Makolo wamewanga kweli ipo siku watanasa TU na mpaka yao msipaniki wanayanga wenzenu makolo waneingia chimbo kusaka wachezaji wenu mpaka Mashabiki wanandumba badilikeni na.nyi acha kelele
Ukitaka kujua ubora wa kocha ni pale mechi inapokuwa taiti nitachambua udhaifu wa kocha 1-ni mgumu kufanya hesabu hata kama mtu amechoka,2 akifanya sabu anaacha mbovu anamtoa mzuri,3-anatumia mfumo mmoja tu.na timu pinzani ikiweka Beria Hana ujanja wa kufungua ngome pinzani 4- ni mgumu sana kuusoma mchezo nakumbuka enzi na kocha nabi ilikuwa timu isipotufunga kipindi Cha kwanza basi ijiandae na mvua za magoli na mashabiki tulikiwa tumeenza kushangilia
Yaani Nyuma Mwiko wakifungwa nchi inachangamka sana, rawama kila mahala mpaka dereva wa team atalaumiwa.. Vipi bado mnawataka malaika mcheze nao au hawa Tabora wanawatosha Mungu awasamehe kwanza?
Nafuuuuu ,,,, we njooo ttu sisi uku mtaaani hatuna shida Ila uyo dada kafungwa na tabora anawawaza Simba km Kaka ake kamwe alicheza mechi nasingida Zanzibar akaanza ooo Simba mteja Aya tabora uyo Sasa tuzungumzee hapa kwa tabora imekuaje mtaaani teh, teh, teh I😅😅😅
Nilishawahi kusema mechi ya Simba na yanga yanga walishindwa kayoko ndo alileta ushindi mechi ya yanga na coast refa goli la offside baleke Leo Tena refa yanga wakiguswa refa faul na kadi lakini mchezaji wa Tabora akifanyiwa faul filimbi hakuna . Naishauri bodi washaurini marefa wa Tanzania timu zote pia Ni timu wasimamie mechi vizuri
Nyie jifunzeni uvumilivu mbona kulia badooooo subirini muone yajayo yanafurahisha simba mbele kwa mbele ❤❤❤
Wanaumbuka
Dhuluma walizotufanyia simba m mungu anatulipia😂😂😂😂😂
@@RosemaryMalya sawa tunasubiri lkn msihame ligi ndugu zetu nashukuru Leo mmetufunga
Nyinyi kocha HAMNA hapo Kwa Sasa, huyo gamondi ni msanii tu, kocha yanga alikuwa nabi NDIE alieitengeneza yanga.
Mmbwa kweli mlitaka kuhama ligiushasau leo
😂😂😂😂😂😂😂hii ndio Raha yetu Simba kusikia kwa jilani kunawaka moto
Kumbe Simba mlisha vumilia mengi sana. Kufungwa inauma
Yani tunataka kuwe heya heya Ubaya Ubwela😂😂😂😂
😂😂😂😂Yanga hii inafungwaje eeew
Wee acha tu,tuna Raha leo😂😂😂
@@DorahAlbert-eb9zvndio mganga alivyo waambia hamufungwi huu ni mpira na wadunda
SINDANO FC YANGA BILA UCHAWI BADOOOOO😂😂😂
SIMBA TUNA MIOYO LAKINI YANGA WA KIKE WA KULIALIA WENGIIIIII😅😅😅😅
Yanga hii inafungwajee inafungwajeeeeeeeeeeee😂😂😂
😂
Yanga hyi inafungwaje
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilisema Azizi K,Hamisa atammaliza watu wa Yanga wakanitukana mtayaona mengi sana😂😂😂😂
Mtasema tu. Hamjasema!
Yani mpaka waseme 😂😂😂
Dawa inaingia taratibu
Nasikia raha sna kuona yanga wanapata shida😊😊😊😊
Jamani,leo nina raha balaaaaaa,yan kinyamaaaaaaaaa.
Jamani,leo nina raha balaaaaaa,yan kinyamaaaaaaaaa.
Ndumu ndumu pweeye pweyeee😂😂😂😂😂😂😂
@😂😂CristinLyanga
Vyuma visagane sasa 😂😂😂
Hii ndio furaha kwetu
😂😂😂😂😂 azizi kwiiii😂😂😂
Hiii interview tamu sanaaa😂😂😂 leo et uwanja mbayaaa
😂😂😂😂 Mwenyewe hapo imenibidi nicheke Kwa nguvu😂😂😂,eti uwanja nuksi😅😅
Wameshachanganyikiwa mechi 2 bado hamjasema na mtasema
yaani mpk waseme 😂😂😂😂😂😂😂
Tulieni dawa iwaingie
😂😂😂😂😂
Tenaaaaa watulie sisi mbona tuliwezaaaa viko wapi basiiii😂😂
Tatizo baka HAPO kama baka hayupo ata mechi ijayo yanga wanafungwa
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Leo kocha hafai
😂😂😂😂 ubaya ubwela
Wanasema hafai Ila wakishinda kocha hafai
Jah bless young Africa 💛💚💛🖤🖤🤲🏿🤲🏿🤲🏿💚💛💚💚 Kama una ipenda yanga gonga like apa
UBAYA UBWELA ❤💯❤️
Kulia kupokezana😂, ila toka mwanzo wa msimu tulishaona mwelekeo wenu
Simba bingwa
ha,ha,ha,haaaaaa ngoja ncheke uwo ubingwa anaupata wap jifarariji
Mwanamke akishatolewa bikra hakuna haja ya mate kila mtu anapita tu sisi ndo furaha yetu kwa jiran kukiwaka moto😊
Nafurahiiiiiiii saaaaaaanaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Ahahahahaaa Leo ndo wanajua kuwa Ana madhaifu😂😂😂😂
Bado hamjasema😂
Huwa nafurahi sana napoona mashabiki wa yanga hawana furaha😅😅😅
MSIMU HUU MTASEMA SANA, TULIENI SINDANO IINGIYE
Et Aziz Kwii 😂😂😂😂😂😂 aaaah kwel ni noma
Aziza kwisha habari yakeeee,Mobeto hongera kazi nzuri sanaaaaa,
Yanga Hii Mumefungwaje?
Poleni watani tugange yajayo.
😅😅😅haya asantee
Yanga mmeliwa kirahis sna leo😂😂😂😂😂
Yanga ina kikosi kipana sanaaaaa😂😂😂
Nilisema tangu mechi iliyopita kuwa kocha ni tatizo kuna mwehu akaniona msaliti
wee koma kocha hafai kwa lipi juzj ile kadi ndo sababu leo mabeki wote hakutakiwa kucheza ulitaka afanyeje acheni upuuzj
Bado hamjasema mbaka mseme
Yang bwana mkiambiwa simba wavumilivu mnabisha ona sasa kufungwa michezo miwili tayari lawama
Machine ijayo mnafungwa nne
Tesekeni sanaaaaaaa kutesa kwa zam
😂😂😂😂😂 Badooooo hamjasemaaaa
Azam ndie alaumiwe, kumtoa yanga bikla Sasa Kila mtu anata aonje😂😂😂😂
Leo master Gamond ana madhaifuuuu 😂😂😂😂
Eti 😂leo gamond mbovuuu 😂
😂😂😂Man of the mechi ni mzee magomaaa😅😅😅😅😅
MMBWA NYIEEE MSHAZA KULALAMIKA KENGE WAJANGWANI
sengeeeee
*ashukuliwe dada hamisa kweli wewe nisimba mzalendo*
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😊
Hii ndo raha yetu wanasimba nanyinyi mkizozana dadadeki zenu uto
Aziz K anatuzingua sana. hakuna Cha busara kocha anazingua sana kumpa Aziz nafasi wakati anacheza hovyo
Me nacheka hapa km mazur. Ila ndo hivyo matokeo yameshatoka
Sasa kurogwa nakuacha wachezaji nnje wapi nawapi kweli umevurugwa❤❤❤❤
Kama ww shabiki wa nyama like kwawingi nyuma mwiko wazidi kumia😂😂😂
Yanga kuvanai waiya waiya dobi dobi
Azizi kwii haya Sasa wameliwa Tena kiboga Tena tusikie daika mbele nyuma mwiko hamna mwiko Tena tulizeni dawa iingie
Yani hii ndo Raha ya simba 🦁 sasa 😂😂😂 kuona na nyie mashabiki mnaumia
YANGA ILIKUWA INASHINDA KWA SINDANOOOOOO ....
Mzee kamilagwa pole mzee wangu
🦁🦁🦁🦁🐝🐝🐝🐝🐝
jamn hii yanga ndo ya kufugwa hivyo kwl daah
Wanayanga wenzangu msijali yatapita tyu
Kwa kweli Baleke ni mshambuliaji wa kweli kweli.
Mtaani atafikajeee 😂😂😂si atafik n miguu😂😂
Timu inakatika uwiiiii😅😅🙈🤣🤣🤣🤣
Wamevurugwa mpaka wanamuita aziz kwii
😂😂😂😂😂
Ata sisi simba wAkati tunapoteza ubingwa tulikua tunalAlamika iviivi
Nyie mbn mmezicheza xana mechi zetu na hatuxemi😮
Lishaumana
Timu letu lishaanza kuwa bovu kocha sijui karogwa kibwana wa kumuweka nje kweli daah!
Wapigane,,wauane,,sisi ndo furaha yetu mtoto kauta 😂,,,, Azam katoa bikra,,,yanga kaona tam kampatena tabora 😂👍
Yanga mshajiharishia mpira hamna mneziea kupebwa sasahivi hamna kubebwa kalale
Makolo wamewanga kweli ipo siku watanasa TU na mpaka yao msipaniki wanayanga wenzenu makolo waneingia chimbo kusaka wachezaji wenu mpaka Mashabiki wanandumba badilikeni na.nyi acha kelele
Wameanza kulia mlikuwa na makelele oooo yanga bingwa bongwa gani na bado mtaliaaaaaaaaaaaaaa
Jaman Kwenye gari nakaaje Naenda home Nimekosa njia kira Kona shabik wasimbaa😢😢😅😅😅
Ni kweli kocha anazingua, yule undertwenty beki wa kati aliyemuweka BENCHI ni kosa
Kwan yanga mmeliwa kweli jaman😂😂😂
Yanga wengi mapimbi
Dharau ndizo zinazowaponza na mkumbuke hii robo hamuendi mtapaskia2 tunzeni hioo
Tutawacheka sana hadi muwe na heshima na kanuni za mpira nyoooo
Yanga bingwa
Et unasikia yanga hii unaifungaje kamulize tabora kafungaje tatu na azam pya aulizwe
Aiseee leo nimeumia sana kama makolo miaka yote walikuwa wanateseka ivi basi hawa jamaa wanaweza kuishi hata motoni😆
Kweli
Ukitaka kujua ubora wa kocha ni pale mechi inapokuwa taiti nitachambua udhaifu wa kocha 1-ni mgumu kufanya hesabu hata kama mtu amechoka,2 akifanya sabu anaacha mbovu anamtoa mzuri,3-anatumia mfumo mmoja tu.na timu pinzani ikiweka Beria Hana ujanja wa kufungua ngome pinzani 4- ni mgumu sana kuusoma mchezo nakumbuka enzi na kocha nabi ilikuwa timu isipotufunga kipindi Cha kwanza basi ijiandae na mvua za magoli na mashabiki tulikiwa tumeenza kushangilia
Mpira ya bongo ,Daima kuamini kufunga ndio mpira,kumbe kufungwa,kufunga,na sare ndio mpira halisi
Jamn eeeeeh. Wanasiiiiiiiimba. Njooni uku majilani kumekucha teh, teh, teh, teh, teh😂😂😂
Bado amjasema mpaka mseme,Leo mnaanza kocha afai nabado 😅😅😅😅😅,Mmeshenyetwa zakutosha
Yanga imesha julikana kocha ana kikosi kimoja wachezaji wakuwabana wamesha julikana. Kocha wa simba anabadilisha kikosi na marokeo yana patikana subirini sindano zitawaumbua zaidi.
Badoo sanaa....😂😂 🎉🎉 subirini huoo usajili Nyumbu nyieee leo na juzi tuu jikazenii 😂😂
Sawa kabisa kuna kibwana na mkude bareke
😂😂😂😂
Yaani Nyuma Mwiko wakifungwa nchi inachangamka sana, rawama kila mahala mpaka dereva wa team atalaumiwa..
Vipi bado mnawataka malaika mcheze nao au hawa Tabora wanawatosha Mungu awasamehe kwanza?
Well said-kocha miyeyushoo mnoo analazimisha kilasiku aziz kashuk kiwango katufelisha gori lakuludisha game -af hanafaida kibwana bareke wapo -kufungwa gorib3 niaibu mnoo kocha mpuz
Nafuuuuu ,,,, we njooo ttu sisi uku mtaaani hatuna shida Ila uyo dada kafungwa na tabora anawawaza Simba km Kaka ake kamwe alicheza mechi nasingida Zanzibar akaanza ooo Simba mteja Aya tabora uyo Sasa tuzungumzee hapa kwa tabora imekuaje mtaaani teh, teh, teh I😅😅😅
Wazee wa yanga mpo kama Kuna virus ondoa haraka
Ety hapa mara hii makolo wa Simba nao wanaanza ku2cheka, wapuuz kabisa ila hata wakishinda wajue yanga bingwa!! Ila inauma😭😭😭
Kama Msemaji wenu alivyokuwa akikejeli
Wachezaji walikuwa wanacheki epsodi ya 9/400😂😂
leo tu kocha anamzaifu
Nilishawahi kusema mechi ya Simba na yanga yanga walishindwa kayoko ndo alileta ushindi mechi ya yanga na coast refa goli la offside baleke Leo Tena refa yanga wakiguswa refa faul na kadi lakini mchezaji wa Tabora akifanyiwa faul filimbi hakuna . Naishauri bodi washaurini marefa wa Tanzania timu zote pia Ni timu wasimamie mechi vizuri
Jmn musiwe na presha michezo ipo stahamilin wanayanga wenzangu
Kwann msiwe mnatoa maon mapema.mnasubil mpaka tufungwe jaman
Kweli kulia kupokezana Leo zamu yetu Yanga tujiulize tumefeli wapi na wachezaji wetu
Turieni yanga mtafungwaje
Jamani aliyesikia Aziz kwiii nani
Wachezaji hatuna kaka wengi umri ushaenda tusijiongopee wengi wao ni vikongwe
Mbona Mnalalamika saaaaana,, mpaka MTATHEEEEEEMA na bado. Mbona Sisi yalikuwa yanatupata? Na bado
APEWE TEARM JAMAA KOCHA MZURI SANA HUYU
Prof gamondiiiiiiiiii
Jamani bado mapema sanaaa
Jamaa kasema wamegongwa