WAZEE WA MILA KUKAMATWA KWA MAAGIZO YA RC AKANA HATAMBUI HILO BIFU LAKE NA MBUNGE WALIA NA RAIS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Годину тому +1

    Mwisho wa CCM now mateso kwa wanyonge Mungu ameyaona poleni sana

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Годину тому +1

    Safi ccm furuga wenyewe

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 години тому +1

    Aibu kubwa sana kwa Watendaji wa Serikali kuwaweka Wananchi ndani bila kosa Serikali iliyoko Madarakani ichukuwe hatua na kutafuta Kosa walilotenda asante

  • @josephmpemba8004
    @josephmpemba8004 15 хвилин тому

    KWA KUWA MNAIFANYA CCM KUWA mUNGU WENU, HAYO NDIYO MATUNDA YAKE. ENDELEENI NA CCM

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 хвилин тому

    Pesa.inatesa.ccm.kùweni.na.huruma..wamasai.kosa.nikutwa.wamasai.wanadhamini.kupata.vyeo.kuliko.mnaomba.msaadà.kima.ngederi.au.nyani

  • @JastinLeskar
    @JastinLeskar 2 години тому

    Nabii rolinga alikwisha yatabiri haya kua yata tokea ndani ya ccm

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 2 години тому

    Hizo ni laana na bado mnatafunana wenyewe kwa wenyewe na tunamuamba MUNGU aendelee kuavuruga epon te eng'or

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 2 години тому

    Fimbo mnayo pigiaga wenzenu kinawarudia MUNGU yupo kazini

  • @evelina9621
    @evelina9621 16 хвилин тому

    Pole.wamasai.mnaonewa.sanawanawaita.wajinga.changamkeni.sasa.mabadiliko.msinyanyyasi.tena

  • @josephmpemba8004
    @josephmpemba8004 13 хвилин тому

    MKUU WA MKOA MUONGO KAMA SHETÀNI