Agricom Africa
Agricom Africa
  • 34
  • 45 822
FIELDKING EQUIPMENT IN TANZANIA
Kutoka kwa maandalizi ya ardhi mpaka mavuno ya kuvutia, zana unganishi za Fieldking kutoka Agricom Africa ni wenzi wako wa kuaminika! 🚜💪
Jionee nguvu ya kudumu inayolinda mashamba yako, na tuliza akili ukiwa na uhakika wa kupata vipuri halisi kwa urahisi.
Safari yako kuelekea mavuno mazuri inaanzia hapa!
Tupigie sasa +255 784 796 493
#Agricom
#FieldkingEquipments #NaweKilaWakati
Переглядів: 203

Відео

FIELDKING PLANTER HD
Переглядів 779 місяців тому
Chaguo bora la kupanda mazao yako kwa ufanisi ni PLANTER ya FIELDKING. ✅ Inapanda mistari 13. ✅ Inakupa nafasi ya kutumia mbegu na mbolea kwa wakati mmoja Epukana na upotevu wa mbegu kutumia machine hii Tembelea matawi yetu nchi nzima kupata huduma ya zana za kilimo msimu huu! #NaweKilaWakati
FIELDKING ROTAVATOR
Переглядів 6110 місяців тому
FIELDKING ROTAVATOR: MKALI WA KUCHABANGA! Tazama video kuona mashine hii na kazi zake zinginezo, usisite kututafuta tukuhudumie msimu huu!
KUBOTA 75HP TRACTOR
Переглядів 71410 місяців тому
Jivunie Ufanisi wa trekta ya Kubota 75hp yenye horse power 75, yenye uwezo wa kufanya kazi za kilimo kwa ufanisi na kwa haraka zaidi. Tazama video yetu kwa maelezo zaidi na jifunze jinsi Kubota inavyosaidia wakulima kufikia mafanikio makubwa zaidi katika kilimo. #KubotaTraktor #75hp #KilimoBora"
JIFUNZE UTOFAUTI WA SPARE HALISI KUTOKA AGRICOM NA SPARE FEKI.
Переглядів 20611 місяців тому
Kwenye wiki ya huduma ya wateja, Agricom Africa inawaletea punguzo la hadi 20% la spare halisi ikiambatana na elimu ya kutofautisha kati ya spare halisi na spare feki.
Agricom NaneNane 2023 Mbeya
Переглядів 203Рік тому
Matukio mbalimbali yaliyojiri katika maonyesho ya 15 ya kilimo ya NaneNane 2023 yaliyofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.
KUBOTA COMBINE HARVESTER DC70H
Переглядів 569Рік тому
Agricom tupo kwa aili yako mkulima! KUBOTA Combine Harvester DC70H dio yenyewe katika kipindi cha kuvuna. Tupigie kupitia 0745350778 au tembelea tawi letu la karibu yako kupata huduma zaidi. #ShambaPesa #TabasamuShambaniTabasamuSokoni
Mashine ya Kuvunia Mpunga (Combine Harvester) ya KUBOTA kutoka Agricom Africa Ltd Ikielezewa.
Переглядів 6 тис.2 роки тому
Kutana na mashine ya kisasa ya kuvunia mpunga (combine harvester) aina ya KUBOTA kutoka katika kampuni ya Agricom Africa. Ili kuendana na kilimo cha kisasa chenye tija, matumizi ya zana za kisasa za kilimo hayaepukiki. Tizama kwa ufupi uelewe ni faida gani utazipata kwa kutumia mashine hii tofauti na kilimo cha jadi wananchi wengi walichokizoea.
Mtaja WA Agricom Africa Kibaigwa
Переглядів 3882 роки тому
Mtaja WA Agricom Africa Kibaigwa
16 November 2021
Переглядів 1362 роки тому
16 November 2021
Agricom Africa na CRDB Bank wawawezesha Wakulima Mbarali
Переглядів 1162 роки тому
Mbarali
Mteja akielezea trekta aina Swaraj kutoka Agricom Africa
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Mteja wa Agricom Africa Kwimba
Kubota tractor 75HP
Переглядів 6182 роки тому
Majaribio ya Kubota tractor 75 HP kilombero
Mteja akielezea trekta aina Swaraj
Переглядів 4,7 тис.2 роки тому
Mteja WA Agricom Africa Morogoro akifurahia kukabidhiwa Trekta lake aina ya Swaraj kutoka Kwa menejanwa Agricom Africa Morogoro Bi Graciana Makungu.
Agricom Africa na TADB kuwanufaisha Wakulima
Переглядів 563 роки тому
Agricom Africa na TADB kuwanufaisha Wakulima
Mkulima wa mpunga usisubiri hadi msimu wa kuvuna ukufikie. Mashine ya Kubota DC 70 G
Переглядів 1853 роки тому
Mkulima wa mpunga usisubiri hadi msimu wa kuvuna ukufikie. Mashine ya Kubota DC 70 G
Siku Ya Lugha Mama Duniani
Переглядів 213 роки тому
Siku Ya Lugha Mama Duniani
Mwaka mpya mambo mapya Mkulima wa mpunga, mahindi na mboga mboja karibu Agricom
Переглядів 9883 роки тому
Mwaka mpya mambo mapya Mkulima wa mpunga, mahindi na mboga mboja karibu Agricom
Fahamu uwezo wa trekta aina ya Kubota L4508
Переглядів 1,9 тис.3 роки тому
Fahamu uwezo wa trekta aina ya Kubota L4508
Mkulima jipatie power tiller kwa ajili ya msimu wa maandalizi ya shamba
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
Mkulima jipatie power tiller kwa ajili ya msimu wa maandalizi ya shamba
Fahamu reversible mould board plough inavyotumika kwa ajili ya kulima
Переглядів 783 роки тому
Fahamu reversible mould board plough inavyotumika kwa ajili ya kulima
MKULIMA USIPITWE NA OFA HII YA NANENANE KUTOKA AGRICOM AFRICA LTD
Переглядів 19 тис.4 роки тому
MKULIMA USIPITWE NA OFA HII YA NANENANE KUTOKA AGRICOM AFRICA LTD
Mashine za Kuvunia Mpunga za Kubota Kutoka Agricom
Переглядів 2,6 тис.5 років тому
Mashine za Kuvunia Mpunga za Kubota Kutoka Agricom
Agricom Africa
Переглядів 4316 років тому
Agricom Africa

КОМЕНТАРІ