SNAKE BOY | ep 12 | SEASON TWO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,8 тис.

  • @kevinwangila1492
    @kevinwangila1492 6 місяців тому +34

    Clam Huku Kenya tuko number one n ww mkuu mm n fan. Wako sana

  • @Zanzibarpatikimas
    @Zanzibarpatikimas 6 місяців тому +35

    Mdada alieigiza kakoso katisha sana yani kama yy mwenyewe ❤❤

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 6 місяців тому +59

    Ambao tunakula uku tupo Kwa clam mje appa😂😂😂

  • @rizikinassir3998
    @rizikinassir3998 6 місяців тому +8

    Clam vevo big up bro na usicheleweshe hii ni movie bomba kabisa nimeipenda

  • @lwandacerealsandgreensfarm2564
    @lwandacerealsandgreensfarm2564 6 місяців тому +18

    Wow! Wow ! Wow ! Good work from TZ.kenya is more happy with your stress healing production 🎉🎉🎉

  • @khadijasaleh898
    @khadijasaleh898 6 місяців тому +8

    Hongereni sana film nzuri sana kila siku inazidi kuwa nzuri

  • @KhafimKhalfa
    @KhafimKhalfa 6 місяців тому +44

    Unaupga mwingi ma'brother so God bless on your success 🙏🙏🙏🙏🙏👍

  • @KulwaShululu
    @KulwaShululu 6 місяців тому +10

    Mwakatobe bwana et changanya vikalio vyenu visije vikaganda

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama 6 місяців тому +28

    Yes number one leo jmni napenda sana hii movie 🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰

  • @razesdragon
    @razesdragon 6 місяців тому +42

    Nataka iyi picha tufike nayo mpaka Season 3, kama nawewe unakubali gonga like 👊
    Kutoka Congo Lubumbashi DRC 🇨🇩🇨🇩

  • @Riva57902
    @Riva57902 6 місяців тому +30

    Clam VEVO hajawahi kutu disappoint... More love from Kenya like ziwe hapa❤❤

  • @Kashindijohn
    @Kashindijohn 6 місяців тому +8

    Move ime noga mimi niko upande wa mwakatobe😂😂kumbe chili yumo😂umu ndani movie kweli lina noga

  • @ndayipfukamiyenicodeme
    @ndayipfukamiyenicodeme 6 місяців тому +97

    Clam mungu akuongezee kipaji kazi zako ziko poa

    • @JohnBwija-xg5pf
      @JohnBwija-xg5pf 6 місяців тому +1

      Clam vevo ni mwamba sana anajuwa sana Dunia nzima ni namba moja ❤❤

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 6 місяців тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @ShuuNgula
    @ShuuNgula 6 місяців тому +12

    Hawa watu wanajua na wanajua Tena hongra vevo kwa Kaz nzuri

  • @zanzibarfin5789
    @zanzibarfin5789 6 місяців тому +6

    yeeeess sasa move imeanza kuleta mvuto na mwelekeo wa kimataifa.
    tulieni zaidi katika kuiandaa na kuipangilia.
    safi sana.inasisi mua.

  • @agapsanyenyela4691
    @agapsanyenyela4691 6 місяців тому +30

    Mimi shabiki namba moja wa clam toka kongo fizi.naombeni hata like moja jamani

  • @Spagles
    @Spagles 6 місяців тому +8

    My brother clam VEVO umenifrahosha ulivoufanyia kaz ushauri wang safi sana

  • @Elizo.pathrico
    @Elizo.pathrico 6 місяців тому +4

    Mwamba sana nakubali mkali tukiwa Kenya
    Tupe episode nyingine kabla twende shule 💯💯💯

  • @ImanEssau
    @ImanEssau 6 місяців тому +141

    Hata mm nakosa like hata 5 jaman nimewahi dkika ya nane tuuu sio kweli team Clam tujuane hapa

  • @JacquesKashindi-h4c
    @JacquesKashindi-h4c 6 місяців тому +12

    tatizo moja Clam vevo munapunja dakika kweli mujitahidi ata dakika 20 ni sawa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ikoyogodomi
    @ikoyogodomi 6 місяців тому +105

    Wakwanza apa from dodm city like zangu

  • @naymgavino1157
    @naymgavino1157 6 місяців тому +6

    Mbona nikama nimesikia sautiya mganga
    Mizimuya kolero mizimu mizimu yakolerooo
    Movie acha sasa ikuwe moto moto i Say🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥

  • @saimonchimosa
    @saimonchimosa 6 місяців тому +42

    Waoooooh leo wakwaza mimi saimon from dodoma like zangu ATA 3 TU zinatosha

  • @abduliashiru9394
    @abduliashiru9394 6 місяців тому +34

    Yaaani Kim Daaah! Nakukubali sana Dada angu icho kipande ulicho mshika Clam mpk unalia mpk mimi machozi yamenitoka 😢😢😢😢 yaaani daaah! Bila kupepesa macho Dada angu unajua ongera sana, wote tunaekubali kile kipande na kimewagusa naomba gonga like hapa tuone kiasi gani tuna mkubali Dada yetu Kim. ❤❤❤

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 6 місяців тому +44

    Mzee wa Cjapenda Kawa zombie haujuwi 😂😂😂😂

  • @FernandinyoPogba
    @FernandinyoPogba 6 місяців тому +10

    Leo mimi niwa mwisho,naombeni like zenu watu wa DRC

  • @MukambaGabrielIshukwe
    @MukambaGabrielIshukwe 6 місяців тому +50

    Iyi kali na omba liki zenu niko wakwanza kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @rajabjuma1450
    @rajabjuma1450 6 місяців тому +4

    Thanks you Super star wetu Clam vevo from Tanzania 🇹🇿🇹🇿 Kwa KAZI nzur anazofanya na Group lako lote🎉🎉

  • @KagoriManyanda
    @KagoriManyanda 6 місяців тому +24

    Tunaomba muendelee kuwahisha zaidi na dk muongeze tuzidi kufurahia Kaz yenu

  • @mudhihirisuleman4539
    @mudhihirisuleman4539 6 місяців тому +6

    naona SHAHIDI katoweka😂😂 clam fanya kumleta mzee wetu wa kazi

  • @JfourJumanne-bp4dm
    @JfourJumanne-bp4dm 6 місяців тому +198

    Jaman na mimi naomba hata like 10 tu,japokua sijawa wakwanza

  • @ayubuzayumba
    @ayubuzayumba 6 місяців тому +9

    Mdogo ake chapombe kacheza vizur sana

  • @gamingkskcomedy3452
    @gamingkskcomedy3452 6 місяців тому +60

    Pongezi sana qwa kumleta chili kzi iende kuenda ssa much love from KENYA 🇰🇪 na watu waache kuomba like mnpoteza ladha y kuaglia movie

  • @mahmoudnajad217
    @mahmoudnajad217 6 місяців тому +4

    Congrats! Kutoka ZANZIBAR kazi nzuri team Clam vevo

  • @PeterChengo
    @PeterChengo 6 місяців тому +24

    Wakwanza jamaaa plz maua yanguuuuuuuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mosalum7936
    @mosalum7936 6 місяців тому +7

    Nan Aliye msikia Chill wa maneno ya kuambiwa😊

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 6 місяців тому +61

    Oya like ata km n50 please team strong hoyeeeeeeeeee nawapenda watu wangu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Gregoire-2006
    @Gregoire-2006 6 місяців тому +11

    Daaa kazi Nzuri sana nimehipenda ihi 🎉🎉🎉🎉 14:10

  • @RamadhaniMusa-uf7hl
    @RamadhaniMusa-uf7hl 6 місяців тому +44

    Big up mwanangu xaaana

  • @madymag6926
    @madymag6926 6 місяців тому +4

    Clam allah hakuongezee kipaji chako aki kazi zako nizuri sana❤❤❤❤😂😂😂

  • @EzraOsiemo
    @EzraOsiemo 6 місяців тому +42

    Wa kwanza leo kutoka kenya,, mnipee likes kama mwapenda kipaji cha CLAM VEVO

  • @Merry-ek5mj
    @Merry-ek5mj 6 місяців тому +5

    Hongera clam kazi nzuri toka inaanza hadi saiv cjawai jutia kuangalia

  • @sixbetussebastian7990
    @sixbetussebastian7990 6 місяців тому +22

    Kazi Kazi
    Leo nimekuwa wakwanza

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa 6 місяців тому +5

    Kazi nzuri timu clam mungu amiongeze inshaallah ❤❤❤

  • @SaidSume-xp3kz
    @SaidSume-xp3kz 6 місяців тому +27

    Leo wa nne said minyemba 😂😂😂😂😂

  • @alfredymalata269
    @alfredymalata269 6 місяців тому +32

    TULIOTOKA KUANGALIA FAMILIA YA KICHECHE NA KUJA HUKU TUJUANE HAPA 👍

  • @Stogwa
    @Stogwa 6 місяців тому +44

    Wa kwanza Léo nipeni ata tano from 🇲🇿🇲🇿

  • @EddykingJuma
    @EddykingJuma 6 місяців тому +12

    Clamu na mwakatobe niwatu wanaagalia ista Africa jey kutoka Kenya naomben ata like jaman

  • @MUTTRAHCOASTFORREALESTATEBSJ
    @MUTTRAHCOASTFORREALESTATEBSJ 6 місяців тому +9

    Kibwana mwinyi mkuuu ndani ya nyumbaaaa safi

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu 6 місяців тому +4

    Leo nimechelea ila kazi nzur sana vevo much love from saudia Arabia really appreciate ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 6 місяців тому +451

    Huenda mm co wa kwnza lkn km na ww unafatilia ili goma weka like 2ende sw

    • @JustineDamas-r6g
      @JustineDamas-r6g 6 місяців тому +1

      Tupo wote kaka

    • @Sayd-pi5lq
      @Sayd-pi5lq 6 місяців тому

      @@JustineDamas-r6g nakubali kaz broo

    • @allymohamed3588
      @allymohamed3588 6 місяців тому +3

      Kabsa tupo pmj mpk clame arus kwny Hal yake ya nyoka

    • @Sayd-pi5lq
      @Sayd-pi5lq 6 місяців тому +2

      @@allymohamed3588 nakubali kaz bt nina iman episode inayo fata itakua Kali sana InshaAllah

    • @aggychinnay7344
      @aggychinnay7344 6 місяців тому +1

      Likes zinakupa nini

  • @amanideogratias1502
    @amanideogratias1502 6 місяців тому +12

    Mdogo wake mwanahimaya kavaa culture ya Tanzania🇹🇿

  • @Megapixel_comics
    @Megapixel_comics 6 місяців тому +238

    Mimi ni shabiki wa clam ile sijawaipata like hata 10 mbona...acha leo nione 🎉🎉🎉

  • @AngelJohnson-q5p
    @AngelJohnson-q5p 6 місяців тому +5

    Kazi nzur kram mungu akuongezee kipaji unaweza

  • @Mrskyofficial44
    @Mrskyofficial44 6 місяців тому +12

    Wangapi mmefurahi kumuona 13:00 vira aisee mshkaji anajua sana huyu yaan weeee

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 6 місяців тому +8

    Only the best series I can watch. Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪fan, ✌️☝️💕

  • @sunmoneytz5105
    @sunmoneytz5105 6 місяців тому +5

    Kaka hongereni sana pia unastahili heshima kubwa kwa kutuheshimisha taifa kwa movie zilio classic kiufupi Mungu akuzidishie ubunifu uwe Star muda wote🙏🙏.. Ikikupendeza ingia kwa akaunti yangu uenjoy muziki mzuri #clamvevo 🙏🙏

  • @nationaltrendingmedia4603
    @nationaltrendingmedia4603 6 місяців тому +20

    Napenda huyo dada wa mlevi anajua kucheza na hisia zetuu anafanya nilie

  • @alimohamedalhinduwaan7685
    @alimohamedalhinduwaan7685 6 місяців тому +28

    Haya jamani leo msinidanganye mm wa kwanza

  • @Adeboy_tz
    @Adeboy_tz 6 місяців тому +16

    Wewe ni zaidi ya tegemeo Leo Esat kwasasa Tunakupenda sana tupo nyuma yako

  • @D.a4really6
    @D.a4really6 6 місяців тому +13

    naenda nyumban , kula chapath na maharage😂😂😂 tujuane hapa

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu 6 місяців тому +30

    Mwenye yuko na hamu ya kujua kama kijana wetu atarudi sawa anipe like😢😢😢

  • @salminisamyy5413
    @salminisamyy5413 6 місяців тому +14

    Uwepo wa chili imekuwa kali zaid umeuwa sana clam

  • @fiesta707
    @fiesta707 6 місяців тому +15

    Burundian wakwanza like zangu ziko wapi?? Mwagaaa like zangu jamani

  • @HKvägäTV
    @HKvägäTV 6 місяців тому +43

    Wakwanza jmn naombeni like 😂😂😂

  • @DjumaRichboy
    @DjumaRichboy 6 місяців тому +2

    Nime fika mkuu nipe liké zangu 🙏
    Natoka ichini Congo RDC 🇨🇩🇨🇩

  • @IsmaelOkongo13
    @IsmaelOkongo13 6 місяців тому +4

    Wa kwanza Leo aki naomba like hata kumi good job my brothers from TZ Mimi ni fan wako from Kenya 🇰🇪💪🙏

  • @Barakaudobavevo
    @Barakaudobavevo 6 місяців тому +6

    Leo nimewai kuwa wakwanza kwanza naombeni japo like

  • @josephjose4408
    @josephjose4408 6 місяців тому +13

    Vip WA clam tunapendana sana 🇰🇪🇰🇪

  • @DeborahBrown-ts2hb
    @DeborahBrown-ts2hb 6 місяців тому +6

    Cjui mm wangapi ila naomba like zangu

  • @modaboy5029
    @modaboy5029 6 місяців тому +41

    Leo mapema sana like zangu naziomba kwa mwamba kabisa

  • @InspectorAmarSaxena
    @InspectorAmarSaxena 6 місяців тому +3

    Oya we umemtoa wap Mwinyimkuu huyo. Hapo sasa uhakika. Mzee wa malitina.

  • @EmmanuelMulenga-bc7bj
    @EmmanuelMulenga-bc7bj 6 місяців тому +10

    ila jama anajua napenda kaz zake Sanaa ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 5 місяців тому

    Clam na timu mzima mungu awape afya njem muendelee kutupa. Mafunzo. Na burudan

  • @Fizzohofficial
    @Fizzohofficial 6 місяців тому +100

    Wakwanza kutoka Kenya..likes zangu

    • @AnordPatrick-k9z
      @AnordPatrick-k9z 6 місяців тому

      Aya sawa

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 6 місяців тому +2

      Wanangu npunguzie nami laik mahana unazo nyingi

    • @Lovekidoti32
      @Lovekidoti32 5 місяців тому

      Kwani hizo like mnataka zanini achani ushamba

    • @Lovekidoti32
      @Lovekidoti32 5 місяців тому

      Kila mtu anaomba tu ata hakcoment kitu cha maana ni kuomba like utasema wanaomba hela, mnakela Sana kwani like ni chakula??

  • @checheskitstv
    @checheskitstv 5 місяців тому +1

    Mnisupport kama shabiki wenu toka Kenya ♥️♥️

  • @Kakerluder
    @Kakerluder 6 місяців тому +8

    Nani amemuona @Haji manara ..😂😂😅😂😢

  • @midudehammy5877
    @midudehammy5877 6 місяців тому +2

    Daah mfaume ni adui mwngne tanzi akpona ajipange kukabil watu wawili

  • @blaisengena8514
    @blaisengena8514 6 місяців тому +68

    Leo mimi do wakwanza naomba like zangu

  • @YoungBagbag-hd1zo
    @YoungBagbag-hd1zo 6 місяців тому +4

    Kuwa wakwanza sio michongo yangu nshaachaga sinaga tabia Za kuwai wai
    Ila jamani clamu kauwa kamchukua mpaka chili mtabili tambitambi nasemaje yajayo makubwa like zangu mia apo

  • @catherineotimbo3110
    @catherineotimbo3110 6 місяців тому +19

    wa kwanza mimi mnipe maua yangu ❤

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 6 місяців тому +2

    Mhhh jamani wakati mwingine hapa duniani tuwe makin na mambo tunayo fanya kwenye mambo kama haya watu tunakua weng kusapoti lakin katika suala la kiimani tunakua nyuma sana ni msiba huu jamani tunaendekeza sana dunia

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td 6 місяців тому +7

    Good job from 🇧🇮💐🌹 tunakupenda san unaweza mzebaba

  • @danielmwongela199
    @danielmwongela199 6 місяців тому +3

    Kama unafurahia Ngoma hizi za clam gonga like hapa

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya 6 місяців тому +12

    Watu weweeeeee nimemuona mzee wa achaaaaaaa,,,,,,,,,,,aliyemuona mganga CHILI SOSI gonga like hapa

  • @nawashanawasha954
    @nawashanawasha954 6 місяців тому +5

    Hii noma saana, hatimaye
    MWINYI MKUU ndani ya 🐍 BOY. bonge la series. Clam vevo ni nooma🎉

  • @AgostinhocosmeNambanga
    @AgostinhocosmeNambanga 6 місяців тому +19

    Mimi Leo wa10 kutoka Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 japooo ata 50 tu like

  • @SaidahmadaAbuuhamtwala
    @SaidahmadaAbuuhamtwala 6 місяців тому +2

    Toa like kwa hili swali ..kakoso alipogeuka kua mwanamke hivi alikua ni bikra au vp

  • @khadijajuma7645
    @khadijajuma7645 6 місяців тому +55

    Wakwanza Leo KAZI nzuri sana

    • @SafariMsafi-um1pz
      @SafariMsafi-um1pz 6 місяців тому

      Wakwanza yanyoko zenu

    • @khadijajuma7645
      @khadijajuma7645 6 місяців тому

      @@SafariMsafi-um1pz kma ulikua hutaki kulike ungeacha Tu Acha ushamba wewe

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 6 місяців тому +5

    Leo clam umenifurahisha nimemuona master wa kuekti mganga nae yupo kwenye project yako❤❤🎉🎉🎉

  • @IlhanabubakHussein
    @IlhanabubakHussein 6 місяців тому +21

    Jamani nimekuwa wa kwanz

  • @ZaujatkhamisHamad
    @ZaujatkhamisHamad 5 місяців тому +1

    Mm Shalini sans wa clam naomba like japo kumi

  • @OfficialJarden
    @OfficialJarden 6 місяців тому +140

    Wakwanza leo nipewe like zangu kutoka canada🎉

    • @Bizbabillon
      @Bizbabillon 6 місяців тому +4

      eti Canada😂😂😂😂😂😂😂 acha uongo banh😂😂😂😂😂😂😂 we upo kakese huko😂😂😂😂😂 unatupanga canada duh

    • @jenipherjames5336
      @jenipherjames5336 6 місяців тому +1

      Labda Canada ya nzoya

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 6 місяців тому

      😂😂😂

    • @JamesJulius-po2ue
      @JamesJulius-po2ue 6 місяців тому

      Connection mzee

    • @JamesJulius-po2ue
      @JamesJulius-po2ue 6 місяців тому

      😂😂😂😂 nimecheka

  • @VIZBOYDOGOFIRE560
    @VIZBOYDOGOFIRE560 6 місяців тому +1

    Kazi nzuri sana tunasubiri partie ya 13 kwa hamu sana❤❤

  • @Nicky_ali_371
    @Nicky_ali_371 6 місяців тому +38

    Nyie omba omba wa like tumewachok jmn kwan hmn maarif ya kukoment uzur wa scene flan tukawagongea lke kma zot bhna alaf nyie wakwanz mpo kma mia wakawanz kwel nan sas 😂😂😂

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 6 місяців тому +5

    Nimechelewa Lakn Niko Ndani Anemkubali Mwinyiusi . Au Kumuona haeke tano

  • @OfficialZarry
    @OfficialZarry 6 місяців тому +7

    Kwanza toto ya pemba one love❤

  • @karimummetshasanaabdul4593
    @karimummetshasanaabdul4593 6 місяців тому +3

    Watoto wa Naliendele like ziwe nying hapa

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 6 місяців тому +64

    Mimi hapa kama mnavyonijua maneno kidogo likes nyingi basi nipeni hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂

  • @fakiibabalao4185
    @fakiibabalao4185 6 місяців тому +2

    ALIE GUNDUA KUA CHILI AU MWINYI MKUU NDANI YA NYUMBA GONGA LIKE HPA