Nabii SUGUYE atoa SIRI ya KUFANIKIWA!
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- "Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema." Mithali 28:13
Dhambi humfanya mtu kuwa mbaya na laana kuambatana na mtu huyo lakini roho ya dhambi ikimtoka mtu huwa Mwema na mwenye Baraka .
Tamani leo kutembea mbali na dhambi .
#chief_prophet_suguye
#wrm_radio
#wrm_tv
Naomba baba mungu unifungue mimi na mume wangu na familia yangu tutendee bwana yesu kristo
Nimefurahia mahubr yak nimepitia baadhi ya shuhuda zako niombee mme wangu arudi kwenye familia yke ameniteleza na wtoto naamini utatenda kwa jina lako,amina
Wongera sana prof suguye nicolaus kwakujituma kwakazi yako nzuri yakumutumikiya mungu wamiyungu Allah akusimamiye katika juhudi zako zakumutukuza mimi nimuislam ilaninapenda kutazam vipindii vyako kwenye yutub yako asante sana ninapenda namimi wunifunguwe baba from bujumbura burundi jitahidi wufike kwetu burundi wacawi wakiwone camoto nakiyapo wawekeye ekooo wamizidi kutuzuru baba mimi ninanatatizo kibawo😂😂😂😂😂👌👌✌✌✌✌👏👏👏👏👐👐👐👐
+257
Amina baba naitwa mwema deus naomba uniponye masikio yangu nisikie vizuri na macho yangu boone vizuri naomba sana maombi yako nisaidie baba
Ninajiungamanisha na madhabahu kwa Jina La Yesu, Amen
I like the way you handled the mama who was a witch and delivered the family. Many of us we are suffering in silent because we don't want to expose our family members. Love your wisdom may God bless you more prophet.
Najiungamanisha na madhabahu hii kwa jina la yesu. Amen
I shall testify to the glory of God. My shame shall be my testimony, my tears shall turn into joy, it’s enough oooh LORD. I connect to this teaching, I connect, I connect
AHSANTE Mtumishi wa Mungu binafsi nakupenda nayapenda mafundisho yangu Mungu akuzidishie
Amen Prophet thank you for your word my heart will rejoice in u oooh Lord.
Ok
Powerful message from man of God...Mungu tusamehe niumbiye moyo wa toba🙏🙏
Great message! I am blessed by it. Lord Jesus give me a repentant heart 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen prophet suguye
Amen hiyo kweli MASIHI wa BWANA somo adimu sana TUMBUA majibu tupone(2nyakati 20:20)
Asante mtumishi wa mungu ubarikiwe
I really enjoy your teaching because they lead my spiritual to prosper and become strong thank you a lot chief prophet may God continue to use you in highest level as God wishes
Ameen Asante nmepona haki nmefundishika
Ameen always am child of chief prophety nicolaus suguye
Amen niombe na mm njamani natatizo
Napenda sana mafundisho haya yananije ga sana
Straight to the point....nailed it
Hallelujah....Nabii hapo nakubaliana na ww...maana umasimama nafasi nzuri, yakuwaelezea watu ukweli kuhusu nyakati na majita.
ua-cam.com/video/s_ecuhLlcRI/v-deo.html
💞💞
Baba nakupataje naumwa sana Tena sana
Amina huu ujumbe ni Muhimu
Narudia tena kukuambia mungu anakupenda usiku huh mungu ameniambia mwenye ndoto Nina limeitwa mara tatu Nicholas Nicholas Nicholas acha na sijui mungu ameniambia uache nini
Mungu tusamehe
Mungu atusaidie.
Amen Pastor.
Amina
Amen mafundisho nimazr
Ameen ubarikiwe MNOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Ameeen dady
Am blessed with the message
God bless you profert
Prophet God with you
Nmekuelewa sana
Ameni
Watching from Kenya ukweli
Najiungamanisha na madhabau hii takatif ya nabii suguye,napokea siri ya kfanikiwa
Oooh Lord forgive me for my sins it's too much,and help to confessed what i have done wrong
Siri yakufanikiwa i receive in Jesus Christ Mighty Name
Amen
Ndio jitaidi kabisa kuubiri kuusu mavazi kweli maana...wengine wanahubiri kuusu sadaka tu na jinsi yakubarikiwa jinsi ya kupata mafanikio
mavazi hilo umeliona baba na pia ibadani visuruali vya kubana halafu kanisani baaa medi nao wanavaa hivohivo yatupasa tuwe tofauti
❤❤❤
Xema baba watu tuvae vizur
Mbona nikama hutupia. Kidogo
Na pokea nikiwa Kenya bungoma
BUWANA YESU ASIFIWE BABA YANGU JINALANGUNAITWA MAPENDO MENGE Niko American BANASUMBULIWA NAMAGONWABABA NAOMBA MSAADA WAMAOMBI MIMi familia yangu NINATIZAMA HUDUMAZAKO KWENYE TV NAOMBA PIYANAOMB A Unitumiye nambayako YAWASAPU
BABAYANGU NABii SUGUYE MIMI MAPENDO MENGE NAOMBA PIYA NAOMBA UNITUMIYE nambazakozasimu za WASAPU NAMBA ZASIMU Ni +1 803 9154833
habari hako mutumishi mm naitwa juma niashida kubwasana naomba unipe namba yako iri niweze kuongea na wewe nisaidie ndugu yangu
Ingia you tube ya Jana Tarehe 8.8 utapata namba zake zote za. Simu
Naanza kukufuatilia
Amen
Amen
Ameen kubwa suguye
Amen
Amen