MBOWE USO kwa USO na TUNDU LISSU, MASWALI MAZITO KUHUSU NAFASI ya UENYEKITI wa CHADEMA,.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @RosemaryMushi-z4g
    @RosemaryMushi-z4g 15 днів тому +6

    Asante viongozi wangu wa chadema kwa kauli yenu ya pamoja kuhusu uchaguzi nachaguzi zinafanyika ndani yanchi hii.

  • @FrederickRichard-u5h
    @FrederickRichard-u5h День тому

    Msigombane jamani na msigombanishwe na wengine kutoka nje tafadhali

  • @AjuayeKilendi
    @AjuayeKilendi 8 днів тому +1

    Achia ngaz wakusaidie

  • @EssauMahundi
    @EssauMahundi 9 днів тому +1

    Mwacheni kwanza lisu
    Agombea uenyekiti taifa

  • @msebukwatv1
    @msebukwatv1 16 днів тому +2

    Nimekukubali mbowe unaakili sana

  • @joyjackson258
    @joyjackson258 13 днів тому

    Hongera mbowe ila Mungu yupo upande wenu msikubali kuhombanishwa songeni mbele Mungu yupo upande wenu jilindeni na wachonganishi wapo kati yenu na nje

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara 5 днів тому

    braza mnachafua chamaaaa nikuombe kaa pamoja ndipo mtoe jibu sio mpaka mbuluzaanee

  • @Madini-o7l
    @Madini-o7l 12 днів тому +1

    ACHIYA MADARAKA. JIFUNZE KWA CCM

  • @JanethSuleiman
    @JanethSuleiman 11 днів тому

    Naumia sna mm ninapo kuwa napambana na chama changu harafu haki yang haitrnfeki😢

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 5 днів тому

    anaongea kama mtu,kumbeeeee weee,lisu ni bora

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 9 днів тому

    Eti mko tayariiiiii😮.......

  • @IsayaBugoro-zj8nu
    @IsayaBugoro-zj8nu 11 днів тому

    Sio mbaya sana kujifurahisha

  • @MUSAMWAMBENE
    @MUSAMWAMBENE 18 днів тому

    Lisu sawa hapo kweli mapot wanazingua sana

  • @BilalShingwa
    @BilalShingwa 4 дні тому

    Muanzilishi wa chama. Ninani. Na chama ni chanani.
    Chama ni Cha mtu binafsi ndio sababu ya kungangania

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 9 днів тому +1

    We msungo saivi Wana nchi tushajielewa hatwendi Tena kwenye maandamano wa mikutano yenu sisi tunapijwa na polisi ww unapanda helcopter ukipata hutujui mroho wa madaraka ww unataka umpindue lisu fk

  • @NurdeenMateka
    @NurdeenMateka 13 днів тому

    Wana akil sana hawa jamaa huyo mbowe na lisu pasua kichwa aisew

  • @MeshackAlbert-z3t
    @MeshackAlbert-z3t 5 днів тому +1

    Pumzika na ww

  • @JANUARYSINKAMBA-j1o
    @JANUARYSINKAMBA-j1o 4 дні тому

    Mlishindwa bwana

  • @uhurunamaendeleo6127
    @uhurunamaendeleo6127 16 днів тому

    Hiki chama mmekipigania sana. Lisu anaishi na risasi mwilini. Mbowe na anamajanga mengi yaliompata. Wote mnafaa kuwa viongzozi

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar 8 днів тому

    Jamani sjaelewa uko bara naona viongozi wa chama kimoja kama wanapingana na hicho ndokinacho felisha ila mm naona sasa viongoz mukae pamoja mukubaliane kwasababu musije mukawagawa wanachama nakutakieni ushindi mkubwa mwaka 2025

  • @GiftNyapa
    @GiftNyapa 6 днів тому

    The slogan say that,,, two chitken in every pot,,,. Kila kiongoz uhaid manono hila uleta anayoyafanya

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 4 дні тому

    Pumzika we mzee hutifai kabisa we ni chawa wa Ccm mwache Lissu ashike usukani halafu uone chadema itqkavuokuwa ya moto Sasa tunataka viongozi wenye maamuzi magumu Tena kwenye uamzi wawe katili Kama Lissu Mh Mbowe hutifai kabisa ulinikela Sana kumtetea masauni kule Tanga kwenye msiba wa mzee kibao Yani ilitakiwa abondwe mamae usenge hatutaki

  • @BenardChamba-s8m
    @BenardChamba-s8m 9 днів тому

    Kweli

  • @lembrisgodfrey423
    @lembrisgodfrey423 3 дні тому

    Lisu kugombea uenyekiti chadema sio tatizo je nani mwenye mvuto kwa wananchi atakae gonbea Urais kutoka Upinzani ifikapo 2025.

  • @AndrewChilua
    @AndrewChilua 15 днів тому +1

    WAO WAO WAO

  • @SuolFat
    @SuolFat 16 днів тому

    Lisu ni mwana harakati mbowe ni mwana harakati

  • @SuolFat
    @SuolFat 18 днів тому +1

    Mbowe Bado anafaa uwenyekiti

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara 5 днів тому

    kwale wakigombana nilahis kuwakamata sijui hum masomaga?mnawapa nafasi wahuni hakika vio nitamaa bowe machie lisu

  • @RamaBusness
    @RamaBusness 9 днів тому

    Chama muachie tundulisu kaapembeni mzee

  • @MachageChacha-c8k
    @MachageChacha-c8k 3 дні тому

    Hakika lisu nikweli

  • @JanethSuleiman
    @JanethSuleiman 11 днів тому

    Mm kama mm tundu lisu tuwsachie wenyewe utawala

  • @BilalShingwa
    @BilalShingwa 4 дні тому

    Lisu anastahili kugombea. Na kupewa. Mboe acha kinganganizi. Waachie na wenzako. Sio lazima unganganie wewe. Lisu sifa na vigezo. Anavyo. Anastaili

  • @mohamedkidamiharo4887
    @mohamedkidamiharo4887 16 днів тому

    Angalia ao nyuma wanamcheka anayoyasema kuhusu hajawahi kugombea mwenyewe

  • @MUDIKIDEVU-fl7ii
    @MUDIKIDEVU-fl7ii 16 днів тому +1

    Mnyika na kijichochake

  • @AbdulSindano
    @AbdulSindano 17 днів тому +1

    Achana na ccm we pambana na lisu

  • @msebukwatv1
    @msebukwatv1 16 днів тому

    Ninacho kiona hapa mboe unadaiwa kua una miradi uliyofungua kwa tiketi ya chama lakini hela haziiendi kwenye chama ukweli nikwamba mambo yanatakiwa yawe huru na haki yaani yalio nyooka

  • @Madini-o7l
    @Madini-o7l 12 днів тому

    MBOWE ACHIYA MADARAKA. DUU CHACHA WANGWE. DUU ANGE KUWEPO ZITO KABWE!?

  • @WilliamJacobo-w6l
    @WilliamJacobo-w6l 17 днів тому

    duuuuu!!!!! hi ni atari aise

  • @kinisannko1893
    @kinisannko1893 17 днів тому

    Ruzuku huaga mnapeleka wapi unasema mnajitolea.....? Acheni usanii na udanganyifu.

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 16 днів тому

    Mzee acha hiyo nafasi ili uendelee kuheshimika

  • @lordymawoiya5818
    @lordymawoiya5818 15 днів тому

    Lisu na Msingwa wanamawazo sawa

  • @nchumaTz
    @nchumaTz 7 днів тому

    mbowe tupishe bana, wakati wako umekwisha

  • @manenolugome934
    @manenolugome934 17 днів тому

    Shida sio kugombea kwanini usistaff

  • @NurdeenMateka
    @NurdeenMateka 13 днів тому

    Vyuma hivyo wapo vizur sana hawa jamaa

  • @IsayaBugoro-zj8nu
    @IsayaBugoro-zj8nu 11 днів тому

    Na walimu tena eeeee ,,

  • @kinisannko1893
    @kinisannko1893 17 днів тому

    Hakunaga mwisho na muda maalum wa M/kiti.

  • @YasserSuleiman-s5y
    @YasserSuleiman-s5y 15 днів тому

    Izo pesa za uchaguzi tupeni tule atuna ugali uku mtaani

  • @ThomasErro
    @ThomasErro 10 днів тому

    unajua mbowe ww ni mjanja sana nia yako tumeitambua, unataka iyo nafasi na unampango wa kumuumiza lisu, ili uwe pekee yako, kwa ww unashida gani wakati unakula hela zote za chama,

  • @thislife-j6z
    @thislife-j6z 16 днів тому

    Yani wamekuwa kama wasemaji wa timu hawa bila kuitaja yanga na simba mambo hayaendi

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 13 днів тому

    Kumekucha kumekucha kumekucha aaaaaaaa!

  • @IsaacEliamini
    @IsaacEliamini 18 днів тому

    Mbowe mkomavu sana kisiasa

  • @FestoJacob-g3v
    @FestoJacob-g3v 16 днів тому +1

    Tuko pamoja

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 16 днів тому

    Kwa nini ulituongoza kukubaliana na huo.mfumo wa dhuluma ulipaswa utuambie tugomee uchaguzi

  • @MohamedShaksi
    @MohamedShaksi 15 днів тому

    Zito vipi

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 17 днів тому

    Ukomo wa mkiti ccm miaka kumi nyi je

  • @AndrewChilua
    @AndrewChilua 15 днів тому

    UKWELI UBAKI KWELI JAPO MCHUNGU

  • @mudathirali-en7mp
    @mudathirali-en7mp 16 днів тому

    Wewe usilete maneno ya kanga ungatuke tu wewe sio mungu wa chadema

  • @EvodiusJohn-f9p
    @EvodiusJohn-f9p 13 днів тому

    Napita mm

  • @JonathanJackson-x7y
    @JonathanJackson-x7y 15 днів тому

    Kwanini mtu anagombea harafu wewe unabaki kuwa mwenyekiti kwanini usiwe makamo

  • @MUDIKIDEVU-fl7ii
    @MUDIKIDEVU-fl7ii 16 днів тому

    Hanaga mambomengi mnyika

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x 16 днів тому

    Mboe hatumtaki lisu baba huyo ni mtu wa magharibi

  • @KalistChuwa
    @KalistChuwa 16 днів тому

    Apo uko saw mbowe

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 17 днів тому

    Kumekucha

  • @RamsoHk-s4p
    @RamsoHk-s4p 16 днів тому

    Msije mkatengana makamanda tuna wategea ww na lisu na viongozi wengine

  • @mirajishentembo4962
    @mirajishentembo4962 19 днів тому

    Wacha urongo wwe

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 18 днів тому

      Lete ukweli yako asa

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 16 днів тому

    Tundu lisu huna aibu ,hatukutaki huna mvuto wa kisiasa