HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA PART-2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @edgercyprian964
    @edgercyprian964 5 місяців тому +3

    Daaah huyu jamaa ni muuaji Sana kachukua pesa akajikàusha dada wawatu ndio akazoa zaruba la kusingiziwa amlipe huyu dada kwa kumzalilisha kumbe kaacha watoto wawili kijijini looo jamani arudi akalee familia yake kijijini, pole Sana dada angu Halima.

  • @SubetiJackson
    @SubetiJackson 4 місяці тому

    BWANA ASIFIWE baba tabili maisha ya ndoa yangu na kipato changu nazurumiwa sana

  • @DoA-q1b
    @DoA-q1b 9 місяців тому

    Mchungaji nakupenda ulivo mwawazi hufichi unawaumbua mungu kukuzidishie miaka mingi uishi aminaa

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 8 місяців тому

    Daaah nakupndag Bure Mungu anavyokutumia mwamuzi ukiwakilisha ufalme wa Mungu kama hekima Ile ya suleimni ishi miaka Mungu akutunze uwasaidie watu wake

  • @evabikabhai1861
    @evabikabhai1861 9 місяців тому +1

    Ahsante Yesu. Nabii uishi umri mrefu. Halima pole sana mwanangu. Kaza but, Mungu anaweza yote.

  • @HawaOman
    @HawaOman Місяць тому

    Umetufurahisha sana

  • @fransisikenessi
    @fransisikenessi 4 місяці тому

    mtumishi wa mungu nikomboe mmi na familia yangu nakuomba sana baba

  • @FfFf-yb9cp
    @FfFf-yb9cp 8 місяців тому

    Amina paster naomba unisaidie na maombi mm ni everlyne kutoka kenya

  • @AlexMollel-nf7ct
    @AlexMollel-nf7ct 7 місяців тому

    bwana yesu asifiwe mutumishi wamungu ubarikiwe namungu nabariki mama alie kusaa mungu akuinue amina

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 9 місяців тому +1

    Mungu akubariki baba kuokowa maisha ya Halima

  • @ezekealpaulo-ny7ox
    @ezekealpaulo-ny7ox 4 місяці тому

    baba nitakesha leo usiku nabii unikomboe baba nyota yangu irudi naalie kuwa anaitumia afee kabisa mtumishi amenitesa kwa muda mrefu nabii nisaidie na mimi nipate pesa na Mungu aibariki kazi yamikono yangu nikafanikiwe kupitia kazi hii maana ndoninayo itengemea baba kunipa riziki ya watoto wangu mtumishi Mungu azidi kukupa nguvu utukomboe sisi tunao onewa na wachawi kwa Jina la yesu kiristo aliye hai Mungu wa kiboko ya wachawi ainuliwe juu juu juu juu zaidi ameni

  • @samweli7985
    @samweli7985 5 місяців тому

    Hakika nibwana pekee ndiyo awezaye kuyafanya haya, ubarikiwe sana nabii

  • @evarnyamkola1308
    @evarnyamkola1308 6 місяців тому

    Ee mungu naomba unishaidie maisha yangu

  • @georgiakyaruzi8645
    @georgiakyaruzi8645 4 місяці тому

    Amina

  • @Liti-b3s
    @Liti-b3s 7 місяців тому

    Baba shikamoo naitwa lotha naomba uniombee baba MUngu anifungulie milango yamafanikio naumwombee baba yangu na mama piano baba asante ❤

    • @edithkilegu381
      @edithkilegu381 7 місяців тому

      Shalom baba. Mimi naitwa Edith naomba unisaidie kwa kuwa napitia wakati mgumu sana.

  • @amosmutuvi
    @amosmutuvi 7 місяців тому

    Shallom je anapatikanaje nimekua nikipiga simu but aishikwi from kenya mombasa

  • @MariaGeremana-ml4zj
    @MariaGeremana-ml4zj 9 місяців тому

    Hii kweli ni kiboko ya wachawi😂😂😂mme wa recho hana haya kabisaa, pole halima. Pole recho kwa mume asie na utu, asante baba kiboko ya wachawi.

  • @patrickwawana4529
    @patrickwawana4529 5 місяців тому

    Mutumishi utuombee Sisi baba neema kwa mungu wako

  • @timotheommassi2177
    @timotheommassi2177 9 місяців тому

    Baba uchumiwangu na familiayangu haueleweki baba.mm timotheo phabian mmassi

  • @TedyTarimo-k7c
    @TedyTarimo-k7c 9 місяців тому

    Pole sana halima

  • @ZefaniaBoniface-id2ry
    @ZefaniaBoniface-id2ry 9 місяців тому

    Zefania kutoka singida nahitaji kazi pia mke wangu anasumbuliwa na mapepo

  • @TemuStella
    @TemuStella 9 місяців тому

    Amin

  • @SophiaAkiyda
    @SophiaAkiyda 9 місяців тому

    Mungu ni muweza wa kila kitu

  • @scholasticapaul7448
    @scholasticapaul7448 5 місяців тому +1

    Ningekua mm ndo halima huyu bosi wangu ningemfungulia mashtaka kwa kunidhalilisha

  • @DoA-q1b
    @DoA-q1b 9 місяців тому +1

    Nyie mnaosema nabii mwongo mpigweee kwa jina layesu 6:01

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 5 місяців тому

      Wapigweeeee haswa na kesho waende wakatabiliwe...

  • @DoA-q1b
    @DoA-q1b 9 місяців тому

    Nyie mnaosema nabii mwongo mpigweee kwa jina layesu

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 9 місяців тому

    Amen

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 місяців тому

    Nanabii wauongo wengi sanaaaa Na wBsokombwa sadaka zao ni wanawake tu

  • @hellen9467
    @hellen9467 9 місяців тому +2

    Wanawake tuna roho chfu sana kwa wanawake wenzetu mke alikuwa amewaka moto kwa binti wa watu swali ni atamsamehe mme wakekwa kutenda mara 777😂😂😂😂😂 apewe sifa YESU KRISTO kwa aliyotenda.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 9 місяців тому

    Lichomeni moto hapo2Mtamsafishaje hugo halima??Pole halima,Fukuxa hixo mbwa xote.Recho ulimpendea nn hilo surambaya?Mungu asante kwa kuonyesha ukweli.Hilo ni jambaxi lilipe hela xa wa2.Jambaxi hilooo.

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 5 місяців тому

    Pastor si vema kuwaambia waendelee kuishi pampja kwa sababu huyo mwanamume ana wake zake huko kijijini. Ushauri wangu ni watu wahalalishe ndoa kama ulivyo utaratibu wa kiMungu. Vinginevyo hapo inakuwa tu ni kuja kupiga bao kwa mganga.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 місяців тому

    KWANZA APIGE MAGOTI AMWOMBE MSAMAHAA. HIYO BOSI UCHWARA.

  • @alphoncehume9495
    @alphoncehume9495 6 місяців тому

    Hakika wewe Pr Dominic ni kiboko. Watanzania tuna bahati sana kukupata. Niombee na mimi hali mbaya sana.

  • @apostlemagdalenakongera1238
    @apostlemagdalenakongera1238 7 місяців тому

    Naitwa Magdalena nasingiziwa sana kazini narogwa sana nazimewa nachekwa,uchumi ni shida kubwa madeni kila mahali

  • @Moses2399-m8l
    @Moses2399-m8l 9 місяців тому

    Naitwa moses nipo gongo la mboto ninamatatizo mke wangu na mtoto yupo hospital naitaji maombi

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 5 місяців тому

    Naomba kama kuna mtu mwenye namba ya simu ya Mtumishi huyu chonde

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 6 місяців тому

    Mume ni mwema kwani kakubali mungu ni mwema

  • @KANNYBOY-vq4rm
    @KANNYBOY-vq4rm 9 місяців тому

    Naitwa paulo nikosingida uchumiwangu umeyumba naitaj maombi yako nabii mm nifund

  • @VictoriaChilumba
    @VictoriaChilumba 5 місяців тому

    Naitwa lipi Victoria naomba nisaidie niponye na ninaomba kila ninachokifanya nifanikiwe

  • @SalomeBoniface-q2r
    @SalomeBoniface-q2r 2 місяці тому

    Wanaume kama hawa wakera kwel

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 місяців тому

    Mbona hapo BIBILIA HAKUNAA?.

  • @LeahCosmasNzoka-po3dr
    @LeahCosmasNzoka-po3dr 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂 Uwiiiii

  • @NasraAbasi-w2i
    @NasraAbasi-w2i 9 місяців тому

    Mungu ni Mwema na mwisho wa ubaya aibu

  • @eliamanimfinanga3957
    @eliamanimfinanga3957 8 місяців тому

    Duuu mkome kulelewa

  • @zaifatynyangarika8287
    @zaifatynyangarika8287 9 місяців тому

    Alisema hatamsamehe Halima je halima atamsamehe yeye kwa kumsingiziaa kamuibia na je atamsamehe aliomuibia ambae ni mumee 😂😂😂 dunia hiiii

  • @pendorobert3552
    @pendorobert3552 5 місяців тому

    😂😂😂😂mbn mmeshindwa kuangalia watu wanaoendana na uboss muigize nao hao hamuoni wamechafua igizo make utafikili wao ndo wafanyakazi

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 9 місяців тому

    Kamkorogo kanapita hapo

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 7 місяців тому

    Ukamuacha ukaacha na ukobaaa sasa uko spamarket alienda kununua na nini 😂😂😂😂

    • @pendorobert3552
      @pendorobert3552 5 місяців тому

      😂😂😂😂wamesahau kuigiza vzr

  • @emilianaemanuel7796
    @emilianaemanuel7796 5 місяців тому

    Aibu yake hana hya

  • @AntiaMwemezi
    @AntiaMwemezi 3 місяці тому

    Hakika wewe nabii ni kiboko ya wachaw