KATIKA MAMBO YA KESI HIYO SASANDIO INAYOKUFAA HIYO NDIO FAN YAKO SIASA HUWEZI.SIASA HAZIHITAJI MIHEMKO NA KUKULUPUKA ZINAHITAJI UMAKINI NA BUSALA NA HEKIMA WW VITU HIVYO HUNA
Hana uhatari wowote Wala hatumuogopi, ni Mwanasheria tuu. Sheria ni Sheria, tena zaidi nje kuliko ndani ya Nchi. Sheria Haina hatari, ni kama ilivyo andikwa!.
Sheria itafanya lazi nje ya nchi lkn sio ndani ya Tanzania...Kama Lissu kweli ni Mtanzania...sijui anakoelekea na washabiki wake...Huo Uraisi atausikia tu kwa majirani..hana tofauti na mtoto kuwashtaki Wazazi wake..:lakini mzazi atabakia kuwa mzazi na mtoto atarudi kuishi Ubelgiji tena
@@krizofrancisco5310 Hiyo haki inatafutiwa nyumbani kwako nchini kwako..sasa unapoenda Ulaya na tena kwa ufahari kabisa unatangaza ndege zitafungiwa na trna unafurahia...hapo ni haki au ni kujidhalilisha...ingawaje twajua hakika hawezi kushinda...maana Tanzania ni Tanzania tu...Wakat ule wa Magu.....Lissu alifanya haya haya ...akakimbia Nchi ..ndege zikashikwa lkn sasa zinafanya kazi na zimeongezeka.
Safari hii watesi, manyang'au, washenzi, wauwaji na wadhalimu wa haki ya kuishi binadamu WATANGANYIKA wanakomolewa kila kona na kila walipo mfululizo na hakuna cha kusema nilitumwa na fulani wote wacharazwe tu.
Unajua maana ya kumwambia mtu kelele weee,tafsiri yake unaweza mfanya chochote,na kwa nini umwambie mtu weee,kama huwec kukoment kitu bora utulie lisu anatafu adui yake wala haikuhusu,
Hii nchi ina mijitu kama maagenti wa shetani huyo mazungu hawezi kufa eti wewe aende kuhujumu nchi zao ila mwafrica yupo mbele kuhujumu tena hii toka ukoloni ipo kwenye DNA ndio maana wazungu wanatusema hatuna akili.hatujitambui hata ukiona mtu kasoma bado wanatumiwa shida kubwa .
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
Wamenyakanyaga tigo😢
Ila mitandao ya cm ni wasaliti sana Kwa wateja wao hii kitu ni kibaya sana
Saw kwani Kila mtu anahaki yakuishi na kuheshimiwa
Anti pasi apate uraisi visasi ccm waame nchi
Huyo mwamba yuko vzr
Pamoja na mtandao wa tigo kufuatilia Kila Kona na Kila anachofanya Lissu lkn hawakufanikiwa
Wewe lissu usitegemee kuwa kiongozi ktk nchi hii na huyo bob Amstadam nasikia ni basha wako tangu ubelgiji baada ya kupona
Maskini LISI kachizi
Mr. Lissu ni tunu na mwanga ktk Taifa hili lililogubikwa na uongozi mbaya sana.
Dont mess up with lissu
KATIKA MAMBO YA KESI HIYO SASANDIO INAYOKUFAA HIYO NDIO FAN YAKO SIASA HUWEZI.SIASA HAZIHITAJI MIHEMKO NA KUKULUPUKA ZINAHITAJI UMAKINI NA BUSALA NA HEKIMA WW VITU HIVYO HUNA
19:43 GMT+3 Tundu A Lissu aanze kujihadhali na machawa kwa sababu wataanza kumsogelea wapate kula hela yake maana neema za utajiri zinamjia!😂😂
Bora iwe hivyo tumechoshwa na vibaka wanaojivisha mavazi ya kondoo
Ukiwa hujui, hujui tu, we hujui chochote
@@majaliwabwitonde6900sawa wewe ndio unajua
Huyu Bob ni mtu hatari sana, na Lissu anajua anachofanya. Bob kiboko yake JPM tu, anajua
Hana uhatari wowote Wala hatumuogopi, ni Mwanasheria tuu. Sheria ni Sheria, tena zaidi nje kuliko ndani ya Nchi. Sheria Haina hatari, ni kama ilivyo andikwa!.
Sheria itafanya lazi nje ya nchi lkn sio ndani ya Tanzania...Kama Lissu kweli ni Mtanzania...sijui anakoelekea na washabiki wake...Huo Uraisi atausikia tu kwa majirani..hana tofauti na mtoto kuwashtaki Wazazi wake..:lakini mzazi atabakia kuwa mzazi na mtoto atarudi kuishi Ubelgiji tena
@@thaddeojude7511Tumia Akili lisu Hana shida na urais, lisu anashida na haki
@@krizofrancisco5310 Hiyo haki inatafutiwa nyumbani kwako nchini kwako..sasa unapoenda Ulaya na tena kwa ufahari kabisa unatangaza ndege zitafungiwa na trna unafurahia...hapo ni haki au ni kujidhalilisha...ingawaje twajua hakika hawezi kushinda...maana Tanzania ni Tanzania tu...Wakat ule wa Magu.....Lissu alifanya haya haya ...akakimbia Nchi ..ndege zikashikwa lkn sasa zinafanya kazi na zimeongezeka.
Safari hii watesi, manyang'au, washenzi, wauwaji na wadhalimu wa haki ya kuishi binadamu WATANGANYIKA wanakomolewa kila kona na kila walipo mfululizo na hakuna cha kusema nilitumwa na fulani wote wacharazwe tu.
Nyookoo nyini
Mambo Sasa hinachemka
Unajua maana ya kumwambia mtu kelele weee,tafsiri yake unaweza mfanya chochote,na kwa nini umwambie mtu weee,kama huwec kukoment kitu bora utulie lisu anatafu adui yake wala haikuhusu,
Mmmmmmmmm
Hii nchi ina mijitu kama maagenti wa shetani huyo mazungu hawezi kufa eti wewe aende kuhujumu nchi zao ila mwafrica yupo mbele kuhujumu tena hii toka ukoloni ipo kwenye DNA ndio maana wazungu wanatusema hatuna akili.hatujitambui hata ukiona mtu kasoma bado wanatumiwa shida kubwa .
Kelele wewe
Mwanakombo chawa wee