Hizi ndizo MBINU hatari za KIJESHI zinazoifanya URUSI iizidi UKRAINE kwenye uwanja wa VITA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 191

  • @AliMwingwa
    @AliMwingwa 2 місяці тому +6

    Safi sana nakuku bari katika teknology upo good

  • @PatrickKagiraneza-ok8cw
    @PatrickKagiraneza-ok8cw 2 місяці тому +12

    Good technique kwa urusi...

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 2 місяці тому +3

    Niga ur the best,, kuna mchambuzi m1 awezi kuonesha hata chembe ya zuri mnja kutoka magharibi (HADI UKIMSIKILIZA UNAGUNDUA ANA HISIA ZA CHUKI)

  • @davidandrew6332
    @davidandrew6332 2 місяці тому +7

    Huyu ndiye mchambuzi Wangu Bora (Ally) hapa Sns, Hasa napenda Sana beto yake na Kipara (Djsma) Amazing Sana.

    • @hazygardmericho9571
      @hazygardmericho9571 2 місяці тому

      Mwenzake sma ni kuwapondea tu magharib yani hana jipya,,😅nauko kwenye komenti wasilamu wanavomjaza kichwa bas ndio doh,!

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 місяці тому +3

    Uchambuzi mzuri sana kaka ally

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 2 місяці тому +17

    Mungu wabariki warusi, wapate ushindi, huko , Ukraine, Viva Russia

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 місяці тому +37

    Ukiwa katika kundi LA majasusi ukiingia tu UA-cam lazima ukutane na habari za kiume kama hzi na uzifatilie kwa umakini zaidi gonga like Kama muafrica harisi ila kiroho tunaishi Europe

  • @AbdillahRashidi
    @AbdillahRashidi 2 місяці тому +6

    Ni Vigumu kuzizuia glide bombs au kuzitungua ndege ambazo zimebeba glide bombs(esp.SU 57) kwa Ukraine ,kwa sababu Glide Bombs zinazotumiwa na Russia zina "Flight control Surfaces" yani zinaweza kujiongoza/kuongozwa kwenda kwenye Target husika ,nje ya mpaka wa mfumo wa kujilinda wa anga yani " beyond air defence interception zone" hivo ile ndege na Pilot wote wanakuwa salama....

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 2 місяці тому +5

    Kama unawafagilia marekani Israel Ukraine juwa ww ni choko

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 2 місяці тому +1

    Shukran kamanda kwauchambuz

  • @ManusuraWalumona
    @ManusuraWalumona 2 місяці тому +2

    Habari zenu hua zimehitimu chuo kikuu hivyo sio habari tu bali ni masomo tunafaidika mno!!ahsanteni

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 2 місяці тому +2

    Tunakushukuru kwa kutu fafanulia vizur mtangazaji

  • @franksimonngole8481
    @franksimonngole8481 2 місяці тому +5

    Juzi nimeona Zelensky anawaalika Urusi kwenye Peace list.

  • @AbdillahRashidi
    @AbdillahRashidi 2 місяці тому +5

    SNS NAOMBENI NA MIMI NAFASI SIKU MOJA NIJE NICHAMBUE MADA INAYOHUSU VITA YA RUSSIA NA UKRAINE AU VITA YA ISRAEL NA HAMAS,AU MAMBO YOYOTE YA DIPLOMACY NAJIAMINI KATIKA SEKTA HIYO NIKO VIZURI ,NAOMBENI NAFASI WALAU MARA MOJA TU NIONESHE KIPAJI NILICHONACHO

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 2 місяці тому +1

      Kaka nmekulewa nmeona umechambua vizr kwenye comment yako apo juu

    • @AbdillahRashidi
      @AbdillahRashidi 2 місяці тому

      @@ommymehmed8880 pamoja kaka

  • @user-yl3be9ix4y
    @user-yl3be9ix4y 2 місяці тому +3

    Kwanini urusi haijapiga mjimkuu wa ukren tupate ushindi haraka

  • @abdullahnassor9433
    @abdullahnassor9433 2 місяці тому +2

    Mabomu ya kuteleza, kwa nini inaitwa glide, kwa sababu imetolewa umbali wa kilomita 60 kutoka mahali pa kushambulia kwa hivyo haiwezekani kuangusha ndege. Mabomu ya kuteleza Urusi inatumia aina mbili za fab family na odab family Kwa kutumia satelaiti ya glonus Thermobaric Wanatumia TOS family ambayo inatumia hit to the degrees of sun .. wanaiita familia ya warusha moto (flame throwers )

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 2 місяці тому +4

    FAB=Father of All bombs🔥🔥🔥

    • @RaymondPaul-bs7su
      @RaymondPaul-bs7su 2 місяці тому

      Lipo la Marekani linaitwa MOAB kirefu chake ni Massive Ordinance Air Blast, Lakini watu wamelipa kirefu cha Mother Of All Booms.Sasa sijui lipi litakua na hatari zaidii kati ya FAB na MOAB mchambuzi atuambiee

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 2 місяці тому

      ​@@RaymondPaul-bs7sukuna bomu linaitwa tsari la Urusi hilo likipigwa hakuna kinachobaki

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

      Ra marekani liko vizuri​@@RaymondPaul-bs7su

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 2 місяці тому +1

    Asante mchambuzi

  • @starfocus-9
    @starfocus-9 2 місяці тому +6

    Ally unajua sikuhizi umeanza kua Sharp zaidi ya dj sma yani unajaribu kutupa kitu kila siku bila kupita mda mrefu sijui sma anachelewa wapi

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 2 місяці тому

      Yule fundi akitoa anatoa facts na logics😂

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 2 місяці тому

      Sema kijana muda huu ana improve sana✍️🙌

    • @AllyGibu-cz2vo
      @AllyGibu-cz2vo 2 місяці тому

      Sema vingine anakosea kosea kusema km 12,000 badala ya mita 12,000

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 2 місяці тому

      Nadhan sky ndie huwa anachagua nani atupe updates, sma hata Henry wapo on-time vile vile

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 місяці тому

      Nadhani ally atakuwa na kigugumizi hivo tusimlaumu sana, anajua na kujitahid pia

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 2 місяці тому +2

    FAB 3000 ni hatari mbaya mbovu.

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 місяці тому +4

    iizidi inchi za magaribi inchi Ukraine

  • @YahayaDewa
    @YahayaDewa 2 місяці тому +4

    Pamoja sana kwa uchambuzi mzuri

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому

    Safi karibu south afrca

  • @EmanuelMinja-fv9dn
    @EmanuelMinja-fv9dn 2 місяці тому +3

    Uraaaaaa

  • @mozamoza3960
    @mozamoza3960 2 місяці тому +2

    Hizi siku hamu ingeleyi mambo ya Gaza au mlikatazwa jaman tuna itaji kujua maendeleo huko

  • @raphaelgeorge517
    @raphaelgeorge517 2 місяці тому +1

    Ally Masubi is the best

  • @franksimonngole8481
    @franksimonngole8481 2 місяці тому +4

    Kuna FAB 3,000 Glide Bombs ni hatari sana.

  • @selesjandwa412
    @selesjandwa412 2 місяці тому

    Leo masud umetisha san

  • @GraceMkandawile-j5w
    @GraceMkandawile-j5w 2 місяці тому

    Aliy umesomea chuo Gani nakukubali sana

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 місяці тому

    Uraaaaaaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 2 місяці тому +2

    Kweli tumedanganywa sana marekani ndoo ilikuwa inaonekana ina jeshi kali sana kumbe ndoo yale yale ya israel mikwara mingi vitendo sifuri....
    Leo ukraine imepewa kila kitu na wanajeshi wa magharibi wote wapo ukraine lakini kibano ni kile kile...
    Israel nao wanapigana na kikundi miezi yote hiyo wameshindwa kukomboa mateka wanaishia kuua wamama na watoto wadogo..

    • @AbdillahRashidi
      @AbdillahRashidi 2 місяці тому

      Kuzidungua ndege za Russia(SU-57) ambazo zimebeba Glide Bombs ni ngumu kwa sababu Zenyewe zinadondosha hizo bombs nje ya mpaka wa Ulinzi wa nga(beyond air defence interception) ni ngumu kwa mifumo ya anga ya Ukraine kujilinda na Hizo Glide Bombs,
      Na hii Tactic ndo imempa Russia hizi siku za Karibuni hapa maeneo mengi ya Ukraine

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 місяці тому +2

    🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺💯👏

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 2 місяці тому +3

    Russia 🇷🇺 msulimoto daima

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 2 місяці тому

    Glide bomb ni sawa Bomu linaloambaa lkn Pia linalosambaa

  • @Ally-qi7xo
    @Ally-qi7xo 2 місяці тому +1

    🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇧🇮❤️

  • @IbrahimAlly-zq2cf
    @IbrahimAlly-zq2cf 18 днів тому

    😊😊

  • @gabrielgodwin7465
    @gabrielgodwin7465 2 місяці тому +1

    Russia wameshindikana, ila natamani mje mchambue Electronic weapons zilizo tumiwa na Russia kule Syria

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 2 місяці тому

    Cheers 🥂

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh 2 місяці тому

    Sawa

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 2 місяці тому +1

    Twaweza yaita mabomu vishada

  • @samuelpolepoleruhegeza8139
    @samuelpolepoleruhegeza8139 2 місяці тому

    Hoooraaaaaa y

  • @vitusjackson1354
    @vitusjackson1354 2 місяці тому +2

    Ingependeza kama ungekua unaweka na video ya lilipotua tuone

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

      Hawana wanafiki tu hawa wachambuzi wa urusi

    • @AliKaroyo
      @AliKaroyo 2 місяці тому

      ​@@hamidamussa-sy4fm kma Ni Uwongo Toka Vita Iyanze Na Misaahada Ya Silaa Za America na Nato zimebadilishaa ninn kwenye Vita Hiii Ukitambua Ilo Wala Utashindana Na Urusi , Urusi Ndio Nchii Ya Kwanza Dunian Kwa kuongoza Kwa Uzalishaji Wa Silaha Kma Ujui😂😂😂😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 місяці тому

    👊👍✌️.

  • @kidyybravo5267
    @kidyybravo5267 2 місяці тому

    No GPS this week?

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 2 місяці тому

    Vita iendelee tuone Nani choko na Nani mwanaume, 👊

  • @nassorrashid2521
    @nassorrashid2521 2 місяці тому

    mashoga wataisoma numbee

  • @rashadally6871
    @rashadally6871 2 місяці тому +1

    Tunaweza kuyaita mabomu ya vishada

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 2 місяці тому +1

    Keep going Russia you will win

  • @pauleranga2621
    @pauleranga2621 2 місяці тому

    Kwa nini Ukraine iharibiwe kwa faida ya wanachama wa Nato? Mungu apishe mbali Vita vya tatu vya Dunia. kwa maoni yangu tuko karibu yake. Je tunataka kuishi au kuangamia? wakati wa kuchukua hatua ndiyo sasa. Bravo Putin hata Mungu yuko pamoja na wewe.

  • @ramadhankilango9088
    @ramadhankilango9088 2 місяці тому

    Hujafafanua vya kutosha hiyo ya kuunguza ardhi

  • @abubakariikumbo9721
    @abubakariikumbo9721 2 місяці тому +1

    Yanaitwa mabomu ya kuteleza

  • @user-wc3hn4kt1x
    @user-wc3hn4kt1x 2 місяці тому +1

    Team Russia nasikiliza kwa makini

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +1

    Asante ukrane kwa kulipua meli ya urus

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 2 місяці тому +1

    Putin kiboko ya mashoga

  • @JosephMbagala
    @JosephMbagala 2 місяці тому +1

    Mikoa mingapi mrusi aimalize Ukraine

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 2 місяці тому

    Keep it up Russia 🇷🇺

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 2 місяці тому +1

    Ila hawa warusi watengwe🙌🔥🔥🔥

    • @user-do2id6pp4g
      @user-do2id6pp4g 2 місяці тому

      Ili iweje wewe yaani we ni mtu magharibi sio

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 2 місяці тому +1

    wajisilimishe tu yaishe

  • @MassoudSalim
    @MassoudSalim 2 місяці тому

    Pigilia mbali UKRAIN na FAB mpaka wakome.

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

    Ukleni akipewa mazito utasikia urusi anapiga kelele

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +1

    Ukraine Ana himars

  • @OmaryKaniki-hs5mz
    @OmaryKaniki-hs5mz 29 днів тому

    Acha upambe na uhongo

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 2 місяці тому

    URAAAAAAAAAAAAAA

  • @hemedykuziwa1227
    @hemedykuziwa1227 2 місяці тому +1

    Putin🔥🔥🔥🔥

  • @MustafaChiledi
    @MustafaChiledi 2 місяці тому +2

    Mabomu mtelezo

  • @munezeroolivier411
    @munezeroolivier411 2 місяці тому

    🇷🇺🇧🇮🙌

  • @MwemajaphetyZackalia
    @MwemajaphetyZackalia 2 місяці тому +2

    Piga upinde wa vua hao

  • @Mjukuuu
    @Mjukuuu 2 місяці тому

    fab3,000 ya madhara ya circle radius ya 200km unaijua kweli Mkuu?.. daaaaah😅

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +2

    Ukrane katungua ndege ya urus yalipuliwa mig 34

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 місяці тому

      Lini hiyo

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 2 місяці тому +1

      mbona unatufosi kukusikiliza😂😂😂 mbwa wewe

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 2 місяці тому +1

    Chonde chode Zelensky! Unaimaliza Ukraine!. Kubali matakwa ya Putin. Mkono usioweza kuukata ulambe! US na UK wanakudanganya!

  • @chachamturi259
    @chachamturi259 2 місяці тому

    Oya wee achabana aka kakitu natwanga

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 місяці тому +1

    WACHAPWE HAO WAHUNI AMBAO SASA HAWATAKIWI HATA NA WANANCHIWAAO😂

  • @Abdull-AzizKhamis
    @Abdull-AzizKhamis 2 місяці тому

    Mabomunya kuteleza

  • @AllyGibu-cz2vo
    @AllyGibu-cz2vo 2 місяці тому

    Sio km 12,000 Bali ni mita 12,000

  • @YothamAlex
    @YothamAlex 2 місяці тому

    Nimeskia kuna FAB 9000 inaandaliwa,ni huzuni kwa wanajeshi wa ukrain

  • @luqmanrajab952
    @luqmanrajab952 2 місяці тому

    Tuko pamoja

  • @peaceconsltd6914
    @peaceconsltd6914 2 місяці тому

    Niunge

  • @iddkaoneka7485
    @iddkaoneka7485 2 місяці тому +1

    Hapa Ali umepiga nondo kali sana.

  • @samuelpolepoleruhegeza8139
    @samuelpolepoleruhegeza8139 2 місяці тому

    Sasa uyu zelesky anaumwa kishwa kabisa kwani yeye anaona atafanyikiwa kwa vita ya kutemeya mwenziye 😂😂😂😂

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 2 місяці тому +1

    Ali masubi umri mdogo nondo kama zote🔨

  • @amonezekiel4893
    @amonezekiel4893 2 місяці тому

    Sasa kama ameona ni hatari, anasubilia nn,

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 2 місяці тому

      Tatizo lugha ningumu kuelewa 😂😂

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +2

    Ukrane kalipua visima viwil vya mafuta vy urus

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 2 місяці тому

      siyo Ukraine wewe mbumbumbu, ni Marekani na NATO yake, Ukraine haina jeshi

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +1

    Krasnoda yashambuliwa na ukrane

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 2 місяці тому +1

      Propaganda ambayo haina kichwa wala miguu ,tunajua kichapo wanachopata Ukraine 🇺🇦 .Ruksa kujifariji😂😂

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 місяці тому

      Ushoga unakuhangaisha

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂we jamaa ukapimwe akili na malinda

  • @hemedykuziwa1227
    @hemedykuziwa1227 2 місяці тому

    🇷🇺

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 2 місяці тому

    Bomu mtelezo

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +1

    Ukraine Ana attacks storm shadow

  • @michaelphares9411
    @michaelphares9411 2 місяці тому +2

    Wa pili Leo nipeni like

  • @selemaniayubu115
    @selemaniayubu115 2 місяці тому

    Zelensky ameuwasha moto kwenye nyumba yake sasa unamshinda kuuzima na wasaidizi wake amewaponza viti vyao vinawaka moto vile vile sijui itakuaje,na jamaa anamdunda kimya kimya,aliambiwa kasikia lakini kapuuza kwa maelekezo ya wapambe mtihani mkubwa anao jamaa labda aombe poo na kujitoa kimasomaso😂😂😂

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

    Urusi ni watu kama sisi subiri mfalasa aingie ukleeni inchi ndogo sana

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому

    Ukrane ya shambling mij miwili ya urusi krasnoda na rostov

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 2 місяці тому

    Wewe kwanini Urusi kila siku ndio ina sifa nzuri uliwahi kusikia wapi. Lazima na yeye ana disadvantage zake wewe ni shabiki . Sometimes unafa usifu Ukraine nchi ndogo kupambana na nchi kubwa km hiyo ambayo ilisema itaipiga Ukraine kwa siku 3 leo tuna zungumza mwaka wa 2. So acha hizo lie

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 2 місяці тому

      Nadhan umeanza kufuatilia vita hii siku za karibuni na kama unafuatilia basi huwa una base na media za magaribi

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 2 місяці тому

      Ww utakuwa choko

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 2 місяці тому

    Hamna mbinu yakijeshi ambayo wewe utaijua

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

    Wote wanazo na pesa wanazo wewe utaona tu

  • @abdullahnassor9433
    @abdullahnassor9433 2 місяці тому

    Ali masudi stop lazy analysis, the style of battle is using know one knows, Lakini ina hitimisho kwamba Urusi inawapa ukraine vita ya uasi ..Urusi imeweka nguvu kubwa ikiwa NATO itajiunga na vita.. kwa sasa mbinu yao ni polepole lakini thabiti. Chaso vyar bado haijazingirwa, lakini ilikuwa ngome zaidi ya miaka 12 iliyopita ambayo inamaanisha ikiwa itachukuliwa Kirusi itasonga kabisa kwani chasoviyar ndio tofauti pekee iliyobaki.
    Ili kudhoofisha chaso vyar Urusi ilitumia misheni ya bomba kama walivyotumia kwenye soleda Urusi inatumia wanajeshi 17 hadi 20 na 2 kwa recon Ukraine ina wanajeshi wengi 5 sasa wananyakua watu kutoka mijini.

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 2 місяці тому +1

    Bado mzee putini ana hangaika na ka inchi ka Ukraine? Miaka 2 sasa.

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 місяці тому

      Urusi anapigana na NATO kwa mgongo wa ukrein

    • @MAHAN-SMART
      @MAHAN-SMART 2 місяці тому +2

      Na mashoga wenzako wa Israel wamehangaika na Gaza kwa mda gani

    • @bonifacesembuche2295
      @bonifacesembuche2295 2 місяці тому

      Lengo la PUTIIN Ni kuua uchumi WA nchi za magharibi na Marekani,sio kuwa haiwezi kupiga Ukraine Kwa MDA mfupi ,anao uwezo ila lazima waisome Namba Uraaaaaa

    • @suleymuntar3544
      @suleymuntar3544 2 місяці тому

      Sawa sns ni timu urusi bbc pia uangalii wanavyojitia madeni wenzako kwa kumsaidia ukraine karibia inchi 20

    • @SaidKawela-qy5wv
      @SaidKawela-qy5wv 2 місяці тому

      Hujui kinachoendelea

  • @user-cx9lt8hh4l
    @user-cx9lt8hh4l 2 місяці тому

    Uraaaaaaaa🫡🇷🇺

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому

    Ukraine kayatungua mskombora

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +1

    Ukrane babalao

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому

    Urusi yaa shambuliwa mji wa voronezy kambi za slaa kalipuliwa zote ongera ukrane

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 місяці тому

      Ushoga unakutesa

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 2 місяці тому +2

      😂😂😂jamaa haujawahi kuwa na akili tangia shuleni

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 2 місяці тому

      Kwan huna kaz ya kufanya mbona unakoment mara 100 halafu wenzako wanakoment mara moja tu