Naomba kufunguliwa aridhi yangu Bukoba,Nyakaiga Karagwe,kwa baba Mabira kyerwa kwenye biashara yangu naomba kufunguliwa katika magonjwa ya mwili na umasikini navunja vyote vilivyo funga maisha yangu natamka kufanikiwa katika maisha yangu naomba kufunguliwa aridhi yangu ya kashasha kijumbula naachilia damu ya Yesu katika maeneo yangu na mipaka yangu yote navunja yote kwa damu ya Yesu,naomba mtoto wangu apate ufadhili wa kusoma chuo kikuu.
Mwalimu nabarikiwa mno Kuna Jambo linanitesa Sasa naanza kufunguka..Ni zaidi ya Mara sita huwa naota ndoto naokota pesa ktk ardhi nisiyoijua pia sizitambui marakwamara na Mara nyingi Ni coin nisaidie mama.na mm Ni muombaji mzuri tu aisee
Mwl grace pole kwa Nazi ya mungu natamani kukuona at a ck moja
Naomba kufunguliwa aridhi yangu Bukoba,Nyakaiga Karagwe,kwa baba Mabira kyerwa kwenye biashara yangu naomba kufunguliwa katika magonjwa ya mwili na umasikini navunja vyote vilivyo funga maisha yangu natamka kufanikiwa katika maisha yangu naomba kufunguliwa aridhi yangu ya kashasha kijumbula naachilia damu ya Yesu katika maeneo yangu na mipaka yangu yote navunja yote kwa damu ya Yesu,naomba mtoto wangu apate ufadhili wa kusoma chuo kikuu.
Ahsante saaana mwl nimejifunza mengi kwa somo hili na mimi nafunguliwa ila naomba namba yako tafadhali
Mungu akubariki mwalimu somo hii limenifungua macho nmejifunza mengi ambayo likuwa cjui kabsa.
Amina
Amen mungu ni mwema
Ameni napokea kwa jina la yesu
Nimebarikiwa Sana mungu azidi kukubariki mwalimu
Amen naomba mungu aniwezeshe kuomba maombi ya vita kama wewe mtumishi
AMEN AMEN MUTUMISHI
Ubarikiwe..mtumishi. WA. Bwana.yesu
Ubarikiwe.mtumishi.waBwana.yesu
mwalimu ubarikiwe sana maana nimejifunza mengi sana kwenye masomo yako uliofundiha pia ata kusimama na kuomba
Ubarikiwe mama huduma yako ni njema nimepata kitu kikubwa sana
Mwalimu nabarikiwa mno Kuna Jambo linanitesa Sasa naanza kufunguka..Ni zaidi ya Mara sita huwa naota ndoto naokota pesa ktk ardhi nisiyoijua pia sizitambui marakwamara na Mara nyingi Ni coin nisaidie mama.na mm Ni muombaji mzuri tu aisee
Ukiota unaokota coin hiyo siyo ndoto nzuri ni roho ya umasikini inakufuatilia
Umenifungua sana sana God aendelee kuwakilisha ndani ya maisha yako 🙏🙏🔥🔥🔥🔥🙇🙇🙇🙇🙇🙇
Amen,nabarikiwa kwa mafunzo yako Mtumishi
Amen mwalimu nimekuelewa nimekuelewa kujua lakini sasa nalifanyia Kazi sasa
Amen barikiwa sana
Barikiwa mtumishi wa mungu
Amen. Mwalimu umenisaidia kufuatia Sana neno lako I'll nipate majibu ya maswali niliyokuwa nayo. Ubarikiwe zaidi.
Amen.Mungu ni mwema ubarikiwe mwalimu Grace
Amen mtumishi
Mungu akutie nguvu Mwilimu mtumishi wa Mungu.
tuna shukuru kwa maombi mwalimu grace.
Napokea kufunguliwa kwa Dami ya Yesu Kristo
Amina
barikiwa sana mtumish
Somo zuri Sana, barikiwa mtumishi wa Mungu.
Asante kutufungua
You have a powerful word for generations
Nime kuelewa Sana nauliza unakaa wapi?
More Anointing mum I love you so much
Somo hili ni zuri sana. Tunaomba mwendelezo wa siku ya 6,7 na 8
Amen Amen
Amen,Amen pastor,Ian blessed
Ameen
Amen nimebarkiwa na hili.somo
Utajuaje umekamatwa kwenye ardhi
Amen and amen glory to God forever be blessed mwalimu,grace,, followeup day by day,, iam from Kenya 🇰🇪
🔥🔥🔥🙏🙏🙏👏👏👏
Mtumishi ubarikiwe sana nimeelewa na umeniinua kiimani maana nilitaka tamaa kabisa
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen