Mashine za Kuvunia Mpunga za Kubota Kutoka Agricom

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Mashine za kuvunia mpunga za Kubota ni mashine imara zinazotumia mafuta kidogo. Zina vuna hadi ekari 15 kwa siku bila kupoteza mpunga wowote na kutoa mpunga safi usiokuwa na mawe. Zinakuja na warranty ya mwaka mmoja kutoka Agricom Africa.
    Wasiliana nasi leo kupitia 0783 967 817 au 0745 350 778 kwa maelezo zaidi.
    Mashine za kisasa kwa mkulima wa kisasa

КОМЕНТАРІ • 4