Mashine ya Kuvunia Mpunga (Combine Harvester) ya KUBOTA kutoka Agricom Africa Ltd Ikielezewa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 кві 2022
  • Kutana na mashine ya kisasa ya kuvunia mpunga (combine harvester) aina ya KUBOTA kutoka katika kampuni ya Agricom Africa. Ili kuendana na kilimo cha kisasa chenye tija, matumizi ya zana za kisasa za kilimo hayaepukiki. Tizama kwa ufupi uelewe ni faida gani utazipata kwa kutumia mashine hii tofauti na kilimo cha jadi wananchi wengi walichokizoea.

КОМЕНТАРІ •