 7 років тому +1

    unauniza kichwa xana kaka one day yesssss

  • @lamadhanchamwande1553
    @lamadhanchamwande1553 2 роки тому

    Wewe unajua ila wamekuzidi uchawi jiongeze

  • @paradise3292
    @paradise3292 2 роки тому +1

    2021 ii nyimbo inanikumbusha mbali sana

  • @irenerutta6520
    @irenerutta6520 4 роки тому +2

    September 2019 who else

  • @marypaul2178
    @marypaul2178 5 років тому +8

    2019!!!

  • @mathewnicholaus2522
    @mathewnicholaus2522 4 роки тому

    Dah maisha yanaenda kasi, nimekumbuka mwanafulani sijui hata yuko wapi

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 2 роки тому +2

    2021 I'm still love this song

  • @JuleSaye-yj8kg
    @JuleSaye-yj8kg Рік тому +1

    Wimbo mzuli

  • @bashiruhamisi6465
    @bashiruhamisi6465 6 років тому +7

    Tulio tendwa lazma tulie......kwan huwa namkumbuka mpenz wangu na magumu tuliopitia lkn hakuyathamini kaamua kuondoka hakiymungu mmi napouskia Huu wimbo nalia kama mtoto kwan namuona mbele yangu

  • @leahsamuel4822
    @leahsamuel4822 Рік тому +1

    Npo hapa 2023🥰

  • @msina6200
    @msina6200 2 роки тому

    Somo somo somo

  • @hijaumbra8831
    @hijaumbra8831 5 років тому +1

    Nakupenda bule timbulo

  • @faudhiasemindu1956
    @faudhiasemindu1956 4 роки тому +5

    30,3,2020 tupo jaman nyimbo inanikumbusha mbali sana hii

  • @henrymapunda4602
    @henrymapunda4602 7 місяців тому

    Xmas 2023. Ngoma bado kali.

  • @jerry_gx7965
    @jerry_gx7965 2 роки тому

    Tuendelee kujikumbusha

  • @manaoman9436
    @manaoman9436 4 роки тому +1

    Mziki ya nyuma ilikuwa mizuri hata miaka ipite mingapi bado unavutia

  • @officialisaiah3979
    @officialisaiah3979 Місяць тому

    2024 nani yuko kwa hewa

  • @allyjumanne7920
    @allyjumanne7920 2 роки тому +1

    2021 Bado tunaishi nayo 🔥🔥🔥

  • @saidamustapha2908
    @saidamustapha2908 Рік тому

    Napenda sana

  • @petermkoba9272
    @petermkoba9272 5 років тому +2

    Nakumbuka miaka kadhaa ilopita bdo hauchuji

  • @laymapeace4538
    @laymapeace4538 6 років тому +1

    ongera timbulo

  • @magrethmkumbo2069
    @magrethmkumbo2069 5 років тому +2

    2019 bado naisikiliza waleo wa kesho

  • @neymajohn977
    @neymajohn977 4 роки тому +6

    2020 we are still watching😍😍

  • @kennedymbwambo514
    @kennedymbwambo514 3 роки тому +1

    Long time nipo second year 2012

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 6 років тому +4

    Unajua kuimba lkn roho mbaya haitakufikisha mbali ..

  • @majaliwashija9588
    @majaliwashija9588 9 років тому +9

    Naomba uzingatie namna ya mdundo wako wa zamani,nakumisimisi umeibadilisha kwa nini?

  • @nkanenoel8357
    @nkanenoel8357 3 місяці тому

    Kaliii

  • @Allen-ju4pb
    @Allen-ju4pb Місяць тому

    I was here

  • @daudmadara1006
    @daudmadara1006 5 років тому +1

    Nakumbuka mbali sana

  • @suzybrayton1223
    @suzybrayton1223 2 роки тому +1

    2 Juawane miaka hiyo nakumbuka mengn sana

  • @fettsamri3835
    @fettsamri3835 5 місяців тому

    Nashindwa ku danlod mwwee

  • @ellys_star
    @ellys_star Рік тому +2

    Legendary

  • @qala8695
    @qala8695 3 роки тому

    Yaani bado haichuji naipenda mno

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 Рік тому

    2023 listening u ma song

  • @sadaibrahim3274
    @sadaibrahim3274 2 роки тому

    Wapi timbulo

  • @ashirimakomao7463
    @ashirimakomao7463 6 років тому +3

    waleo wa kesho

  • @athmslym8784
    @athmslym8784 4 роки тому

    Iko sawa hadi miaka 100

  • @eltajir
    @eltajir 3 роки тому +1

    Kama upo 2021 gonga like

  • @leahsamuel4822
    @leahsamuel4822 Рік тому

    Naangalia tena 2020/11/19 💕

  • @annahabibu6971
    @annahabibu6971 2 роки тому

    Unyama fulan

  • @makamedaba9787
    @makamedaba9787 3 роки тому

    Timbulo... Daaaahhh

  • @ismailhamisi2079
    @ismailhamisi2079 Рік тому

    We are here

  • @emmanueldaimonn4748
    @emmanueldaimonn4748 8 місяців тому

    Wajukuu zangu watakua kuisoma hii 😂😂

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 11 місяців тому

    2023❤❤❤❤❤❤❤

  • @calvinamon4125
    @calvinamon4125 9 місяців тому

    2023 bado naichungulia

  • @dangmsigwa7966
    @dangmsigwa7966 4 місяці тому

    Brother hapa ulituliza kichwa

  • @BillyMacharia-ss1pb
    @BillyMacharia-ss1pb 3 місяці тому

    Waleo night

  • @ramsoboysullemanpolesana4851
    @ramsoboysullemanpolesana4851 4 роки тому

    Dah nakuelewa Sana mwamba

  • @regnalabdallah3706
    @regnalabdallah3706 8 місяців тому

    Na bado nasikiliza 2023

  • @salomesafi1226
    @salomesafi1226 4 роки тому

    Timbulo rudi kwenye gem bro nani anaangalia 2020

  • @rashiddaimu6169
    @rashiddaimu6169 Рік тому

    Ametisha