Kuna upangaji wa matokeo ,ndio maana mtu anasema Yanga itakuwa bingwa Tena anajua ana uhakika kupata point 36 Kwa hizo timu kabla ya ligi kuanza rushwa hakuna ligi hapa
Zile bilioni 1.5 za GSM kwa vilabu vya ligi kuu msimu wa 2021/22, ambayo SIMBA SC iligomea udhamini huo.GSM walitangaza kujitoa na kuomba kurejeshewa pesa yao,hilo suala liliisha vipi? Na vilabu vilivyokuwa vikilalamika kuhusu kutangaza logo hiyo vilipewa pesa hiyo?
Watanzania tuliowengi bendera fuata upepo bayarne Munich kule ujerumani wamedhaminiwa na tajiri mmoja timu kumi ktk ligi yao ya ujerumani, mnasema GSM kwa kuthamini timu saba mbona kawaida sana hiyo, Huyu ni mdhamini sio mmiliki wa Tim, Fuatilieni mpira wa wenzetu sio kupoteza muda na kutumalizia bando zetu kusikiliza ujinga..
Jibu sahihi la kwa nini Simba wanalalamikia udhaminiwa GSM ni kwamba Simba ndio mpinzani mkuu wa Yanga. Yaani unategemea hizo klabu zingine zitalalamika wakati si wapinzani halisi wa Yanga
Ujanja wa GSM ni kupata points 18 kwenye hizo timu. K.M. ziifunge Simba kwa nguvu zote kwa Yanga zilegeze isifungwe ili wachukue hizo points 18 kwa hizo timu 6. Huo no ujanja na kujifanya hizo timu zisiweze kusonga mbele. Huo ujanja SIMBA imeuona. Hizo timu jitahidini muifunge YANGA msikubali kifanywa MATEJA kwa YANGA.
Tatizo wote mlioandika maneno ya walaka wasenge wa jangwani hamna hoja ya msingi zaidi ya kuifunga simba, mnanunua kuhonga wachezaji wa timu, umenunua bidhaa za MO, atauza imeacha kununua atauza, sisi simba hatuna akili kama zenu za kususia bidhaa ya gsm, ila nyinyi wasenge malaya mtajijua wenyewe na Roho zenu mbaya kama sumu
Uwoga wenu ni Yanga sio kanuni wapuuzi Azam kazamin ligi yote mbona ubingwa unamtoa jasho achukue ubingwa kaweka bikin 360 na anatimu kwenye ligi vipi hapo wapiga kelele Azam hawamuoni😅😅😅😅
ALAFU HATA FIFA HIYO UNAYOSEMA UNAKUWA MUONGO MAANA FIFA WANAKATAZA MTU AU KAMPUNI MOJA KUMILIKI TIMU ZAIDI YA MOJA KTK LIGI MOJA NA SI KUDHAMINI....HIVY0 HAYA YOTE NI MANENO YA WAKOSAJI
Babu usieleze sana kiufpii GSM ananunua vilabu hakuna sheria hiyo kupata matokea na katoa rushwa TFF wanashirikiana lkn tumejiona ni jins gan anapat matokea
MwanasheriUmeongea VIZURI sana MPIRA WETU SASA RUSHWA IMEKITHIRI.MAZINGIRA YAPO WAZI TAZAMA SIKU YA KUTAFUTA MFUNGAJI BORA WA LIGI YETU.GSM,TFF SASA BINGWA HANAJULIKANA.
Azam anadhamini vilabu vingapi? Na ana timu yake pia ya Azam, Hivi mambulula wanaopiga kelele kuhusu udhamini wa GSM hili swali hamuwaulizi? Basi na Azam JE?
Ww said ali una akili adidas ana time gani taja mbona nyinyi mnajifanya hamfahamu wakati unaona kwa nn watu hawakupiga kelele nbc sawa na ayo maneno uloandika😊
Kwan GSM akikosa kuzizamini timu faida kwa nani tunaambiwa mpira ni kuekeza sasa wadau wanawekeza ili gape lisiwe kubwa kuna wapuuzi wanaona sio sawa kisa tu GSM Kwan moo nayeye si awazamini izo timu nyingine
Huyu nae hajui caf champions league mdhamini mkuu ni 1xbet makubaliano yao hawataki kudhamini kampuni yogote ya betting na ndio maana sportpesa hawahitajiki ktk michuano hiyo
Huenda suala hili TFF wamejificha ili ionekane ni Simba. GSM achana na Hivyo Vilabu kuvidhamini endelea na YANGA Nia Yao Vilabu viwe omba omba. Tunajua Hao walikuwa wanapa Vilabu hasa Wachezaji Wacheze chini ya kiwango Ndio nia Yao. TFF Muwe wawazi Mpira ni Biashara
Mpila ni biashara ndio lakini hakuna biashara ilioluhusiwa kuzamini Wala unayokataza kwa maana hiyo hakuna biashara ya hivyo tff hawana kanuni inayomkataza mtu kuzamini Wala inayo mluhusu kuzamini kwa hiyo hakuna biashara GSM kajitengenezea mwanya wa rushwa ndo tafsri yake
Yanga anaharibu sn mpira wa bongo halafu Tff wanaangalia tu siku FIFA wakija kujua haya madudu madudu kutakuwa na madhara makubwa sn kwa yanga Tff na mpira wote wa bongo.
@@Kanyawela hoja hapo ipo kwenye udhamini wa vilabu, simba na yanga wanafungana tokea kuumbwa dunia hata ss hatujazaliwa.wapenzi wa soka wanataka fair games
T f f hawataki kusikia malalamiko ya wananchi kwa hiyo inaonyesha kuna jambo hapo haiwezekani mdhamini azamini timu zote hapo kuna ligi tena? Mbona azam au simba hawadhamini?
Swali je ? Kuna watu wanaweza kuthamini tim zisizo na afya kimichezo ? Hilo ndiyo swali kubwa kwangu au ndiyo mnategemia hao wakina mzee Magoma ? Kwa sababu kama wachezaji wa hizo zilizobaki wategemee zicheze na Simba au Yanga ndiyo zitegemee pesa za mlangoni wapewe wachezaji kiukweli mtauuwa mpira Tanzania itakuwa mechi zote zichezwe Dar tu ili zipatikane pesa za kulipa wachezaji hivyo
Huyo ni mwanasheria wa fifa anachoongea ni actuality shida watz mnaushabiki wakipuuzi usio na maarifa hii iko kwenye mpira na hata siasa , Leo unaongea ivyo kwakua we yanga angefanya hivyo simba au azam na akawa bingwa na wewe usingekubaliana mko wepesi sana kusahau vitu kwa furaha ya Leo tu
Hivi huyu jamaa yuko vzuri kweli kwenye haya anayozungumza?suala la fedha chafu kamwe haliwezi kuwa kwenye jurisdiction ya tff,hatuwezi weka kanuni based on tuhuma,tofautisha udhamini na umiliki.unaongea kiingereza kingi lakini hoja huna. Huwezi compare biashara ya mpira kule epl na kwetu,tuko ktk stage ya transition,hivi mpira wetu totally ni professional?je sheria ya BMT inaiutambua mpira wetu kuwa ni wa ridhaa au professionals?
Ubovu wa Simba hauwezi kurekebishwa na kanuni za TFF. Simba wanafigisu nyingi na TFF wameisaidia sana Simba kwa sababu viongozi wengi wa TFF ni mashabiki na wapenxi wa Simba na ukiona hili limeanza kuongelewa kwa nguvu namna hii ujue TFF wapo njiani kuwasaidia Simba na muda sio mrefu hii kanuni utaiona inaanza kutumika lakini jee TFF inauwezo wa kuwapa wadhamini timu ambazo GSM atalazimika kuziacha? Sheria za kupanga matokeo zipo na hakuna timu iliyo ilalamikia Yanga kuwa inapanga matokeo kwa sababu ya GSM kudhamini timu nyingi. Kifupi Simba peke yake ndio timu inayolalamika na hakuna timu nyingine inayowaunga mkono na hii ni wazi kuwa hii hoja ni ya kibiashara kati ya MO vs GSM kupitia Yanga na Simba, hii sheria haitasaidia soka letu bali itamnufaisha MO kwa vile vinywaji bidhaa zake zitendelea kuwa na soko kwani kwa sasa mashabiki wa Yanga hawanunui tena bidhaa za MO na wale wa Simba haWanunui bidhaa za GSM lakini matangazo ya biashara ya GSM yamepata wapenzi wengi na biashara zake zinasoko kubwa kuliko zile za MO. Kwa hiyo kinachotokea ni kulaximisha kupunguza kasi ya biashara za GSM na sio kweli kwanba ni kupanga matokeo na inawezekana hao wanaopiga makelele wanapewa kitu na MO. Azam,Simba zote zimefungwa na Yanga sio kwa sababu wanadhaminiwa na GSM bali ni kwa sababu ya kuzidiwa kiufundi na Yanga na bado Ihefu ikaifunga Yanga licha ya kudhaminiwa na GSM. Simba waache mpira wa chuki na hila na badala yake watafute viongozi wanaojua mpira. Kaizer chief, Gallaxy, Redarrows, Vital O, Azam, Simba nk. ndani ya mwezi mmoja zimefungwa na Yanga na hakuna timu hata moja inayodhaminiwa na GSM.
Mwanasheria uko sahii tff wanapewa bahasha na huyo gsm
Kwa jambo hili kusema kweli kwa akili ya kawaida tu lazima TFF walitazama. Hata kama sheria zao zinaruhusu itakuwa ni kati ya sheria mbovu ilekebishwe
TFF Wanatakiwa kujua kuwa iwapo hawana Kanuni za kusimamia Udhamini wa Club, zile za CAF na FIFA zinatumika kama "Mwongozo".
Kuna upangaji wa matokeo ,ndio maana mtu anasema Yanga itakuwa bingwa Tena anajua ana uhakika kupata point 36 Kwa hizo timu kabla ya ligi kuanza rushwa hakuna ligi hapa
Tff.apo mmebolongaa Sana .katba hiyo mmeipata wapi.?!
TFF leteni kanuni inayoruhusu mdhamini mmoja kudhamino vilabi zaidi ya 6 maana mmesema hakuna kanuni inayomzuia mdhamini kudhamini vilabu 6
@@HawaMkomwele mwambie tajiri MO adhamini vilabu 10 vilivyobaki hakuna wa kumzuia acha makasiriko na ujenge timu yako
Mwanasheria hao TFF wanapewa bahasha hao
Tff acheni kutuhalibia ligi mtu atazaminije timu saba
Hivi Ile Sheria ya kunyang'nywa point IPO?Kama IPO tff wasnze KAZI,Msimu huu😂😂😂
Zile bilioni 1.5 za GSM kwa vilabu vya ligi kuu msimu wa 2021/22, ambayo SIMBA SC iligomea udhamini huo.GSM walitangaza kujitoa na kuomba kurejeshewa pesa yao,hilo suala liliisha vipi? Na vilabu vilivyokuwa vikilalamika kuhusu kutangaza logo hiyo vilipewa pesa hiyo?
Watanzania tuliowengi bendera fuata upepo bayarne Munich kule ujerumani wamedhaminiwa na tajiri mmoja timu kumi ktk ligi yao ya ujerumani, mnasema GSM kwa kuthamini timu saba mbona kawaida sana hiyo, Huyu ni mdhamini sio mmiliki wa Tim, Fuatilieni mpira wa wenzetu sio kupoteza muda na kutumalizia bando zetu kusikiliza ujinga..
Kwakwel uzamin wa gsm kwanamna yoyote kuzamini liki yetu haufahi
Jibu sahihi la kwa nini Simba wanalalamikia udhaminiwa GSM ni kwamba Simba ndio mpinzani mkuu wa Yanga. Yaani unategemea hizo klabu zingine zitalalamika wakati si wapinzani halisi wa Yanga
Ujanja wa GSM ni kupata points 18 kwenye hizo timu. K.M. ziifunge Simba kwa nguvu zote kwa Yanga zilegeze isifungwe ili wachukue hizo points 18 kwa hizo timu 6. Huo no ujanja na kujifanya hizo timu zisiweze kusonga mbele. Huo ujanja SIMBA imeuona. Hizo timu jitahidini muifunge YANGA msikubali kifanywa MATEJA kwa YANGA.
Kwahiyo nasimba ili rgeza maana hata yenyewe imewafunga!
CHizo sio hoja gsm toeni uthamini acheni uswahili!
@@amourgwabananga1543wezombi kwel
Ajabu na ukweli Simba wameshindwa kuifunga yanga wanawaambia timu zingine zijitahd kuifunga yanga ujinga wa kiwango cha juu kbs
TIMU 7 SIO 6 POENTS 42 WASHENZI SANA MATOPOLO
Huo ni ukweli kabisa, hapo kazima kuwepo na conflicts of interest
Vilabu vingi havipingi kwasababu avina ushindani wakuchukua kombe isipo kua zinapingana kuto shuka daraja anae umia ni simba anae gombania ubingwa tff kunanuka hongo za gsm tu
Umetapeliwa Nini na wew mbona mihemko. njoo ue kiongozi wa simba
Wanatualibia ligi yetu siyo sawa kuzamini timu saba
Tatizo wote mlioandika maneno ya walaka wasenge wa jangwani hamna hoja ya msingi zaidi ya kuifunga simba, mnanunua kuhonga wachezaji wa timu, umenunua bidhaa za MO, atauza imeacha kununua atauza, sisi simba hatuna akili kama zenu za kususia bidhaa ya gsm, ila nyinyi wasenge malaya mtajijua wenyewe na Roho zenu mbaya kama sumu
Yaani kama hamsajili wachezaji mnajificha kwenye uwekezaji wa GSM haki ya Mungu mtafungwa hadi mjambe moto
Marefa na Tff wote ligi iongozwa kwa rushwa
Nikweli
Tatizo la nchi etu kila sehemu watu wako kimaslai Tff wanajua wanajua wanachukua hela kwa Gsm ndomana wapokimya wameziba maskio
Young Ruth Davis Cynthia Gonzalez Brian
Uwoga wenu ni Yanga sio kanuni wapuuzi Azam kazamin ligi yote mbona ubingwa unamtoa jasho achukue ubingwa kaweka bikin 360 na anatimu kwenye ligi vipi hapo wapiga kelele Azam hawamuoni😅😅😅😅
Tff hii imechoka imejaa rushwa uzamini timu sita aibu tupu
Mwanasheria jiulize kama Yanga inamilikiwa na GSM ni Sawa ila GSM sio mmiliki wa yanga
Simba ndio mlengwa wa huu utapeli wengine wanatumika tuu
Andaa timu yako vizuri kupambana na yanga
Tunaandaa timu ya kuchukua ubingwa wa shirikisho siyo kupambana na timu isiyowahi kuingia hata top ten Africa 😂😂😂😂😂😂
watu hawapendi ukweli maana hapo kwenye hoja ya mdhamini haipo sawa kuna conflict of interest
uozo wa tff
ALAFU HATA FIFA HIYO UNAYOSEMA UNAKUWA MUONGO MAANA FIFA WANAKATAZA MTU AU KAMPUNI MOJA KUMILIKI TIMU ZAIDI YA MOJA KTK LIGI MOJA NA SI KUDHAMINI....HIVY0 HAYA YOTE NI MANENO YA WAKOSAJI
Mwanasheria kafafanua vizuri
Babu usieleze sana kiufpii GSM ananunua vilabu hakuna sheria hiyo kupata matokea na katoa rushwa TFF wanashirikiana lkn tumejiona ni jins gan anapat matokea
Hicho kitu kinaniumiza kichwa yanga kudhamini timu 7
Tupeleke FiFA hili swala huu ni uonevu
Tatizo kufungwa goli nyingi au? Vp na Clab Bingingwa Gsm amedhamini?
MwanasheriUmeongea VIZURI sana MPIRA WETU SASA RUSHWA IMEKITHIRI.MAZINGIRA YAPO WAZI TAZAMA SIKU YA KUTAFUTA MFUNGAJI BORA WA LIGI YETU.GSM,TFF SASA BINGWA HANAJULIKANA.
Ingekua ni Mo serikali ingeongea maana hawana shea
Wamekamatwa pabayaaaaaa
Hili suala!!!lipelekwe Kwa wenye mpira wao FIFA,,,,,,lkn sio wapenda rushwa WA pale karume
Umeongea ukweli wale tff wala rushwa tuu
Hatuna imani na tff hata kwenye swala la lawi wamechangia kisa wao ni costali
0:40 0:41 0:41 0:44 0:44
Jee mbona hamuongei kuhusu Azam?
TFF ya tz yenyewe inasheria zao , ukichambua vzri Yani iko kirushwarushwa tu
Wanasimba hangaikeni sn yangu bingwa itaendelea kuwachapa haiteteleki na vijimaneno
Kwauchawi nakuzamini vilabu vingi mpange matokeo kwakuwa nimshamba enderea
Kwan mbona mnaumia kama haiwazuru nyie mtulie msubiri balaa la fifa mnaona sawa kwakua inawasaidia kupanga matokeo
Mbona simba hadhaminiwi na GSM lakini anapokea kipigo na azam pia
Aanzishe ya kwake atuachie yanga yetu
Hii nchi ina ujinga mwingi sana Simba na yanaga walikua mzamini wao ni Sport pesa milikua wapi nyie wajuzi wa sheria
Mnataka timu zingine ziwe njaa ili ligi iwe yahovyo
Kuna polisi Tanzania>jkt Tanzania moja tuu
Azam anadhamini vilabu vingapi? Na ana timu yake pia ya Azam, Hivi mambulula wanaopiga kelele kuhusu udhamini wa GSM hili swali hamuwaulizi? Basi na Azam JE?
Shida yanga timu hii ni ya wahuni wengi
KAMA TFF HAILIONI HILI NI RUSHWA,BASI GSM KALETA RUSHWA KIAINA ILI AWEZE KUPANGA MATOKEO KWA KUNUNUA MATOKEO
Ww said ali una akili adidas ana time gani taja mbona nyinyi mnajifanya hamfahamu wakati unaona kwa nn watu hawakupiga kelele nbc sawa na ayo maneno uloandika😊
Kwairi tff wamepuyanga inaonekana wamesha kura mzigowaoo
Na Simba wapeleke mzigo kwa tff
Viongozi wa vilabu na wanasheria wa vilabu hawajui haya kama wanaijua hizi sheria kwanini wako kimya hivi
GSM stanunua amechi za mtu zote alizozami takukuru mko wap watu wanapeana rushes hazaran
Gongo wazi povu kama lote😂
Kumbe ndio maana Yanga anakusanya pointi nyingi za bure za matawi yake
Embu mtupe ufafanuzi na uzamini wa azam pia msiangalie kwa yanga pekee kama mnazijua sheria tupeni ufafanuzi na huo uzamin wa azam pia
Mwanasheria mpuuzi tuu naye kwanini mlalamishi ni simba tuu.. kwanini hajadiliwi azam?
Adidas ni sehemu ni wamiliki wa Bayern Munich, na bado ana fadhili vilabu vingine 10 7:23 je FIFA hawaoni ??
Kwan GSM akikosa kuzizamini timu faida kwa nani tunaambiwa mpira ni kuekeza sasa wadau wanawekeza ili gape lisiwe kubwa kuna wapuuzi wanaona sio sawa kisa tu GSM Kwan moo nayeye si awazamini izo timu nyingine
Jitahidi upate Elimu elimu elimu by Edward ngoyai lowasa
Ametulia kuongea lkn utumboo tupuuu
Aeleweki yupo tu kishabiki
TFF imewekwa mfukoni mwa Yanga! Hii ni Tanzania bwana!
Kuna watu kwenye coment wanabishana na sheria na ndioo maana sisi tunajua pale walio na akili wawili tu
Huyu nae hajui caf champions league mdhamini mkuu ni 1xbet makubaliano yao hawataki kudhamini kampuni yogote ya betting na ndio maana sportpesa hawahitajiki ktk michuano hiyo
Tunachotaka kujua upo uhalali mdhamini mmoja kudhamini zaidi ya klabu kimoja
Tunaomba wenye mpila wao watusaidie man tff hajaerwek mpl unapotez laz. Kam mpil tuachan namashabi wavilabu tuongee namashabik wampila
SHOGA MKUBWA WEWE 😂😂😂😂😂
Kwanza matapeli tu. wezi wakubwa hawa. Wahuni tu GSM kwani ni nani mpaka anaisumbuwa tanzania?
Nyie mafala😂
Hi yanga inasema yanga bingwa miaka5 wanajua wamefanya nini ndiyo maana wana uhakika
Huenda suala hili TFF wamejificha ili ionekane ni Simba.
GSM achana na Hivyo Vilabu kuvidhamini endelea na YANGA
Nia Yao Vilabu viwe omba omba. Tunajua Hao walikuwa wanapa Vilabu hasa Wachezaji Wacheze chini ya kiwango Ndio nia Yao.
TFF Muwe wawazi Mpira ni Biashara
Mpila ni biashara ndio lakini hakuna biashara ilioluhusiwa kuzamini Wala unayokataza kwa maana hiyo hakuna biashara ya hivyo tff hawana kanuni inayomkataza mtu kuzamini Wala inayo mluhusu kuzamini kwa hiyo hakuna biashara GSM kajitengenezea mwanya wa rushwa ndo tafsri yake
Sio .lazima utoe maoni nawaona watu watimu fulan mapovu yanawatoka mwache atuelimishe wewe kama hujui kama kimya
Yanga anaharibu sn mpira wa bongo halafu Tff wanaangalia tu siku FIFA wakija kujua haya madudu madudu
kutakuwa
na madhara makubwa sn kwa yanga Tff na mpira wote wa bongo.
Mmmmmm
Acheni ujinga yanga chezeni mupila xio vigisu
Adidas ana hisa Bayern Munich na pia anadhamini baadhi ya timu nchini ujerumani hapo vp?
Muongo mkubwa wewe, Utopolo hawezi kucheza Mpira ikiwa Kuna fareness Toka Mpira umeanzishwa nchi hii
Adidas hamiliki team.
Wewe muulizaji asiyeguswa ataumiaje?
Wengine waoga
GSM hana Timu. Bado 49% hazijapata muwekezaji.
MWAMBIE MAMAKO AWEKEZE.
Wasajili waache keleeele
Kuna kupanga matokeo
Hee!
Simba wanahangaika wakati wanaongozwa na viongozi matapeli
Acha povu mnapata point za mchongo mnadhamini timu ili mpate point za bure
@@NasibuAlban vipi hatanyee mlihongwa? Mbona mlitapika pts 6 mkafa magoli 7
@@robertphilip385 mbona mama Yako tapeli nahatusemi
@@Shemahonge-ku7xx msambaa utamjua tu wewe ni wale wale Hoya Hoya Yani hujui kitu Kila unachoambiwa na Ahmed Aly unaona nisawatu
utakuwa unashida wewe sio bure
Mwanasheria wa fifa anaongea kiswahili tena
Simba tokeni adharani sema GSM aliwapa pesa Yanga ikawafunga nje ndani
@@Kanyawela mlitumia uchawi mwingi nakununua kilakiwezekanacho marefa baazi yawachezaji irimuifunge simba irikuficha huouozo wenu wauzamini watimu nyingi irimkiurizwa mseme simba pia tumeifunga chezeni mpila uwanjani tushindane
Mbona Azamu kila timu inatoa na kuipa fedha je Azamu anakuwa amenunua mechi?Usimba na Yanga usituharibie soka
Azam yupo kwenye udhamini wa ligi na sio klabu au baadhi vilabu, jaribu kutofautisha
@@MadieMtimbuka kwaiyo GSM aliwapa pesa simba ili yanga iwafunge nje ndani?
@@Kanyawela hoja hapo ipo kwenye udhamini wa vilabu, simba na yanga wanafungana tokea kuumbwa dunia hata ss hatujazaliwa.wapenzi wa soka wanataka fair games
Mbona kama kinachoongelewa ni wivu tu kwani hapa Simba anabinywa wapi? Ubunifu wa kimapato nao ukizuiwa maendaleo ya mpira yatapatikanaje?
Huyu kawaje mwanasheria wa FIFA?
T f f hawataki kusikia malalamiko ya wananchi kwa hiyo inaonyesha kuna jambo hapo haiwezekani mdhamini azamini timu zote hapo kuna ligi tena? Mbona azam au simba hawadhamini?
Swali je ? Kuna watu wanaweza kuthamini tim zisizo na afya kimichezo ? Hilo ndiyo swali kubwa kwangu au ndiyo mnategemia hao wakina mzee Magoma ? Kwa sababu kama wachezaji wa hizo zilizobaki wategemee zicheze na Simba au Yanga ndiyo zitegemee pesa za mlangoni wapewe wachezaji kiukweli mtauuwa mpira Tanzania itakuwa mechi zote zichezwe Dar tu ili zipatikane pesa za kulipa wachezaji hivyo
Huyu simba anaonekana wazi
Huyo ni mwanasheria wa fifa anachoongea ni actuality shida watz mnaushabiki wakipuuzi usio na maarifa hii iko kwenye mpira na hata siasa , Leo unaongea ivyo kwakua we yanga angefanya hivyo simba au azam na akawa bingwa na wewe usingekubaliana mko wepesi sana kusahau vitu kwa furaha ya Leo tu
Kwakua anasema ukwel naww pia yanga ndiomana unaona nisawa nampira wenu wakienyej sheria zikifanya kaz mtateseka mabwege nyie
Mnataka kila dhambi yenu ionekane tukufu
Hivi huyu jamaa yuko vzuri kweli kwenye haya anayozungumza?suala la fedha chafu kamwe haliwezi kuwa kwenye jurisdiction ya tff,hatuwezi weka kanuni based on tuhuma,tofautisha udhamini na umiliki.unaongea kiingereza kingi lakini hoja huna.
Huwezi compare biashara ya mpira kule epl na kwetu,tuko ktk stage ya transition,hivi mpira wetu totally ni professional?je sheria ya BMT inaiutambua mpira wetu kuwa ni wa ridhaa au professionals?
Gsm akijitoa kuzidhamini hizi klabu ushindani utakosekena kwenye ligi,pia Kuna baadhi ya timu zitashindwa kusafiri kwenda kwenye michezo mbali mbali
Ngojeni vilabu vikose udhamini zitafungwa mpaka kumi
B4 gsm hivyo vilabu vilijiendesha vp
WAFUNGWE HATA 20 USENGE MSITULETEE NGURUWE WALA MIHOGO NYIE
Ubovu wa Simba hauwezi kurekebishwa na kanuni za TFF. Simba wanafigisu nyingi na TFF wameisaidia sana Simba kwa sababu viongozi wengi wa TFF ni mashabiki na wapenxi wa Simba na ukiona hili limeanza kuongelewa kwa nguvu namna hii ujue TFF wapo njiani kuwasaidia Simba na muda sio mrefu hii kanuni utaiona inaanza kutumika lakini jee TFF inauwezo wa kuwapa wadhamini timu ambazo GSM atalazimika kuziacha? Sheria za kupanga matokeo zipo na hakuna timu iliyo ilalamikia Yanga kuwa inapanga matokeo kwa sababu ya GSM kudhamini timu nyingi. Kifupi Simba peke yake ndio timu inayolalamika na hakuna timu nyingine inayowaunga mkono na hii ni wazi kuwa hii hoja ni ya kibiashara kati ya MO vs GSM kupitia Yanga na Simba, hii sheria haitasaidia soka letu bali itamnufaisha MO kwa vile vinywaji bidhaa zake zitendelea kuwa na soko kwani kwa sasa mashabiki wa Yanga hawanunui tena bidhaa za MO na wale wa Simba haWanunui bidhaa za GSM lakini matangazo ya biashara ya GSM yamepata wapenzi wengi na biashara zake zinasoko kubwa kuliko zile za MO. Kwa hiyo kinachotokea ni kulaximisha kupunguza kasi ya biashara za GSM na sio kweli kwanba ni kupanga matokeo na inawezekana hao wanaopiga makelele wanapewa kitu na MO. Azam,Simba zote zimefungwa na Yanga sio kwa sababu wanadhaminiwa na GSM bali ni kwa sababu ya kuzidiwa kiufundi na Yanga na bado Ihefu ikaifunga Yanga licha ya kudhaminiwa na GSM. Simba waache mpira wa chuki na hila na badala yake watafute viongozi wanaojua mpira. Kaizer chief, Gallaxy, Redarrows, Vital O, Azam, Simba nk. ndani ya mwezi mmoja zimefungwa na Yanga na hakuna timu hata moja inayodhaminiwa na GSM.
Mgazeti wote huo mimavi mitupu
Mavi ya mama yake msenge uyoo akafirwee na gsm
BINTI MAPUNDA AKILI ZAKO ZA KIPUNDA BORA UTOMBWE UTATULIYA UNA NJAA YA MBOO 😂😂😂😂😂😂 SUPU CHAPATI FC WEWE 😂😂
Hivi nimjinga gani hataelewa kua hiyo ni ujanja wa GMS...lhef ilikua inamfunga kila mwaka akaona achukue..ili isimfunge
Watu kama Hawa ndio wanao rudisha nyuma maedeleo ya mpira
Upumbav mtupu
Unajua watanzania wengi wana upenz wa kijinga hasa hawa nyuma mwiko kinachozungumzwa hapa ni kuwa na time na kumiliki timu nyingi kwa nn mnangangania
Mnaonaje gsm akaacha kudhamini mpira nchini si itakua vizuri kwa upande wa simba
Daah itakua vzr sana wewe umenena
KWANI HUU USHENZI MNAMFANYIA SIMBA NGURUWE WALA MIHOGO NYIE.
Jiandaeni vzr tu,itakuwa atakae sema Singida kauza mechi ndo mana kapigwa2,unasubiliwa wewe then,unapigwa kono la nyani😂😂
Kwakawaida ukiona mashabiki fulani wanafurahia huu udhamini wa timu 7, ujue wanafaidika na hili