Haki tena kama Alikiba na Nandy wimbo wao ule ukipanda kwa ma bus utake usitake utauangalia tu niliwaza mambo mengi sana hivi hawa watu wangeimbia Mungu kwa style hii siwatu wangefunguliwa sana ..... Ona sasa Bella na Paul wanavyoimba nyimbo za kuisifia canan halafu Bella mrembo balaa , paul handsome wa nguvy aisee nawapenda buuree wa TZ wenzangu....
Bella kombo ninaomba katika jina la Yesu lazima uweze kufika kwa harusi yangu and I prophesy it this day as heaven and earth is my witness in Jesus name Amen
Yaani wacha niseme kwamba huyu dada Bella Kombo amebarikiwa sana na Mungu naye amekuwa wa baraka sana kupitia kwa nyimbo zake zenye ufunuo mkuu... Kwa hakika yeye ni wa baraka sana kwa kizazi chetu, naomba Mungu amuweke na amlinde kwa ajiri yetu 😇🙏🙏
Sifa na heshima Kwa ni Kwa Yesu! Usisahau kunyenyekea sana kwake yeye aliyekupa kipawa hiki na kukitumia, mweke Mungu mbele kuliko maslahi uone atakavyokushangaza.
Alooo ni fireeee sana my furends. I like the transformation to this music style. It is Arabic style tunaweza kusema muziki wa mwambao na wakikwetu. Minor Scale is so sweet. This music inaunlock upande wa pili kuweza kusikiliza na kupokea the message about KANAN
I know and believe my Canaan is here,i have been through the desert its time to smell honey and productive soil,God bless you minister Bella and Paul for the great revelation❤❤
The lyrics are just overwhelming, i dont know what it is about Tanzanian musicians but the kind of upaka ( talent) you have to make such deep deep Holy Spirit led music is just beyond us These lyrics go straight to the heart, tHANK YOU
WOW!UJUMBE HUU UMEFIKA KWA WAKATI SAHIHI NIKIWA NAMSUBIRI MUNGU ANIFIKISHE KANANI NINAYOMUOMBA KILA SIKU.MBARIKIWE MNO WATUMISHI WA MUNGU,AZIDI KUWAINUA KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE
Aseeh!! Dada angu God akuongeze maradufu napenda unavoimba natamanii nifike viwango vyako naendelea kupata vitu kutoka kwako maana kila wimbo wako nakusanya materials ✍️📝 kaananiii tumefika
Wow yaan hapa naona kama Nandy na Alikiba wa upande wa KRISTO..... Nandy nakwambiaga uzuri wako njoo kwa YESU UMUIMBIE USIISHIE KUIMBIA DEVO hunielewi ona Bella alivyo meembo anavyo tumikia Mungu.....
I had waited for this combination between Bella and Clement hehe. Kumbe kitu ilikuwa inapikwa. A nice song. Kanaani a place prepared by God for rest for me to be sustained for times, times and a half times. Gloreey!
This song gives me kind of peace ,assurance that whatever God has promised will fulfill soon without difficulties ,my spirit is right thankyou Yaweh Sabaoth 🙏🙏🙌🙌🙏🙏
Upo juu dr sister big up, right song at the right moment! na mauaa na makofi nawapaa wapigaa vyomboo wote its very classic 🎉🎉🎉🎉 !👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥 The ladies behind looking amazing, shetani yupo Icu hakikaa kanani tumeingiaa amen❤
Waiiiit... Those chords my goodness😮😮...... I love how you guys blend your vocals.... There is mastery of art here and God's glory and honor resound deep in these words... I could almost see Canaan and it's entirety.... #paulclement you inspire alot may you keep uplifting his name with this marvelous Lady . This is good Music
Canaan Canaan Canaan 🪄🤗🥰 🙏🏽 Oo my God this song has deep revelation and uplifting Faith . More anointing my beautiful Sister and Paul . Much Love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼
Kwa wale matajiri wenzangu wa mwaka huu .. hizi ndio nyimbo zetu sasa! Km wewe ni Tajiri emb like hapa
Mm piah kwa jina lake YESU
kwa jina la YESU 🙏🙋🏼♀️
Tajiriiiiiiiii😂😂😂😂
Tushajipatia ka voice😊
@@ms_kim117 ni Hela tu mwaka huu
Am I the only one who is overwhelmed? 🔥🔥🔥
me also
It's on repeat for the 17 times now! 🙏
Jaribu tu kuvaa mavazi ya kumpa Mungu utukufu dadangu Bella,ni ushaùri tu,japo mimi shabiki yako tangu BSS 2009 MPAKA LEO.
Kaanani hiyo 🎉
Dada nataman sana Nije kuimba na wewe
Haki tena kama Alikiba na Nandy wimbo wao ule ukipanda kwa ma bus utake usitake utauangalia tu niliwaza mambo mengi sana hivi hawa watu wangeimbia Mungu kwa style hii siwatu wangefunguliwa sana ..... Ona sasa Bella na Paul wanavyoimba nyimbo za kuisifia canan halafu Bella mrembo balaa , paul handsome wa nguvy aisee nawapenda buuree wa TZ wenzangu....
Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪, show ua love❤❤❤❤❤❤❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I love you Bella kombo
❤❤❤❤❤❤
Mungu atupe Neem ya kuiona kaanani❤
Bella has good vibes tunakupenda sana 🥰🥰🥰🥰 unafanya the best wimbo poa ☑️👍👍👍🔥🔥🔥🔥
Popote kuna kelele za ushindi kuna Paul clement 😂😂😂anyway more grace
😂😂😂😂😂
😂😂😂nimekumbuka
1:kelele za washindi ft zoravo
2:sauti ya imani ft zoravo
3:kanaani ft bella kombo
Tuanze kumuita Paul "MR USHINDI 😅😅❤❤❤
@@genesislyimo7897 Mr mshindi😂😂💯
Bella kombo ninaomba katika jina la Yesu lazima uweze kufika kwa harusi yangu and I prophesy it this day as heaven and earth is my witness in Jesus name Amen
Amen
Amen. Ila na mimi naomba mualiko.
Amen lakini umepata mtu,juu weeh nikubaya lakini Mungu Yuko🥺❣️
Karibu sana🎉
@@wacirairene7307nasikia tu harufu😊. My person is cominh😊
Yaani wacha niseme kwamba huyu dada Bella Kombo amebarikiwa sana na Mungu naye amekuwa wa baraka sana kupitia kwa nyimbo zake zenye ufunuo mkuu... Kwa hakika yeye ni wa baraka sana kwa kizazi chetu, naomba Mungu amuweke na amlinde kwa ajiri yetu 😇🙏🙏
AMEN kwa UTUKUFU wa jina kuu la YESU
Jina la Bwana libarikiwe🙌🙌🙌
@@bellakombonakupenda sana dada bella nakupenda ila naomba tuu vaa mavazi ambayo yatampa mungu utukufu pia hayataliaibisha jina la yesu
Awesome revelation and the Lyrics kabisaa
Sifa na heshima Kwa ni Kwa Yesu! Usisahau kunyenyekea sana kwake yeye aliyekupa kipawa hiki na kukitumia, mweke Mungu mbele kuliko maslahi uone atakavyokushangaza.
Canaan is my portion in Jesus name
Paul Clement killed his verse.Bella is impeccable as always.The chemistry between these two is 🔥. I'm blessed here in 🇰🇪
🔥💃🏽
I love when this two sing... power house... Waaa
Naskia kaharufu kakinukia kii umbali nikama tupo karibu kufika wapendwa , wapi like za wanaomini safari ipo ukingoni
😊
This year tunaingia CANAAN by the blood of Jesus ❤ for his Promises are Yes and Amen , Amen
my youtube search history-----Bella Bella Bella. You are simply amazing.!!
Naskia halufu ya asali na maziwa nikiwa Kenya 🇰🇪, this is my year ya kufika canan
My two favorite Worship Ministers. Awesome song. Being blessed from +254 Nairobi.
Canaan ,here i come by the Blood of JESUS 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good music 🎶 so good 🙌🏻
Inaweza, mungu anaweza aki🙏
Kanaan ni Yesu alishakuja na Mungu mwenyewe ametupa kuwa ndani ya huyo kanaan ✝️🙌 happy Easter wana wa Mungu
Canani ooh tumeiona Canani ❤😮
Nyie cjui mna feel kama mimi😮😮😮😮🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Kuna watu Wana talanta🙏🙏🙏🙏Ameeen nyimbo nzuri
Alooo ni fireeee sana my furends. I like the transformation to this music style. It is Arabic style tunaweza kusema muziki wa mwambao na wakikwetu. Minor Scale is so sweet. This music inaunlock upande wa pili kuweza kusikiliza na kupokea the message about KANAN
🔥🔥🔥🔥
Congratulations Nyawira
All the best
I know and believe my Canaan is here,i have been through the desert its time to smell honey and productive soil,God bless you minister Bella and Paul for the great revelation❤❤
KANAANI 🔥🙌 AHADI ZA MUNGU NI KWELI NA AMINA🙌 TUMEFIKA KANAANI.
Watching from kenya 🇰🇪 ❤ ........kanaani
❤❤❤
This lady is just a blessing
Sauti kabarikiwa nayo ❤️🇰🇪
Nasikia kelele za ushindi 🎉Bella barikiwa sana dada❤
Mungu atukuzwe tunaiona Kanaani. Asante Clement na Bella huu wimbo umeleta matumaini kwa watu wengi 🙏🙌🎉🎊🥳
Yote kwa yote ,Tumwamin aliyetuahidia CAANAN
The Arabic melismas and scales used in this song are everything 😂❤
Verse ya paul iko very powerful,,,blessed
Wow...am overwhelmed..this comes from the streams that do not dry...Glory LORD am amazed😮😮
Love from Kenya...We are overwhelmed vibaya sanaaa.Our neighbours never disappoint
By the grace of God 🔥❤️🙌🏽
@@bellakomboAMEN
In both gospel and bongo fleva😂
congrats kwenu for this wonderful song MUNGU AWABARIKI MPAKA MSHANGAE KWA UTUMISHI WENU I really 😍 😍 the song 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Powerful song .much love from🇰🇪
The lyrics are just overwhelming, i dont know what it is about Tanzanian musicians but the kind of upaka ( talent) you have to make such deep deep Holy Spirit led music is just beyond us These lyrics go straight to the heart, tHANK YOU
God be praised 🙌🏽🔥
Wish one day to be on the alter with these mighty Men of God💯💯💯
Naskia harufu; huu ni mwaka wangu wa kufika Canaani.. mbarikiwe sana kwa hii prophesy
Nani anamuandikia Paul hiyo mistari🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
WOW!UJUMBE HUU UMEFIKA KWA WAKATI SAHIHI NIKIWA NAMSUBIRI MUNGU ANIFIKISHE KANANI NINAYOMUOMBA KILA SIKU.MBARIKIWE MNO WATUMISHI WA MUNGU,AZIDI KUWAINUA KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE
Baraka sana watumishi wa Mungu! 🇨🇩 🫶🏾 🇹🇿
Muziki wa baraka,hakika naiona Kanaani..more love from Kenya
Hakika! Neema na Utukufu ni vyake bwana! Nasikia kelele na shangwe za kushinda kwetu! Halelujah!
Bella kombo and Paul Clement is a perfect combo
By the presence of God tumefika kanani kule ambako Mungu ametuahidi.
Mmenibariki sana brother Paul Clement and Sister Bella Kombo ❤❤❤❤
🔥🔥🔥
Mziki ulioenda shule ...kanaani yoooh!!
This woman of God oooh🔥🔥🔥🔥🔥more grace to my inspirer Paul Clement🔥🔥🔥
Jesus be glorified 🙌🏽🔥
@@bellakombo wow thank you🤭finally I tap the anointing🙏🏾I'm an upcoming gospel ministre please your blessings maa🙏🏾🙇
Canaan yooo.
Asante Sis Bella ,Paul unaimba kwa MAHABA yote Yani🔥🔥🔥🔥🔥
New style with the best song God bless you ministers of God I love you
Will come back here with a testimony...This year naiona Canaan.
Naona Tumaini naona Amani
Aseeh!! Dada angu God akuongeze maradufu napenda unavoimba natamanii nifike viwango vyako naendelea kupata vitu kutoka kwako maana kila wimbo wako nakusanya materials ✍️📝 kaananiii tumefika
NEEMA IZIDI NA MUNGU ATUKUZWE KWA MATAIFA YOTE 🔥
@@bellakombo Amen dada napenda kupata vitu kutoka kwako dada angu
Harufu ya maziwa, asali...mmmmmh!!
Lovely song girl❤❤
❤🎉🎉🎉🎉 Mungu akubariki Sana Dada Bella.. hakika umetumika Baraka Sana kwetu
Powerful 🙏
Kenya represented ✅
Am in tears the Song is full of the holy spirit .God is real guys
Harufu ya mafanikio yangu naiona❤Ooho haleluya Nakupenda dada angu
Be blessed
Salute salute 🎉. Ni na iona canaan. Beautiful song ❤
Yoooooh!!!!!
Am blessed !!!🇰🇪🇰🇪
Kwa Neema kanaani yangu nipate mume mwema
AMINA.MUNGU ATENDA KAMA ULIVYO OMBA
Wow yaan hapa naona kama Nandy na Alikiba wa upande wa KRISTO..... Nandy nakwambiaga uzuri wako njoo kwa YESU UMUIMBIE USIISHIE KUIMBIA DEVO hunielewi ona Bella alivyo meembo anavyo tumikia Mungu.....
Nimefika kanani nawaona watoto wangu Mungu alioniahidi 😊😊
I had waited for this combination between Bella and Clement hehe. Kumbe kitu ilikuwa inapikwa. A nice song. Kanaani a place prepared by God for rest for me to be sustained for times, times and a half times. Gloreey!
JESUS takes all the glory
Aiseee Paul umenifurahisha kwa ulivovaaa umependeza
This song gives me kind of peace ,assurance that whatever God has promised will fulfill soon without difficulties ,my spirit is right thankyou Yaweh Sabaoth 🙏🙏🙌🙌🙏🙏
This duo ... 🔥🔥🔥May God keep using you for his glory
Upo juu dr sister big up, right song at the right moment! na mauaa na makofi nawapaa wapigaa vyomboo wote its very classic 🎉🎉🎉🎉 !👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥 The ladies behind looking amazing, shetani yupo Icu hakikaa kanani tumeingiaa amen❤
Tenaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥 Asante sana
Kiukwli MUNGU kawaongoza vyema.Wabarikiwa mno wote walioshiriki kuandaa,kuimba na kupiga viombo
Wow..nimefika kanani. Utukufu umrudie Mungu.
What a powerful song!!! such a blessing wawawawa love from Kenya
One day Mungu anikutanishe na nyie ili tumtukuze Mungu kwa pamoja . Nice song 🙌🔥🔥🔥
Waiiiit... Those chords my goodness😮😮...... I love how you guys blend your vocals.... There is mastery of art here and God's glory and honor resound deep in these words... I could almost see Canaan and it's entirety.... #paulclement you inspire alot may you keep uplifting his name with this marvelous Lady . This is good Music
Yaan uo ujumbe ameimba Paul ,,, duh!! Ujumbe mzito Sanaa kaka Mungu amewatumia vyema sanaa
❤❤❤🎉🎉🎉aisee nc songi sichoki kusikiliza nawapenda sana watu wa Mungu
MD this arrangement fupi Ila mélodie tamu kweli Basi the Music Director apewe mauwa yake 🎉
sauti yako dada bella.God blees you.
Glory to God, I like this kind of music... This combination is amazing, be blessed 🎉
Already added in my playlist .. hope next year my team will look for you we do a collabo from kenya
Fuayaaaaaa.... Moto ooo, ninaiona kanaani oo
Canaan Canaan Canaan 🪄🤗🥰 🙏🏽 Oo my God this song has deep revelation and uplifting Faith .
More anointing my beautiful Sister and Paul . Much Love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼
Wimbo Mzuri sana na Unabariki sana unatukumbushaaa Mji wa Kanani Ulivyo Mzuri ❤
Misri sirudi tena. Amina
Nahona watoto wangu🙌🙌🙌🙌
Yaan huu wimbo umenibariki mpaka machozi yamenitoka Mungu azidi kukuza vipawa vyenu wapedwa
This song blessed me from the very start 😊 am so much touched 💗
Hongera wana Bella na Paul nyimbo nzuri❤
Wueeh... Blessings.. I feel my soul is at peace 🙏
Md apewe maua yake,,this genre sijui hata ni gan🤝👐
Its latin music
Yaani nimebarikiwa mnoo
Daaaaah acha tu kweli mnajua Mungu azidi kuwaonekana yani kanani hiyooo
Bella ure blessed to bless many.Hongera sanaa.Kanani hiyo 🔥🔥🔥🔥
Such a prophetic sound!! Congratulations Bella, powerful song ! The production is amazing!! Keep soaring!! Blessings
Thank WOG glory to JESUS 🙌🏽🔥
Mungu akutunze kwakipaj chak my siste
0:37😭😍🧡🔥
Naiona kweli. Misri sirudi.
kanaani💃🔥🔥🔥🔥🔥
Md kazi nzurii Mungu akubariki tisha sanaa music soft
Janani iyooooooooooo.....God bless you minister Bella and Paul.
My spirit is more live as I listen to this masterpiece. The bass is also lit. God bless your ministry Bella
🔥🔥🔥💃🏽
Kanaaani, Kenya we love you
Leo ndio namsikia kwa siku ya kwanza na nampa ubingwa wa dunia. Mama unaimba!!
Amen 🙏 napokea Baraka.. I see Canaan