Kama hujawahi kupenda kwel kwel huwez kumuelewa enzo wal Rebecca, uy enzo anajua kabis kukaa karib na madam Regina si salam kwake lakn mapenz yanamuendesha anafany tu nae bi dada Rebecca anajua kabis hapendwi lakn moyo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mapenzi nyie🙌🙌
Mapenzi yauma nyie sana sana kwa yule alie penda zaidi kheri uugue maradhi ujuwe utameza madawa uwe sawa sio kwa mapenzi kidonda huongezeka pale mtu mwingine akwambia nakupenda 😢😢😢😢😢😢 💔 Rebekah mama nakufell Pole
Sasa Davis iyo mazarau yote unamufanyia Rebecca ni juu unaingia penzini na Anna ,mbona kama uko mbeleni hayatadumu hutorudia kumutamani Rebecca kweli??
Wa kwanza leooo nipeni izo like bac😂🎉🎉
Wakwanza mm nipeni like jamani
Kama hujawahi kupenda kwel kwel huwez kumuelewa enzo wal Rebecca, uy enzo anajua kabis kukaa karib na madam Regina si salam kwake lakn mapenz yanamuendesha anafany tu nae bi dada Rebecca anajua kabis hapendwi lakn moyo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mapenzi nyie🙌🙌
Pole naona imekukuta
Uyo Enzo ❤nilimpendaga Toka angal ndo ananza kuigiza ❤Mpak Leo nitakubal Bora uni bebe Kam rebek ni ww tu mi nimekubalia❤na yote🎉
😂😂😂😂😂
Mapenzi yauma nyie sana sana kwa yule alie penda zaidi kheri uugue maradhi ujuwe utameza madawa uwe sawa sio kwa mapenzi kidonda huongezeka pale mtu mwingine akwambia nakupenda 😢😢😢😢😢😢 💔 Rebekah mama nakufell Pole
Ila Enzo na Regina wanapendezana mnoooo❤
Mm nakupenda ezo ss siwez Kisha Bila ww
Enzo unachokitafta utakipata!! Ipo cku Patrick mtamuelewa! 2namuon kachiz et ana wivu ila m naelewa anachokifanya!! Enzo atashenyentwa!!!!
Pole rebecca, Enzo nakupenda❤
Yaani nampenda Enzo siwezi kuishi bila yeye
😂😂😂😂
Raha sana
Pita ni mwamba kama unakubaliana na mimi nipe like
Bora , manake nimeitafuta sana leooo
Subscribe tu hapa ujilie kilaini
Enzoo babaa nipo na wewe mpaka uvunjwe miguu na partick😂😂😂😂kheee hukomi 🙌🙌🙌
😂😂😂
😂😂😂😂
Bora avunjwe mguu aki m pididi 😂😂😂😂😂😂 na alivyo mzuri 😂😂😂😂
Yanga hii unaifungajee
ach nijibu2 hp 2po kweny juwa kalii jmnii yang bingwa
Huwezi amin Kuna mashetani hapa wanaungana na Enzo kuiba mke wa mtu
Nanimashetani haswaa huenda ndo mambo yao😢😢
Ubarikiwe DJ ❤❤❤r
Amen ....
Me natabia kama za rebecaa❤❤❤
Pole jitahidi ujielewe, kawaida si afya kumpenda asiyekupenda.
Namba one❤❤😂
❤️🌹
Enzo Enzo izo pleàse please zako kwa Regina zitakuponza 😊😊
Amazing ❤❤
Glory ananitia hasira 😢😢😂😂
Lamata anatufundisha nini jamani😮. Kila mtu mzinzi humu ndani.
Uzinzi tu kwakwendambele naona ndo lengolake
Nani kakwsmbis ukunaliane nae si uach kuutazama uzinzi mtu mzim ww
kweli uzee ni nambar tu jmn feeling ziko pale pale
Rebecca si umuache Davis
Sema mama luka mjinga sana
Ila glory hajifunzi mpuuz huyu ant kila siku anamsaliti lkn nasikii mpuuz huyu yaaan huyu n real meaning ya mtu mzima ovyo 😅😅😅😅😅😅😅😅
Ila zai punguza unafki kwa mwenzio
Glory jamani utaumbuka km Michael
Wa kwanza Leo naomba Ata like Moja 😢
Sawa😂
😂😂❤❤
Wanaume wa jua kalii wanapenda kupika😂
😢😢😢rebeka ukutane na diba mupendane muwakomeshe
Kwel kabisa 😅
Anna anafurahia penz jipya kaka fure anateswa na mapenz na Maria mwanakondoo
Enzo kaisha zoea mikelele ya Patrick hamtishi tena
Kawimbo hako jamani kanakoimba kwa kaka Fulee jina please
Hakna jina ni spesho kwa kunogesha jua Kali kameibwa kwa ajili ya jua Kali
Hyo nyimbo ni ya marioo inaitwa hapana lkn humo ameimba dada anaitwa Alice kella ila mwny Wimbo ni marrio
Hapana by marioo
Nakapenda pia😊
Hapana marioo
Am in love guys😂
For who?
With Anna
@@WinfridaJohn-v4hmaandish hay si magen jijin 😂😂😂😂
Dj nakupenda lkn nlkusahau😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂🌹🌹🌹🌹kwann
Nimesubiriaaaa mpk kichwa chauma🤣🥹🥹
Pole
Nausuburi kwa hamu mzagamuo wa Enzo na madame wake 😅
Hv wangapi wapo pamoja na mm
Si mbaya tukijuwana sisi wawaza ujinga😅😅😅
Kumbe Enzo ndiyo anapenda kununua ugomvi na Patrick
Mpaka abondwe ndo akili itamkaa sawa😂😂😂😂
Ni kwel
Natamn apigwe ngum ya pua aachan n mke w m2
Rebeka ni mwanamke mwenye mapenzi ya dhati Davis ni mshamba tu wanawake jifunzen kua ka rbk
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana na sijui kwa nini, mala chache sana watu wanapendana, kwenye mahusiano mmoja anapenda kuliko mwingine, mbaya sana
Kama na wew umeumizwa na matokeo ya yanga kama mim gonga LIKE na emoji ya moto 🔥
Yanga hii unaifungajee😂😂😂
Tumeumiaaaaa
Bado hamjasema utopolo
Kweli Maji hufata mkondo wake Anna na mama yake nimewapandishia mikono🙌
Aunty Zai can't keep any secret!
Alafu mashemeji wanaoana ,,jua kali dah🤔🤔Davis na Rebecca
Enzo tupo na wew mpk partic akuue😂
Jamani naombeni like na vichwa vyenu kama samaki za Mwanza
Huyu devis anamjua Anna kweli 😢haya anayomfanyia Rebecca yatamrudia
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Twajibiiiii
@kurthummapande 😂😂😂😂atalia na kusaga meno
Kwann wanaume hawanaga huruma😢😢😢 ww devis Anna atakufurahisha tuulize sisi
Jamujui vizuli
Sasa Davis iyo mazarau yote unamufanyia Rebecca ni juu unaingia penzini na Anna ,mbona kama uko mbeleni hayatadumu hutorudia kumutamani Rebecca kweli??
Nani mwingine ambae haoni umuhimu wa kipande cha Davis na Rebecca 😮😮
Davis ashaingia kwenye mfumo😂
Davis sasa mwenzako aje saa ngapi kusafisha akati umemtoa mbio 😂😂😂😂
Groly kama jinga
Kumbe mpaka leo bado kuna watu kama kina rebeka
Wengii
Tupo😂😂
Wewe @nasra hujapitia huko? Hujawahi kumpenda mwanamme maisha yako yote?
DJ ahsant❤❤❤
Karibuu
Devis atakam umtaki lkn mbona dharau zimezidi jmni mapenzi yanuma nyie😢😢😢😢
Usijali wa English walisema “what goes around comes around” yatamrudia tu, Anna mwenyewe kichaa 😂😂😂
❤❤❤❤
Upon upande gani
Mbona nikimuona Regina kama vile namuona Zari
Frank jua limemuwakia 😢😢
Ana unatuonea wanyakyusa
Enzo Kitakukuta Kitu"" patrick njoo uninyooshe mtu"" Davis Hajui kama Anna Ni Fattak
😂😂😂😂😂😂 tena fataki la kike
Ila rebeca anateseka na devs jmn frenk nae ndo usiseme yani adi huruma na drama za Malia
Kwel jua kali haswa ila enzo ww patric atakufany nyama choma
Rebecca tulia mbona we mzuriii
Mm Sina chakusema Zaid pokeeni maua yenu
Am in love gloryiii😂😂
basi nikajua utu uzima nipamoja naakili hiv glory yupo timamu kweli alooo
Kama hujawai kupenda huwezi kumuelewa rebeka
acha tu weee inauma balaaa
@@nyamiziramadhani4232acha hasa kwa mtu unae mpenda 😢
Vrry true
Mmmh kila mtu lazima apitie kwenye kupenda lakini inafika wakati naona bora uvumilie maumivu uendelee na maisha kuliko kuzalilishwa na asiye kupenda
Na tumchicha twako rebeka mkiambiwa fear men muwe mnaelewa lkn aaaaghhhhhh heri mm nko single singwengwelele😅😅😅😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 ndo nini singwengwelele 😂😂😂yaani nimejikuta nacheka kwa sauti 😂😂😂😂
Akiwakuta Patrick 😮😮😮
Mpaka leo nilichojifunza kuliko kupenda 😅 nibora kuwa mwenyewe mapenzi shikamoo
Noma sana
Kbs 😂😂😂
Diba naye fala kweli yaani mm mtu hatakama ananizidi pesa afu ananiletea zalau napiga vibaya mnoo
Enzoo Enzoo Enzoo how many times have I col u
3 times salama 😂😂😂
Yanga imejua kuniliza 😭😭😭
Polee
@@exclusivetv.asante 🥹😭
Koma
Yanga hiii imefungwaje😅😅😅
Tujipooze na jua kali😢😂😂
Tupo p1 enzo ad patric akutoe roho
Yani mimi mahusiano ya mam ana enzo na regina ans n davice nayataka mno
anti zai frji lake aligandishi
Ila rebecca nae looh kabaki pekee ake hapa bongo😂
Na Mimi hapa 😂😂
Tupo wengi😢
Jua kal n utamu t❤
yani mie mwenzenu linda ananikosha mwenzenu basi tu
We endzo utatiliwa dawa za.mende na viroboto
Awa wayahudi wanakera mbona maongezi yasioisha
Shikamoo zai
Nyie kaka Fule😢
Zamu yake alitesa sana wanawake muache ateseke
Rebeka unatukosea heshima wanawake hatuliliag ivo tuna move on bhn 😂😂😂😂
Kumove on sio rahs nyie
@@irenenicesngkwayu3919😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sio rahis kwel na kulia mbel yke anashush brand😂😂😂😂😂
Mimi na penda enzoo n madam waje waangaliane kiuruma hdi midomo inasane😂😂😂😂
Huyu enzo anataka Patrick ampididi
Kwann ampididy lakin 😂😂😂😂😂
@@HakizimanaSaidi-m4chahaha nimecheka kwa sauti 😂 ndi hivyo hivyo, Patrick kakaa mtoto wa mjini atampididi akili imkae sawa
Sauti
Chumba cha davis kimesafishwaa saa ngap jaman
Rebeca poleeeeeee shogaangu mapenz yanauma
Madam simba akiri huna sasa unamtaka mtu kwa nguvu akufanyie kaz ilihali hataki
Rebecca Rebecca utapata😢😢😢
🎉🎉🎉🎉🎉
Mr Patrik anaibiwa mke kiulaini😂 ye kazi ubabe tu
enzo hakomi aiseee yatamkuta sana tu mqnina anaanza kunikera kwnn asitoke kama mwenzie devis
Unayajua mapenz vizr my friend upendo una nguv san unaweza kufany kit ambach unajua kabis kinahatarish maish yako lakn kwasabb umependa unafany tu
@@vumiliarichard9347kbs 😂😂😂😂
@vumiliahaswaaaaaaaaarichard9347
Muacheni Enzo jaman haya mapenzi kukaa mbali na rejina mm na Enzo tumeshindwa ni kama Davis tu kukaa mbali na Anna
Anafukuzia mzigo wa Patrick 😂
Groly umeisha mwenzio kaambiwa akufatilie ww unajiachia tu
Henzo nae hakomi ? Jiko litamponza
My choice 🎉😊😊😊😊 everyday
DAvis utalia baadae tuhulize sisi kuhusu chizi karogwa tena