PART7:TAJIRI MCHAWI /NILITUMWA KUMPELEKA MSANII HUYU KUZIMU BAADA YA KUKATAA KUENDELEZA MASHARTI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 34

  • @victorinakhamali9291
    @victorinakhamali9291 Місяць тому +13

    Watching from kenya wapi like za Tanzanian

  • @damarisnjeri7820
    @damarisnjeri7820 Місяць тому +1

    Nice one feel loved from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @krispinkomba4606
    @krispinkomba4606 Місяць тому +5

    Wa kwanza likes zangu jmn

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Місяць тому +3

    Kila siku nakuaga wa mwisho😢siku moja nitakua wa kwanza 😢❤❤❤

  • @moviccreativestudio
    @moviccreativestudio Місяць тому +4

    Bwana Koboko tuko pamoja

  • @davidbatista7882
    @davidbatista7882 Місяць тому +2

    Saiz jamaa anajitaid sana kuendeleza story kwa wakati ❤❤

  • @isdorcornel9362
    @isdorcornel9362 Місяць тому +9

    Kama unapenda story ya koboko gonga like

  • @user-zk8sg3iw1z
    @user-zk8sg3iw1z Місяць тому +6

    Kama davister katisha basi gonga like hapa wadau....🎉🎉🎉🎉

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys Місяць тому +3

    Mnahangaika na masharti hamuyawezi si bora kukaa kama sisi wengine. Kila kitu kina gharama yake 😂😂😂

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ Місяць тому +3

    Yap yap

  • @tumsifumassawe1273
    @tumsifumassawe1273 Місяць тому +1

    Davister jibu maswali ya watazamaji wako its like haupo sawa tuambie unapitia nn kaka

  • @SadyDaty-ok4ml
    @SadyDaty-ok4ml Місяць тому +2

    Sema uyu nchizi ka anaongopa hiv dah .. yani chatu akulambe af ukimbie 😂😂😂😂

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya Місяць тому

      Na mi nimefikiria hahahaaaaaa

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya Місяць тому

      Usimuliaji wake ndo tatizo. Umelala kama anatunga hahahaaaaaaa tofauti na wasimuliaji wengine Huwa wapo fluent. Huyu so slow

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Місяць тому +2

    nasikia milio ya ndege na wanyama inaonekana maeneo ya vijiji kama home 🏡 kabsa

  • @tututz100
    @tututz100 Місяць тому +2

    J.B.B.1999

  • @scholamwasi
    @scholamwasi Місяць тому +2

    Nimemmis yule mzee mchawi alie palalazi kaka davista anaendeleje

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 Місяць тому +1

      Chamuhim ingia ktk simulizi zake chukua namba mpigie msalimie na umtumie hata sabuni.Mungu.ata kulipia😊

    • @scholamwasi
      @scholamwasi Місяць тому +1

      @@zulekhasaud483 we ndio navista nilie muuliza

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 Місяць тому

      @@scholamwasi Nini ulize kwa kaka Dv.wakati namba zipo wazi.niswara la kupiga tu cm na kutoa sandaka.acha makasiriko Mungu hapendi

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 Місяць тому

      @@scholamwasi ushasema kapalalaiz .huoni huruma ya kumcheki.kukupa ushauri tu .wapaniiki.Ushindwe.kwa Jina la Yesu.pepo toka

    • @scholamwasi
      @scholamwasi Місяць тому

      @@zulekhasaud483 Toka we pepo unae lukia Mambo yasiyo kuusu

  • @sweetlisious
    @sweetlisious Місяць тому

    Hii story hata Davista anamsikiliza na anajua kabisa jamaa anadanganya ... yani daaaa anazingua huyu

    • @osmundmtavangu
      @osmundmtavangu Місяць тому

      Tunga story na ww utudanganye km ni rahisi

  • @user-ep6nl9ph4f
    @user-ep6nl9ph4f Місяць тому +1

    Yaani kaka unapitia hayo yote shauri ya mwanamke?, mbona wako wengi,, sahau huyo anakutia dhambini

  • @deadcrush
    @deadcrush Місяць тому +1

    Binti wa tarakea tunamuombaaaaaa…

  • @user-nj6dj4nb4u
    @user-nj6dj4nb4u Місяць тому +1

    Huyo bokoko jasiri Sana..... Mapenzi yalimpa maamuzi magumu Sana dhaaa

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Місяць тому +1

    Kaka DM pamoja Sana

  • @user-xk5hd3rg5n
    @user-xk5hd3rg5n Місяць тому

    Hii story ndo imeishia hapa?

  • @annkim2690
    @annkim2690 Місяць тому +1

    🤣🤣🤣 hio Kali mwamba amegoma hashuki kisa kama hiki kishawahi pata mchawi mwingine alikaribishwa Kwa boma Fulani usiku akaanza beba wenye boma akawatumikisha ilipo fika alfajiri ataka kuwashusha wakagoma naalikua uchi

  • @user-nu3ud7ws9b
    @user-nu3ud7ws9b Місяць тому +1

    😂😂😂