Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Ym mm kila move anayocheza madebe lidai naikubl sanàaa madebe kaka bigg up sn
Saut haip
Shida saut inakua inakata kata sana movie nying nafatilia ila saut kuna mda inagoma ina boa sana
Wowowoooo nampenda muindi WA Tanzania 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Kiwaswadu ndizi ya kisukari na my Sarah,kwa kweli hii filamu ni nzuri sana nikiwaona nakoment kabla sijaitizama
kanumbo
Hongera Hidaya Boli unatamba sanaa 254 twakupongeza sna
Mm huyu dada mweusi mwenye macho makubwa yaan akiangalia tuu duu
Daaaaah team madebe mmeweza
Jamani zai nimekupenda unajua kuiba nyimbo za kihindi mashaallah 😊
anaweza sana kuimba
Unaimba vizuri mdada
Tuna wahindi kutoka Tz jamani sio pw 😅😅😅
Dahhh dada yangu unajua kuimba nitakupeleka india 🇮🇳 🇮🇳🇮🇳🇮🇳
Cna kipingamizi kazi zako nazikubari san madebe lidai ninaweza nikawaha mrithi wako baadae hamuna jt5_..
Madebe kwanni muv Zina Kat sauti
KAMA UMESIKIA KUKU WA BLERA gonga like twende sawa
Unamaskio 🤣🤣🤣
Sophia Katogoro hahahaha atar sana
Mm nimempenda huyo muhindi duh kankosha 👏👏❤️❤️❤️
Asante kaz nzuri
vile unaimba dada umenikosha dah 👏👏👏👏👏
MAMBO
Ko Sio Mungu Ila Hao Ndo Punzi Yako
Shukran sana kwa Movie tamuuu.
Movie tamu sana
Kwa huo wimbo wa kihind hapo Mmeharibu,,,,bdlsha hyo uweke kiswahili
Maiysara nakupenda mdogowang napiya namkubali madebe 💯💕
Mela hiyo mwaka 2000 umenikumbusha mbali
dada nakukubari cyo kwasauti hiyo hongera sana
Mseng ww
Wow huyo mdda ako n sauti nzuri kweli madebe n my sara nawapenda sana
shkrn xn Dada umeimba vym na una saut nzr
Hii movie mliituma before part 2 hamja tuma tena
Mapenzi
Dada wewe c kwa sauti iyoooooooooooo mama ogo sanaaaa
Sindani part. Two
kiukweli huyu dada anajuakwigiza
Umbea paka wanaume
Samahan wenyewe naombeni namba ya masaisala
Naombeni namba ya maisara
Mswahili na mhindi wapinawapi hata hiyo lugha ni ya kujidanganya tu
Ya kwako ya ukweli iko wap tuletee tuione
@@sarahmpanda7581 hhhhhhhh
Tatizo wengi wa watu wanasahau kuna uhalisia wa kitu na mfano wake,hyo nyimbo hajamaanisha kama yeye ni muhidi kweli wala wote walioigiza sio kwamba ndio maisha yao hali tumia akili yako vzr.
Dada hongela kwa saut nzuuli uliyoimba japo sjaelew
nakwly hhhhh
😂😂😂😂
Unajitaidi kuimba mdogoangu.ssuti pumzi vyote umebsransi vizuri
Idaya jmn nakupenda mimi 💕💕💕👌
Kuku wa brela 😂😂😬😁😀😇🙃🙂😎😎😎 ahsant mzee
Saut nzur lakn sisi na wahindi wap na wap
Movie mzuri
Nakupenda sana madebe lidai I love you so much
Theky you end muve
Uko vizuriii saana swahaba 🇰🇪
Mashallah unasauti Mzuri dada
Mimi na download tuu maana namkubali Sana madebe
Una daulod vip kaka
Ndugu unaimba vizuri sana🎊🎉💖💕😍👍
Safi sana
Muhimdi huyu jamani alisahaulika bonga 😂 ila anasauti nzuri Mashallah ❤️
So nice madebe wetu
Huyo muhindi tutauwana jamani na hiyo sauti
FREDRICK CHARLES yupo vizur xana Hugo muhind jaman daah
Huyu zai mrudisheni hindia yuafa sana
ww una saut mzr
kadada nakapendag hak macho yake2
Yaani kisura sana mpaka ongea yake👍😍
Kaaah yani uyuu anangoja malipo ushaambiwa tenda wema nenda zako usingoje malipo
Good
Nzurr sanaa
Anajua kuimba
Madebe kila siku wasanii wapya, unaboa Bana wengine hawana viwango
Baby acha na wao wapate riziki kama wanaipenda hiyo kazi
Hivi hawa watu wanaodislike wana akili timamu kwel au madishi yameyumba 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Hahahah ndugu umenikumbusha mbali wengene awajuwagi me mwenyewe mwanzo napata izi cm nilikuwa nafamya ivyo mwenyewe nikijuwa na laik kumbe du
part 2 plz madebe
Huyu muhindi wa kusini michosho tu sio. Siri kweli saut maasha Allah ila so poa
Michoshooooo
Uyu dada mdawakumsikiliza mwenzie anavoimba nyimbo ambazo alewi nini maana yake Bola aingie madukani atafute dawa atibu kwanza uso wake
Nzuli ila nyimbo za kihindi WAP na wap
Part 2 please
Niceone
Madebe unamives wali wangu hujatumalizia tunaomba muendelezo
Kufinya anajazba sana
Mwendelezo tafadhali
Sauti ya huyo Dada imeniondolea corona mapafuni.Napumua raha tu.
Mbona muna bora jamn part2 pls
Ila mysara nakuelewaga ile mbaya aisee
kazi safi sana
Yule mdada wa kihindi ana kazi Kweli 😀
hhhhhhhhhhhhhh kidogo
Ipo vzr ,,ila tatizo la sauti linaendelea kuniboa.
Mpira
wow so sweet
iko vizuri
Oyoo unaimba vizur
Wahindi wa dar aaooooooo
Uyo muindi Tena balaaa
Kuimba unajua dada
huyu Dada anapenda kuorewa
#bro_me_shida_yangu_no_ya_hidaya_bori_mana_daaaaaah_miy3_hayo_👀👀👀👀
Maji hayo ya maziwa nliyakuta uzaramuni chole kibesa masaki sungwi na kazimzumbwi
Ashrita Abdallah saw
Huko Kuna CCM tuu
Ww chukua sindano hiyo sonara atakuja kukutoga sikio soon
Wekeni Part 2
Sauti iko chini sana
Hamna sauti wallah
Part2 plse
Nyc xnaaaaaaaaa
Well done
My Sarah macho ya naniliu
Nyege
Hatar
Wewe nae mjomba sabasi unampaje mtu uzi na shindano bila kumwambia kitu. Unastahili pia wewe kipigo😂😂
Madebe na kofia lake jaman uwe unabadilixha
Co kwa kiindi icho jaman
Kuna ulazima wakumlazimisha mtu akupe zawad kubwa!!!
Hekima needed kwayule brother
Izo abali za filauni ndo akimsaidia mtu anamsimanga
Ivi, umemtoa wap uyo muhindi madebe???
Ako kadada kamepandwa na jini la kihindi
nice
Dd lndi wanakuitaji nduguzako
Uzi Na Shindano Mjomba Unastahili Kupewa Uzi Na Shindano Maana Unapenda KuombaOmba😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😄😄😄😄😄😄Nimeceka
daaaaaaaaaaaaaaaa kanaimba vzuriiu
Hii movie anaeimb t ndio ananiboa jap kanajitahid lkn aah 😕😕😕😕😕
Wenawe ach kuimba bhana 🙃🙃🙃
🤣🤣🤣wivu tu
ineed part 2
Dada yangu acha namba yako nikuunganishe na mwimbaji mkuu wa india 🇮🇳 arjit singh.
🤣🤣🤣🤣
@@fahmiiidrissa6120 😂😂😂😂😂
Unajua kuomb naw ww 😂😂😂