Duuuuh!!! Kumbe kufungwa kubaya sana tazama haka katoto kalivyokuwa kapole kanashika adi ndevu wakati hakana ndevu Acha kukebei wenzio Leo umeng'atwa na nyuki watatu tu wamekutoa manundu😂😂😂😂
Lazima uwe myonge umekuwa mpole dharau kejeli punguza ALI KAMWE MPIRA USIKUVUE UTU wako KAKA KUWA NA KIWAGO CHA USHABIKI USIDHARAU WATU PINDI MNAPOKUWA VIZURI.LEO IN SHAA ALLAH UMEITAMKA ZAIDI YA MARA 5 KUMBE KUNYEYEKEA UNAJUA.
Ila sasa heshima itakuja kwenye ligi kwani mpira ua una matokeo ya kikatiri sana ila uto tunawaambia kua tunaaza #UBAYA_UBWELA kutoka #Msowero_kilosa pia twendelee kupata mambo 10 ya #Ali_kamwe
Acha mkwara mbuzi wewe! Ally Kamwe kila wakati huwaambia ukweli tu msiopenda kuusikia! Na msifikiri Yanga kupoteza Simba eti mtanusa ubingwa, hiyo SAHAU...!!! YANGA BINGWA!
Alafu kocha kama vile boya yani anamtoa pacome na wakati ndio mchezaji aliekuwa anawapa presha mabeki wa tabora pale alitakiwa atoke aziz na msonda aingie mzize na chama... Uyo dube nae boya tu bora hata baleke Yani kocha Viwango vya wachezaji vimeshuka na yeye kashuka kiwango uyo sio kocha ni ubora wa wachezaji ndio ulikuwa unambeba, kocha gani boya anakalili kikosi na wachezaji uyo kibwana alikuwa anapambana na TP mazembe anaanza mbele ya djuma shabani leo hii unamuanzisha nkane upande wa kushoto ambako ndio magori yote yamepitia uko alizani uyo nkane atamuweza yacouba sogne ni mchezaji mkubwa sana na mzoefu yani nimeumia sana leo sisi ni wakufungwa na tabora mamae Yani kwa hali hii na kocha huyu mpaka bacca arudi mbona tutanyoka
Aziz ki anamfoc acheze mda mwing wakat paformance yake imepotea chama yupo baleke yupo ndani ya 6 hamuwez kufunga waambie wachezaji wapige nje ya 18 mnacheza ovyoo mpak mnakera
Nilisema mapema jmn sai tumepunguza ukatili mbele ya goli ila tulikua tunafurahi juu ya ushindi sai wapinzani wametusoma tunajaa kwenye mfumo ndo ya leo tumefungwa ila ata wachezaji leo walikua wazito diarra leo nae hakua na game nzuri kila iliyolenga lango imeingia bila wasiwasi😢😢😢😢 sijazoe aya mambo japo tutapita kwa iki kipindi
Ili yanga iweze kufanya vizuri fukuza kabisa Aziz K mpira wake umeisha kabisa kabisa Hata Gamond atupishe haraka sn sio kocha tuna no 2 typical ambaye ni Kibwana kwann anakataa kumpanga? Lini Aucho akacheza no 4 kocha mandaz
Viongozi mnatuzingua sana sana hamna mnachoumia nyinyi mnaleta siasa siasa na porojo tu tunawavumilia ila tutashindwa maana tunaumia sana sana uzembe wenu viongozi hao simba hamuwawezi mnaamka vipi tumefungwa na azamu Tena na tabora mtaamka lini
Gamond anaingia muda mwingine Aziz anacheza hovyo bado ana kumbatia timu.inadifens anamtoa pacome wakati yeye ndiye aliyekuwa.anawapa shida Tabora hata Mzinze siyo mtu wa kuanzia benchi mara kwa mara maana anaipush timu
Lazima mjue mpanzu hajaanza kucheza😂😂😂😂
Mliimwomba mobeto amkakishe aziz ki ,,sasa mnahoji kiwangi😂😂😂😂
Aisee leo nimeumia sana kama makolo walikuwa wanateseka hivi miaka yote basi hawa jamaa wanaweza wakaishi hata kwenye moto😆😆😆🙌
Duuuuh!!! Kumbe kufungwa kubaya sana tazama haka katoto kalivyokuwa kapole kanashika adi ndevu wakati hakana ndevu Acha kukebei wenzio Leo umeng'atwa na nyuki watatu tu wamekutoa manundu😂😂😂😂
Lazima uwe myonge umekuwa mpole dharau kejeli punguza ALI KAMWE MPIRA USIKUVUE UTU wako KAKA KUWA NA KIWAGO CHA USHABIKI USIDHARAU WATU PINDI MNAPOKUWA VIZURI.LEO IN SHAA ALLAH UMEITAMKA ZAIDI YA MARA 5 KUMBE KUNYEYEKEA UNAJUA.
Ila sasa heshima itakuja kwenye ligi kwani mpira ua una matokeo ya kikatiri sana ila uto tunawaambia kua tunaaza #UBAYA_UBWELA kutoka #Msowero_kilosa pia twendelee kupata mambo 10 ya #Ali_kamwe
Namshukuru ligi imesimama lakini wangezidi kulia
Kumbee umeanza kuheshim mpira, bila uchawaa hii ndoo utopolo
Ukifungwa kumb unacha dharau kubabeki, leo umekua mchambz sio mshabk , mpk uwaombe radhi wazee wa simba pmoja na baba yko la sivo utajuta
Acha mkwara mbuzi wewe! Ally Kamwe kila wakati huwaambia ukweli tu msiopenda kuusikia! Na msifikiri Yanga kupoteza Simba eti mtanusa ubingwa, hiyo SAHAU...!!! YANGA BINGWA!
Acha ujinga wewe awaombe msamaha kwa kosa gani huyo msemaji wako hajawahi kuingelea yanga na watu wake vibaya ??
Tuwaombe msamaha kwa kipi aaaaaaaa kolo bhna mtaunusa tu ubigwa subiri turudi
Utoto umeisha umepoa😁😁🏃🏃🏃🏃
Hiyo siyo gms
HUJASEMAAAAA 😂😂😂
Mbona mmekua wakali sana wakuu
Ongezeni bahasha, sindano na uchawi....😂😂 ila mkiiacha hyo miiko yenu vichapo vinakuja kwasababu mna timu ya kawaida kuliko mnavyoikuza
Makolo bhana ...
Yanga imekanda three times
@@--------GEO_SPORT_EARTH_EA huo ndio ubingwa wenu msimu huu
Leo umeongea kwa heshima 😂
Kwan si mna kikosi kipana??????😂
😁😁😁😁😁 wambie mapana yao yamekalia ncha leo
Kenge maji 😃
Ila mobeto jaman sio kwa kumbemenda vile yule aziza
Kwa mara ya kwanza Ali komwe ana ongea football 😂
Nyoo, mpoleeeee
ally me nimekuelewa point bro umeongea kweli ww m2 wampila.
Si mna kikosi kipana cjui mmepanuka wapi nyuma au mbele
Gamondi anaona tatixo sub anachelewa kufanya. Aache kuwaweka bench BALEKE CHAMA DUBE MZIZE
Wachezaji mbele kule mbona km wamekula helaa ndo maana hawatak kufunga mpak wanakeraa alaf kocha mbona anapenda kukarilii hatak kumuanzisha baleke kwa nn
Alafu kocha kama vile boya yani anamtoa pacome na wakati ndio mchezaji aliekuwa anawapa presha mabeki wa tabora pale alitakiwa atoke aziz na msonda aingie mzize na chama...
Uyo dube nae boya tu bora hata baleke
Yani kocha Viwango vya wachezaji vimeshuka na yeye kashuka kiwango uyo sio kocha ni ubora wa wachezaji ndio ulikuwa unambeba, kocha gani boya anakalili kikosi na wachezaji uyo kibwana alikuwa anapambana na TP mazembe anaanza mbele ya djuma shabani leo hii unamuanzisha nkane upande wa kushoto ambako ndio magori yote yamepitia uko alizani uyo nkane atamuweza yacouba sogne ni mchezaji mkubwa sana na mzoefu yani nimeumia sana leo sisi ni wakufungwa na tabora mamae
Yani kwa hali hii na kocha huyu mpaka bacca arudi mbona tutanyoka
Leo vilomolomo vimekata kwa Mara ya pili
Umekua na adabu kijana wetu
Hiyo sio gms jifunzeni acheni dharau
Namongo mnapigwa tena 😂😂😂 timu ya waganga na malefa
Aziz ki anamfoc acheze mda mwing wakat paformance yake imepotea chama yupo baleke yupo ndani ya 6 hamuwez kufunga waambie wachezaji wapige nje ya 18 mnacheza ovyoo mpak mnakera
Sindano vp mutaendelea kuwachoma
Nilisema mapema jmn sai tumepunguza ukatili mbele ya goli ila tulikua tunafurahi juu ya ushindi sai wapinzani wametusoma tunajaa kwenye mfumo ndo ya leo tumefungwa ila ata wachezaji leo walikua wazito diarra leo nae hakua na game nzuri kila iliyolenga lango imeingia bila wasiwasi😢😢😢😢 sijazoe aya mambo japo tutapita kwa iki kipindi
Tujipage upya
Safari Yako ya mateso imeanza Pole kaka
Uongoz dirisha dogo tafuten wafungaji dube,musonda na baleke waachwee Aziz apambane arudishe ubora wake hawez timua leten vifaa vipya mpira tz saiz umekua achen mazowea kwa uchezaj huo hamna ubingwa hapoo ,na kimataifa makundi hatutoboii
Mamaeeeee
Ili yanga iweze kufanya vizuri fukuza kabisa Aziz K mpira wake umeisha kabisa kabisa Hata Gamond atupishe haraka sn sio kocha tuna no 2 typical ambaye ni Kibwana kwann anakataa kumpanga? Lini Aucho akacheza no 4 kocha mandaz
😂😂😂😂😂 Bado HAMJASEMA
Leo umeongea Kwa nidhambu mpk unatia haruma 😂😂😂😂😂
msiamke....nyie ndo mabingwa wa kihistoria banaa......kunyweni supu jangwani palee.
Simba anawasubiria mlimdhurum
Usimcheke mamba kabla hujavuka mto
Adabu iwepo dadek mmeshenyentwa😂😂😂
Pamoja na hayo yanga inaharibiwa na WAAMUZI ambao wameamua kutumia kadi
😁😁😁😁
Tatzo kupenda yanga sio soka😁😁🏃🏃🏃🏃
Haja shuka huyo mobeto fund huyo
Achazarau dogo kuwa naheshima utaaibika unaongeaga kwa zarau sana
Uwanja niwakuwama uchawi mtupu azamu na Simba wanashikiana kuwaloga wachezaji wa yangu
Kunamtu analoga kama nyinyi
Kibwana naye anasitaili kuchexaa
Acheni ubabakshaji bhana Leo hamkujua umuhimu wa hii mechi acheni mpira wa maneno maneno na porojo ubingwa Kwa simba sijui mtatuambia nini
Nabado huu ni mwanzo TU hahaha 😂
Bwana mdogo,tafuta Mchumba Uowe.....leo Tabora wamekuonjesha ASALI😂😅😂😅
Semaje upo Sawa.
Kumbe huwa anakuwa na adabu namna hii
Kachomeni sindanooo"""
Naagalia hata ulaya sasahv vilabu vikubwa vimepigwa nisehemu ya mpira,
Jipe moyo ila team lko bovu
Yanga hamna timu
Yanga hiiii robo awatoboi mwanzo walichekelea kupangwa kundi ilo ila hawataamini tutafika sio mbalii😂😂😂
Nasave hii comment ntakurudia..
Auna team mzee
Mshamba ww
Dogo kumbe ana adabu tu.😅😅😅
😂😂😂😂
Sindano zimeisha ngumu
Viongozi mnatuzingua sana sana hamna mnachoumia nyinyi mnaleta siasa siasa na porojo tu tunawavumilia ila tutashindwa maana tunaumia sana sana uzembe wenu viongozi hao simba hamuwawezi mnaamka vipi tumefungwa na azamu Tena na tabora mtaamka lini
Toka hapa dunduka wewe cc yanga tunaipenda timu yetu
Mechi ndiyo kwanza raundi ya kwanza tena mechi ya kumi hivi simba ninafurahia nini? Nyie kwa Yanga ni km demu wa ukanda tukikutana tutawashughulikia