@vugaonlinetv: KIJANA HUYU AMKOSHA Mhe OTHMAN NA KWA MANENO HAYA ALIO YASEMA MBELE YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y День тому +3

    Safi sanna vijana wa OMO

  • @nassorkhamis7091
    @nassorkhamis7091 День тому +6

    Safi sana hawa ndio vijana wa Chama chetu

  • @MuhammedSayd-r6p
    @MuhammedSayd-r6p День тому +4

    Hawa ndo vijana wanaotakiwa waandaliwe na viongozi wetu wajuu safi sana kakaangu

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b 9 годин тому

    Safi sana

  • @suleali839
    @suleali839 День тому +1

    Ahsante sana. Naomba utuwekee na clip ya Nassor Mtoa mada

    • @vugaonlinetv
      @vugaonlinetv  День тому

      Asante Tutaiweka Insha allah tukipama Video Zake

  • @SaidShkel
    @SaidShkel День тому +1

    Vijana hapana kurudi nyuma mara hii ccm liwalo naliwe

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 День тому +2

    Twayataka mamlaka kamili ila tunzidiwa kwa maneno matupu ccm hawaondokipo wengeondoka 2015

    • @Aisha-lj8bu
      @Aisha-lj8bu День тому +1

      Wataonsokahao kwauwezo wa Allah ishaallah

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 19 годин тому

    Sawa mwalimu wa darasani na mtaani.

  • @KHAMISMOHAMMED-fj4bs
    @KHAMISMOHAMMED-fj4bs День тому +1

    Ukisema hawaondoki kniudhaifu mkubwa mkubwa sana mapambano yanatakiwa

  • @w4058
    @w4058 9 годин тому

    Hamjaupindua ulipinduliwa kwa mipango ya wayahudi wakishirikiana na wanafiki wa Uingereza na Maharamia wa Marekini na ndugu zetu watanganyika na watanganyika ndio wanaotutawala

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 18 годин тому

    Mh Sule 7

  • @SaidShkel
    @SaidShkel День тому +1

    Liwalo naliwe mara hii ccm mutatafuta choo chakwenda kunya

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j 18 годин тому

    Maneno mengi tukutaneni 2025 october

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp День тому

    Zanzibar haiwez endelea kwasabb uongoz tu vijana hasa unguja hawapo kimaendeleo wapi kupiga kur ili mtu fulani akae ata kura kumi atapiga na analindwa mtihani ata ayo majengo hatutokaa mimi na wewe 😢

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 11 годин тому

      Hivi visiwa wakati ni viwili tugawaneni, tuviendeshe kimamlaka.

  • @songombingo108
    @songombingo108 День тому

    Zanzibar ilikufa mwaka 1964 ikazikwa mwaka 1977 walipounganisha vyama viwili.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 10 годин тому

      Ni kweli 100%+. Hata hiki chama leo kinachoota Zanzibar ya Mamlaka kamili chenyewe hakina Mamlaka Kamili kinamilikiwa na hao hao wanaodhaniwa kuimiliki Zanzibar.

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j 18 годин тому

    Kama uhuru wenyeamlaka kamili ulipatikana 1963 jee mwaka 1964 mapinduzi yalifanyika ama hayaja fanyika,na kama yalifanyika aliepinduliwa ni nani na kwanini apinduliwe wakati nchi ilikuwa huru na yenye mamlaka kamili? Ulikuwa uhuru bandia ndo maana watu wakapindua acha kuwa kosea wazee wetu walio fanya juhudi za mapinduzi mpaka ukawa huru kuzungumza apo

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j 18 годин тому

    Wazanzibari tumeshughulishwa sana na vitu ambavyo act havija wahi kuwashughulisha kama magorofa ambayo wapinzani wa kipemba wanaishi sana kule sebleni na michenzani,tumeshughulishwa sana na barabara nzuri tupate kusafirisha kwa haraka mabungo na ndizi zetu kutoka pemba pia tumeshughulishwa sana na masoko ambayo ndugu zetu wapemba wanatuuzia vitu ambayo masoko ndo ajira yao kubw pia tumeshughulishwa na skuli ambazo mnajifunza na kukaa majukwaani ivo,sasa act mnataka kutufanyia nini wakati yaliyo tushughulisha wazanzibari nyinyi hamna nia ya kutufanyia ? Ondokeni bhana tuacheni na mwinyi masoko,mashule magorofa na mabarabara

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j 18 годин тому

    Shida yenu act na wapinzani wa nchi yetu hamutuambii mme fanya nini na mtafanya nini la maendeleo katika siasa zenu Mnachukua yalofanywa na kuyasemea kinyume na kusema jambo fulani halifanyiki mwaka huu kitachimbika ila hamutuelezi juhudi mtazo fanya kwaiyo achatu kijani kiendelee kunawiri mana khofu yetu ata tukisema tuwachaguwe hamna dira nzuri