Not to hate on his hustle, but i see a privileged guy who capitalized his resources (vibes "bata", network of people around him and probably some wealth in the family) to build his empire not like most in his space. Good for him str8up is doing big stuff ,straight up ⛔🧢, but from his story nimeamini its who you know that determines how far you will go. Either way kitaeleweka tupambaneni ndg zangu. Good Interview.
Salama sijawahi kuangalia kipindi chako nikaboreka kama hiki. Kwanza ni mimi mwenyewe nimeangalia mwanzo mwisho sijaelewa ama??!! Jamaa kiswa english kingi halafu kueleweka shida, kipindi chenyewe cha kiswahili watamazaji waswahili, kiingereza chenyewe hakijui vizuri yaani tabu tupu. Nadhani ni vyema kuwaeleza mnao wafanyia mahojiano kabla kutumia lugha yetu pendwa maana wadau wa kipindi hiki ni waswahili asante.
Mimetazama mahojiano yako ya "Salama na" tangu kipindi cha kwanza na Makochali mpaka sasa, Ila kwa kipindi cha leo hapana kwakweli kipindi kinachosha kutazama. jamaa anababaika sana na lugha ya kingereza, lugha ambayo analazimisha kuzungumza Kama mzungumzaji halisi kitu ambacho sio kweli anaishia kujidanganya tu. "Nakumbuka, I remember" Zingatia Salama: Si kila mtu anaweza kutuhadithia hadithi ya maisha yake na kuvutia watu, wengine sio mbaya kubaki na hadithi zao maana nyingine ni ulimbukeni na nadharia tu.
Oya afu huyu jamaa appearance yake mshamba tu,ila anajikuta kama JAY Z,interview hii wanasikiliza Waswahili we Jamaa,Salama Tunaomba utuletee watu wasio malimbukeni bhn
Comments za leo hahaha jamani duniani tupo tofauti 7billion people utofauti ndo mzuri wapendwa...Afu ujue labda ni mfano wanaume wa Dar ndo reality. Watu hawapendi kuona ukweli hahahahaha it is what it is
Huyu omari au omarion mana kalito kaongea Kiswahili kuliko huyu mswahili mwenyewe jiangilie man sie wengine hatujasoma ila tunaangalia hiki kipindi 🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️
Samahani dada yangu mimi napenda saana interview zako ila sorry kwahuyo jamaa hapana sijapenda kabisa na nisingepoteza mbs zangu kuendelea na pili in short jamaa ni mshamba fullstop,kiingereza kingi cha nini hapo ambapo kuna waTz kibao hawatamuelewa na hata kujielezea kwake tuu ni takataka pls pls watu kama hao watakuharibia platform yako my dada from +44 thanks
Hi salama unafanya kazi nzuri sana hongera kwa hilo, lakini huyu jamaa amekuaribia kipindi, kabla ya kuanza kipindi uwe unawambia kuwa hichi kipindi kuna watu wa aina tofauti wanatizama au uwe unaweka subtitles. lakini leo ni imechosha mbaya. Thanks me later
moja ya interview mbovu na mbaya kabisa sielewi jaamaa anaongelea nn yaan MBAYA kabisa , anaulizwa kiswahili anaongwea kiingereza , pia hajui nn anachozungumza
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com 📢Marketing by @cairo_promotions 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Hi Salama so first off all you are the best journalist ever. 1. Your style one of the best. Love you questions love the way you pin people, being uncomfortable umejaliwa. Been watching since mikasi keep going sis you too good. So this guy thou is the worst i ever lollll.
Haaaa Haaa Haaa jamaa kazingua kinyama mwabie aje asome hizi comment iliajue kua kazingua,,,, watu kibao wanajua kubonyeza yai lakin walijua wapo wapi na wanatakiwa kutumia lugha gani,shangazi ,zuhura yunus, kalito nk
jamaa anazingua kinoma....!!! si wenyew tumesoma lugha tunaijua sana anavoengeea hvo watu wa uswahilin wanamuelewa nin umarekani mwingi wa kijinga alaf anaongea kwa pristage 😏😏😏😏😏😏😏😏😏
Salama we love ur show so much but kwa interview ya huyu jamaa imeboa kwa huu mwaka Yuko fake kupitiliza na tunaomba Kama mtu akiulizwa maswali nadhani naomba kiswahili kizingatiwe anaongea basi Bora angekuwa anaongea full English tungemuelewa ni show mbovu kuliko zote kwa mwaka 2020
Waswahili wenzangu jm punguzeni Uswahili mbona mtu akiongea kinge huwa mnapanick nini? Khaaa kila mtu anauhuru na lugha anayo anayodhani simple kwake..
Watz wanawivu wa kijinga sana yan vitu vidogo vidogo vinawaumiza kuliko vikubwa. Wapo radhi wasifie matusi ya kiswahili ila sio busara za english. Sa mtu akisema yah yah no no there there we kinakuuma nin kama unaelewa anamaanisha nin,
Tunajua kama anajua kingereza ila anbowa wapenzi was yoh stone twn maan sio wote wataelewa... Hawato jifunza... Wala kupata theme ya hiyo story ya uyo jamaa.. U need to tell ur guest kama... They have to use Swahili ili waelewana na hadhira ya watanzania
Not to hate on his hustle, but i see a privileged guy who capitalized his resources (vibes "bata", network of people around him and probably some wealth in the family) to build his empire not like most in his space. Good for him str8up is doing big stuff ,straight up ⛔🧢, but from his story nimeamini its who you know that determines how far you will go. Either way kitaeleweka tupambaneni ndg zangu. Good Interview.
Kwani lazima utumie kiengereza nahujui siuelezee tu kwakiswahili tutakuelewa kuliko kufanya maajabu apo mh....
Mahojiano mabovu kuliko yote uliyowahi kuyafanya! Huyu jamaa ni limbukeni wa Lugha, lugha,lugha, lugha, lugha, lugha
I truly love the interview I wonder why all this hateful comments makasiriko ni ya nini Jaman 😝
Nimejilazimisha niendelee kuangalia nimeshindwa kwakweli 🤣🤣🤣🤣
Hata mimi pia ameniboa kweli
ovyooo kabisa
Salama sijawahi kuangalia kipindi chako nikaboreka kama hiki. Kwanza ni mimi mwenyewe nimeangalia mwanzo mwisho sijaelewa ama??!! Jamaa kiswa english kingi halafu kueleweka shida, kipindi chenyewe cha kiswahili watamazaji waswahili, kiingereza chenyewe hakijui vizuri yaani tabu tupu. Nadhani ni vyema kuwaeleza mnao wafanyia mahojiano kabla kutumia lugha yetu pendwa maana wadau wa kipindi hiki ni waswahili asante.
Nimepoteza muda na MB zangu buuureee,salama umemtoa wapi huyu MTU,
Mimetazama mahojiano yako ya "Salama na" tangu kipindi cha kwanza na Makochali mpaka sasa, Ila kwa kipindi cha leo hapana kwakweli kipindi kinachosha kutazama.
jamaa anababaika sana na lugha ya kingereza, lugha ambayo analazimisha kuzungumza Kama mzungumzaji halisi kitu ambacho sio kweli anaishia kujidanganya tu. "Nakumbuka, I remember"
Zingatia Salama:
Si kila mtu anaweza kutuhadithia hadithi ya maisha yake na kuvutia watu, wengine sio mbaya kubaki na hadithi zao maana nyingine ni ulimbukeni na nadharia tu.
Umenena vyema
Kweli its it's boring
Oya afu huyu jamaa appearance yake mshamba tu,ila anajikuta kama JAY Z,interview hii wanasikiliza Waswahili we Jamaa,Salama Tunaomba utuletee watu wasio malimbukeni bhn
one of the worst interview, the guy does not know what to talk, he theories too much, no reality.
*_Kwamara yakwanza Leo ndio Nacomment, tokea _**_#LiLOmmy_**_ Mpaka Huyu _**_#WAJNA_**_ , Kiukweli Umetuangusha Utaacha Tuyaamini Maneno Ya_* #NikiMbish
Maneno yepi 🤣🤣🤣 kwamba salama anaita washikaji zake ama!?😂😂
Comments za leo hahaha jamani duniani tupo tofauti 7billion people utofauti ndo mzuri wapendwa...Afu ujue labda ni mfano wanaume wa Dar ndo reality. Watu hawapendi kuona ukweli hahahahaha it is what it is
interview mbovu kuwahi kutokea kwa salama,MB zangu nitakudai salama ujinga sitaki
Huyu omari au omarion mana kalito kaongea Kiswahili kuliko huyu mswahili mwenyewe jiangilie man sie wengine hatujasoma ila tunaangalia hiki kipindi 🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️
Kalito nchi yao hawaongei english. Sio kila ngoz nyeupe wanajua English
Samahani dada yangu mimi napenda saana interview zako ila sorry kwahuyo jamaa hapana sijapenda kabisa na nisingepoteza mbs zangu kuendelea na pili in short jamaa ni mshamba fullstop,kiingereza kingi cha nini hapo ambapo kuna waTz kibao hawatamuelewa na hata kujielezea kwake tuu ni takataka pls pls watu kama hao watakuharibia platform yako my dada from +44 thanks
Hi salama unafanya kazi nzuri sana hongera kwa hilo, lakini huyu jamaa amekuaribia kipindi, kabla ya kuanza kipindi uwe unawambia kuwa hichi kipindi kuna watu wa aina tofauti wanatizama au uwe unaweka subtitles. lakini leo ni imechosha mbaya. Thanks me later
HUYU MLIKUA MUONGEE OFF MIC UKO MSITUEKEE HAPA IZO SWAGA ZAKE APELEKE HUKO 😂
DAAH HUYU AKAHOJIWE ELLEN SHOW UKO ATUACHE NAONA HAELEWEKI UZUNGU MWINGII
Jamaa mpumbavu kwel mapoz meeengi pumbavu kaarib kipindi
Ina boaaa kingereza sanaaa nimepoteza mb zangu bure salamaa
Kha, nimejitahidi nimeshindwa kuendelea kuangalia mweeh
Salama hichi kipindi mi nakipenda sana ila ukiwaaki hawa wazungu wa kiswahili mwambie wajitahidi kuzungumza lugha ya taifa ili tuelewane vizuri
moja ya interview mbovu na mbaya kabisa sielewi jaamaa anaongelea nn yaan MBAYA kabisa , anaulizwa kiswahili anaongwea kiingereza , pia hajui nn anachozungumza
Hii episode imeboa kiukwel yan
Mwanzo huanza comment zawatu kuzisoma ,Salama jamaa kaboa kinyama km ndiokwanza anjifundisha leo icho kiingilishi hahaaa...awepole mh..
Anazingua sana huyu ndugu 0.5/10. Aaaaggghhhhh!⛔
Interview mbaya sana salama kuifanya bora uidrop kabisa UA-cam. Nimekua nafatilia tangu umeanza #salamaNa kupitia UA-cam huyu jamaa hapana
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
------------------
Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
📢Marketing by @cairo_promotions
🏢Company: Mofaz movers
📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Hi Salama so first off all you are the best journalist ever. 1. Your style one of the best. Love you questions love the way you pin people, being uncomfortable umejaliwa. Been watching since mikasi keep going sis you too good. So this guy thou is the worst i ever lollll.
Ndo nani kwani....mue na huruma na bando za watu
Salama watu kama hawa wanaharibu kipindi mi sielewi anazungumza nn
Huyu jamaa hamna kitu kabisa,watu wanataka kujifunza kwa mapito ya wenzao sio yes yes no no kibao,worst interview,no reality
Haaaa Haaa Haaa jamaa kazingua kinyama mwabie aje asome hizi comment iliajue kua kazingua,,,, watu kibao wanajua kubonyeza yai lakin walijua wapo wapi na wanatakiwa kutumia lugha gani,shangazi ,zuhura yunus, kalito nk
Sikupingi
Jamaa nae you know you know kibaoo bhna....
Nasubiri ya millard ayo
Inaboa
Sauti haiskiki anajibana sana ... haeleweki
Mm na cancel Show hii kwa mara ya kwanza jamaa anaboa saaaana bonge la mbavu alafu linaleta mIchongo ya akina SEPETU
Sound haijakaa poa
Nimefanikiwa kuangalia kwa dakika 3 tuu na siendelei tena
Tujivunie lugha yetu jamani
Big show
Tuleteee ALI KAMWE na MADAM WEMA🙄🙄
Salama uwe unawaambia wageni wateme pipi au chochote, inakera, otherwise ur duin a gr8t job
Pointi muhimu hii
Nice
hi interview ni Mbaya sanaaaa, kwanza sijamjuwa ni nani na pili anaongea kingrezaaa na sio kingereza, ongea English kama unaijuwa,
Chagua lugha moja, wwe ni mmatumbi mwenzetu mbona?
jamaa anazingua kinoma....!!! si wenyew tumesoma lugha tunaijua sana anavoengeea hvo watu wa uswahilin wanamuelewa nin umarekani mwingi wa kijinga alaf anaongea kwa pristage 😏😏😏😏😏😏😏😏😏
Sound check😑...leo unamgen mzuri,anajua kujielezea vizuri😍 bt salama "hujatulia"😢inst'd of that we need to know WHO IS SALAMA!!
Salama we love ur show so much but kwa interview ya huyu jamaa imeboa kwa huu mwaka Yuko fake kupitiliza na tunaomba Kama mtu akiulizwa maswali nadhani naomba kiswahili kizingatiwe anaongea basi Bora angekuwa anaongea full English tungemuelewa ni show mbovu kuliko zote kwa mwaka 2020
This is the most boring yahstone town interview
Waswahili wenzangu jm punguzeni Uswahili mbona mtu akiongea kinge huwa mnapanick nini? Khaaa kila mtu anauhuru na lugha anayo anayodhani simple kwake..
Hakuna uhuru kaka kama hatukuelewi. Anakatisha anachotaka kusema kila mara...aongee basi hicho kiingereza moja kwa moja basi...nacho kinamshinda.
Watz wanawivu wa kijinga sana yan vitu vidogo vidogo vinawaumiza kuliko vikubwa. Wapo radhi wasifie matusi ya kiswahili ila sio busara za english. Sa mtu akisema yah yah no no there there we kinakuuma nin kama unaelewa anamaanisha nin,
Very bad interview....the worst of all from you Salama
+27💥💥💥
H