Daah kusema kweli 😢 sisi binadamu hatupendi kuona maendelea ya mwenzio ona kwa kujitafuta kwake kicheche duuh mungu atulinde pia karibu sana brother 🙏🙏 Sina hata shida ya like ila namkubali sana kicheche
Salam Alaykum Issa kutoka Mombasa K.e 254 hii movie iko vizuri Kushinda Ile ya sijafa Malaika iko na mpangilio mzuri na pia iko na mafunzo Big Up Brother
Karibu wangeni ki cheche tulikuwa na miss vidio zako nzuri sana KBS ndodunia hiyo mzunguko nakupenda sana weweee huwa Natu furahisha Kwa cheko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ God bless you and your family and all 👏🏼🙏🏼
Hii ndo tofauti kubwa kati ya kicheche na clam, clam anahitaji watu wenye uwezo mkubwa ili awe bora zaidi Ila kicheche yeye Kama yeye n bora zaidi hata umpe watu wa aina yoyote ile big up to kicheche, episode ya kwanza tu unapata funzo kubwa sana
Kicheche na Malaya wenzako kazi mzur,
Dah😂
Usife moyo jama wangu mungu ataleta heri
Nai penda kazi yako man mimi ni mu congo kutoka uvira
@@STERING_MAKOTIpumbafu zako tumekusubir kwa hamu sana welcome back
Tuli kumis sana makoti 🇨🇩🇨🇩 misisi
Mtungi wa gesi oyoooooooooooooo big up kicheee wangapi wanamkubali mwamba
Nashukuru mashabiki zangu naona kazi inaendelea vzr 🙏🙏🙏🙏
Kicheche your back
Pamoja juve apa sumbawanga nakukubali sana
One love
Kz nzuri mybruuh 🌹🌹✊🏾
Jitahidi kuepuka sifa 2mia sifa kujitahidi ✍🏾✍🏾✍🏾
Tunashukuru kurudi kwako🙏🙏🙏🙏tulikumic sana
Nakukubali sana brother kicheche Big up SANA Kwa kurud kwako tulikumic sana 🙏🙏🙏🙏
Daah kusema kweli 😢 sisi binadamu hatupendi kuona maendelea ya mwenzio ona kwa kujitafuta kwake kicheche duuh mungu atulinde pia karibu sana brother 🙏🙏 Sina hata shida ya like ila namkubali sana kicheche
Kwani alipitia nini😢
King of the generation vu from congo 🇨🇩vizuri sana
Binadamu😢@@SalmaMgeni-h7o
Weeeh mzeeh kazi safi 😅
Kumaaniah zako ..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimefurahi sana kuona mzee kicheche tena❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Niko Kenya KAZI nzuri bro
Kicheche bahaada ya siku nyingi kupita Leo ndo tunakuona,,,,,,,,kama wewe umefulaia Kwa kumuona kicheche kama Mimi gonga like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nilisikia hiyo akaunti yake ya zamani imechukuliwa na wakora ndio maana akatulia
Hata mimi n'a furahi sana kumuona mwamba wangu
@@InnocentchutyPommesnashukuru kwa saport zenu wapendwa ❤❤❤
😂 ndiyo🎉
🎉🎉
Kazi ipo sawa hatakama hatupendi kukuona ukitengana hapa na hapa na wenziyo.
Kila atakae pita i comant siku jui aunijui ila nasema maneno ya ki nabii mungu abariki kazi ya mikono yako amen
❤❤❤ Amina amina 🎉🎉
amina
Amina
Amina
Amin
Karibu sana kicheche tuna kupenda sana from congo 🇨🇩🇨🇩 kila mu Congo kama ume furaiya ujio wa kicheche gonga liké Yako hapa
Hongera mze makoti, nafurahii sana kukuona emerudi, Mungu aku linde,Pia kuwa makini sasa, Dunia ndivyo ilivyo mze, apa Congo tuna kupenda brother.
Kutoka mozambique nakukubali sana sana kiboko wangu KING MAKOFIYA❤❤❤🎉,Kazi mzuri endelea na kutufuraisha GOD Aku Bless
Wa Congo Dr tujuwane hapa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tuko pamoja sana toka Drcongo 🇨🇩
Mimi apa
🇨🇩
KING OF NEW GENERATION 💥💥💪✊ kweli project iko safi sana lini prty 2 nakukubali sana 🇨🇩🇨🇩
Karibu kicheche Tena kama umependa kicheche kurud weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉❤❤
Umekuwa umepoteya saaàaana mzeeee wetu kicheche
Mimi nili juwaga tu ipo Siku uta Rudi kazini nîme furai Sana kukuona kicheche 🎉🎉🎉🎉from Congo 🇨🇩
KING OF NEW GENERATION KICHECHE nakukubali sana ahsante sana tumefurahi umerudi makoti 💛🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Karibu tene from🇨🇩🇨🇩
Kicheche uko vzr San wag nkuftlia move zko kaza br
Na kukubali Sana kicheche Long time sisi wa kongomani tuli ku Miss sana welcome tena kwenye ubora wako from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉
Dah bro kicheche tumekumiss Sana kaka dah ❤❤
The wait is over, Kama auna uteam kati na Clam na Kicheche wela like za kutosha.
One love from Mozambique 🇲🇿❤️🇹🇿
BaBa karbu Tena kazini tuko pamoja welcome to comedy movies Africa tuta ku unga mkono tena❤❤❤❤❤❤😅😅😅
Walaiii ❤️❤️ karibu tena mzee kicheche
Kicheche see you are coming back very close my brother, work hard, we are in Congo Goma 🇨🇩
Wote mnao sapot kakangu kicheche mungu awabariki Sana na family zenu na pia manao tusapoti kwa DUNIA na mimi pia Asante sana❤❤
Waooooh kumb unaupend m pia napenda kazi yako
@maty-q7k love you beautiful girl
I love u matty from🇺🇸
Maty ww unajua, tena sna. Tena sekta zote upo fit, kwenye ukatili upo good ata yaan duuuuuh 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😊
Vizuri sana maty kwa kumtakia mema msanii mwenzako kicheche mungu akubariki sana maty kwa upendo wako
Salam Alaykum Issa kutoka Mombasa K.e 254 hii movie iko vizuri Kushinda Ile ya sijafa Malaika iko na mpangilio mzuri na pia iko na mafunzo Big Up Brother
Me ndo wa kwanza leo.
Mnaomkubali kicheche lets go on
Nakubali kicheche babaa❤🎉
Sana broo mungu akutangulie
Aki asante mungu kwa kuwezesha kicheche tena, nampenda huyu jama sana, lets subscribers to his new channel
Welcome again kicheche watu wa Burundi tunakufuata5/5🇧🇮🇧🇮🇧🇮najua waburundi tuko wengi 👍👍
Kabsaa
Umerudi tena? Haki kazi nzuri sana na nko Kenya nakupata🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
My favoris comédien kicheche well comme umbwa makoti ❤❤❤❤❤❤❤
Nimefurahi Sana kicheche Kuona umeludi mzigoni👍👍👏👏
Karibu Sana Mzee kofia❤
Mimi nitaangalia kila movie utakayotoa nakukubal sana........bravoo bro
Sound Iko poa sana inamvutia mtanzamaji ❤❤ nimefurahi ujio wako mpya let's go champion MZEE WA MAKALIO
Ubw kichech naon walejea ten ulipotea kwa mud mulef et kam kwel wamukubal kichech mzee wa ubw mim gong lk hap👍👍
Nimefrah kuona kichèche umeludi mzigoni 🎉🎉🎉❤❤❤ ❤❤🎉🎉🎉🎉
Karibu wangeni ki cheche tulikuwa na miss vidio zako nzuri sana KBS ndodunia hiyo mzunguko nakupenda sana weweee huwa Natu furahisha Kwa cheko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ God bless you and your family and all 👏🏼🙏🏼
Mmbwaaaaaa kicheche no 1🎉🎉🎉
Hii ndo tofauti kubwa kati ya kicheche na clam, clam anahitaji watu wenye uwezo mkubwa ili awe bora zaidi Ila kicheche yeye Kama yeye n bora zaidi hata umpe watu wa aina yoyote ile big up to kicheche, episode ya kwanza tu unapata funzo kubwa sana
Real
Hongela sana kicheche🎉
Furaha kumwona tena 😂😂❤
Mekumis sana kicheche nakupenda karibu❤❤❤🎉
MZEE KICHECHE has back again ✅✅
Kicheche karibu san waliye kuki mbiya wata rudi🎉🎉🎉🎉🎉🎉 bakupe mahuwayako
from south africa tunaanza safari ya malaika
Makoti ana rudi tena kwenye game hum vizuri sana from Congo 🇨🇩
Mwamba kaingia ss mwenye guemu 🔥🔥🔥
Jaman inawezaaa naifatiii ndo ananikosha zaidii tunawapenda😍♥️🙈
Niko DRCongo 🇨🇩 naomba like zenu 😊
Uzi fanye nini sasa
Sasa vailet na team asma kwisha habari Yao saivi keep cheche karudi
Safi Sana 🎉🎉🎉
Kazi nzuri kicheche Baada ya siku nyingi kipita 💓💓💓💓
Kicheche namkubali sana n🎉🎉 niko Mozambique
Unajitaid sana bro nakupa 🎉🎉🎉 yako ila pambana usilud nyuma
tujua ane apa wanao mkubali kicheche
Moçambique tuko wangapi ❤❤❤❤
Amerudi tena🔥🔥
Kicheche Makoti karibu tena 🎉🎉 tume ku miss sana Ila watu wa kikundi kyako wako wapi
Karibu tena kwebye game bingwa wetu🎉
Naona Kicheche una mashabiki wengi Toka Congo
Haya tujuwane jamani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪WAKENYA wako wangapi hapa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤
🇰🇪🇰🇪
Karibu kicheche Tena kama umependa kicheche kurud weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉❤❤
Kabisa bro❤@@abdulmutwi
Kazi zuri kabisa nainpenda sana usisheleweshe 🎉🎉🎉
Vip baba umerudy buruunde pombafuzako❤❤❤❤❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hii kazi maliza mapema uanze nyingine ukiwa kwenye moody maana naona kicheche bado umepoa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Muvi ndo inahuzunisha Wala so kicheche
Safi sana❤❤
Kicheche mbona ahucheki kama zamani kibeten uli ni uwaga 🇨🇩🇨🇩❤️
N❤ sana natokeya congo
Kaka Piga Kazi Mungu atakubari Kazi zitaenda sisi tupo pa1 na wewe hatukuachi❤
Kali iyi baba mie ndo wa kwanza naomba Linke zenu ni Mago Music ❤❤❤🎉
Love kicheche🇲🇿🇲🇿🇲🇿 mozambique
Wa Kwanza from 254
Kazi nzuri sana kikubwa tumsaport kicheche kwa kupiga vita ile akaunti nyingine
Tuko nawewe 🤴 king
Kazi nzuri mr makoti
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤this movie
🎉🎉🎉Kiukweli big up sana kicheche
Tuko pamoja mwamba wangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hongera saana kicheche❤❤❤kaz safi 🔥🔥 much love from Kenya
Mbwa wew
Tuna rudi tena 🔥❤️❤️❤️❤️
Ilove you mzee kicheche kwa kutuletea bongo ya movie nzuri nakukubalisan Kaka yangu
Kicheche nakupongeza sana una jitaidi kwabindi iyi ndokazi tumekuwa naisubiri kutoka kwako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Let's mizigooo mbwa wew
❤❤❤❤ good job Kicheche
Mungu wetu, uwe juu yetu, Na kazi ya mikono yetu utufanyie thabiti, Naam, kazi ya mikono yetu uithibitishe. Semeni amen 🤲
Mungu akubari Lik
🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nzee kicheche karudi gonga like apa❤
Mbwa wewe umeludi tena kivingine kaka hongera kwa kazi nzuri
Nakubali sana kazi zako kicheche
🇨🇩Karibu sana mwamba wetu, wa congo tuli ku missi saana 😆 usi jali mugawa rizki ni mungu, ata fanya njiya, huku tuta shea kazi sana kk ❤❤🇨🇩
Nimeisubiri sana
Karudi kickekesho changu mwenyewe, Hongera sana Kicheche malaika
Nakubali sana kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna
Mi pia nawakubali nyie❤❤❤
Karibu tena kicheche ❤ Kazi nzuri sana
Karibu sana kicheche