TIMBWILI LA LUSINDE KWA WAPINZANI BUNGENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Mbunge wa #Mtera, #Livingstone #Lusinde akichangia bungeni mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais (Tamisemi) na Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) kwa mwaka wa fedha 2019/2020, jijini Dodoma leo

КОМЕНТАРІ • 60

  • @mussatendeli6909
    @mussatendeli6909 5 років тому +23

    Hawa ndo wanasiasa tunawataka tz kama na ww unadata na lusinde gonga like

  • @hbhans5323
    @hbhans5323 4 роки тому +1

    mung akuweke lusinde yan daaah sema kwer baba mung atakulipa binadamu afadhiliki mzee nakuombea sana🙏🙏

  • @silvesterernest9596
    @silvesterernest9596 4 роки тому +2

    Kama na wewe unatoka jimbo la lusinde gonga like

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 4 роки тому +3

    Una hoja tam Livingston we noma tunakukubali sana.

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 років тому +12

    Uyu jamaaa uwaga Jembeeeeeeee!!!ninamkubari sana kwa asilimia100%

  • @fredykyando9108
    @fredykyando9108 5 років тому +14

    kiukweli lusinde una maneno mazito siku zote ni kiboko miaka yote upo vizuri unashinda kwa hoja

  • @rajabuseleman6012
    @rajabuseleman6012 4 роки тому +4

    Huyu jamaa namkubali sana kwakuwachalaza

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 5 років тому +4

    Umejitahidi sana,hongera sana !

  • @kyalagwamaka1550
    @kyalagwamaka1550 4 роки тому +2

    aisee huyu jamaa ni professor wa siasa. big up kaka

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 3 роки тому +1

    ccm tunaielewa ......CCM OYEEEEEEEEEEE

  • @kelvinstephano8
    @kelvinstephano8 Рік тому

    Mheshimiwa lusinde heshima Yako maana uko vizuri kwenye hoja

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 5 років тому +2

    Upo sahihi sanaa vyema

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 років тому +9

    lusinde kibogo yao kiukweli

  • @samwelimaziku6801
    @samwelimaziku6801 5 років тому +5

    Umenena vyema

  • @rehemaomary3267
    @rehemaomary3267 4 роки тому +2

    Nimekusoma Lusinde nakuelewaga

  • @penabubujashi4768
    @penabubujashi4768 5 років тому +3

    We ni kamanda hakikaaaaa

  • @jazirymasunga6098
    @jazirymasunga6098 5 років тому +5

    Kweli huu Ni Upinzani udumavu

  • @mathayomwagu6166
    @mathayomwagu6166 4 роки тому

    Safi sana goli 3 bila halafu unashangilia

  • @marypeter7380
    @marypeter7380 4 роки тому +1

    Kivuli sio kitu kizuri

  • @mainguburemo5947
    @mainguburemo5947 5 років тому +6

    Ni kweli Wapinzani wamedumaaaa.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 роки тому

      Aliedumaa ni mamako na uchi wake.

  • @johnmbatta9872
    @johnmbatta9872 4 роки тому +3

    Bajaji, wape vidonge vyao. Wakishindwa kumeza, wavitapike.

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 4 роки тому +1

    Maendeleo yanapelekwa kwa walipa kodi si kwa wabunge

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 роки тому

    Gud saana kibajaji

  • @maximilianalphonce1672
    @maximilianalphonce1672 4 роки тому +2

    Lusinde we ni kichwa wapinzan watanzania nimalimbuken

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 роки тому

      Limbuken ni mamako na uchi wake.

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 5 років тому +5

    Kibajajiiiiii8iiiiiiiiiiiiii oyo oyo oyo

    • @kilasilebicco63
      @kilasilebicco63 4 роки тому

      Fabiani ashery mwambungu nipo mabadaga mbarali mwenyekiti wa uvccm kata ya mapogoro nakwerewa Sana rusinde

  • @ramadhanineneza7317
    @ramadhanineneza7317 5 років тому +19

    Huyu Lusinde sio la saba huyu ana PHD ya political science

    • @hengomasingija9332
      @hengomasingija9332 5 років тому +4

      Tibajukaaa alisemaaa huyu siyo la saba ila alikosaa vyetiii tu ana PhD

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      Kaka siasa si elimu, siasa ni longolongo,,,,Elimu ni sifa ya nyongeza tu ktk siasa, ndio maana kina bibi Titi walitisha huku wakiwa hawana elimu ya kutisha!!

  • @renatusmatungwa6800
    @renatusmatungwa6800 4 роки тому +1

    Hahahaha Lusinde chizi😂😂

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 років тому +8

    Mzee umewanyoosha wape Vidonge!!

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 роки тому

      Wew katiwe Lumumba punga wew.

    • @felixkamkala3303
      @felixkamkala3303 4 роки тому

      @@emmapaul1766 Tuliza akili acha Bangi zako za kuvutia chooni au una ukichaa kichwani watu wanacoment siyo matusi,Matusi yanakusaidia nini apo?

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 роки тому

      @@felixkamkala3303 unapokuwa umefokonyolewa hapo lumumba akili zinakutoka unakoment kipunga kama ulivyo punga wew.

    • @felixkamkala3303
      @felixkamkala3303 4 роки тому

      @@emmapaul1766 Wew si Punga mwenzangu au unajifanya aujui michezo yako ya kuliwa

  • @jafaromar603
    @jafaromar603 4 роки тому

    Kajiona kaongea San

  • @othmanabeid3194
    @othmanabeid3194 4 роки тому

    Taarifa za wapinzan spika anazipuuz ccm utawajua 2

    • @boscomaboga1021
      @boscomaboga1021 4 роки тому

      Fatilia kwanza kanuni za bunge sio kila siku taarifa huwa zinahusiwa siku zingine kulingana ufinyu wa muda na mbanano wa ratiba spika anaweza kuzuia taarifa zote sio issue ya ccm au chadema mkuu

  • @humphreybilly3258
    @humphreybilly3258 4 роки тому

    Kelele tu MB zangu zinaisha.

  • @fredrickbilaury7466
    @fredrickbilaury7466 5 років тому

    Au tatizo letu ni lile ushabiki usio hata na tija yeyote au sisi wananchi ndo wadumavu wa kutoelewa maana ya siasa

  • @yasinmbaga3462
    @yasinmbaga3462 5 років тому +2

    Hapa sema utawala wakubabe tu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 роки тому

    Sasa kichwa hiki mboe atakiweza

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 5 років тому

    kweli ugali unatabisha sana watu

  • @hassanimpota5209
    @hassanimpota5209 5 років тому

    Poyoyo maana nn?.

  • @jeniphermaiko3886
    @jeniphermaiko3886 4 роки тому

    Kibajaji wewe ni jembeeeeeeee

  • @yasinmbaga3462
    @yasinmbaga3462 5 років тому

    Akuna utawala bora mwehu ww

  • @fredrickbilaury7466
    @fredrickbilaury7466 5 років тому

    Mbona mi sijaona hoja apo ambayo umeiunga mkono apo eti